MAVAZI YA MTU ALIYEOKOKA | With Mch. Abihud Misholi | SEMINA

  Рет қаралды 72,298

Bishop Michael Kilasi

Bishop Michael Kilasi

2 ай бұрын

KWA MSAADA WA MAOMBI | MASWALI
NA USHAURI-0767 379737

Пікірлер: 145
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs Ай бұрын
Abiudi Misholi kweli ni mtumishi wa Mungu kwa mafundisho haya
@EZEKIAMGWILANGA-hj4hj
@EZEKIAMGWILANGA-hj4hj 2 ай бұрын
Mbarikiwe sana watu wa MUNGU.. Endeleeni kuusema ukweli sahihi
@EdinaWawa-mx3ed
@EdinaWawa-mx3ed 2 ай бұрын
Wakristo, walokole wa Leo,,, nondo hiyo,,,, be blessed pastor,, nashukuru MUNGU kutumia kinywa chako kutukumbusha na kutuonya, akupe miaka mingi na nguvu zaidi Tanzania ibadirike,, 😊
@dativarichard1987
@dativarichard1987 Ай бұрын
Kwa kweli injili nzuri sana na Mungu atusaidie kuyaishi haya
@esthermliga4875
@esthermliga4875 2 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu!! Ubarikiwe sana kwa kunena iliyo kweli ya Mungu!! Ni kweli kabisa kanisa la sasa ni shida hasa kwenye mavazi, watu wanafuatisha mitindo ya kidunia, kama nywele, nguo n.k, bila kujua hyo yote ni mitego ya shetani.
@michaelwanyanga
@michaelwanyanga 2 ай бұрын
Mch. Abiud Misholi, katika hili umepiga penyewe. Mungu akubariki sana na nakuombea uzidi kupata neema ya kuihubiri kweli katika kanisa la leo!!!
@prophetdanielmwebrania
@prophetdanielmwebrania 2 ай бұрын
Nakufurahia mtumishi tupo wachache MBINGUNI LAZIMA UFANIKIWE Amen
@VicentMjema
@VicentMjema 8 күн бұрын
Uko sahihi mtumishi wa mungu mungu akubariki sana mch misholi natamani nije kusali ktk kanisa lako
@roseyongolo302
@roseyongolo302 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana,,,naomba MUNGU ALIE HAI azidi kuwapa NEEMA ya kukemea haya ndani ya makanisa,,,
@GRACEOFJESUSCHANNEL357
@GRACEOFJESUSCHANNEL357 3 күн бұрын
Hallelujah hallelujah ameeen NI kweli kabisa mtumishi
@MidaMalagabu
@MidaMalagabu 8 сағат бұрын
Mungu alibariki somo mzuri
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm Ай бұрын
Kwakweli n shida saiv mavazi yamekuwa tishio kubwa mtu ukivaa kwa stara unaonekana we mshamba sana huendi na wakati Mungu gan huyu anaekwenda na wakati kama si ushetani tu kutawqla watu wa Mungu
@user-vz4xv7lg3x
@user-vz4xv7lg3x 2 ай бұрын
Mch Abiud hujawahi badilika tangu nilipokufahamu kupitia wimbo wa NIKIFIKIRI MAISHA YANGU nikiwa mdogo na baadae ukaja chuoni Tumaini Iringa...ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu...hii injili dunia inaikosa sana
@RehemaNchimbi-ki2ed
@RehemaNchimbi-ki2ed 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana bishop usiache kusema kweli
@kizandume3015
@kizandume3015 4 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@Gaen-cz4kp
@Gaen-cz4kp 2 ай бұрын
Ukweli kabisa injili tamu sana inayo nipa chakula cha roho mtakatifu.
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 15 күн бұрын
Kwa kweli,upuuzi mwingi sana umeingia ndani ya makanisa kiasi kwamba huwezi kutofautisha walio ndani na walio nje ya Kristo wote wana mitazamo ya upotofu tu! Mungu atutetee mno👏
@user-ez6cy4pj8z
@user-ez6cy4pj8z 20 күн бұрын
Huwa sina mazoeya ya kususcribe video za wachungaji kwasababu wengi wamepotea ila leo roho kanambia sikiza huyu ..ghafla alaa kumbe ni mwimbaji ninaempenda..shukuran Abiud ..Mungu akufiche usichafuke..nimesuscribe ❤❤
@boscomhenusi7844
@boscomhenusi7844 2 ай бұрын
Ubarikiwe na Yesu kristo kwa semina nzuri saaana, mavazi
@JacklineJackson-pu4bv
@JacklineJackson-pu4bv Ай бұрын
Kazia hapohapo mungu akubaliki mchungaji
@edimondhatangimana6031
@edimondhatangimana6031 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi Ubarikiwe tuonane Mbinguni.
@AgnessIbrahim-nt1kr
@AgnessIbrahim-nt1kr 2 ай бұрын
Amen amen, hayo ndiyo mafundisho ya kweli,
@user-zq9dm2kw6c
@user-zq9dm2kw6c 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi,Amen Amen Amen
@NathanielJeksta
@NathanielJeksta 2 ай бұрын
Ubalikiwe sana mch.wengi wanavaa ovyo katka kanisa
@tausimwinuka
@tausimwinuka 2 ай бұрын
Injili isiyogoshiwa..ndio hii
@emmanuelmbae
@emmanuelmbae 19 күн бұрын
Pastor be blessed you are preaching the facts
@fatumaremy
@fatumaremy 16 күн бұрын
Amena mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa mafundisho mazuri ya neno la Mungu
@wakulampekazadi2987
@wakulampekazadi2987 23 күн бұрын
Depuis lubumbashi DRC je manque des mots á vous dire car je suis croyant simple simple mais Dieu vous ce que vous lui demander amen ❤❤❤
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 Ай бұрын
Mungu atusaidie Mavazi yametupotesa sisi wanawake
@KiboJoseph-cc5eu
@KiboJoseph-cc5eu 2 ай бұрын
nilikupenda unaimba, nakupenda ukihubiri.
@FelixOchieng-ue6cn
@FelixOchieng-ue6cn Ай бұрын
Amen MTU WA mungu,fundisha wanawake wawache. Kuvaa minisketi.
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 14 күн бұрын
asante watumishi wa MUNGUbado mupo kaza tu usijali hata ubaki na wawili ubarikiwe
@obadiambilinyi27
@obadiambilinyi27 2 ай бұрын
Hongera mtumishi, kemeeni sana kuhusu mavazi wala msiogope, mavazi ya hivyo yanaaibisha sana ukristo wetu. Kemea kemea tafadhali kemea bila kuchoka
@uzimakwayesutv
@uzimakwayesutv 2 ай бұрын
Amen Baba Wasaidie
@FloranceNabwile
@FloranceNabwile Ай бұрын
Mon of God Am Blessed,Afadali Ukweli Usemwe Watu Wa Mungu Wakombolewe
@Tunumwamafupa-vr4kq
@Tunumwamafupa-vr4kq 9 күн бұрын
Amen ubarkiwe baba
@rahelmichael-br3cd
@rahelmichael-br3cd Ай бұрын
Ubarikiwe sana baba mch. Endelea kusema kweli ya MUNGU baba. BWANA YESU akutunze
@JoyceWakio-pw1hf
@JoyceWakio-pw1hf Ай бұрын
Amen Hallelujah Barikiwa sana 🙏 🙌 mtumishi wa Wa Mungu alie na sikio na asikie neno hili .
@hoseapatrick2435
@hoseapatrick2435 22 күн бұрын
Mungu huangalia mtu -ndani mpaka nje. -Kanisani mpaka nyumbani. -ukumbini mpaka sirini. Basi, watu waambiwe nini ili waelewe? WASIOPENDA VYA MUNGU, AWACHE KULIKO KUARUBISHA MAFUNDISHO YA KWELI. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@winniemugaliza6676
@winniemugaliza6676 11 күн бұрын
Asante Sana mtumishi
@tagcdcchurch6031
@tagcdcchurch6031 2 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, huu ndo ukweli hata kama wengi hawaukubali.
@Kanyawela
@Kanyawela 2 ай бұрын
Mungu akubariki Sana tunataka injili ya mitume na manabii Kama hii tusamee MUNGU wetu
@juliethmshanga
@juliethmshanga 2 ай бұрын
pastor ni kweli kabisa Mungu akubariki sana
@helenshehele1902
@helenshehele1902 Ай бұрын
May God bless you man of God...good information for all christians
@sarahmdindile4301
@sarahmdindile4301 2 ай бұрын
Amen, kweli tupu Mungu azidi kukutumia zaidi
@AidaRaphael
@AidaRaphael 9 күн бұрын
Barikiwa mtumishi
@user-cd6vh5yk1m
@user-cd6vh5yk1m 2 ай бұрын
Asante baba nimekuelewa
@luthgadeschrispin6554
@luthgadeschrispin6554 2 ай бұрын
Hongera mtumishi Mungu kwa mafundisho mazuri kanisa litapona sasa
@FurahaNtuye
@FurahaNtuye Ай бұрын
Mungu Akubariki sana mtumishi wa Mungu hubiri ukweli kuhusu mapambo kwa wanawake na suruali hadi kwa wanawake wakati imekataliwa hata kwenye biblia naomba nipate location ya kanisa hili na mm siku moja nipate kushiriki nanyi
@ernesterkasumba974
@ernesterkasumba974 2 ай бұрын
Aminaaa kweli kanisa limevamiwa ila hai wachungaji siamini kama wameitwa na Mungu sema kweli mtumishi aliye wa Mungu atapona
@user-cr9rp7fl8j
@user-cr9rp7fl8j 12 күн бұрын
Amina watumishi
@RoseMbwawa
@RoseMbwawa 27 күн бұрын
Mungu akubariki🙏🙏🙏
@jeremynjoka
@jeremynjoka Ай бұрын
God bless you man of God
@monicahnjambi3240
@monicahnjambi3240 Ай бұрын
Thanks pastor na ukweli usemwe watu wawe huru
@FemidaHebron
@FemidaHebron Ай бұрын
Amen baba angu mungu aendelee kukutumia
@thestandardoflivingchurchi213
@thestandardoflivingchurchi213 Ай бұрын
Hii ni kweli kabisa Mungu atusaidie kwenye kizazi hiki.
@rizikidada9790
@rizikidada9790 Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nimepona
@user-xs3kd6wj3u
@user-xs3kd6wj3u Ай бұрын
Be blessed so much
@rebecakikoti374
@rebecakikoti374 Ай бұрын
Bsrikiwa baba. Umenifurahisha aiseee
@tigiranlulu5065
@tigiranlulu5065 12 күн бұрын
Amina
@andrewkasongo1368
@andrewkasongo1368 2 ай бұрын
Ameen Ameen Ubarikiwe sana
@abbygaelsharon497
@abbygaelsharon497 Ай бұрын
Ubarikiwe sana
@sapispaha4430
@sapispaha4430 13 күн бұрын
Nimebarikiwa
@KibasumbaYvonne
@KibasumbaYvonne 2 ай бұрын
Umbarikiwe sanaaaa 🙌🙌🙌
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 Ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@janengaga2928
@janengaga2928 Ай бұрын
Amina baba mchungaji barikiwa sana.
@LeahMaina-lj3xk
@LeahMaina-lj3xk Ай бұрын
I love this am for it 100percent
@TupilikeMwakinyaka
@TupilikeMwakinyaka 2 ай бұрын
AMINA
@user-ux8be1ee1r
@user-ux8be1ee1r Ай бұрын
Asante mtumishi.
@MarthaMathias-ep3nt
@MarthaMathias-ep3nt 2 ай бұрын
Amina baba
@LovelyChocolateBonbons-ok2ww
@LovelyChocolateBonbons-ok2ww 2 ай бұрын
Kabisa barikiwa
@endtimes9850
@endtimes9850 2 ай бұрын
Amen
@LinetKamete
@LinetKamete 16 күн бұрын
Kwa hakika tusifiche dhambi pastors tuambie waamini ukweli kuzimu ni really wamama vaeni kieshima
@JaneLaizer-tb6zl
@JaneLaizer-tb6zl Ай бұрын
Asante mtumishi maan Hali ni mby
@AdellaSanga
@AdellaSanga 2 ай бұрын
Amen baba
@MarthaMathew-xq6hx
@MarthaMathew-xq6hx Ай бұрын
Amina mchungaji tunaomba Tena urundi bunda
@magogelameck1501
@magogelameck1501 2 ай бұрын
Ameen
@floradavid5216
@floradavid5216 Ай бұрын
Mungu tufungue macho
@user-uj5iv2oi2g
@user-uj5iv2oi2g 2 ай бұрын
Mimi n'a sema Amina,basi mungu asifiwe
@AizackMwamkinga
@AizackMwamkinga Ай бұрын
Great AMEN
@KundaelGeorge-tv8mz
@KundaelGeorge-tv8mz 2 ай бұрын
Baba ubariwe sana
@generalbeepoka15
@generalbeepoka15 Ай бұрын
Habari hii haipendwi na wengi lakini ni ukweli sana . Barikiwa mtumishi
@KundaelGeorge-tv8mz
@KundaelGeorge-tv8mz 2 ай бұрын
Very true 👍
@marcellinebahati1637
@marcellinebahati1637 2 ай бұрын
Amen 🙏
@CANAANTZ_TV
@CANAANTZ_TV Ай бұрын
Tuzidi kuombeana watumishi wa MUNGU
@StephanoBatakunda
@StephanoBatakunda Ай бұрын
Muzee ubarikuwe Na Bwana
@dorcanyarangi4814
@dorcanyarangi4814 Ай бұрын
Amen Amen Amen
@Bahati-nv8jw
@Bahati-nv8jw 3 күн бұрын
Asnte kweli kwelikabisa semayote
@user-gh3zf4ow4c
@user-gh3zf4ow4c Ай бұрын
Aminaaa
@EliaPetro-zw4pd
@EliaPetro-zw4pd Ай бұрын
Abiud BWANA akuinue
@AgnessIbrahim-nt1kr
@AgnessIbrahim-nt1kr 2 ай бұрын
Kwa kweli
@musaliaeugene7975
@musaliaeugene7975 9 күн бұрын
Ukweli mtumishi
@naimanmsawe1382
@naimanmsawe1382 Ай бұрын
asante mchungaji
@user-td8xs6uj1c
@user-td8xs6uj1c Ай бұрын
Ubalikiwe sana baba SEMA ukweli
@eddanguhula7185
@eddanguhula7185 Ай бұрын
Exactly
@user-zj6sv1id6u
@user-zj6sv1id6u 21 күн бұрын
Niguseee tenahhhh tenaaaaaaa 😂😂😂😂
@user-fy9uk4oh7x
@user-fy9uk4oh7x Ай бұрын
Vazi alilo tupa Mungu ni vazi la wokovu mavazi ni utamaduni wa mahari
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Ай бұрын
Eden, Adam na Eva walipewa wokovu kuficha uchi wao ama ngozi?
@Hebroni-nr2hp
@Hebroni-nr2hp Ай бұрын
Jesus help us
@jamessila3219
@jamessila3219 Ай бұрын
Akika nabarikiwa hapa kenya
@Martin-yz6xk
@Martin-yz6xk 16 күн бұрын
Kwa hakika mchungaji umekuza love wire.
@Martin-yz6xk
@Martin-yz6xk 16 күн бұрын
Umekuza live wire
USIYOYAJUA KUHUSU NYAKATI ZA MWISHO | With Mch.  Abihud Misholi | SEMINA |
46:33
Bishop Michael Kilasi
Рет қаралды 15 М.
Lini Utapita kwangu  -  Mch. Abiud Misholi (Official Music Video).
10:20
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 2,2 МЛН
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 114 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 11 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
MACHAWI ALIYE ACHA UCHAWI NA KUA MCHUNGAJI PART 2
32:24
LUSEKELO MWALYAJE
Рет қаралды 26 М.
MCH: NDACHA :ETI? MUHAMMED SI MTUME WA MUNGU!
19:52
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 6 М.
MCHUNGAJI HANANJA AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE
20:39
Tacmen Group
Рет қаралды 563 М.
Bwana ninajua-Nitangulie Bwana-Hakuna Mungu mwingine by pst Collins Khisa.
28:27
Pastor collins khisa
Рет қаралды 183 М.
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 180 М.
VITA VYA SHETANI KWA WANAUME | With Mch.  Abihud Misholi | SEMINA |
10:43
Bishop Michael Kilasi
Рет қаралды 5 М.
MUIGIZAJI TAUSI NA PACHA WAKE WAKIIMBA KANISANI
7:28
FRESH SPRING FELLOWSHIP
Рет қаралды 1,4 МЛН
Don’t Bully a Vampire Girl 👿
0:38
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 4,8 МЛН
Don’t Bully a Vampire Girl 👿
0:38
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 4,8 МЛН
5 маусым соңғы эфир!
2:27:27
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 544 М.
2 июля 2024 г.
0:42
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 1,4 МЛН
ЖЕСТЬ В КОНЦЕ. ПЛАКАЛ ВЕСЬ САМОЛЕТ
0:20
ДЭВИД ЛАВА
Рет қаралды 4,2 МЛН
Normal vs Psychopath vs Rich How to heal a cut on your finger ☝️❤️‍🩹
0:19