OMO ACHAMBUA CCM WANAVYOIUZA ZANZIBAR KWA TANGANYIKA, HADI MSITU WA JOZANI KIMATAIFA NI MALI YA BARA

  Рет қаралды 26,561

Weyani Tv

Weyani Tv

Жыл бұрын

Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar Mhe Othman Masoud Othman leo akizungumza na wananchi wa Chwaka.

Пікірлер: 82
@user-hu4sd7bg8n
@user-hu4sd7bg8n Ай бұрын
Tunakupenda sana kiongozi wetu muadilifu. Tunakukubali sana Allah atuvushe salama kwa mazalimu wanao tukalia kwa mabavu bila hiari yetu
@user-hu4sd7bg8n
@user-hu4sd7bg8n Ай бұрын
Allah jalia huyo ndio awe raisi wetu wazanzibari. Asimame na nchi yake kama hivyo. Tunakupenda sana makamo wetu ❤❤❤❤❤
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Жыл бұрын
From USA 🇺🇸
@sadih5333
@sadih5333 Жыл бұрын
From Canada 🇨🇦
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Жыл бұрын
@@sadih5333 neworleans Louisiana
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 Жыл бұрын
Hongera sana kiongoz.. inshallah Allah atatuvusha kwenye nakama hii tuliofanyiwa sis Wazanzibar..
@kassimjigge4727
@kassimjigge4727 Жыл бұрын
Jamani watu walioelimika kama huyu kuwahadaa maskini hawa kisa tu hawajui kitu! Karume na baba zenu na mababu zenu walikuwa wajinga kuiingiza Zanzibar ktk muungano! Wafuufueni basis muwahoji badala ya Tanganyika Tanganyika muda wrote!
@salyali7807
@salyali7807 Жыл бұрын
@@kassimjigge4727 na mimi nauliza suala kama hilo vipi Mwinyi very educated person anaeweza kupata kazi ikampa mahitaji yake bila ya wasisi vipi anaamua kuijaza mikono yake damu za watu just kupata cheo.. hili linanishangaza..
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 Жыл бұрын
@@kassimjigge4727 Karume mwenyewe waligombana na Nyerere kuhusu huu Muungano,na wakawa hawasemezani .
@AliJeff-ko8fo
@AliJeff-ko8fo Жыл бұрын
​@@kassimjigge4727😅
@mullestv2680
@mullestv2680 Жыл бұрын
Jaalia huyo ndo raisi vichogo bye kudadeki tumechoka muungano wa kidhalimu. Hvi wanatutka nn watanganyika
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 Жыл бұрын
Mtaweza kuondoa utaratibu huu maanahaya mambo yashaota mizizi na wanaona kwamba wao niwao tu ni miliki yao wao wamepindiwa
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Жыл бұрын
Sasa ivi TANGANYIKA mzima wote wanahubir bandari ndo mahubir ya makanisani kote
@derickcowly6681
@derickcowly6681 Жыл бұрын
CCM waondoke kokote Muungano basi kweli ni bora uvunjike kwa gharama zote zile
@ramsonramadhan4156
@ramsonramadhan4156 Жыл бұрын
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 Жыл бұрын
Wana CCM wao wadai Zanziba ni maliyao nawatafanya wakitakacho nandio ilaniyao ,wana CCM wanaona nivyema hivyo kweli ! Simuamke jamani !!!
@ismailissa3996
@ismailissa3996 9 ай бұрын
Watoe kamasi awo matango pori ccm mamau zinde awoo
@emilbocco5895
@emilbocco5895 9 ай бұрын
Na umeme huo wa zanzibar sasa hivi unatoka wapi? Jifananisheni na comoro sio Singapore ile si nchi ya kiislam
@FLukwaro
@FLukwaro 11 ай бұрын
Uko sahihi Mhe. OMO. Kuhusu ZNZ kutopata fursa ya kumchagua rais wa JMT, tusaidieni kupaaza sauti tupate serikali ya Tanganyika kusudi mipaka ya mambo ya muungano yawekwe bayana. Serikali ya JMT iwe na utaratibu unaoeleweka ambapo sasa tutakuwa na usawa ktk kuchagua kiongozi na utaratibu bora wa kuiendesha
@naftalmero7309
@naftalmero7309 Жыл бұрын
Nimeshiba! Kuna watu wenye mbongo. Watanzania kiweni macho.Huyu bwana ni kichwa. Twemde sasa kwenye bandari....
@emilbocco5895
@emilbocco5895 9 ай бұрын
Na hao wabunge wa zanzibar ndio mawazir wanao ongoza mambo yasio ya muungano huku bara, kama ubhukuzi utalii,n.k na zanzibar inapokopa huko nje kwa kutumia dhamana ya muungano ambapo uchumu mkubwa ni wa bara
@magaigwa4204
@magaigwa4204 11 ай бұрын
Hivi huu muungano ni wa nini kama wazanzibar wenyewe hawautaki?
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 Жыл бұрын
Mh hayo mtayamaliza maana ni mengihaya madhila na dhulma kila upande
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Wapen nchi yao jamn Tanzania viongoz wote wakubwa weziii
@derickcowly6681
@derickcowly6681 Жыл бұрын
Majambazi kweli kweli
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 Жыл бұрын
NDIO MANA SHENI NASEIF ALI IDI WALIKUBALI KUUA WATU ILI IPOTEZWE KIBARIDI BARIDI ZANZIBA .
@DeusiSetivin-ls9uz
@DeusiSetivin-ls9uz Жыл бұрын
Tamaa na chuki zinawasumbua
@abdullaothman1064
@abdullaothman1064 11 ай бұрын
Hujitambui
@nestor384
@nestor384 Жыл бұрын
Yaani Watanganyika wakidai Tanganyika yao wanaitwa wabaguzi, wazanzibar wawe ndani ya CCM au nje wakidai Zanzibar na maliasili za Zanzibar si wachochezi!.. Si bure watanganyika tumerogwa ndiyo maana leo bandari zetu zinaingiwa mkataba wa kihuni!
@saidabdillahi8107
@saidabdillahi8107 Жыл бұрын
Tatizo watanganyika mnakumbuka Tanganyika yenu inapokuwa Rais wa Tanzania ni mzanzibari wakati sisi wazanzibari hatujawi kunyamaza kuidai zanzibar yetu kwa hiyo tumezoeleka kwa upande wenu munaonekani mumekuja na lugha ngeni masikioni mwa wengi
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
@@saidabdillahi8107 Umenena kwa usahihi, siyo kawaida kwa watu wanaojitambua nchi yao inaondolewa kwenye historia na ramani ya dunia halafu mnachekelea na kupiga makofi. Tunataka usawa katika serikali tatu, Tanganyika na Zanzibar kama wazazi na Tanzania kama uzao wa hao wazazi wawili. Sasa hivi Kuna mzazi mmoja na mtoto, mzazi wa Pili alienda wapi?
@mohdchuma78
@mohdchuma78 11 ай бұрын
😂
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 Жыл бұрын
Nasie Tylor chelewaKuangalia pia
@FLukwaro
@FLukwaro 11 ай бұрын
Muarobaini wa kumaliza matatizo yote hayo ni kuandika Katiba Mpya kuzingatia Rasimu ya Warioba itakayounda serikali ya Tanganyika na serikali ndogo ya muungano itakayozingatia usawa ktk kuendesha mambo ya muungano. Period. Short of this, malalamiko on both sides hayatakoma kamwe
@jumatheo5937
@jumatheo5937 Жыл бұрын
BWA nzito upo!!?
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 11 ай бұрын
Nyote ndio wale wale.kuwstumilia skili za mijitu mivivu isiyojielewa kwa kuingiza pesa mifukoni mwenu
@meshackbinde1944
@meshackbinde1944 11 ай бұрын
Hawa jamaa wameuchoka muungano huu!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 ай бұрын
Wala msipate tabu hata sisi hatuwataki mnauza bandari zetu ziuzwe mchukueni huyo mama hatumtaki jamani
@khalidibrahim4579
@khalidibrahim4579 Жыл бұрын
Unawaona WaTanganyika sasa Raisi MZANZIBARI wa hishma na adabu hawamtaki Chuki za Ukirto Huyo Nyerere kapokelew Dar es Salam [ JINA LA KIARABU ) LIKATAENI NA WAISLAMU WAKAMKABIDHI CHAMA FADHILA ZA PUNDA MASHUZI
@emilbocco5895
@emilbocco5895 10 ай бұрын
Nyerere alipokua anastahafu alita rais waTanzania atoke zanzibar na alipendekeza salim ahmed salim ,angekua mwarabu wa kwanza kuongoza Tanzania
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 Жыл бұрын
Allah atujaalie aubadilishe utawala mpya na chama kipya ktk Viwa vya Zanzibar. Lakini. 1.👉Reconciliation for all party. 2.👉 Resiliance to the borth party and its people. 3.👉 Responsibility kila mmoja awe na ychungu wa Nchi kwanza ndio chama. 4. 👉 Rebild the country for all. Allah atupe imani tuweze kuyafikia haya
@sifakamwela6430
@sifakamwela6430 Жыл бұрын
Hakunaaaa , sisi wazanzibar hatutak kuvunja muungano , wee jamaa mamluk2 huna jipya elimu yenyewe ya madrasa hujui hata jz , historia hujui kabisa ,kalale
@abdullaothman1064
@abdullaothman1064 11 ай бұрын
Hatutaki kujua historia kwamba tuhitaji mwalimu mzuri wa historia . Tunakijambo chetu Kwa muda mrefu
@mulhatramadhan1147
@mulhatramadhan1147 Жыл бұрын
Hamna jipyq
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Wala act yenyewe haina nguvu huko zanzibar umeshakubali maridhiano wewe kula kuku tu
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline Жыл бұрын
😂😂Mage bwana, maneno yako kama vile unaijua hiyo Zanzibar yenyewe 🤔. Bara hamuijui Zanzibar na wala hao Wazanzibari wenyewe hamuwafahamu🙄
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
@@WeyaniTvonline mie mtanga nisiijue zanzibar wakati twenda kwa boti kwenda na kurudi kwetu Pangani vitu vyote twavipata kutoka huko na mombasa haya waniambia nini
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@margarethpolepole7438.Wala Hizbu Mapinduzi (Chama Cha Mapinduzi) hakina nguvu Zanzibar. Ndio maana majeshi hupelekwa kwa Mauwaji wa Waislam: 1) Kupunguza idadi ya Waislam. 2) Kuleta Watanganyika. 3) Kuimarisha Ukoloni. 4) Uhuru wa Kanisa. 5) Utawala wa Kipagani. 6) Uhuru wa Mila za Kimagharibi. 7) Kutekeleza NYEREREISM.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
​@@margarethpolepole7438Baadhi ya watu wa Tanga ndio walopindua Serikali Halali ya Watu wa Zanzibar kufuata amri ya wa Wakiristo: 1) Julius Nyerere 2) Oscar Kambona 3) John Okello
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
@@khatibal-zinjibari6956hamna kitu hapo wakristu na waislamu tumezaliana sana achana na udini kabisa mana yake hayati Karume unamjua dini gani na kabila gani hujui historia umezaliwa juzi ndiyo maana hawa viongozi mahayati Mwalimu nyerere na Karume wakaleta muungano kutoa ukabila udini nk walioko bara wengi ni wanzanzibar kwenu ni kakisiwa tu kalikojaa watumwa wa kila kabila hamna hata lugha maalum zaidi ya kiswahili funga mdomo waki tujenge muungano
@juliusakilimali9424
@juliusakilimali9424 Жыл бұрын
Zanzibar mna kitu gani?
@AliAli-lw9bj
@AliAli-lw9bj Жыл бұрын
Zanzibar haina kitu. Mbona humukuungana na Kenya, na Rundwa.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
ZANZIBAR NA DINI YA KIISLAM @juliusakilimali9424.Zanzibar ina Uislam na ndio sababu ya Mkatoliki Julius Nyerere aliivamia kwa jina la Mapinduzi (Crusade), kuiteka kwa Ukoloni wa Tanganyika.
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Жыл бұрын
Kwan TANGANYIKA inann. Jinga kwli ww visiwa vina mafuta unaulz vna nn. Visiwa vna bahari kuu unauluza vina nn wakat TANGANYIKA haina bahari kuu meli zote haziwez kuingia kwenu bila kupita zanzibar
@Jal210
@Jal210 Жыл бұрын
​@@sultansallah8772kwenda mpumbavu mmoja wewe na uzanzibar wako kaa nao huko visiwani kwenu.
@hbtv4169
@hbtv4169 Жыл бұрын
WEGENI WANAIJUWA ZANZIBAR KULIKO HATA SISI WAZANZIBAR WENYEWE YAANI UMEZALIWA ZANZIBAR UNA MIAKA HADI 30 UKO ZANZIBAR HUIJUWI SEHEMU YOYOTE ANAKUJA MGENI MWEZI TU ZANZIBAR YOTE ASHAIJUWA NA VILIVYOMOOO NDANI YAKE
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Tatizo nyie shule wote huko ni mazalia ya watumwa hamna hata kabila maalum watumwa wa waarabu kila kabila limejaa humo hamna lugha zaidi ya kiswahili
@hbtv4169
@hbtv4169 Жыл бұрын
@@margarethpolepole7438 tatzo si waarabu sisi tunajua kuwa waarabu hamuwapend watanganyika wala tatzo sio utumwa maan hata marekani kuna watumwa na wamezaliwa hukooo
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline Жыл бұрын
Na huko kwenu kwenye makabila ndo mmepata nini? Hizo lugha zenu za makabila zinawasaidia nini? Shuleni mnafundishwa kwa lugha ya Muingereza ambayo hamuielewi ndo maana mnafeli tu. 😂Dada Mage kichwa chako bwanaa
@hbtv4169
@hbtv4169 Жыл бұрын
@@WeyaniTvonline mm kwenu kusiniii zanzbar hakuna makabila wa hatuongeii lugha za makabila tunaongea kiswhili cha kibantu asilii
@suleimanalkindy6502
@suleimanalkindy6502 Жыл бұрын
@@WeyaniTvonline Pamoja na Kiswahili anacho kipiga vita.😂😂😂😂.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 ай бұрын
Huna jipya wewe umeshakubali maridhiano kitambi hicho acha kuwaongopea wenzio tishio alikuwa maalimu sefu wewe kama ni mti mpapai humuwezi Rais Hussein Mwinyi anachapa kazi inaendelea
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go Жыл бұрын
Hawa CCM ipo siku Mungu atawapa laana ya milele maana wamezidi sasa sisi wazanzibari tumeshaamua kuwa hatuutaki Muungano usio na usawa kama haiwezekani na uvunjike tubaki kuwa majirani wema tu
@charlesmazigo8106
@charlesmazigo8106 Жыл бұрын
Sisi wataganyika ndo tunapunjwa,hatuna serikali,hatuna nchi,hatuna bendera,hivyo vyote mnavyo,mnalalamikia Nini?
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go Жыл бұрын
@@charlesmazigo8106 Nyinyi muna kila kitu acheni uzushi kikubwa ni jina limebadilika kutoka Tanganyika na kuwa Tanzania tuacheni unafiki bwana
@Jal210
@Jal210 Жыл бұрын
Wewe kama unaijua dini huwezi kutoa maana wewe mjinga mmoja
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 11 ай бұрын
@@Jal210 Kudai haki zetu tumekuwa wajinga leo? Nimesema laana atatoa Mungu wala sio mm maana sina uwezo wa kutoa laana ww kama limekuuma kaa pembeni hii ni channels ya wazanzibari au hii habari inatuhusu wazanzibari na sio nyinyi watanganyika
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Жыл бұрын
HAUNA JIPYA KAA KIMYAAAA MGOMBANISHI MKUBWA WEWE
@IbnuAlly-cg2gn
@IbnuAlly-cg2gn 9 ай бұрын
Ugombanishi gan au kuna uongo
@hassanbakar
@hassanbakar Жыл бұрын
Apewe mauwa yake Othuman massoud
@johnmahu5060
@johnmahu5060 Жыл бұрын
Ccm ndo wezi waondoke bara na Zanzibar muungano uanze upya wkt huo bandari ya irudi
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
WAAFRIKA KUTAWALA WAAFRIKA? Tanganyika, Kenya, Uganda na Zanzibar zote zilipata Uhuru kwa Muingereza. Kwa nini Tanganyika iliivamia Zanzibar kwa Ukoloni?
@Jal210
@Jal210 Жыл бұрын
ACT Njaa ya madaraka
@ZaitunAbdallah-ol1bb
@ZaitunAbdallah-ol1bb Жыл бұрын
CCM wesha wamekaa kama mbwa anaekaribia kufa kwanza anapoteza kunusa na kushindwa kuta futa chakula pili kanashindwa kurudi kwao tatu kushindwa kuta futa mama mbwa ili aongeze familia
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Zaitun haya kama mwawrza ichukueni zanzibar aliyekuwa anaitisa ccm ni mwendazake maalim seif wengine hata hawaiwezi nyie mneshakubali maridhiano ritdhianeni tu nyie mwapiga kelele wenzenu wala huoni mitambo hiyo shuti wapanda mavx nyie act wazalendo ......... kwisha hamna kitu aliyekuwa anatikisa mwenye karama yake keshakuwa mwendazake hao wanakula rudhuku tu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Zaituni acha matusi angalia zanzibar ilivyotengenezwa na Rais Hussein Mwinyi zanzibar ya juzi na jana ni sawa na ya leo mnyonge mnyongeni haki yake mpeni mama Samia na Hussein Mwinyi wanachapa kazi vizuri kutengeneza kwao wewe una mawazo finyu ni hamnazo wapeni waua yao
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 3 ай бұрын
Ukiwa na uwezo mdogo wa kutafakari mtu atakudhulumu pesa nyingi sana kisha atakupa fedha kidogo wewe utaona unanufaika ,kumbe unazofanyiwa hadaa ni nyingi zaidi kuliko pesa ulizopewa ndio yanayofayika sasa hivi.
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 12 МЛН
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 235 М.
ACT Wazalendo waapa kushinda uchaguzi 2025
1:33:02
Weyani Tv
Рет қаралды 9 М.