Kwa kweli hizi mbinu za kuwapotezea watu muda tunaziona acheni kututesa ng'ombe wetu mnawataifisha malambo(tarafa ya sale wilaya ya ngorongoro) serikali isiyo na haki
@tanzanite99442 жыл бұрын
Huyu Madeleka Mwenyewe ni mahabusu Halafu anasimamia kesi ya mahabusu
@caashamacalini38872 жыл бұрын
Walitakiwa waachie wote si watatu huyo polisi siku yake ilifika na yeye kama wao wanavyofanyaga kupiga na kuuwa sasa Leo zamu ya polisi Sawa Sawa mnapenda nyie mahakama wao mbona wanauwa watu au wanakuwa nguruwe wale mungu atawangamizi wao polisi ndio chanzo kuuwa raia Leo inawauma mbwa wamuombe mungu yoyote atakae shika mungu amdondoshee jiwe la moto
@musamusanayanga36022 жыл бұрын
Kwa hiyo hao polisi wanaofanya uchunguzi Hadi watu wafe ndo watoe ushaidi?na kwanini Sheria hazitumiki kwa hao wanasheria wasiofika mahakamani muda husika