Kweli imekaa vizuri,nawapenda wakiwa nje ya ofisini zao,mpira sio uadui big up Ali kamwe,Ahmed Ally na Hashimu Ibwe Kuna Cha kujifunza hapa
@NAFTALIMUNDANGA4 ай бұрын
Wote hao watutu ni wananchi! Ibwe na Ahmed wapo kazini tu huko ila ni wananchi damu
@erickBartolomeo4 ай бұрын
@@NAFTALIMUNDANGA mmmh acha uongo. Wewe sio chawa wao hadi uwajue kiundani hivyo
@aminatanzanya74754 ай бұрын
Nampenda Ahmed Ally ❤❤. Wote wa3 nimewakubali vijana 🎉
@Humanity212164 ай бұрын
Wallahi nimefurahi sana Allah azidi kuwapa nguvu na moyo wa aina hii katika majambo ya kheri
@RodaMwasha2 ай бұрын
Nampenda sana Ally kamwe huwa anapoint sanaa
@Samwel-y4d2 ай бұрын
Point wpi wenye akili Huna hamed ndo mtu wa maana san
@NasmaHamadi-c6k4 ай бұрын
Mashallah Allah awafungulie njian zilizo nyooka inshaallah
@MaryBenedict-y9k4 ай бұрын
Nafurahi sana nikiona wasemaji wapo pamoja.ila ahmd❤
@ChristinaLazaro-oy4kb4 ай бұрын
Jaman sisi mshabiki tuseme tu wasemaji wetu Hawa watatu semaji lamaana hapa nimmoja tu Aliy muhamedy semaji lamaana sana kuliko ate hapo ❤❤❤❤❤
@chikualiy87054 ай бұрын
Wallah nimependa nimefurahi nimechekaa natamani iwe inatokeya hv mnakutana mara kwa mara Mashaallah barka allah
@LilianBitwale4 ай бұрын
Shida sisi mashabiki ndo tunaona kama vile hawa hawapatanagi lkn sio hvo, ugomvi wa mashabk na chuki tunahs hata wasemaji wetu wako hvo lkn walaaaaaaaaa 🎉🎉
@PiusMnzajila3 ай бұрын
Chuki zinachochewa na yule zeruzeru
@Zina-m2v4 ай бұрын
Naipenda yanga lakini hapo nawapenda wote mko vzr wasemaji wetu maa shaa Allah
@gorettimtungwe90114 ай бұрын
naichukia yanga kwa moyo wote, Hawa vijana nawapenda sana kwa nidhamu
@batashqiraa99364 ай бұрын
Safi sana hii inapendeza sana, utani kama huu unapendeza kabisa
@makejamaduhu76184 ай бұрын
Ninyi watoto watundu sana😂😂😂😂😂😂
@claratango92624 ай бұрын
Ahmed ally ni mwanafunzi msumbufu darasani🤣🤣😋😋
@PauloAlfayo-qi1gn4 ай бұрын
Alli kamwe juuuuuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@zengomikomangwa92644 ай бұрын
Hongereni sana
@narutonaruto43034 ай бұрын
Nampenda ally kamwe
@DavidMoremi-w2n4 ай бұрын
Ata mm nakupend
@rickierunyota36134 ай бұрын
Naitwa Ally kamwe
@narutonaruto43034 ай бұрын
inshallh allah atukutanishe
@aminatanzanya74754 ай бұрын
Ahmed Ally nampenda sana
@RobertMhina4 ай бұрын
Udini na timu sio vizuri au mwapenda washabili wote wawe waisilam acheni kuzengua
@errydeo88654 ай бұрын
Naungana na wewe 7:57 inaonekana hizi timu zinaendeshwa KIISLAM!
@takiyumaulid55414 ай бұрын
Sio kwel iman yko ndo yakutuma hivo
@jaffaralimakame15334 ай бұрын
WEWE. ROBATI KAA NA UKAFIRI WAKO ROHO INAKUUMA.
@jaffaralimakame15334 ай бұрын
HAPO WAMEKOSEA NINI WAKATI SISI UJUMBE TUMEUELEWA KAA NA UKAFIRI WAKO.
@jaffaralimakame15334 ай бұрын
UJUMBE UNAKUUMENI UISLAMU NDIO DIRA
@mathayoMathias-k2d4 ай бұрын
Kusema kweli nawependa sana kaka zangu mkikutana hivyo munatengeneza UTATU MTAKATIFU
@erickBartolomeo4 ай бұрын
Jiunganishe na wewe utengeneze nne utakatifu
@LINNAHMICHAEL-h6h3 ай бұрын
Ahmed hajatulia 😂😂
@salumumawaya4 ай бұрын
vijana watatu ila semaji ni mmoja tu kamwe jr🤣
@mwajayhaxxan55074 ай бұрын
Kabisa sio mropokaji
@rahmapesazangu9344 ай бұрын
Semaji ni Ahmed ally
@maandaziimakavuu37904 ай бұрын
Ahmedy ally
@sahraabdallah72424 ай бұрын
Kamwe
@YusuphJilala-r4e4 ай бұрын
Komedian,Ahmed ally
@zamratchande44294 ай бұрын
Ila Ahmed Ally 😂😂😂😂😂
@lovemusicnoreen91854 ай бұрын
Ila ahmed😂😂😂
@jurererafii4 ай бұрын
Shekhe Ally apewe ulinzi bwana
@hassanyusuph36584 ай бұрын
Ahmed chizi et shitua hata moja😂😂😂😂😂
@SafiaNassor-er8ym4 ай бұрын
Wanafanana❤❤❤❤❤
@mweyoms55484 ай бұрын
😅😅😅😅😅!! Mapacha watatu ni shida tupu!! 😅😅😅😅
@Swamyhassan_sy4 ай бұрын
Nawapendaa wotee wasemji wetu❤❤❤
@lovemusicnoreen91854 ай бұрын
Comedians kbsa nyie😂😂😂😂😂😂😂
@HanaanOmary4 ай бұрын
😂😂😂ahamed ally kunakiti chako mbinguni 🎉🎉
@habilibondo55594 ай бұрын
Ila Ahmed ally 😂😂😂
@saidially58924 ай бұрын
Hawa vijana wa ovyo Nawapendaga sana😂😂😂😂
@NuryatSMussa4 ай бұрын
Mashaallah nawapenda Kwa ajili ya Allah
@JudyUrio-zy7ri4 ай бұрын
Semaji wa simba msumbufu 😂❤
@hamimlubagila98874 ай бұрын
Mko vizuri
@Fardadihd4 ай бұрын
😂😂😂😂 hawa wahuni kweli
@benjaminoleck66614 ай бұрын
Ahmed Ally! Semaji la CAF
@WivinaDaud4 ай бұрын
l 😢😢😢😢😢😮😮😅😊
@WivinaDaud4 ай бұрын
h😢🎉😮p4😅😮to 40😊
@AdatusMashalla4 ай бұрын
Hapo wapo ktk masuala ya kumtukuza Mola,sio mambo ya mpira
@ramadhanimsangi95154 ай бұрын
Hakika inapendeza sanaaaa....
@charlesdaniel88004 ай бұрын
Ahmed Aly
@TumainiMrisho4 ай бұрын
Safi sana
@HappyIceHockey-nz1fn2 ай бұрын
Mko vzur
@maandaziimakavuu37904 ай бұрын
Ahmedy Ally😂😂🤣
@majaliwahamisi88984 ай бұрын
Hahahaha vijana ogereni
@MonicaMosha-bz6bz4 ай бұрын
Aimed noma
@MenaceChilumba4 ай бұрын
Nilisikiaga mpira ni haramu kwa upande wa wenzetu ila leo mashehe wanafurahi sana
@emanuelathanas66134 ай бұрын
Nimejaribu kusona comment nimeona wa Islam tupu wali comment maana ake nn. Kuna ahmed ali, Ali kamwe, Hashim ibwe, maana ake ni vijana wa kiislam hongeren sana.
@VeronicaElias-o3x7 күн бұрын
Unaukidume Gani na una point 4 ungekuwa kidume kweli ungekuwa na point 9 kweli ww njiti
@BakariRamadhan-u4l4 ай бұрын
Mafahari wa3 wamependeza hatarii
@dafayhhaway87364 ай бұрын
Mashindano ya kidini kwa wasemaji wetu wa timu zetu sijui imekaaje
@mathahosea67834 ай бұрын
Mna vituko sànaa
@sosthenesmaemba4 ай бұрын
InshaAllh
@ljmarketlakhshov364 ай бұрын
Naona dini imeingia kwenye michezo... Kazi ya Mungu ni kubwa, sijui katika hili anampango gani ila nadhani waasisi nao wanamwanga nalo... Na binafsi, sio ukristo wala uislamu kuwa unayohaki yakujitanabaisha kuwa na ukaribu na Muumba wa mbingu na nchi kwani hamiliki chochote kati ya hivi viwili... Inshort Kaisari na Mohammad ni ccm na chadema kweny ulimwengu wa roho, afu hamna kitu zaidi ya uchawa tu
@JamilaHajji-h7m4 ай бұрын
❤
@JUMABOY-xo2df4 ай бұрын
daaa ila amedi ally daah
@nassallybakar43464 ай бұрын
Mashallah
@rahmapesazangu9344 ай бұрын
Alhamdulillah
@LameckIbrahimu4 ай бұрын
hapa mfuniko wao ni ahmed aliy tu juzijuzi tu kapewa tuzo na mh raisi mstafu kikwete
@yakoubaliy75594 ай бұрын
Ali kamwe hakusoma
@kobatvonline4 ай бұрын
Kwa ule uwongo wa Pacome anadesh huku alaf anapita kule...😢 Mpira haramu😒
@majaliwaandulile83794 ай бұрын
Adi rahaa😂
@prosecutorprince281Ай бұрын
😂😂
@RajabuHasan-w8w4 ай бұрын
Wana vituko hawa
@LameckIbrahimu4 ай бұрын
kwann wote wawe dini moja?
@Ali.salimu4 ай бұрын
manara. Angeyajua. Wapi. Hayoo.
@adrophinamwanguse15104 ай бұрын
Hamedy Alli wewe ni jembe kaka 🎉🎉🎉
@ericlowasa30974 ай бұрын
Ndo nini sasa hii kwahiyo mkishashindana hiyo quraan ndo inasaidia nini sasa hz dini nyingine bhana....
@HASSANBAKARI-q9c4 ай бұрын
Medi ali angepunguza komedi anaboa;;;anatoka kwenye uhalisia;;hongera ibwe;;;kamwe haujui msikiti
@rickierunyota36134 ай бұрын
Punguza stress maisha mafupi haya
@jumaaally-fw3cf4 ай бұрын
😂😂😂😂🤣🤣🤣
@navioma48824 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂❤❤
@ladymangala72124 ай бұрын
😂😂😂😂
@AbdillahChande-c4q4 ай бұрын
ILA ibwe azam inamyongesha
@ELIFASMADEBHO4 ай бұрын
Mbona wote waislamu why
@zengomikomangwa92644 ай бұрын
....hongereni nasiyo ongereni
@rahmakassim51354 ай бұрын
majibu unayo
@Banzok7004 ай бұрын
😂
@jumakapilima72954 ай бұрын
Mtihani sana, kuicheza shere dini ya Mungu
@hamisstimu4 ай бұрын
Mungu ana dini..??
@jumakapilima72954 ай бұрын
@@hamisstimu ndio
@jumakapilima72954 ай бұрын
@@hamisstimu "Inna Dina , in da llah, Al Islam" Hakika dini ya Haki mbele ya Mungu ni Uislam (Qur'an Al Kareem) "Waradht lakum Al Islam din" Nimekuridhieni kwenu kuwa Uislam ndio dini (Qur'an Al Kareem) Kwahiyo Mungu ana dini Kwa ushahidi mchache huo juu, lakini pia ukitaka kujua ana dini , sasa wewe usifuate dini yake, fuata dini yako uliyoanzisha wewe isiyokuwa Islam halafu utaona kitakachokupata
@PauloAlfayo-qi1gn4 ай бұрын
Kumbe timu zetu ni islamik waislamu tupu c vyema kwani tz atuna udini
@rayisadesigns26464 ай бұрын
HAPANA SIYO HIVYO TIMU HAINA DINI ILA WALIOKUWA NDANI YA TIMU KILA MMOJA NA DINI YAKE. KWENYE UONGOZI WA TIMU NA HATA WACHEZAJI WAPO WAKRISTO NA WAPO WAISLAM. KWENYE MAMBO YA KIJAMII AU YENYE KUHUSIANA NA IMANI ZAO HUWA NAO WAO WANA HAKI YA KUSHIRIKI KAMA ILIVYO KWETU MIMI NA WEWE, KWA MFANO WEWE NI MSHABIKI WA YANGA AU SIMBA HIVI HAUENDI KANISANI?! AU UNAPOSHIRIKI MAMBO YOYOTE YA KIIMANI KTK DINI YAKO JE NDO TUSEME TIMU YAKO NI YA MASHABIKI WA IMANI YAKO?! NDUGU HILO HALIPO, HAWA WAMETUMIKA KUWATANGAZIA SHINDANO HILO KWA KUPITIA UMAARUFU WAO NA KUWA NA MASHABIKI WENGI WATU WENGI WANAOWAFATILIA IWE RAHISI KUWAFIKISHIA UJUMBE ILI WATU WASIKIE NA WASHIRIKI KTK MASHINDANO HAYO. MARA NGAPI TUMEWASHUHUDIA KINA MASANJA MKANDAMIZAJI WAKIMNADAJI KRISTO NA KUIHUBIRI INJILI JE KWA WAO KUSHIRIKI KTK MAMBO YA IMANI YAO HII INA MAANA KOMEDI YOTE NI YA WAKRISTO?! NDUGU DUNIA HAIENDI HIVYO, WATU NDIYO SISI SISI LAKINI KILA JAMBO LINA SEHEMU YAKE, WAKATI WA IMANI IMANI, WAKATI WA KOMEDI KOMEDI NA WAKATI WA MPIRA MPIRA!!
@anamsaid86104 ай бұрын
Havijaalikwa vilabu vya mpira wameitwa vijana wa kiislam wanaofanya kazi katika vilabu vya mpira. Kwenye jambo kama hili la kiimani ulitaka wawepo akina nani kama sio watu wa Imani Yao husika
@ahmedimakope4 ай бұрын
Wew umetokea wap!
@abunajreenELSESANY4 ай бұрын
Sasa kama it's nature. Waislamu ndio fasaha wa lugha, na kuzungumza. Na ndio watoto wa uswahilini wanaoweza kufanya HAMASA. it's just SIMPLE
@Gyver86364 ай бұрын
Umesahau kwan wadhamini wa hizo team ni dini gani Huo udini una uleta wewe Acha makasiriko Mnapenda kuonekana mnaonewa kila sehemu
@lilamaganga26904 ай бұрын
,,😂😂😂
@IbrahimZaharan-n1r4 ай бұрын
Ahmediiii oyeee unatisha
@masoudmasoud64584 ай бұрын
Mpira wapi na wapi na DINI, Hadi aibuuuu! Mmmmh! Nani kawaza hili? Au mnahisi mashabiki si waelewa kiasi hicho!
@gorettimtungwe90114 ай бұрын
mwanzo mbaya wa kutumia dini kwenye mpira, au mpira kwenye dini!!!! uelewa mdogo wa viongozi wetu wasipoangalia wanatia mafuta jikoni. Mungu anaunga ishwa na mpira
@MajeleNtumbo-zl4bi4 ай бұрын
Hawajachukulia kidini ila wamechukulia uhalisia wao wa uhamasishaji ni mzuri ndomaana wamewaita Hawa kwasabb wanaweza kuhamasisha