Hapo naona mmepotosha kabisa kwenye ile Interview swali aliloulizwa masoud lili generalise na halikumlenga Mwijaku. Na Masoud alijibu kwa namna swali lilivyoulizwa na hakutaja jina la mtu.Hapa naona mnasema alimentaja Mwijaku. Hapo mnawagombanisha bila sababu.
@MinskBelarus-il2tl23 күн бұрын
Hatua Tv,mtazamo wangu ni kwamba Ukubwa wa KIPANYA unatofauti kuuuuubwa na huo Ukubwa ulioutaja wa Mwijaku,usilinganishe hata kidogo. Believe me... MWIJAKU atapiga magoti na kuomba MSAMAHA. Angalia kwenye Paji la Uso wa MASOUD..... atamsamehe akija kwa ADABU
@BibieMakame22 күн бұрын
Nimeanza kumjua kaka masudi toka wakati wa maisha plus