Penye uzito na wepesi pia upo subuhnallah mungu akujalie maisha mazuli amina🙏🙏🙏
@zainabmkomwa20644 жыл бұрын
Wakwanza naombeni like zenu.Zahir Allah akujaalie umri mrefu zaid unafanya mambo makubwa Allah akufanyie wepesi.
@shanishosho9114 жыл бұрын
Aamiin
@Ryoof-qo7if4 жыл бұрын
Ni tuzo apewe yuwastaili sana 🏆🏆🏆
@khadiyabaafif69244 жыл бұрын
zanzibari.food
@ibrahimadam42724 жыл бұрын
All the way from 001county mambasani.Dada kumlipa si hoja ashamuharibiya maisha yake.mbeleni itakuja kumpa msonga Wa mawazo.
@pendondulilo31634 жыл бұрын
Mmh huyo dada mtu simuelewi daah!!
@mariamdjae98254 жыл бұрын
Subhanallah, kweli huyo dada aje ahongwe lakini mbili afute kesi, kweli hana uchungu na nduguye, inaonesha hata yy ataenda kumtesa kwanza kamuacha ana miaka miwili hajui uchungu wa nduguye kudhalilishwa hata kutiwa majiti, akuchukulie poa basi angekua mwanawe yy angekua mwanawe angechukulia poa, Zahir hii kesi ifike sehemu husika kwa wanotwte haki za wtt, huyo dada na hao serikali ya mtaa hawakumtendea haki huyo mtt. Huyo muajiri kuachiwa hivi bila hata kufunguliwa mashtaka serekali lazima imchukulie hatua nimfalifu hata wtt wake anyanganywe na asiruhusiwe kuwa na mfanya kazi maishani mwake, nafikiria dada huyo kachukua umuzi bila hata wazee kuwajulisha na kuwaelezea yalomsibu mtt wao siamini kama wangechukulia poa kama huyo dada kwa laki mbili. Na huyo anofanya traffic ya kutorosha wtt wa wt lazima serikali imfuatilie afunguliwe mashtaka.
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Tatzo familia imeshalumaliza..na rushwa imetendeka Sasa mm hapo nguvu nitatolea wapi
@fatemaligalawa41514 жыл бұрын
@@maximumtvonline SAA nimeumia saana najua ungempeleka ww kwao pangeniga saana wotewangechukuliwa hatua natamaniuyo dada an gen yang many auto mdogowake asiendenaenaana pesa zimemchanganya
@aminaamina9568 Жыл бұрын
Subhanna Allah 😭😭 unamsamehe mtu alioatarisha maisha yake mmmmh inasikitisha kweli eti laki mbili duuuh
@noxlosingida23694 жыл бұрын
Kama wenyewe wamesamehe sisi kama wajumbe tunaomba Serikali uchukue mkondo wake kuhusu huyo Boss mtu maana atawanyanyasa na wengine watakao kuja kufanya kazi bora angeadhibiwa kisheria ili iwe fundisho kwa maboss wengine.
@tynahstanley27664 жыл бұрын
Jaman serikali iko wap wajumbe atuelew mpk sheria ichukuwe mkondo wake
@manahiljamal80534 жыл бұрын
Asipelekewe hasa wafanyakax
@phinakamugisha60743 жыл бұрын
Ata mjumbe mimi nakuunga mkonoo
@shamirakasim86483 жыл бұрын
Dada hajielewi kabisa
@jaggaludegula68264 жыл бұрын
Dada MTU pungu yaani kaona laki mbili pesa nyingi tofauti na maumivu ya MDOGO wake yaani kaniuzi balaa
@lovvy8544 жыл бұрын
Hawa ndio wale madada hawajashika pesa wako manyumbani Tu hawajui thamani za pesa atamimi nimeudhika zaidi napia inaonekana huyu dadake hanaupendo na mdogowake
@AishaAisha-rh1fc4 жыл бұрын
Mbaya zaidi yy kachukua nyingi muhusika kapewa kidogo khaaaa kufa kufaana WALLAH
@munaahmed84994 жыл бұрын
Mwenzenu huyo dada umeniudh vby mno yaan hata huyo mtoto anajibu tu lkn hayo maneno nahis kafundishwa mm jmn lidada lijinga mno mdogo wako kabikiriwa na majiti lkn unayafukia hajui thamani ya bikra hawa shungi lileeeee
@evachriss59064 жыл бұрын
Dada uyu siyo mxima wallah
@user-jz8sj5us1h4 жыл бұрын
Pesa ndogo sana uyu dada ajierewi
@AishaAisha-rh1fc4 жыл бұрын
Dah hawa watoto wana hatari kubwa mno .....Ungekufa je! Ahsante sana dada mungu akupe moyo huo
@Ryoof-qo7if4 жыл бұрын
Watoto wetu wanamitihaya wallah
@AishaAisha-rh1fc4 жыл бұрын
@@Ryoof-qo7if sanaaa yaani watoroka kizembe ndio maana madanguro hayaishi kwa kweli
@yvonnemhadu36984 жыл бұрын
Najihisi kukupenda we mtangazaji kwakweli mungu akusimamie vema ktk kazi zako
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Asante kwa upendo wako..amen mungu mwema ubarikiwe sana
@sulemohd48123 жыл бұрын
Dadayakenimzuri
@sulemohd48123 жыл бұрын
Nyie watu munaomani unyamawotehuo alofanyiwa mpakamitisehemuyasiri km kaumiandani kwandani je
@carstuslucas42484 жыл бұрын
Bora mwenyez mungu akunyime vyote akupe hakili hakyanani.
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Dunia inaelekea mwisho jamani,ivi kama umemshindwa mtoto wa mtu siumrudishe kwao..
@ayeshal43954 жыл бұрын
Kbsa
@niachiemahehee25234 жыл бұрын
Dada tako lako lakushoto huna akili kabisa mwehu wewe .ningekuambia karibu ningekupa Kofi la hatari .umeona hpo umepewa hela nyingi .mpuuzi wewe mavi yko .hujawahi shika hta elf hamsini yakwako mwenyewe ndio Mana umechanganyikiwa na na hela ya kijora mpuzi .kwanza umeishia darasa langapi sijajua mavi yako
@ayeshal43954 жыл бұрын
@@niachiemahehee2523 sn aki naukiangalia mtu hujui alvyo umia ela shetani mshenzi kuma vuzi unathamin ela kuliko dadko mburu kenge jifunze kuongea stupid
@nadineshimirimana74834 жыл бұрын
huyu dada mjinga kweli hovyo kanibowa 😕
@eshialabonita77364 жыл бұрын
Yaani hunishindi mie kwakweli
@hamidarajab34303 жыл бұрын
Yaan km nimtie makofi
@hijjahbintmardhya66134 жыл бұрын
Asalaam aleykum warhmatullah wabarakatuh... Natumai uko mzima kabisa! kwa Kweli Zahir babaa. hawajamtendea haki kabisa huyo mtoto Maana mtoto ajapata vipimo Bali wameangalia tu nakutathin kwa maelezo nakumpa dawa za maumivu bila vipimo je kama huyo mtoto kaathirika ndani kwa ndani itakuaje na hapo wamemaliza kesi kutokana na ufinyu wa kifkra wa dada hajui kujieleza sio kosa lake alikua anaitaji mwenye uwezo wa fikra zaid kumsaidia huyo Dada but yashakuwa ila kwa ushauri wangu ungewezekana huyo Dada angeojiwa na atiwe adabu ili iwe funzo hata kwa wengine kwa Kweli kuna watu ni roho mbaya sana hata shetan anawaogopa wanatumia pesa zao kunyanyasa walio chini yao 😭 ila Mwenyezi Mungu atamlipia yeye mwenyewe Hatomwacha atese mwengine Tena
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Kweli hakuna haki yoyote Ile iliyotendwa
@paulinacherement25344 жыл бұрын
Kweli
@zawadijumaa18673 жыл бұрын
Dah kaka zahir mungu akulinde sana
@zinjbaroman48314 жыл бұрын
Masha Allah kama pacha mungu awa weke dada pole na mitiani
@salmamohammed56234 жыл бұрын
Duuh huyu dada kweli kakaa Zanzibar. Sie tuna moyo wa huruma tu kwa kila kitu. Mtu wa bara hapo asingekubali na hiyo 245,000. Allah atawafanyia wepesi na atawapa zaidi.
@lipymuscat47794 жыл бұрын
ameen..ukimsamehe mtu duniani Allah atakusamehe akhera..
@dottnatt71104 жыл бұрын
Yukowapi huyo muaji wallah Ety wapokea lak 2 mimi ningempereka jela na fidia juu
@zuwenajuma29274 жыл бұрын
Zahir ningekuwa karibu ningemtia vibao huyo Dada
@suhysulym77104 жыл бұрын
Tena mm ningempiga sanaa Yan mtu apigwe adhalilishe hiyo halafu kirahisi tu anasamehe na malipo madogo hayo haki mbingu huyu dada haendi
@tynahstanley27664 жыл бұрын
Yan nais ww ungemchezea iyo miti ya mbelen ningemtia uyo dada mpumbav wa mwisho
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Kweli kabisa..anakera
@mohdbest94884 жыл бұрын
@@maximumtvonline kwa nini usingekaa nae pembeni ukamshauri arudishe hiyo pesa sheria ichukue mkondo wake kaka Mjinga sana huyu dada halafu bado anasema anataka asaidiwe dah niimeumia kias natamani ningekuwa karibu nae nimshtue hata kibao tu
@aminamohammed22993 жыл бұрын
Anakera Sana Mimi naona huyo dada mtu na huyo muhalifu wote wawekwa ndani wafunge
@fatmakigula86344 жыл бұрын
Dhahir cc hatujakubali kes iendelee
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Wenye kesi wameifunga ndo tatzo..unaweza fungua na mtoto hayupo
@zainaramadhan77693 жыл бұрын
zahir asante sana kwa muendelezo
@zainaramadhan77693 жыл бұрын
Duh hela gn iyo na kipigo juu mm nilijuwa milion naaaaa
@oliverkyando98974 жыл бұрын
We dada hiyo pesa na utu sio, haviendani mbona mmechukulia poa sana😏😏😏
@mrsliverpool42354 жыл бұрын
Dah musingekubali kupokea hiyo pesa, mungepeleka kesi mbele, huyo mtt nae anamsamehee vipi. Ahh munaudhi. Hapo mungelipwa million 5-10 huko
@myunaniniahmad64634 жыл бұрын
Dada mtu hazimtoshi hata robo.
@salamaali63183 жыл бұрын
Wapumbavu Sana sana
@johakheri96784 жыл бұрын
Jaman hapana huyu dada hajielewi hata kidogo
@evachriss59064 жыл бұрын
Kabisa uyu Dada cyo mxima wallah
@johakheri96784 жыл бұрын
Kabisaaa
@africandarling69254 жыл бұрын
Yani sema wewe maana bora Hata angempeleka mabusu uyo bosi na kuacha kuchukua hiyo pesa
@zubedanyamsha19714 жыл бұрын
Mi nmewatch saiv ,uyu mdada n taira + punguan hana uchungu kbsaa na ndugu yakeee ,iv angemkutaa marehemu jee
@johakheri96784 жыл бұрын
@@zubedanyamsha1971 acha tu
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Kweli pesa mbaya,pesa kidogo hiyo inafanya unasahau suluba aliyopitia ndugu yako?hapana hiyo kesi haitakiwi kuisha kienyeji ivo..uyo ni mfanyakazi mmoja,waliopita je?watakaokuja?
@khadijaangore44084 жыл бұрын
Nashangaaa
@lovvy8544 жыл бұрын
Eti laki Mbili wamewadharau Sana alifa kulipa mshahara wa kazi aliofanya kando na pesa yengine kumfariji huyu msichana aliye pitaya mateso ila namlaumu Sana dadake
@mariamfritsi97614 жыл бұрын
Hata mimi nimeshangaa kwa kweli,kwa mtindo huu ukatili hauwezi kuisha,hiyu dada sio mzima.
@suhysulym77104 жыл бұрын
Yan haitakiwi kabisa kuisha kihvyo
@naomymzumilo97834 жыл бұрын
Dada huna akili mdogo wako angeuwawa shule nxuri alikochokonolewa akaoza fara we we
@madamloveness72744 жыл бұрын
Zahir God bless you more.
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Amen
@lipymuscat47794 жыл бұрын
mungu atalipa..sisi wazanzibar Allah tumemuweka mbele..
@neemaabdallah35674 жыл бұрын
Ni Kweli kabisa
@hjhj62304 жыл бұрын
Shukrani sana kk Zahri..ila uyo dd wa bint kazingua ni pesa gani sasa iyo ya kumfanya yy kufuta kesi..
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Daah we acha tu
@aishachambo32934 жыл бұрын
Uyo dada mshenzi sana angeingizwa yy miti mbeleni angejisikiaje sura kama kikaango😏
@fatemaligalawa41514 жыл бұрын
Yani hatamm kaniudhi saana yani uyo mama angetoa milioni mbili kweupe
@@fatemaligalawa4151 milioni2 pia kidogo kuanzia 5 huko
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Mtangazaji nimekupenda bure,umeuuliza huyu dada haswa,sababu mimi naona kama hajielewi.. Na kama ulivyosema iyo ni pesa ndogo sana,kwanini wewe mwandishi hukuhakikisha unafuatilia hii kesi wakati inasusuhishwa?kutakuwa na jambo hapo,sio bure...huko serikalini huko kuna mambo chini.ya kapeti
@lovvy8544 жыл бұрын
Ukweli kabisa Zahir ungelifuatilia hadi huko walipoongea hapo kuna njama ya ushenzi kupewa laki 2 na mateso yote hayo jee anguuuwa ama ampe jiraha la maisha useless Sister Hanamaana huyu dadake
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Asante kwa upendo wako
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Nimeenda baada ya kupata taarifa kuwa huyo dada anakuja dar nikijua akifika moja kwa moja watanipigia Mimi ili ikiwezekana tupate kushsurisna lakin Cha ajabu amefika dar wamekutana na mtuhumiwa..kadanganywa Sana na Sana na mwisho napigiwa Mimi kukutana nao ndo WALIKUWA wanaenda Zanzibar sa hapo nitafanya nn..ikabid nifanye kipindi BARABARANI hapo dar live mbagala Kisha nikakiweka hapa
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
@@maximumtvonline aaaah jamani,yaaani dunia hii. Hawajafanya fair kabisa,hata mtoto unaona kuna vitu hajamwambia,usikute aliona tu hata haina haja sababu dada yake labda hata hakuongea nae,alianza kuongea na hao watuhumiwa na kuja huku kumshawishi tu mtoto. astaghfirullah Dah! nimeskitika sana mwandishi,basi tena inna lillah Lipo nje ya uwezo wenu tena,kama wao wamesema hamna kesi tena basi nyinyi hamuwezi tena kuendelea nalo. Mungu aendelee kuwatia nguvu na moyo kutatua uonevu ,manyanyaso na mikimiki yote iliyoko ndani ya uwezo wenu. Mnafanya kazi nzuri sana Maxmum Tv Online👏👏👏👏👏👏👏
@mwanashaabani6134 жыл бұрын
Mm kama mama nimeumia saaana kuona hii kesi imeishia hivi Huyu mwenyekiti hakupaza sauti juu ya udhalilishaji wa watoto sjui km hajahongwa..MUHESHIMIWAJOHN POMBE MAGUFULI tunaomba utusaidie juu ya hili jambo mm nimechukia nimechukia nimechukia haki haijatendeka na nimeumia kama mama.shenz type wee mama
@princessbatul74494 жыл бұрын
Sijawai ona dada ambae hna uchungu na mdogo wake😑
@hajirarashid75204 жыл бұрын
Namtamani huyo Dada chuzi
@jovanafidelis28023 жыл бұрын
Hana uchungu hata robo ,Tena sijui kaona sifa tu kuongea na mic.ila sio kosa lake,nahisi shule haipo.
@aishamsangi9834 жыл бұрын
Yaani huyu Dada angekuwa ndugu yangu ningemuweka ndani yeye na huyo mtuhumiwa kwanza ili akili imkae sawa! Laki mbili na 45 unafuta kesi? Maa kweli akili ni nywele 😭😭😭😭
@africandarling69254 жыл бұрын
Aisha ndio maana kunausemi bora ukose mali hupate hakili ndio huyo mwezetu kaona pesa bora kuliko Utu wa ndugu yake Hakili yangu mie angelala mabusu bosi wiki shilingi yake sitaki
@mwanaidichambo59834 жыл бұрын
Huyo dada jamani hivi hizo hela alizopewa anaona bora kuliko kitendo alichofanyiwa mdogo wake ningekua mimi huyo muajiri ningefika nae mbali aisee huyo dada ametushangaza wengi
@user-rd7jt1vi5x3 жыл бұрын
Mwendazimu wa wazimu huyo dada nae tena mpuuzi sana hana huruma na mdogo wake
@halimaswaheli14954 жыл бұрын
Kwanza pole mtangazaj mana uyo Dada sijui anadaiwa vikoba ndug yako kapotea miez mitatu unashukul mungu mh ay
@mamoulovecherry51214 жыл бұрын
Subhannallah yn uyu dd mjinga wakweli kbs
@djamilathiam46634 жыл бұрын
Uyo dada ni mujinga kabisa laki mbili kweli apana wangemupa ata million 10 wallah mujinga na ujinga wake😢😢😢
@dotosalim50904 жыл бұрын
Atamm na ngaatuu
@dotosalim50904 жыл бұрын
Kapagawa na laki mbili duuuu pesa ya sigaratu
@heneryofficial6384 жыл бұрын
Amnaa no mambo ya kawaidaatu elaa sio kituu boraa uhai mtoto kapatikana
@mmmmhmakaveli35032 жыл бұрын
Kaka upo vizur nimekupend buleeeee
@sweetaromakitchen81943 жыл бұрын
Aisee angkuwa mdg wangu hata million sichukui namuweka ndan kbs upuuz gan yn laki mbl wkt ht mshahara wangu wa mwez n mara tatu yake dada mjinga sana
@zuwenajuma29274 жыл бұрын
We Dada umzm kweli umefuta kesi hujui hiyo mijit aliyochomwachomwa bdy ikiwa shida utamlilia nani,umeniuz kwakweli ngeu hizo hajapona unasamehe kirahis kweli
@lovvy8544 жыл бұрын
Inaudhi Sana laki Mbili wanafananisha na maisha ya mtu kwasabu angemuuwa msichana wawatu ingekuaje huyu dadake Hana thamani mshenzi hajielewi duhhh
@leylahleylah45994 жыл бұрын
Yaani nimestàajabu...kawavunja moyo majirani wote waliojitokeza kumsaidia huyu mtoto...Majirani walionyesha uchungu kuliko hata huyu ndugu yake...laki 2...pesa sio kila kitu huyo mtoto aweza pata tatizo mda wowote afu hata huko chini hamkumfanyia uchunguzi itakuwaje ukifika zanzibar naukamkuta mdogo wako kaumizwa sana na majiti unadhani hiyo laki 2 ni nyingi? Isee bora mungu akunyime mali akupe akili...Dada umetuvunja moyo sana loooh...kama mambo yalivyotoka hadahani ungemtafuta mwandishi huyuhuyu mambo yaishie hadharani na majirani nao waridhike yaani mmenda kumaliza kimyakimya astaqafurullah.
@mariamfaki11664 жыл бұрын
Mungu atawalipia inshallah haina haja mungu atamuhukum huyo mdada
@dafrozasangi30384 жыл бұрын
Huyo Dada mtu kwakweli ni mtambo saana yani mtoto kafanyiwa unyma kiasi hicho mbaka mtoto kuingiziwa mijiti sehem za sili alfu yeye anasema eti kamfanyia ubinadam ubinadam upi. Kwa mfano nichenga sana
@sitiabubakar28924 жыл бұрын
Muko careless mtoto mdogo huyo alitoroka hata report polisi musitoe hamujali Kabisa,so sad
@mariamfaki11664 жыл бұрын
Wewe azimio mungu akulaani
@dianahussein89344 жыл бұрын
Mwenyeki mungu anasema km ilotukio lingekua kwamanao uliemzaa
@dianahussein89344 жыл бұрын
Mungu anawaonaaaaa
@carolinetalam58324 жыл бұрын
That's child trafficking and child abuse
@Queen-be1uf4 жыл бұрын
Hamna adabu sana nyinyi wazazi. Yaani kambikiri kwa miti halafu kamlipa laki moja umefuta kesi. Sheria ichukue mkondo wake
@mariamramadhani80124 жыл бұрын
Dada punguani tena linachekelea, we mwenyekiti cjui nani nae hamnazo
@neemasabure90614 жыл бұрын
Aisee kwl dunia imeishaa kabisaa kirahisii hivyoo tu kesii imeishaa ama kwl unyama autaishaa kabisaa
@teresiahaule23834 жыл бұрын
Wewe dadake fala sana tena jinga kubwa
@katibatanzania30894 жыл бұрын
Uyu dada kaniuzi kweli kaka zahri yani sijui ajasoma uyu aliye fanya ikikitendo alikuwa afungwe ndiyo ingekuwa dawa pumbaaavuuuuu uyu dada wa binti
@zahraalhabsi79314 жыл бұрын
Zahir kazi unayo,pasua kichwa
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Umeona eeh..ndomana nimewapotezea tu
@gracejoseph33363 жыл бұрын
Wew dada kweli mjnga ungeoewa hata milion
@muheza194 жыл бұрын
Uonevu mkubwa sana. Hata mwenye kiti amekubali hayo makubaliano 😳😳😳😳
@marthasumaye60174 жыл бұрын
Wewe mama utalipia kwa hayo ulomfanyia huyo binti acha kuwaonea watt wakazi kwa kuzizarau familia zao duni,Mungu atakupa unachostahili.
@johntay88134 жыл бұрын
Ukweli kaka yangu mtangazaji Allah akupe umri mrefu kwaufatiliaji wako uyo dada kaniudhi ule boss lazma angekanywa asirudi uyama uyo kwa yoyote atae muajiri
@teresiapamfili2813 жыл бұрын
Huyo dada kakosea, huyo mama ni heri fisi, anamfanyia ubaya Kama huo, anastahili onyo kali. Msamaha baada ya onyo
@user-jz8sj5us1h4 жыл бұрын
Wamefanana masha allah
@oliverkambanga50853 жыл бұрын
Huyo dada kaona laki mbili pesa kuliko mateso na kutokulipwa mdogo wake mshahara miezi 3, au hiyo ni faini tu?.
Laki 2 sio hela kwa ukatili huo ingefaa hata niliona moja napo kwa huruma sana
@goodgood93704 жыл бұрын
Huyo tajiri wa binti mungu atamlipa double price
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Tajiri wapi Hana lolote
@goodgood93704 жыл бұрын
@@maximumtvonline amemtendea mtoto wa wenyewe unyama m mbaya sana ..ila ajue na Yeye amezaa
@sakinaabdallah77133 жыл бұрын
Vile mjinga tuu mtoto mdogo lakini serikali imchukulie hatua kwani hâta huyu dada nae hayuko sawa
@omanoman20446 ай бұрын
Ingekuw ni ndug yangu mbon tungefikishan mbali tajir wakituy gan
@rukiyaa53073 жыл бұрын
Wallah huyo dada punguwani nduguyo kaumizwa hivyo unadanganywa na shilingi hizo ningekuwa mie huyo nahakikisha ananyea debe
@sylviaqatarqatar83614 жыл бұрын
Hili jidada fisadi tuu pesa ndogo wamruka mdogo wako..na shukuru kwa ukurutu wangu ndugu Zangu hawajai ni wacha.
@suzanechristopher46314 жыл бұрын
We Dada kichaa dogo kaumia wew unafurahia laki 2
@hadiyaalamri95414 жыл бұрын
Uhitaji mbaya jaman laki mbili kaiyona nyingi
@daishajumanne59904 жыл бұрын
Kabisa zahiri umemuumbua sana uyo dada yake tahira ume mkatiza kauli eti usaidiwe vp pesa kapewa na kalizika😁
@ramlamburi97434 жыл бұрын
😂😂😂
@lovvy8544 жыл бұрын
Hanaata aibu unaridhikaje na pesa ndogo kwaajili ya maisha ya mdogoako inaonekana Hana upendo kabisa na huyo mdogoake maajabu haya
@daishajumanne59904 жыл бұрын
@@lovvy854 😃😃😃 na maajabu kweli wallah Abdul
@daishajumanne59904 жыл бұрын
Tamaa tu
@mamymamiza29243 жыл бұрын
Huyu dada ni mjinga sanaa laki mbili kwa kipigo chote hicho pumbavu
@evachriss59064 жыл бұрын
Ivi uyu Dada msengeee eeeh
@umranim58544 жыл бұрын
Umekosea sana bora ungeacha watu wakasaidia angepata pesa nzuri na boss angeshishwa adabu asingerudia tena udhalilishaji
@mamounmamoun78773 жыл бұрын
Kaka Zahir haki za kijinsi hazikuchuliwa ila kwa kuwa dada kaamua kumsamehe bc tuseme Inshaallah Mungu ndie mlipaji ila mabos waache kutunyanyasa na kututesea watoto wetu kupata kwao isiwe pigo kwa wengine
@katibatanzania30894 жыл бұрын
Mmmmmm mbona mumemchekeya jamani kwa nn asifungwe uyo mshenzi atarudiya tena na ela ndogo sana uyo atamfanyia mtu mwengine
@lovvy8544 жыл бұрын
Huyu dadaake ni mkunbavu Hana haya ata laki 2 ela ndogo sana angetakiwa ampe ata Lakii Tano ama nne ila huyu dadaake mkunbavu wa mwisho
@ayeshal43954 жыл бұрын
Afungwe ama auliwe hyo hlo j ama Halina akili
@hawasaid25664 жыл бұрын
Kabadilisha kiswahili kama mpemba mpumbavu huyu Dada jitu LA iringa shamba hili
Zahir huyo dd katuudhi sn wadau nadhani hajielewi kwahio kama itawezekana kesi ifunguliwe tena hatujaridhika nahilo
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Ndo bc Tena mm Sina mamlaka ya kufungua kesi
@maryamabdul13354 жыл бұрын
Huy Dada akili hana kathamini kitu kuliko utu majuto nimjukuu atajuta badae
@mimiwewe66174 жыл бұрын
Kweli kabisa na anaweza pata madhara baadae, sijui watamlilia nani?
@shakilamasoud29834 жыл бұрын
Huyo dads kaona kufatilia kesi, akiwa Zanz itamgharimu, ndiyo maana wameifuta hiyo kesi kimaandazi andazi.
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Hahaha kimaandazi andazi au sio
@shakilamasoud29834 жыл бұрын
Huyo Dada bwege sana
@esterester56124 жыл бұрын
Dada jinga kweli
@farhadhassansaid12974 жыл бұрын
Yani hiyo hela waliopewa hata sio kulipwa ama kusaidika, yani hapo angelikuwa Kenya yetu huyo boss angelikuwa ashapewa kichapo na raia na pia kumwangalia mtoto hadi apoe na hali yake iwe sawa
@cynthiawanjiru5593 жыл бұрын
Kweli kabisa Kenya, hangeachwa hivo
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Yaaani laki1 na10 ni kitu gani?umjeruhi mtoto wa watu kiasi hicho,hadi mijiti umuingizie chini halafu usameheww na wewe ukabali kabisa,uyo mtu anastahili kuwa jela..huyu aliyetumwa hafai kabisa,
@lovvy8544 жыл бұрын
Mzenbee na hajieliwi kabisa ata huko alipo olewa anaonekana kutumiwa kama tambara la kupangusa chooni Hana thamani ya kama mke ovyoo hajijuihajitambui
@liliancrochet31294 жыл бұрын
Dada fala uyu laki mbili kitu gani angetoa milioni owe fundisho
@angelpritchard93993 жыл бұрын
Dah zair pole sana jamn najua utakuwa ulichukia sana ila kiukweli huyo dada siyo mtu mzur hata hiyo hela ata mnyang, an, gany wakitoka hapo
@ashaa48964 жыл бұрын
Dah uyu dada jaman mh cjamuelewa kabsa eti tumeyamaliza mmeyamaliza kipumbavu pole dada ujielewi ata kidogo
@glorymboya61724 жыл бұрын
Kanikera mnoooo matako yake
@asahalashe53984 жыл бұрын
Uyu Dada na uyo mama wacukuriwe waperekwe makamani kwasababu ote akirizaho zikosawa ote niwajinga
@roseuwambe80894 жыл бұрын
😪😪😪😭😭😭kuingizwa mti sehemu zasili muuaji huyo mama
@lailahasan22004 жыл бұрын
Hy dd ni mpuuzi sana,ss hl gn hiyo. Hapo hapo eti pa1 na mshahara i duh 🤭 🤭 🤭
@kibongobongo46084 жыл бұрын
Mateso yote hayo alfu mnamuachia huyo mama 😢😢😢pesa yenyewe ni ndogo kulingana na tukio. Zahir hebu mtafute huyo mama umhoji ajieleze kwanini anawatendea vibaya wafanya kazi
@dianahussein89344 жыл бұрын
Ivi we unaakili au aunauchungu na mdg ako u atamaaa naroho mbaya
@Ryoof-qo7if4 жыл бұрын
Mungu atamlipa nshallah
@marthasumaye60174 жыл бұрын
Ukute ni mke wa kigogoo ndo maana ananynyasa watu ila Mungu atampiga na uzao wake
@lovvy8544 жыл бұрын
@@marthasumaye6017 ameena
@lovvy8544 жыл бұрын
Hapo kuna njama ya kishenzii Sana inaonekana wametishiwa Mahali hakuna kuridhika yoyote iliofanyika hapo ati laki Mbili Tu na haliiniiile he angeuuwa
@tatuta65293 жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu yote mitihani ya dunia
@katibatanzania30894 жыл бұрын
Kaka zahri ongera sana kwa kufwatiliya mambo yako unayo yasimamiya inshaallwaa mungu atazidi kukuongoza
@ashamohamed81973 жыл бұрын
Kenge huy dada nataman kumlukia huy dada shenz kbs
@fatmamachelenga18874 жыл бұрын
Huyuuu dada mjingaa sanaa
@aishachambo32934 жыл бұрын
Uyo dada wa kuchapwa viboko shenzi sana
@salmadalaquimane23644 жыл бұрын
Huyu dda fala sana wallah ume ona pesa ndio kila k2 ilibidi atiwe adabu ili iwe fundisho
@maryambarayan75994 жыл бұрын
Mr Zahir hatuna chakukupa ila twakuombea kwa Allah akuzidishie moyo huohuo
@maximumtvonline4 жыл бұрын
Amen Maryam.. ubarikiwe sana
@muhsiniissa81514 жыл бұрын
Uyu dadaake bwege kweli,,katoka zenji na njaa zake,kashatulizwa anamtetea mharifu
@rehemafadhili26002 жыл бұрын
Uyo azimio la Arusha mungu anamuona kwakweli pole bint pole Sana 😢😢😢
@OmanOman-uw1nn4 жыл бұрын
Huyo mtoto hivyo anavyo muangalia dada ake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nasrakapama36704 жыл бұрын
Sijuw kwanni😂😂😂😂😂😂
@ayeshal43954 жыл бұрын
Hahaha
@tatuta65293 жыл бұрын
Sema dada umekubali kupokea pesa ndogo sana
@mischelisgaard36733 жыл бұрын
Looh Dada umerahiisha sana mambo huyo mtoto ameshaarika kimwili na akili maisha yake hayatakuwa ya kawaida tena Lazima huyo mama afunguliwe kesi maana anaonekana ni mnyanyasaji mkubwa ama mgojwa wa akili Azimio Pia awajibike maana ndio mshawishi mkubwa ADHABu gani ya kumtia mtoto vijiti ukeni Nawe unaona ni sawa tu. Looh hebu fikiria tena
@user-xj7ek3bo4wАй бұрын
Huyu dada mjinga sana kakubali kwa pesa za soda hana huruma
@user-cr9mf7dg4k4 жыл бұрын
Allah ndie hakimu wa haki watu wengine hawapendi kesi musimlaumu huyu dada kwa alichokifanya
@sissykhadija53433 жыл бұрын
Hata kama uyo dada loo laki2 ndo kaona pesa mmxiu amenikera ata vidéo siimalizii tena uyo dada hana lolote hata ongea yake anaonekana hana mapenzi na mdogo wake anaongea kawaida saana mmfiuuu😡😠🤬😈
@naimaseleman68684 жыл бұрын
HUYO DADA KAHONGWA
@faizafaiza98223 жыл бұрын
Allah amuhifaz uyo mtoto. Ampe furaha baada ya hapo.
@edinaelikana10573 жыл бұрын
Wewe dada ni mpumbafu sana,hata hufai kukaa na mdogo wako.unapenda pesa kuliko utu,harafu unacheka .