Pole sana mama angu Mungu yuko pamoja na wew hatakuacha kamwe uangamie atakukumbatia na mbawa zake🙏
@jonathankayigili8490 Жыл бұрын
Sasa si mmpe haki yake huyo mama jamani tumeanza kua watumwa ndani ya nchi yetu😢😢😢😢
@rahimaaaaa5682 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@mouldykomba1852 Жыл бұрын
Kwa kweli
@Bilioneabichwa331 Жыл бұрын
Apewe shamba lake haraka Sana , la sivyo tutawashtaki kwa Mungu wa mbinguni
@AmisoMuyohira7 ай бұрын
Wanazulumiwaa shem
@wemamtundu7906 Жыл бұрын
Issue hizi ndio hinifanya kumkumbuka JPM😢😢 R.I.P kipenzi cha wanyonge
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Una uhakika alikua anawapenda wanyonge au matukio yake ndo yaliwaminisha ivo wabongo acheni kukubali kila matukio ya hawa wana siasa
@wemamtundu7906 Жыл бұрын
@@KassimAlly-xp4dz 100% wewe inaonekana ndio kama hao,
@AbdallahSaid-ns5ee Жыл бұрын
Mbwa kwel
@wemamtundu7906 Жыл бұрын
@@AbdallahSaid-ns5ee we mbwa mwitu kabisa
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Mi naomba isikilze vizuri ili utoe hukumu vizuri huyo mwekezaji hapo yupo Toka 2012 maana usije ikawa chuki tu kwa raisi aliewepo sasa
@nicholausmanyanda9704 Жыл бұрын
Bibi waroge tu 😊
@JasiminJasimin-i5l Жыл бұрын
Kaza bibi kweli kabisaa hakuna kuhama atafia hapo hapo
@RichWise671 Жыл бұрын
Pesa inaendelea kumimba kila mtu na kila mahal ko Hutoaji wa Lesen had makaz ya watu bila Fidia? Acha iendelee kunyesha mbeleni Hata wajukuu wanu watasema panapo vuja tu 👣👣👣
@nsuriitv2468 Жыл бұрын
Natamani hiyo Dhahabu ibadilike iwe Bangi tuone itakuwa ya nani😂😂😂😂
@birianination7097 Жыл бұрын
Itakua ya serikali, na wataichoma
@emanuelmlumba96 Жыл бұрын
Mambo ya ovyo Sana ,.serikali ipo kwa ajili ya watu ...sasa sheria gani hiyo ya madini ...haiangalii thamani na miliki ya mtu
@birianination7097 Жыл бұрын
@@emanuelmlumba96 kisheria, serikali inawajibika kutoa pesa ya fidia. Ila migogoro uwanza pale ambapo watu hukata fidia hizo na kukana kutoka.
@danielmakelemo23959 ай бұрын
Hapo atashangaa dhahabu hamna anachezea kamati ya bibi ataona miujiza😂😂😂awaulize wachina bariadi
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Pole sana mama hakiyawanyonge haipo tena tz kwasasa muombe sana M/MUNGU ndokimbilio la wanyonge
@brunoswai3559 Жыл бұрын
Maneno mengi tu alieshiba hamjui mwenye njaa .....wabongo tunapenda maneno tu hatuna vitendo
@MsafirJustin Жыл бұрын
Dah mungu amsaidie bibi
@ireneassey2022 Жыл бұрын
Madini niyaserikali lkn bangi ni yamwanachii nchi yangu 😢
@khalfanikimanta6663 Жыл бұрын
Hahahahaaaaaa nacheeka kama mazuuri wallaahi
@AsdDsa-fi5qk Жыл бұрын
Et Kuna rais mmmmh duh Dunia hadaa magu alikua akiimgia ad kanisani kuchangisha .michango y. Msikit rip
@AyoubAbdullrahmanAmir Жыл бұрын
@@khalfanikimanta6663Inasikitisha sn..
@chainbre275 Жыл бұрын
Yni ume jua kunivhekesha kweli 😂😂😂😂😂😂
@dominickchristopher1669 Жыл бұрын
Sisi watanzinia tunaviongozi au vibalaka!!!!! Pole sana mama angu
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Vibaraka na wanyang'anyi tupu
@juliusdonard933 Жыл бұрын
Shida ya waafrica hatupendan wenyeweee anatakiwa afaidike
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Eeeeh Mwenyezi msimamie uyu mama na familia yake..binadamu wabaya,tamaa haina dawa
@edinahmaganga2722 Жыл бұрын
Pole sana mama yangu nakuomba mliliye Mungu maana yeye ni mume wa wajane lia mama omba hiyo Dhahabu igeuke mawe ya kawaida isiwepo dhahabu mahali hapo mlilie Mungu wako aliyewapa Aridhi kumiliki mimi nawachukia watu wasiyo na huruma na binadamu wenzao huyo mwalabu Mungu atamuonekania 😢
@danieljoseph7120 Жыл бұрын
Tumeipenda wenyewe nti nti, mtajijua wenyewe nti nti wacha muisome namba eehehehehe Chama chetu mbele kwa mbeleeeeee😂😂😂😂😂😂
@christinamabula416 Жыл бұрын
Vigogo nao ni bangi tu
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Mwarabu ajekwsohuku Oman wasituzurumu mpa kakwetu wamlinde wasijekumuua wasiojulikana.
@marthasaad9752 Жыл бұрын
Sheria za madini ni ngumu Sana Ila anatakiwa akae chini na Bibi amlipe hili aondoke
@knyndsknyds8687 Жыл бұрын
😢😢😢😢da! So sad.😢
@emmanuelshineneko7261 Жыл бұрын
Tunakukumbka magufuli
@abuuhafsin2224 Жыл бұрын
Help this Poor woman please, it's pity kwakwel. Muwe na mioyo ya utu Ndugu zangu
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Wenyewe wanashida gani si wataishi milele 😢
@dorothmsuya1686 Жыл бұрын
Yaani bila kujali kua mwenye shamba ataishije! Kwani hilo shamba halina mwenyewe? Acheni kuumiza wajane na wazee! Hata nyie ni marehemu na wazee watarajiwa! Unachomfanyia mama wa mwenzako nawe utafanyiwa hivyo hivyo au kizazi chako! Looo! R.I.P MAGUFULI....
@emm93132 Жыл бұрын
Yaani unajiuliza maswali unakoswa majibu,hivi ni Nini hiki??
@bonfaszakaria7302 Жыл бұрын
@@emm93132 katiba mlya
@bonfaszakaria7302 Жыл бұрын
Katiab mpya mdiyo suluhisho la matatizo hayo ya uporaji wa ardhi za wananchi
@Hamidkaran Жыл бұрын
@@bonfaszakaria7302 akuna kitu kama icho haya mambo ni sisi wenyewe
@chezeashoppers5940 Жыл бұрын
Taratibu za madini zinamtaka mwekezaji kufanya malidhiano Na mtu au wakazi aliowakuta eneo husika Lakini mama hana wakumsaidia ! Pole Mama wanajua hata wakikupigania HUTOWAPIGANIA
@ndabhiloleyesamwel9945 Жыл бұрын
Daa!! Hii nchi ni hatal jitu linalopoka tuu!! Kwakua limeshiba basi haliwajui wenye njaa
@cleartzboy Жыл бұрын
Tutamkumbukaa
@luganohenry6141 Жыл бұрын
Huyu baba anajbu kama vile Hana mama!Inaumiza Sana!
@mrh2812 Жыл бұрын
Duuh😢
@josephmkinga9509 Жыл бұрын
Nawachukia Sana wawekezaji hasa hao waarabu hawana huruma kwanza hata akikuajili hataki ufanikiwe waalabu tuwachieni nchi yetu utumwa hatutaki tena mamae
@davidgeorge9324 Жыл бұрын
Pumbafuzako hufat utaratib
@salmyhussein6255 Жыл бұрын
Kazi iendelee
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Maskini
@nsiamasawe4578 Жыл бұрын
Kabla ya kumkumbuka JPM rejea maneno ya Ndugai
@abuuabuudharri-vt2nd Жыл бұрын
Je kipindi wanaanza kuchimba 2012 Magu hakuwepo? naomba kufahamishwa vizuri tafadhali.
@Benaard-rc6iz Жыл бұрын
Mtafasri Anatafsri tofauti na Kisukuma kinachoongelewa
@AmaniChris-xd7xt Жыл бұрын
Labda lingekuwa la samia lingeshughulikiwa haraka kwa sababu ni la rais na pia ni la tajiri
@godfreymbwambo4460 Жыл бұрын
ANGEKUWA JPM ANGEONDOKA NA KICHWA CHA AFISA MADINI!!!
@omarymbonde6748 Жыл бұрын
Kwanza hata huyo afisa madini asingetoa majibu hayo
@lucyjeremia1381 Жыл бұрын
Tanzania yangu ikikutwa bangi kwenye shamba lako ni mharifu Lakin yakikutwa madini ni Mali ya serikali 😢😢😢😢😢😢😢😢Mungu tusaidie
@WaziriRamadhan-ML Жыл бұрын
Na kwa uongoz huu uliopo madarakan ss hv hakuna tofaut na uongoz wa kikwete wa unyanyapaaji wa watu masikin,hii nchi aliiweza magufuli tu ambaye hata hivyo walimuondoa mapema ili waturudishe kwenye maisha haya ya unyanyapaji
@ummysaid5600 Жыл бұрын
Hii nchi kama huna kitu ndio wanazidi kukuumiza kabisa... Raisi hatuna kabisaaaaa
@hijazhija316 Жыл бұрын
Tangu 2012
@AshleyOfficial-g2f Жыл бұрын
Mh Samia hebu simama nawanachi wako hivi unao nisifa wananchi tunavyolia Lia dah😢😢😢
@mohammedalikhan5766 Жыл бұрын
Nimemsikilize bibi kwa makini kama naelewa kisukuma vile,ila inaskitisha sana!
@hizamawa6046 Жыл бұрын
Mama anatapeliwa aiseee😢😢😢😢😢😢
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Pole sana mama madini yakikutwa kwako niya serekali wanachukuwa ila bangi ikikutwa kwako Hayo ni yako wanakuchukuwa dunia ni fumbo
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Wanamuonea bure wamlipe fidia zake ili awe na maisha bora
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Hapo mtu ni mwekezaji tu atatetewa Kwa kila Hali SI mTz
@pendo8082 Жыл бұрын
Jamani duh
@RuzoOwzy Жыл бұрын
Hv kuna watu hawajui kiswahili out there!!!
@MereniaEnzubery-lf7zb Жыл бұрын
Jamani mungu wangu naumia sana kwakweli kwanini hivi lakini
@Chiruka-qj3eb Жыл бұрын
Mtamuua bibi wawatu mulivyokuwa na tamaaa
@mnomahboy4465 Жыл бұрын
Sasa munampa reseni mchimbaji alafu mwenye shamba anapata nin hii nchi mbona yakisenge sana😡
@jumamiraji3081 Жыл бұрын
Duh
@adamapollo9859 Жыл бұрын
Hi ichu hatuna raisi my raisi ni ooooooooo
@missminnatz Жыл бұрын
😢yaan serikal imuondoe bila malipo jamn eb fatilien nanyi waandishi mjue viongz wanaosema hvyo akina nani washenzi sana hao haki ya mtu mnataka aondok akaish wapi basi mpen sehem ingn nyumba na sehem ya kulima ili kujikimu kimaisha. Hakuna mtu yupo juu ya sheria nchn mwetu waache kutumia ubabe .
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Waandishi wenyewe pia ni njaa
@estakapufi7582 Жыл бұрын
Madini niyakwetu wote watanzania selekali nauliza madini metokanayo mbiguni acheni maneno hayo hii nchi yakwetu wote mwenye pesa ndio mungu mtu anasikilizwa haya mambo yanakela sana hata masikini anahaki ya kusikilizwa
@janethpallangyo3855 Жыл бұрын
Mmmhhhhhh
@mwadimejuma4598 Жыл бұрын
Ndio mukaambiwa bora ya serekali ni serekali ya kiislamu sio hizi za kikafiri dhulma nyingi tu sasa huyo anaongea pumba tupu ata hana maana, hilo ni jukumu la serekali kumpa mama huyo sehemu nyengine sawia na sehemu yake kisha ndio watoe leseni kwa wachimbaji madini ktk hio sehemu
@monicagabriel4388 Жыл бұрын
Huyu mwekezaji ana kiburi sana bibi alindwe na Sheria.
@Dulayoawazi-zj8wr Жыл бұрын
Weew mjumbe msenge sna mpe shmba lako
@AgnessJohn-kn2vc Жыл бұрын
Huyo Afsa aondolewe kama kweli Kaz iendelee
@akimukayuni3221 Жыл бұрын
Hakika hiizi sheria ni kandamizi sana kama ikiwa kwa mujibu wa maelezo ya afisa madini aliyo toa ni kweli 😖😞
@naliakafatuma9870 Жыл бұрын
BABA YETU WA MBINGUNI AWE NANYI NYOTE AWATAWALE AWASAIDIE AWAPIKANIE AWASHINDIE AWAWESESHE VYEMA KATIKA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NAMWOKOZI WETU AMEEEEN BARIKIWA SANA NYOTE NAWAPENDA SHALOM SHALOM
@fortunathabarabara8471 Жыл бұрын
so sad 😞 😔
@johaneskiiza150 Жыл бұрын
Kumdhulumu mama mjane nilahana kubwa sana
@stellah3844 Жыл бұрын
Masikin bibi wa watu dah 😢😢😢😢😢
@esromkanubo815 Жыл бұрын
Mungu anawaona kwamnayo watendea wananchi
@stellamwasha1409 Жыл бұрын
Hivi jamani madini hata dini moja kwa mwenye madini we mungu
@AgnessJohn-kn2vc Жыл бұрын
Kwanini huyo mama asipewe haki yake
@babuloliondo74 Жыл бұрын
Mama nenda kwa waziri wamadini na waziri wa harizi watu wakaribu msaidiyeni mama daa ngekuwa mimi wange nitambua razima ngekura kichwa
@mkukistore2816 Жыл бұрын
Huyu yupo mwisho wa Tanzania hajui kiswahili kabsa daah
@rachellaiza7779 Жыл бұрын
Mama mhesh rais msaidi huyu mama apate shimo na yeye achimbe apate chochote
@khamisrashid9645 Жыл бұрын
Huyo mtoa reseni nimemtamani kumwona aky ili anieleweshe yan shamba lngu ila bas ndio maana watu hufa kinyama😢
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Huyo mwarabu ni jeur na wanamuonea huyo mama jmn samia msaidie mwanamke mwenzako
@نجمةموبيبي Жыл бұрын
Serekali ingeangalia sheria hizi zinazokuwepo zikaguliwe , ni kweli madini ni mali ya serekali , lakin wangetizama yanatoka kwenye shamba la mtu , anamikikishwa mtu mwingine ile hali yule mwenye shamba anabaki maskin vilevile , wangetumia ubinadamu, wangempatia shamba lingine , kisha angepayaga hata. Asilimia fulani ya kipato kinachotoka kwenye madini kama kujikim mahitaji ya kila siku ya mtu wa kawaida , hiyo ilikua to ni ridhki yake pia
@migosmigo8099 Жыл бұрын
Huwezi kubadili sheria hizi wakati una wabunge wa std7.....katiba inatakiwa itengeneze mabunge mawili.....bunge moja liwe na restrictions au vigezo vya elimu au mafanikio flani ambayo itaweza kufanya kazi full-time kuwatetea na kujenga sera bora kwa nchi!.....pamoja na kuruhisiwa kugawa kibali cha uchimbaji sehem yoyote lakin kamishina alikuwa naa discretion ya kuweka mazingira bora yatakayoondoa ubishi!
@japhetjoseph1772 Жыл бұрын
Yan hiz sheria za Tz
@EdsonNkinga-yn3ib Жыл бұрын
Sheria za nchi hii zinawalinda wenyenacho na sisi tusionacho zinatupiga bakora. Kwa mazingira haya kwanini huyu mwekezaji asipate hofu ya Mungu aone jinsi ya kumsaidia huyu bibi? Ni kweli sheria inampa haki lakini yeye kwa uwezo wake angeangalia namna ya kumsaidia huyu mjane.
@michaelbennady223 Жыл бұрын
Alisema tutamkumbuka
@Mustbenice360 Жыл бұрын
Learn the rules of the game and become a better player....Read more
@saimonwatanzaniatanzania1436 Жыл бұрын
Pole sana bibi ndio maisha
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Tapeli huyo anae chima mungu atamuona
@yasiniselemani8672 Жыл бұрын
inasikitisha Sana muwekezaji kupewa kibali Cha uchimbaji sio mbaya je haki ya mwenye ene haki yake ipo wapi 😢😢
@marrymenas Жыл бұрын
Maguful angekuweko ungepata haki yako Mama, leo hii yupo Samia anavopenda wawekezaji kuliko wananchi mmh cjui... tuendelee kumuomba Mungu
@victorjames3730 Жыл бұрын
Afisa madini sijamuelewa
@kagondanathan3661 Жыл бұрын
😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Wamulipe
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
JAMANIII ZAMBIIII KUBWAA WATUUU NI WANYAMAAA BIBI MZEEE. WANAMFUKUZAAA BILA HAYAAA DUUUU. MAGUFULIIII WEEEEEEEEE UKOOOO WAPIIIIIII MANA WEWEEEEEE
@georgekimasaofficial1629 Жыл бұрын
Mbunge wa huyu mama Yuko wapi? Amsaidie huyu Mama.
@esterjoseph5836 Жыл бұрын
Mbunge atakuwa anajua viongoz wengi watakuwa wanajua sababu huo ni mgogoro kwavile wameona hajui hata kiswahili wameamua kumnyanyasa sababu panaonekana kabisa makarasha yanafanya kazi hapohapo wanataka kumtapeli tu bibi wa watu Mungu amtetee apate haki yake
@dicksonmatulile1523 Жыл бұрын
Mmmh kwenye huu utawala mama angu sahau
@mastaplan Жыл бұрын
Bora peke yangu
@tulisamwel41 Жыл бұрын
Mungu msaidie mama huyu.Jamani toka lini mwarabu akanyanganya mali ya mwenye shamba ?
Ndio kwa maana watu wanataka Katiba wanasema reseni wanatoa popote hata Kama Kuna kanisa msikiti barabara nyumba ya mtu wabunge wanashindwa kupambania Katiba wanapambania kuuza bandari angalia Sasa sheria mbovu zinavyo fanya kazi mama kawaulize wenzako nyamongo musoma huko
@frankchalamila3410 Жыл бұрын
Yaani nimetamani huyu afisa madini nimtukane kidogo Moto wangu utulie aende akagawe shamba la baba yake au mama yake aone uchungu wake anazaa huyu hii dhambi inajiludiaga kwa watoto unakufa watoto wananyanganywa Kila kitu anaongea bila hofu hata ya mungu
@simonirafael Жыл бұрын
Jeuri hiyo ndiyoambayo itatokea bandarini sikuzausoni basi kamakweri mnaubinaadamu mngemsaidia kumjenge nyumbanzuri sehemu nyingine nakumpa mtaji utakao msaidia
@Mumewangu Жыл бұрын
Miaka 80 kiswahili hata kidogo hajui
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Waarabu waonevu sana mtu eneo lake anadhurumika jmn
@anyelwisyestephen4690 Жыл бұрын
Duuu! tumekwisha.
@erickezra Жыл бұрын
Duuu!! Hii ndio Tanzania ukikutwa na bangi shambani ni mali yako na shamba , Dhahabu ni mali ya serikari na shamba Ushauli tuhamie muhimbili 😅😅
@vibetz9991 Жыл бұрын
Apewe dhahabu zake
@ilhamabduly4620 Жыл бұрын
duuu
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Awalipe mshenzi kabisa dhulumati huyo
@monicamajebele9165 Жыл бұрын
MUNGU BABA Wa Mbinguni ashughulike naohaowatu wanafikiri hiii Tanzania wameiumba wao MUNGU BABA Wa Mbinguni atapigananao
@constantinekanyasa4074 Жыл бұрын
Unampa lessen akachimbe Mashambani kwa watu bila kupatana na wenyewe aaaaaah wizi huo
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
Na huyo wa Ardhi pia anapaswa kutumia akili
@SaleihMpawenayo Жыл бұрын
Sasa mngekuta bange?
@michaelkayoka1615 Жыл бұрын
Huyu afisa madini alizaliwa kweli au alianguka tu kutoka mbinguni mbona majibu yake hayaendani na sheria anayosema au aijui sheria vizuri ya madini ngoja tumuombee huyu afisa madini,,,,ee Mungu wa mbinguni huyu afisa madini umpatie anachostaili ili akutumikie vema Amina Amina Amina