Kwenye mkataba wa DP World ndipo nilijua hatuna bunge Tuna genge la wapuuzi wezi waliovaa vizuri
@bonnymakuke315325 күн бұрын
Kwaiyo bunge ni zaifu kama kauri ya .....😅😅😅
@davidanselmo404125 күн бұрын
@@bonnymakuke3153Aisee 😂
@akilimali872626 күн бұрын
Hatua ya Kizalendo sana hongereni sana, muwe makini msichukuwe mapandikizi humo kwenye jopo la utetezi wa Mheshimiwa Mpina dhidi ya genge la majizi ya nchi yetu.
@juliusjohnii782326 күн бұрын
Nampongeza sana Mpina ni shujaa mtetezi wa wa Tanzania, Na binge la Tanzania Halifai kabisaa. Asanteni saana Mawakili kwa hatua hiii nzuri ya kumuunga mpina kututetea wa Tanzania.
@yahayaramadhani641826 күн бұрын
Ukweli Mawakili tunawashukuru sana kwahilo, kwani nchi yetu Sasa uonezi umezidi sana, Wapigaji wote wanamuAndama Mhe. Mpina.
@hildandumbalo582726 күн бұрын
Mpina ndo mbunge peke yake mwenye haki mzalendo. Hongereni sana mawakili kusimamia swala hili mkweli Tanzania hana haki
@bonifacekalima527326 күн бұрын
Hongera saana kwa kujali nakuiona sheria inakanyagwa kanyagwa na wchumia tumbo wanaipleka wapi nchi yeetu,,mungu atawasimamia
@MathewNathan-yb2bz26 күн бұрын
Mpina ni kama mimi.Namkubali sana, Mpina ni mzalendo wa kweli wa nchi hii.Taifa linahitaji watu kama Mpina.
@allyhasani375025 күн бұрын
Bac ni Kama sisi
@user-ii7yw9ng5d26 күн бұрын
Mpina tumsaidie,haki ipiganiwe,amen.❤
@charlesmtangi904626 күн бұрын
Mwenyez mungu awatangulie kwenyekila jambo lenye kheli mawakili pamoja na wanzania wote kwaakika tutashinda Amina Allah atuongoze
@reginamwendwa670925 күн бұрын
Big up Mungu awatangulie
@lukomanomaliki544226 күн бұрын
Huyo msomali mbona Spika amemtetea katika sakata la sukari? Ana maslahi gani katika hili suala?
@edsonnelson446425 күн бұрын
Sema Bashe siyo Msomali
@emmanuelmziray107325 күн бұрын
Kwani Bashe siyo msomali?? @@edsonnelson4464
@lukomanomaliki544226 күн бұрын
Ndo maana Professor Asad alisema bunge ni dhaifu.
@bonifacekalima527326 күн бұрын
Na ni dhaifu kweli ,hakukosea
@issackmwakyami274025 күн бұрын
Nidhaifu 100%
@charlesmwambinga435524 күн бұрын
Professor akisema nani wa kupimga ????!!!! Uzoefu wake unatijaaa
@hamidabarraball316226 күн бұрын
Viva mpina Tunakukubali mheshimiwa
@shijandobehe495326 күн бұрын
Naumia sana wazarendo kama hawa akina mpina kupuuzwa na kuchukulia mgonjwa wa akili wakati.ni mtu makini na mtetez wa wananchi wa Tanzania 🇹🇿
@MashakaKalamba25 күн бұрын
Well-done Moses and your colleagues - ninyi ni wazalendo - pia, mnafanya kazi ya Mungu 🙏
@GodfreyMwamaso26 күн бұрын
Ubarikiwe wakili kijana tatizo la nchi yetu vijana wengi hawaelewi mambo yanayoendelea bungeni wako busy kushabikia mambo ya mpira na kubet daily vyombo vya habari viko busy kupromote mpira wa Yanga na Simba hawajui nchi yao inaendeshwaje
@allymganga322326 күн бұрын
Watu wanaelewa kila kitu lkn wanaogopa watu wasiojulikana watawapoteza
@MirajiMbolile26 күн бұрын
Uwoga wetu sio uwoga wa hekima , mbali ni uwoga wa kijinga na upumbavu . Ni bora ufe kuliko kukaa kama kiglagosi kwenye ichi yetu . Watanzania wengi tunaishi kama wapangaji tu kwenye ichi yetu . Sasa uwoga hautatutaidia tutaendelea kuumizwa inapaswa tuamke sasa @@allymganga3223
@MkudeSimba-fg1sf25 күн бұрын
Tutasimama nanyie kwa Kila nukta haya Mambo yakome
@user-ev2xf1tv3w25 күн бұрын
Kwel bro
@user-ev2xf1tv3w25 күн бұрын
Kwel bro
@malugukushaha676426 күн бұрын
Hongera sana Mawakili na Hongera sana Mh. Mpina kwa kututetea watanzania 🙏🙏
@user-ji8bw7jx6h25 күн бұрын
Raia tuko tayari kuchangia kwa hali na mali. Always forward, barkward never.
@shukurukihwelo308425 күн бұрын
Asante sana tena sana kwakuwa wa zarendo wa nchii yetu Mpina hakuenda kusifia watu bungeni yupo kizarendo zaidi kuwa tetea watanzania
@EstherMushi-d7v26 күн бұрын
Naona Tanzania...kumeaanza kukucha,.🔥🔥Ahsante.
@hamisijuma327625 күн бұрын
Gen Z taratibu tutafika Canaan soon
@dbamwenzaki26 күн бұрын
Mawakili mkiamuamka mtatusaidia sana maana hata tunavyokamuliwa na kodi mbali mbali na shuru mbali mbali halafu watu wanaishi maisha ya anasa!!! Inauma sana.
@Mima-cl2im26 күн бұрын
Viongozi wa Tanzania wamewafanya watanzania mazuzu. Speaker alivyofanya vibaya sana. Utafikiri watanzania hawana macho wala akiri ya kufahamu yanayoendelea. Mtu anatowa taarifa ya wizi,, Speaker anamufukuza bila ya kuchambuwa ushahidi, na watu kuona. Kamuziba mudomo bila kujali, na kusema beba Mizigo yako, toka bungeni utafikiri anamufukuza mtoto. Imetuuma sana watanzania. Asante sana mawakili kuwasaidia watanzania wasiokuwa na sauti.
@ImeldakokusimaChristian25 күн бұрын
Hongereni sana mawakili kwa kuliona hili kama ingekuwa nchi nyingine wananchi wangeingia barabarani kwa kumsurpot mh mpina lakini watanzania sijui tutatoka lini kujua haki zetu
@davidanselmo404125 күн бұрын
Siku tukitoka watajuta kuna muda uvumilivu unaisha wewe tulia si wanataka shari
@user-sl1ko9me7u25 күн бұрын
NGUVU YA UMMA INAKUJA TANZANIA....ITAITWA GEN. T
@EzekielMateru26 күн бұрын
Upo sawa mheshimiwa
@adelinelyaruu303626 күн бұрын
HAKI HUINUA TAIFA
@salama111326 күн бұрын
Shukrani kwa wakenya kwakufanya na cc tunatoka usingizini😂😂😂
@anosiata824226 күн бұрын
Mpina yuko vizuri
@user-ii7yw9ng5d26 күн бұрын
Ibara ya 8 ya katiba yetu imeporwa na wachache!
@JacksonFrances26 күн бұрын
Yaani Tumefikia Hatua Watanzania Tunakubali Kuonewa na Haki Nyingi Tunanyimwa Na Hawa Wenye Mamlaka Na Tunakubali Kabisa Kukandamizwa Wakati Uwezo Wa Kupinga Na Kukemea na kukomesha Uovu Tunao Kabisà Yaani. Wananchi Tuamke Tupinge Uonèvu Huu Na Kulinda Haki Zetu Kwa Hali na Mali iwezekanavyo"
@kingmichael123426 күн бұрын
Labda ni ulimbukeni au ushamba ndio unaoleta matatizo haya katika nchi yetu
@PeterNMzee26 күн бұрын
Sawa kabisa...... Tumechoka na utawala wa kikoloni
@bonifacekalima527326 күн бұрын
Utwala uliopo unamfanya mtanzania yeyoote kuwa masikini sababu ya uoga waake ,,na ndani ya nchi yake
@Mima-cl2im26 күн бұрын
MPINA HAKUKOSEA. MPINA HANA KOSA. HII SIO KUHUSU CHAMA AMA UPINZANI. HII NI KUTAFUTA HAKI KWA WATANZANIA WOTE
@drp372126 күн бұрын
Hongereni Mawakili, na Mh Mpina yapo mambo mengine yana mashiko lakini anapuuzwa Vyombo k m Takukuru ingepaswa ifanyie kazi na kutoa taarifa kama si kweli, lakini ukimya wa wachunguzi unatia mashaka.
@user-tg7vq3ty8p26 күн бұрын
Wakili amegusia kitu muhimu sana sio tu kwenye hilo suala tu bali hata kitaifa yaani vetting (upekuzi ). Vetting kwa nafasi mbalimbali ni eneo linalohitaji kutazamwa kwa kina.
@deniccgabriel615326 күн бұрын
Hapa suala ni moja tuwekama Kenya kulinda malixetu wenyew tuwang'oe vibwengo ikulu😮😮😮
@JacksonFrances26 күн бұрын
Upo Sahihi Ndugu "
@AlphaxardMRusweka-jr1wi25 күн бұрын
@@JacksonFrancesexactly
@sylvestercameo626326 күн бұрын
"CHOMBO tulichokipa dhamana na kukasimiwa na katiba kuisimamia serikali....kutetea maslahi ya umma.... Leo kinaona kinyaa...."! Maneno haya ni mazito, yanatia simanzi! Mungu ibariki Tanzania!
@deogratiustweve261126 күн бұрын
Mungu awatangulie katikakazihiyo tunajua nikazingumu ilamungu akawalinde mtusemee tusionasauti
@malkavoice257026 күн бұрын
Hili la msingi sana,inabidi watu wanaotambua haki kama hawa binafsi naungana nao na kuwaombea wafanikiwe ktk hili,mpina anajambo kubwa sana la kuikomboa hìi nchi kama viongozi wa chadema ambao wamejitolea kwa kila hali mpaka leo wako hapa walipofikia.
@shaksbinsalim26 күн бұрын
ccm nimadhalimu tu hawatuelezi chochote
@valleluoga625824 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akujaalieni katika kutetea haki na uzalendo kwaajili ya watanzania.
@TitoRufizi-xb2ub26 күн бұрын
Bunge linaendeshwa na serikali,ASAD alisema huo ndo ukweli hakuna bunge hapo,ila nyie ccm msikalili maisha huo utawala wenu utaanguka tu siku moja ni swala la mda tu
@sebastiansalamba31326 күн бұрын
Eti amemfukuza mpina ,halafu wakaendelea kujadili matatizo yaleyale aliyozungumza mpina !! Kwa kweli jaribuni kupunguza Hali ya makundi demokrasia iwe Pana ndani ya taasisi zetu
@kingmichael123426 күн бұрын
Hawa viongozi sio kabisa. Ni mambo ya ajabu na ya hovyo, poa ya kusikitisha sana tunayo yaona katika karne hii. Watu wote wanajua haki ni nini. Uzalendo ni ni nini, lakini bado mnawafanya watu wajinga. That's absolutely crazy 😏😏 inatia hasira sana kwa kweli
@user-do2id6pp4g26 күн бұрын
Hongera sana bwana Basila kwa hiyo fikra yaani hii nchi ni kazi mipira,kubet na viongozi wetu wamezidi kwa maslahi yao krb kuna dalili nzuri hii nchi c tunaona majirani
@alexanderkapinga70025 күн бұрын
Nimekuelewa sana Kaka we will be together!!
@BonifaceEdward-pc1dd26 күн бұрын
Vzr ssns
@samwelshepa844326 күн бұрын
Haya maamuzi yanayotokea bungeni ndio picha halisi ya yale yanayofanyika katika vyombo vya haki na mahakama. Kuna Viongozi wapo kwenye office za umma kupindisha Sheria kwa faida na maslahi yao binafsi na inapotokea wao kukosolewa ili wajirekebishe, wao Kwa sababu ya madaraka na dhamana waliyo nayo wakosoaji hugeuziwa kibao kuwa wao ndio wakosaji. Mfano katika Bunge letu, Mpina alileta hoja kuwa Kuna dosari na utata katika manunuzi ya sukari mambo yakawa vice versa Mpina akaonekana mgonjwa wa akili na asiyeendana na matakwa ya wengi. Kwenye kutetea haki hasa katika chombo kikubwa kama bunge kusiwe na kuzuia pingamizi au kulazimisha wabunge wote kukubali kupitisha hoja tata.
@abassjuma624826 күн бұрын
Laminitis na were Ndugu Wakili hocho unachoongea kite kiko ndani ya MOYO WAKO.ISIWE UNAUTASH WA KIUSHABIKI
@EllenWaigama26 күн бұрын
Hatimaye👏🏾
@humphreymkony891526 күн бұрын
Alichofanyiwa Mpina ni ubaguzi wa waziwazi.
@samwelshepa844326 күн бұрын
Hili jambo la sukari lilileta mjadala mrefu bungeni wakifanya marekebisho kisheria ili kujilinda dhidi ya Mpina.
@lukomanomaliki544226 күн бұрын
Kazeni Mawakili mpaka spika na huyo waziri wa kilimo wajiuzulu.
@PhilipoMwita-b2x26 күн бұрын
Mpina oyeeeh
@Alute-son200326 күн бұрын
Tunawapongeza sana kwa hatua hii
@gabrieltheodory409026 күн бұрын
Tusaidieni kabisa, Nchi Ni ya wote
@adelinelyaruu303626 күн бұрын
NCHI ISIANGAMIE KWA KUKOSA MAARIFA
@sylvestermavanza115426 күн бұрын
Nina imani na mzalendo ndugu Luhaga Mpina. Nitasapoti shauri hili kwa moyo wangu wote. Nahitaji maelekezo tu ya namna ya kufanya hivyo.
@Lubango-gj3ud26 күн бұрын
Tatizo hata mahakama zinatumika na watawala haohao ma Ccm.hapo haki itapatikana!!?
@richardrobert220322 күн бұрын
Gen TZ, Tunakuja
@peterkiswaga249124 күн бұрын
Amina sanaaa wakili nchi imefika pabaya
@esronyuba257526 күн бұрын
Mungu awatangulie sana tunawaombea
@adelinelyaruu303626 күн бұрын
NA PIA AWALINDE SANA
@kingmichael123426 күн бұрын
Serikali yetu sio ya haki, Serikali yetu ni ya kidikteta, haipendi kuambiwa ukweli. Ni serikali ya hovyo na ya ajabu, kati ya zile. serikali za hovyo ambazo zimewahi kutokea duniani
@adelinelyaruu303626 күн бұрын
SIJUI HAWA WATU WAMEPATWA NA NINI.
@wanguwangu3424 күн бұрын
Nipongeze sana juhudi ya mawakili kufungua shauli hili, pamoja sana
@EdwardKwiyanga26 күн бұрын
Mungu wa mbinguni atutangulie huko mahakamani mpina ndo kaka wa taiga
@GODFREYNTANGANA24 күн бұрын
Mungu niwetu pamoja na mpina kwa ushindi mkubwa
@ramadhanchenga460619 күн бұрын
Mungu awabariki
@JuhudyMachete24 күн бұрын
Safi sana mawakiri wetu mungu awbariki sana kwa hatua mnayochukukua tunawapenda nchi yetu hii ccm inaiharibu sana mpaka wananchi tumechoka sana na bunge la upendeleo lianasimama kwa wala nchi tupo pamoja kwa maombi kwa mungu na kumchangia kama Kuna Cha kuchangia
@elipidhugotesha190924 күн бұрын
Ndio nchi ya kidemokrasia inavyotakiwa viva advocate mosses basila and your able colleagues
@CYPRIANMACHIBULA25 күн бұрын
TAKUKURU MNASUBILI AGIZO. HEBU TUONYESHENI HAKI ILIPO
@user-gy5en6cy8o25 күн бұрын
Nenda kwenye point bsi mbona unalalamika sana ww wakil mpina Angekua mzalendo asingekua ana Pima samaki kwa rula ana ameshapikwa😢😢
@humphreymkony891525 күн бұрын
Stupid
@SarahAlphonce-q4e24 күн бұрын
Tutafika uonevu umezidi mungu ibariki Tanganyika.
@johnbundala759625 күн бұрын
Safi sana Mungu awatangulie daima.
@mosesbarnaba785123 күн бұрын
Mungu awasimamie
@japhethbaalinda175624 күн бұрын
Mungu awabariki sana wanasheria wetu wazalendo.
@donaldmachisu362625 күн бұрын
Nawaunga mkono kwa uamuzi wenu kwa kuwa mmesoma sheria kusimamia haki kwa waonewa kwa niaba ya Mwenyezi Mungu, Mungu asimame ndani yenu na kuuondoa uvundo huo unaowatesa wananchi na kuuondoa Heshima ya Bunge tuliyoizoea kipindi cha Spika Marehemu Mzee Samweli Sitta Mungu ailaze Roho yake mahala pema Mbinguni.
@ShabaniMukose21 күн бұрын
Nitashangaa sana na nitashukuru saana kama mawakili wata simamia haki ya kisheria kwa jambo la kitaifa, Kwani Muheshimiwa marehemu magufuli na muheshimiwa Mama Samia walisha kemea mahakama kuto tendea haki wahukumiwa kwa sababu zisizo eleweka!
@MagrethKatondo-qs9oz24 күн бұрын
Mungu mwema tunakuomba uliokoe taifa letu na tamaa zisizokupendeza wewe ili tupate mwisho mwema. Amina.
@abdallahnkrumah623724 күн бұрын
Kwa uamuzi huu ni sawa kabisa HAKI haijawahi kuombwa. Inapiganiwa
@user-fj4kj8xc5x25 күн бұрын
Wanasheria Asante kwa umoja wenu katika kutetea haki bila kuogopa watanzania wengi wanaonewa kwa kukosa msaada wa kusaidiwa kisheria, swala la mpina ni la maonezi kabisa.
@dbamwenzaki26 күн бұрын
Wananchi tunashirikije?
@patrickkigola921525 күн бұрын
Asante sana ndugu!
@user-my7fj6wn7y23 күн бұрын
Uzuri bunge likifanyika tunawangalia,one day yes
@mussabendera175125 күн бұрын
Endeleeni kuwatetea mapapa wa sukari, mkishashinda muhakikishe na bei inashuka.
@senimwigulu121724 күн бұрын
Nawatakia kazi NJEMA mawakili mnaoungana na mheshimiwa mpina
@omarkapula58826 күн бұрын
Huyu ni mbaguzi watanzania ni wote haijalishi kama ni mzungu mwarabu awe yeyote yule aache ujinga wake aangalie nani aliesabanisha uhuru wa nchi hii upatikane hata muwe mawakili mia
@dennisezakiel338021 күн бұрын
dunia tunapita hayo yote haijalishi unaitwa na nani unacheo gani .Haki tutaipata Kwa Mungu pekee
@akimAkimuWA-m3t10 күн бұрын
Nyisimnajifanya mumesomasan mungu ndiokibokoyenu.
@paschalpaul386225 күн бұрын
Utasikia tanganyika law society inawatenga awa mawakili kwa maelekezo ya serkali
@rweumbizalugaimukamu490526 күн бұрын
Hongera sana ❤
@Focusm-se2sd25 күн бұрын
Sahihi kabisa mkuu
@StevenGendo-vx9jo25 күн бұрын
Nyie nimawakili wazalendo mwenyez mungu akasimame nanyi popote pale. Nchi ya kwetu lakn tumekuwa Kama wagen
@user-hb8er6dq2q25 күн бұрын
Uko sahiii
@hamidabarraball316226 күн бұрын
Angalia sana usije ukapotezwa Ukatupwa bahari I au kitavi Hao watu hawataki kukosolewa hiyo ndio democracy ya TZ
@obedidamasi353726 күн бұрын
Acha uoga wewe hata uwe mpole siku ikifika Dunia tutaiacha. Unaweza kuogopa kutekwa nyoka ikakuuma ukafa kwa machungu
@bcozhenry269826 күн бұрын
Kadri unavyoogopa ndivyo unakuwa lijinga ambalo litakufa kwa kukosa haki za msingi
@sylvestercameo626326 күн бұрын
Wewe zezeta, hufai na huna maana ya kuishi..... Usitie watu ujinga, kama huna hoja si ukae kimya!
@saidalhinai113126 күн бұрын
Mpina ameshindwa kutoa maelezo kwa tuhuma zake amelidanganya bunge
@patrickKitambo26 күн бұрын
wewe ni boya
@user-do2id6pp4g26 күн бұрын
Kuna wabunge humo bungeni kama msukuma anafanya nn huyo apewe mkuu wa wilaya au mwenyekiti wa kitongoji
@saidalhinai113126 күн бұрын
Wewe msukuma ameleta maendelea ktk jimbo lake hakuna mbunge ameweza kuleta maendeleo ktk majimboyao
@selemaniigosha26 күн бұрын
Msukuma ni mpiga filimbi wa hamelin hajuwi lolote ni mropokaji tu!!
@charlesmgory313125 күн бұрын
Binafsi nawashukur kwa hilo ila sanyingne huwa nashangaa na kujiuliza maswali yasuo na majibu kwamba enzi ya nyerere wasomi. Ktk nchi hii walikuwa wachache lakini walismama kma wasomi kwel hawakuruhusu nchi kuchezewa kma hawa wasomi wetu baadhi hawahangaiki na mambo ya nchi yetu hasa yale wanayoona yanaenda kinyume hv wamesomea nn wasomi ndo jicho la nchi jitambueni basi wasomi tupo nyuma yenu kuwaspoti mwakili mliojitoa kwa hili.
@hamisijuma327625 күн бұрын
Chawa mpiga filimbi sio yule wa JPM, huyu n Hatari sn
@mtakamatv22 күн бұрын
Mpina mzalendo,ubarikiwe,tunajua Dunia ya Leo hakuna kazi ngumu kama kusema ukweli.
@mussabendera175125 күн бұрын
Mnasimama na wauza sukari ninyi na mpina
@JosefuSwai24 күн бұрын
Kweli baba hajafanyiwa mpina tumefanyiwa watanganyika na sio znz na somali
@LusajoKabuka25 күн бұрын
Akina makofi na kusifia wamfumba kinywa mtetezi anayeona ya kesho mungu awatangulie mpate kibali kwa mungu asiye na upendeleo
@dbamwenzaki26 күн бұрын
Kuna vitu vingi vya kuweka sawa ili kurejesha mamlaka kwa wananchi.
@festokemibala583225 күн бұрын
Gen Z ya Tanzania itakuja kwa style tofauti na wenzetu na ktk hili tumwombe Mungu atusimamie na haki heshima na utu wa mtanzani vipatikane
@obedmasaki356525 күн бұрын
Kwa nini unatumia neno "kujaribu" hamuiamini mahakama; au hamna uhakika na hoja zenu kisheria?