Mwambieni uyo kijana hata sisi tunahitaji huduma zake ,wimbo mzuri, meseji nzuri,wimbo umeninyenyekeza sana Mbele za Mungu,narudi kwa Yesu🙏
@dodomaadventistchorusКүн бұрын
Amina. Ubarikiwe sana. Unaweza kuwasiliana naye. Mawasiliano yako kwenye Video description 🙏🙏
@abigaeljoshua1859Ай бұрын
Kumjua MUNGU n raha Sana mwenyez MUNGU apewe sifa kuwainua ninyi kufikisha ujumbe mzuri kwa watu, kupitia ninyi roho za wengi zinaongolewa Mwenye Enzi azidi kuwainua juu zaid sifa na utukufu n kwake yeye mbarikiwe saana❤❤❤❤
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Ubarikiwe pia 😇🙏💙
@amonkibona6545Ай бұрын
Sifa kwa kawaida huwa zinaharibu sana ,lakini sifa zirudishwe kwa Mungu kwa kuwatumia kufikisha ujumbe mzur kupitia wimbo wenu ,,, Kwakweli nabarikiwa sna na nyimbo za namna hii asa asa “Chagueni “
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Kwa hakika, sifa zimrudie Mungu💙🙏🙌
@joshuatedson1602Ай бұрын
Barikiweni sana. Hakika binafsi namtukuza Mungu kwa kazi yenu njema, kila wimbo wenu umekuwa ukinibariki. Karibuni Arusha
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Zidi kubarikiwa zaidi. Asante Sana kwa ukaribisho huo🙏😇💙
@jeruallpipsonkayumbaАй бұрын
Eliwangu et al ni mbaraka 👏🏿👏🏿👏🏿
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen.💙🙏😇
@mbarikiwamtwaАй бұрын
Wow🙌🏽🔥👏🏽😊❤️ Hakika Yesu aweza kuyafanya mavazi meupe kabisaa.
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen 🙌🙏💙
@EmmanueltunzoАй бұрын
NIKIWA NAWASIKILIZA MKIIMBA NINAIMBA NANYI MOYONI MWANGU SOON I WILL BE BACK NINAPENDA KAZI HII ISIRUDI NYUMA MUNGU AIBARIKI
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen.🙌😇💙
@machagejrАй бұрын
Great as always 🔥🔥🔥
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. We praise God for that brother 🙌🙏😇
@CleverMwaisumo22 күн бұрын
Amina sana tubarikiwe sote kupitia nyimbo hiii
@dodomaadventistchorus21 күн бұрын
Amina.💙🙏😇
@magoladisibone3410Ай бұрын
Kwa kweli nyimbo zenu huwa zinanibariki sana; Uimbaji wenu ni wa pekee sana; Nyimbo zenu zimetulia hata ukiwa unasikiliza unahisi uwepo wa Roho Mtakatifu na mguso wa pekee sana!! BWANA AWABARIKI SANA KWA HUDUMA HII!!
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Bwana atukuzwe kwa hilo. Zidi kubarikiwa zaidi 😇💙🙏
@furahanzigayene5489Ай бұрын
Mzigo ni WA motrooooo😜😜🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Kijana wangu. Michael anashusha bass 😂😂
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen 🙌💙😃
@JamesJeremiah-g2cАй бұрын
Wow🎉 this song is sweet lyk a cake 🎂 well done @dodoma adventist chorus for releasing the best song.
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. God bless you brother 🙏😇💙
@georgeezekiel5639Ай бұрын
Hamjawahi kuwa na kazi mbovu. Mungu awabariki DAC 🔥🔥🔥🔥
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Mungu akubariki pia 😇🙏💙
@brightonjonas69Ай бұрын
Ulikuwa na umri gani ulipogundua kuwa ukigusa comment marambili una like??🤣🤣 Any way iko Bomba sana I wish to join you 👋👋
@edinalalikaАй бұрын
Unaleta meme had youtube 😂
@brightonjonas69Ай бұрын
@@edinalalika Taratibu 😂😂😂😂
@patriciawangeciАй бұрын
Nimejua saa hii 😂😂😂
@elihudimbonea4940Ай бұрын
Ambao tumesikiliza wimbo huu Zaidi ya mara mbili tujuane
@dodomaadventistchorusАй бұрын
💙💙😇
@lucymsheshi5871Ай бұрын
Mimi mara 17 na sasaivi mara ya 18
@elihudimbonea4940Ай бұрын
mimi nadhani nimesikiliza mara 20 sasa
@thewarriorsvoicesАй бұрын
Amin. Japo dhambi ni nyekundu atasamehe. Mbarikiwe sana DAC
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Bwa awabariki pia🙏😇💙
@malimasaled9401Ай бұрын
"Wote anipao Baba Watakuja Kwangu" Such a Sermon. Heleluya.
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. 🙏💙😇
@maingujunior985Ай бұрын
Amen Amen. Always keeping them Standards. I Love your Music
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. We are so grateful, God bless you Sir 🙏😇🙌
@MikeNkimbaАй бұрын
Que Dieu soit louer et qu'Il conduise nos esprits et coeurs jusque aux cieux
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen💙🙏😇
@lucymsheshi5871Ай бұрын
Nakula music tu hapa😊😊😊
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Endelea kubarikiwa zaidi 😇💙🙏
@isaacchiragwile9377Ай бұрын
Tunamaliza mwaka tukiwa weupe📌
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina🙌🙏💙
@EdwinChirandiАй бұрын
Mbarikiwe sanaa.....Eli kazi nzr🔥🔥🔥
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen😇💙🙌
@AntonyMlekwaАй бұрын
Good work may God bless you 🎉
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. May He bless you as well 🙏😇💙
@barakajoseph7175Ай бұрын
Introo🔥🔥🔥🔥 Ujumbee🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen 🙌💙
@AnnaMromboАй бұрын
Amina sanaa namuona dada Debora akituwakilisha vyemaaa
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Tunabarikiwa Sana pia kwa huduma yake. Mbarikiwe Sana 👋💙🙏
@hamis2g629Ай бұрын
Mnanibarik Sana kwa nyimbo Sifa zote kwa Mungu
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Bwana atukuzwe Sana 🙏😇💙
@happinessmukaruka5302Ай бұрын
Amen , wimbo ni mtamu ❤❤
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Zidi kubarikiwa 💙😇🙏
@mjungujohn3944Ай бұрын
My all time fav, Mavazi Meupe 🤍🎉
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen 🙌🙏💙
@kelvinkiplimo6691Ай бұрын
Mbarikiwe sana .. @Joyce na wenzio tunawakaribisha Kenya
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Tunashukuru sana 🙏😇💙
@--------GEO_SPORT_EARTH_EAАй бұрын
Wow! The song is absolutely beautiful! The arrangement is fantastic, and the singing is so powerful. I love how the choir harmonizes and the way the Swahili language brings an added depth to the performance. Truly inspiring!"
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. To God be the Glory for the things He has done😇💙🙏
@OmaryYusuph-m9eАй бұрын
Be Blessed Dodoma Adventist Chorus
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen💙🙏😇
@momylavielАй бұрын
Mimi ni Nawapenda sanaaaa
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Tunakupenda pia. Bwana azidi kukubariki Kila siku💙🙏🙌😇
@normanleslie4248Ай бұрын
U guys mbarikiwe sana, Solo ya Obunde Master na Mtaalam Elly ziwekewe challenge...
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen 🙌🙏💙
@elifurahasingo3397Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥 Be blessed 🙏
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. God bless you too😇🙏💙
@samuellysa592718 күн бұрын
Eeeeeshiiiii😊😊😊😊😊wimbo mtamu sana wimbo unaosongeza akili zetu karibu na Mungu❤❤❤😊😊😊hongereni ndugu zanguni...
@dodomaadventistchorus17 күн бұрын
Amina💙🙏🙌
@dianapaul5524Ай бұрын
I see you my classmate debora ,,hongereni sana
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. We're blessed to serve with her💙🙏😇
@EstherMadoshiАй бұрын
Like i cant stop listening to this song @Elly🤗🤗
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. 💙😇🙌
@nivadaudi6980Ай бұрын
Mbarikiwe na Bwana
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Ubarikiwe pia 😇💙🙏
@michaeldjeskin4251Ай бұрын
mmetuweka sana ila hatimaye mmerud kufanya sabato iende vzur tena playlist ya weekend on repeat😊
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Ubarikiwe Sana kwa kuvumilia🙌💙🙏😇
@gabrielsamweljrАй бұрын
Nabarikiwa Sana Sana na mm ni mfuasi wenu wahalali kabisa Mungu wa mbinguni wainue hongereni safi Sana mdogo wangu Joyce
@dodomaadventistchorus28 күн бұрын
Amen. Bwana akubariki Sana 🙏😇💙
@Kryptonian3Ай бұрын
Sabato imeendelea kuwa njema sana ❤️ Mbarikiwe
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Happy Sabbath to you 🎉👋
@mbanikadege504Ай бұрын
Kazi nzuri 👏
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Bwana atukuzwe Sana💙🙏🙌
@sporamavanza2939Ай бұрын
You never disappoint 🔥🔥
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Glory to the Almighty 💙🙏🙌
@NaamanOgare-mm6fzАй бұрын
Napenda sana uimbaji wenu mbarikiwe
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Bwana akubariki Sana 🙏💙😇
@richiusfrancisco9244Ай бұрын
Mungu awabariki sana
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Mungu akubariki pia 🙏😇💙
@isacksimkonda3447Ай бұрын
Huu wimbo umejazwa tosha na maada ya somo la HAKI KWA IMANI ujumbe makini sana kwa kila mkristo
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Ubarikiwe Sana 😇💙🙌
@lucymsheshi5871Ай бұрын
Amina😊😊😊😊
@meshackmbenga1015Ай бұрын
Good music so far😊
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen 🙏🙌💙
@erickmalima5901Ай бұрын
Mike kaka ❤
@dodomaadventistchorusАй бұрын
👋🤝💙
@christinamdimi108Ай бұрын
Amen kazi yenu ni njema mbarikiwe sana 🙏🏾
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Bwana akubariki pia 🙏💙😇
@eliemoses138Ай бұрын
Alooo #This_is_so_Cake🙌 Sawa sawa #Eliwangu
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen💙🙏😇
@jamestossy5653Ай бұрын
Amen nyimbo zenu zinanibariki sana
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Ni Furaha kwetu kusikia unabarikiwa 🙌🙏💙
@chachasilassilas2113Ай бұрын
🔥sweet melody
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen 🙌🙏💙
@stephenchambi246Ай бұрын
Mubarikiwe sana kazi nzuri sana
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Bwana apewe sifa. Ubarikiwe pia 🙏😇💙
@LaurentLaurent-q3nАй бұрын
Barikiwa sana
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Ubarikiwe pia 😇🙏
@MelisaEvalistАй бұрын
Iko vzr sana
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Ubarikiwe na Bwana 🙌💙
@DELGOTZ-mx3cnАй бұрын
Awesome 👍 GOD BLESS YOU 🙏🙏🙏
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. God bless you too brother 🙏😇💙
@emanuelelimilickmbwambo21 күн бұрын
Hakika nimebarikiwaaah sanaaa sasa na nyie mzidi kubarikiwa zaidiiih kwasababu kiukweli wimbo tumeuelewaa vibaya mno👏👏👏👏
@dodomaadventistchorus21 күн бұрын
Amina. Mzidi kubarikiwa zaidi pia😇💙🙏
@emanuelelimilickmbwambo21 күн бұрын
Amen
@Yav-Muv24 күн бұрын
cette chanson me béni tellement que je peux l'écouter plusieurs fois dans une journée! Merci beaucoup chère chorale
@dodomaadventistchorus23 күн бұрын
Amen. We're happy that you are being blessed.💙😇🙏
@naomikisaka316Ай бұрын
Mnanibariki mnoo DAC 🎉
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Zidi kubarikiwa zaidi 😇💙🙏
@JovedCollectionsАй бұрын
Tumeitwa na tumeitika. Ahsanteni sana na mbarikiwe sanaaa kwa chakula hiki.
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Mungu akubariki Sana 🙏💙😇
@gauglfattywerema949320 күн бұрын
Mbarikiwe mno wapendwa wangu kwa wimbo mzuri,karibuni Magadirisho SDA mtubariki pia
@dodomaadventistchorus20 күн бұрын
Amina. Ubarikiwe pia mpendwa Tunashukuru sana 🙏😇💙
@johnnewland9910Ай бұрын
Uplifting souls to our almighty 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙏🏽
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Glory to Almighty 💙😇🙏
@masungamaduhu1122Ай бұрын
Amina
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina 💙🙏😇
@shulimbasa9216Ай бұрын
wimbo mtamu sana
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Ubarikiwe Sana 😇🙏💙
@lucymsheshi5871Ай бұрын
Sanaaaaa😋😋😋😋
@japhetmotaАй бұрын
Kazi nzuri, Mungu awabariki
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Bwana akubariki pia 😇🙏💙
@fadhili_10Ай бұрын
Ameeeen😍
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen 🙏💙
@IreneMichaelAbilaАй бұрын
Best song ever❤
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen 💙
@ericmanyasi7384Ай бұрын
Amen nice song
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen💙🙏🙌
@mwlkabukaАй бұрын
Aah!!! Hii itrumental ni yakimataifa
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. 🙌🙏💙
@lucymsheshi5871Ай бұрын
Huyu ni master of instrumental😊😊😊 katika kanisa la wasabato😊😊🎉
@LutarisNicomediАй бұрын
Kazi nyingine nzuri. Baba wa Mianga aendelee kuwapa vipawa vyake vyema.
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Ubarikiwe Sana 🙏💙😇
@lucymsheshi5871Ай бұрын
Aminaaaaa
@elihudimbonea4940Ай бұрын
mbarikiwe sana
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Ubarikiwe pia 😇🙏💙
@leonardMjuliy-lh4ckАй бұрын
Amen Amen Amen.....
@dodomaadventistchorusАй бұрын
AMEN 🙏🙌💙
@sabatoagerАй бұрын
bwana haidimiwe
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina.🙏😇💙
@saraphinayared-xm7mhАй бұрын
Be blessed 🤗
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen💙🙏😇
@hamenyayohanakasase5836Ай бұрын
Good the holy, Hongereni
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina🙏🙌😇
@RidiyaMaseleАй бұрын
God bless you
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. God bless you too 🙏😇💙
@kaginahillaryandglorystars4927Ай бұрын
Sauti nzuri, wimbo tamu tamu. Asante sana waimbaji wenzangu!
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Bwana akubariki Sana 🙏💙😇
@kaginahillaryandglorystars4927Ай бұрын
@dodomaadventistchorus amen 🙏🙏
@PendoMasunga-b6q29 күн бұрын
Mziki wenu mtamu sana na mtunzi wenu ametulia, anasoma na kutafakari ujumbe,... Solo ziko fire... You're blessed guys
@dodomaadventistchorus28 күн бұрын
Amen. Blessings be upon you 😇💙🙏
@abjmasproАй бұрын
Eliwangu tone yako inanibariki sana, Mungu awabariki pia sana kwa kutubariki sisi kwanza kwa wimbo wenu mzuri na wa kiinjili.
@abjmasproАй бұрын
Obunde master your great, mnaimba sana nyie watu, Mungu awape uzima wa milele
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen 🙌🙏
@Yav-MuvАй бұрын
Amina sana
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen 🙏
@mtaifahamukweli7350Ай бұрын
Aamen Amen
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina💙🙌
@dainesstungaraza6309Ай бұрын
Mbarikiwe zaidi na zaidi. Nawaombea muwe na maisha marefu mzidi kumuinua Kristo
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Tunashukuru sana dada yetu. Mungu akubariki Sana pia💙🙏😇
@lucymsheshi5871Ай бұрын
Amina aaa
@kulwaisrah-sp4jrАй бұрын
wonderful.
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen.💙🙏😇
@KevinAtandi-tb9fkАй бұрын
Amen
@dodomaadventistchorusАй бұрын
💙🙌
@LabanLameck-c1w5 күн бұрын
Very nice voice inani bariki sana inanong'oneza kwa upole❤
@dodomaadventistchorus3 күн бұрын
Amina. Zidi kubarikiwa sana😇💙🙏
@ZawadiIbrahim-b8g16 күн бұрын
Mmeimba vzr Mungu awe nanyi daima
@dodomaadventistchorus16 күн бұрын
Asante awe nawe pia 😇🙏💙
@JOHNSONMAFURUАй бұрын
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Amen
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen💙😇
@allanwisely5474Ай бұрын
Nice tune
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen😇💙
@sabainyansiri4888Ай бұрын
Nyimbo zenu zinanibariki sana. Muendeleze kipaji hicho
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina💙😇🙏
@frankgeorgemadiwaАй бұрын
Tuseme nini basi?? Mbarikiwe
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Ubarikiwe pia brother 🤝🙏💙
@kebbyBeatzАй бұрын
Amen 🙌
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen💙🙌
@williammussa5621Ай бұрын
Wimbo mzuri sana 💥💥💥
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amina. Ubarikiwe 🙏😇💙
@BraysonMalongozaАй бұрын
Amen!
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen😇🙏💙
@ThisisOumahАй бұрын
Timeless piece. Absolute bliss. Kudos to the solos
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Be blessed 🙏😇💙
@MarthaManema2 күн бұрын
Kwakweli mnaimba kwa namba ambavyo hamumnyang'anyi Mungu utukufu. Mnaacha mioyo yetu inainuluwa kwa Bwana. Mbarikiwe sanaaa
@dodomaadventistchorusКүн бұрын
Amina. Bwana atukuzwe🙏😇💙
@JaneOnyango-fb7liАй бұрын
Kuna mdada amenyoa kisabato huwa anaimba jomiresso jamani salamu zangu zimfikie nampenda Sana ❤️💯
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Zimemfikia😇🙌🙏
@msilia13729 күн бұрын
Barikiweni sana wapendwa
@dodomaadventistchorus28 күн бұрын
Amen. Barikiwa pia mpendwa😇🙏💙
@iamayoungauteurАй бұрын
amen the music is top notch! but why do you take so long to drop music, quite unfortunate we have to wait for another 5-6 months for another song
@dodomaadventistchorusАй бұрын
Amen. Be blessed. We're always doing our best considering our surrounding circumstances. Pray for us that we may be able to release regularly 😇🙏🙏