Mazishi ya Spika Mstaafu Samuel Sitta Urambo Tabora

  Рет қаралды 188,544

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

November 12 2016 yamefanyika mazishi ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel John Sitta aliyefariki dunia November 7 2016 katika hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani. Mazishi hayo yamefanyika Urambo Tabora kwenye eneo la makaburi ya ukoo wa Sitta ambayo yapo takribani km 2 kutoka nyumbani kwake.

Пікірлер: 47
@andrewgeorge4650
@andrewgeorge4650 7 жыл бұрын
polen sana ndugu, jamaa na marafki kwa msiba huu mkubwa wa kitaifa,,, Bwana ametoa Bwana ametoa jina lake libalikiw,, Amina
@juliowagofya7644
@juliowagofya7644 7 жыл бұрын
poleni Watanzania wote kwa kuondokewa na kiongoz
@ibrahimothman5260
@ibrahimothman5260 2 жыл бұрын
Yesu Yuko pamoja nawewe Hadi mwishoooo
@fatumamasudi365
@fatumamasudi365 7 жыл бұрын
poleni sana familiy ndugu na marafiki wa malehemu sita Mungu awape imani na subra
@sharomosses5516
@sharomosses5516 7 жыл бұрын
R.I.P Samuel Sitta , mungu awafariji wafiwa wote ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi,poleni sana.
@davidnchoji
@davidnchoji 7 жыл бұрын
R.I.P Mh.Sitta Mwenyezi Mungu akuangazie nuru ya Us0 wake meet y0u in Heaven Sir
@masseanadir2904
@masseanadir2904 7 жыл бұрын
yesu Kristo tena duh binadam cc yaani mtu kashafariki still bado hamuamini kuwa yesu sio lolote
@godifreylutashobya2211
@godifreylutashobya2211 7 жыл бұрын
pole sana wotewaliopatwamsibahuu namungu amlaze maara pema peponi Amen!
@bintirashidantybaby8146
@bintirashidantybaby8146 7 жыл бұрын
Gud nyt muheshimiwa
@rosetemu2194
@rosetemu2194 7 жыл бұрын
kila nafsi itaonja umauti pole sana mama magret Mungu akutie nguvu
@abuumohamed7481
@abuumohamed7481 7 жыл бұрын
mungu akusamehe makosa yako huko uwendako amini
@dicksonangumbwikenjumbo1140
@dicksonangumbwikenjumbo1140 7 жыл бұрын
rest in peace my father.... tutakukumbuka kwa mema yako
@hoseakigembe8586
@hoseakigembe8586 7 жыл бұрын
Ulale pema peponi mwana mwaminifu wa Africa.
@josephmunishi5444
@josephmunishi5444 7 жыл бұрын
dar tanzania itakukumbuka milele na milele kwa uliyowahi kuyafanya jamani ,,,MZEE SAMWEL SITTA
@yusuphalinani5432
@yusuphalinani5432 4 ай бұрын
Ameni
@sallykanze
@sallykanze 7 жыл бұрын
R.I.P Mr.Spika Samuel John Sitta,
@dibochi2511
@dibochi2511 7 жыл бұрын
R.I.P MBELE YETU NYUMA YAKO
@hancephabian7234
@hancephabian7234 7 жыл бұрын
R.I.P samweli sitta.....
@basilalsharif6734
@basilalsharif6734 7 жыл бұрын
RIP Sitta
@hezronlawrence7038
@hezronlawrence7038 7 жыл бұрын
WATANZANIA TUMEPATA PENGO KUBWA MUNGU AIWEKE ROYAKE MAHARI PANZURI AMINA
@ramadhansaid5468
@ramadhansaid5468 7 жыл бұрын
rest in peace mh sitta
@juliusmbogoma882
@juliusmbogoma882 7 жыл бұрын
kapumzike kwa aman kamanda wa kasi na viwango
@basilalsharif6734
@basilalsharif6734 7 жыл бұрын
so sad😢😢😢😢😢
@abdallahomari2150
@abdallahomari2150 7 жыл бұрын
WOTE SISI NJIA NI MOJA
@matronasianga3681
@matronasianga3681 7 жыл бұрын
so sad jmn
@marysamson2390
@marysamson2390 7 жыл бұрын
R.I.P
@justinchriss3778
@justinchriss3778 7 жыл бұрын
R.I.P SITTA
@chikwayamohammed5284
@chikwayamohammed5284 7 жыл бұрын
mungu akupumzishe kwa amani amin
@officialkinghezekiah2094
@officialkinghezekiah2094 7 жыл бұрын
R.I.P
@saumjuma7597
@saumjuma7597 7 жыл бұрын
Ama hakika kila nafc itaonja umauti.
@magesarhobi5383
@magesarhobi5383 7 жыл бұрын
Rip samwel sits.
@emmysimsokwe2718
@emmysimsokwe2718 7 жыл бұрын
R.I.p
@gervasmoses2464
@gervasmoses2464 7 жыл бұрын
daah,tutaonana wote huko huko
@peterafricanus4214
@peterafricanus4214 7 жыл бұрын
pumzika kwa amani baba
@faustazakaria5732
@faustazakaria5732 7 жыл бұрын
mazishi ya watoto was mchungaji past majembe
@officialkinghezekiah2094
@officialkinghezekiah2094 7 жыл бұрын
Mwimbaji hiii nyimbo pliz jina lake kw ajue
@nicolausmwakatobe5924
@nicolausmwakatobe5924 7 жыл бұрын
anoiti
@kennedyluvanda3612
@kennedyluvanda3612 7 жыл бұрын
+Nicolaus Mwakatobe anoit mbona haipo youtube
@raudhaally974
@raudhaally974 7 жыл бұрын
rubby goodnight
@laurencemakao8512
@laurencemakao8512 6 жыл бұрын
kingfture TV. .
@masanjajm4921
@masanjajm4921 7 жыл бұрын
irreplaceable
@papafikiri
@papafikiri 7 жыл бұрын
utakumbukwa
@fatumamasudi365
@fatumamasudi365 7 жыл бұрын
poleni sana familiy ndugu na marafiki wa malehemu sita Mungu awape imani na subra
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
tutakukumbuka daima
@godifreylutashobya2211
@godifreylutashobya2211 7 жыл бұрын
pole sana wotewaliopatwamsibahuu namungu amlaze maara pema peponi Amen!
@michaelmnyanda1935
@michaelmnyanda1935 7 жыл бұрын
R.I.P
@yusuphjohn5558
@yusuphjohn5558 7 жыл бұрын
R. I. P
Isha Mashauzi - Nimpe Nani (OFFICIAL HD VIDEO)
3:28
Isha Mashauzi
Рет қаралды 4 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 455 М.
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 61 МЛН
Diamond Platnumz ft Rayvanny - Salome (Traditional Official Music video)
3:31
Nyota Yako  | Bahati Bukuku | Official Video
8:47
Bahati Bukuku
Рет қаралды 2,8 МЛН
Rayvanny - Natafuta kiki (Official Video Music)
3:10
Rayvanny
Рет қаралды 18 МЛН
Alikiba & Christian Bella - Nagharamia (Official Music Video)
3:59
Darassa ft Ben Pol - Muziki ( Official Music Video )
3:00
Darassa
Рет қаралды 25 МЛН
Chege Feat. Diamond Platnumz | Waache Waoane | Official Video
3:52
Chege Chigunda
Рет қаралды 28 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН