Aise mashekh wangu Mungu aliwajariya saaana daaaaahhhhh!! Mimi ni mtu wa msumbiji 🇲🇿, mkowa Cabo Delgado,wilaya ya Palma. Nnayajuwa vyema mada ya askari wa kwetu ususa ikiwa mada ya kuusishwa na jamaa wale. Alafu pale Mueda kuna shimo linakula watu Kila siku. Daaaaahhhhh! Aiseeeeh.
@abelmussamaulide81426 ай бұрын
Como que brow
@digalo373silentkiller76 ай бұрын
Mozambique ni nchi nzuri sana ila tatizo hakuna sheria,hakuna haki za binadamu,Mozambique wanakufunga bila kisa.
@Maingi-tm2si6 ай бұрын
H@@abelmussamaulide8142bo
@MomadeabdulAbdul-i3w3 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu ustazzy
@AbudoAssumane5 ай бұрын
Doo pole saana sheh Allah azide kukujalia na akuzidishie neema
@ahmedomar8047 ай бұрын
Subhana llah mwenyzi mungu atakulipeni kila kheri kweli mlitoka katika mdomo wa Simba ni kisa cha kuhuzunisha kabisa
@saidibnMhunzi-k4v4 ай бұрын
Sheikh Allah akulipen kilala kheri
@khamisathman71716 ай бұрын
Shekhe Mwenyezi Mungu awajaliye kheir
@issaabdala8646 ай бұрын
Mimi ni mtu wa Mozambique🇲🇿🇲🇿, Nasema poleni sana, Maana Muliyo yapitiya sio Madogo, Kwa Jinsi Navyo wajua Majeshi wetu! Inaonyesha Kuww Mungu Yupo Pamoja Nanyi!! Maana sio Rahisis Kutoka Mikononi Muao! Mungu Mkubwa Sana!
@MSIMBATIBoy-zd2rm6 ай бұрын
Poleni MASHEHE WETU, SISI tupo UKU NAMPULA 🇲🇿
@pastorafande1427 ай бұрын
Uislamu hauruhusu mauaji ya kiholela bila sababu!!! Nanukuu maneno ya shafii, kwa hiyo uislamu unaruhusu kuua ila kuwe na sababu,my God
@FridayMwassa7 ай бұрын
Kwaani wale wayahudi aliowaua Muhammad pale madini walifanya kosa gani
@AliAli-u7t4p7 ай бұрын
1 samuel 3. Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.
@mudinhomeshack90417 ай бұрын
Atakae ua kwa upanga nae auwawe na upanga
@AliAli-u7t4p7 ай бұрын
@pastorafande142 kwani ukiristo hauruhusu kuuwa kwa mwenye kosa la kuuliwa. Why is death penalty in Christian Country. Au hujuwi hilo
Ustadh Shafi hii story yako ni tamu mno,na yenye mazingatio na mafundisho makubwa ndani yake,watu wanapitia misukosuko na mitihani mingi,ndo hiyo siri au mtu aamue kuelezea,M Mungu akujaalie kila lakher.
@ochuMay057 ай бұрын
Maashaallah M.Mungu akusimamie na akuongoze katika kuipigania Dini ya Kiislam..
@OmarAssira6 ай бұрын
Poleni sana mashekh wangu mimi ni mtu wa uku msumbiji wilaya ya musimbwa Allah kawanusuru sana hawa hapo hivo
@AmanzeAbdala6 ай бұрын
Sheik wangu mbona iyonjia mriopita sio safi kabisa munge pita njia ya lichinga uku nakawale munge pita vizur sana❤
@AbdulNuru-d7s6 ай бұрын
Shafi shekhe mungu ariwarinda amina
@anthonymbubha29074 ай бұрын
Honera sana k wa maneno mazuri !!
@ahmedmpimbi96847 ай бұрын
Dah wallah pepo inatafutwa na kuna wanaume biidhnillah watapata pepo, Mwenyezi Mungu awape pepo
@mwamkosociety17256 ай бұрын
Daaah Sheikh umenikumbusha Askari wa Msumbiji ase.
@SirajiRashidy7 ай бұрын
Daa poleni sana mashekh wetu
@MariamUmande7 ай бұрын
Wewe Shafi muongope Allah acha kusema uwongo Kusikana na jihad kuwa muadilifu Wewe Shafi Wewe mwenyewe dini ujuwi Unahitajika kusoma dini
@king3-q1s7 ай бұрын
Mbona hueleweki, kajiifunze kwanza kuandika vizuri ili ueleweke.
@ahmedomar8047 ай бұрын
Wewe umesoma wapi kwani hyo, basi kamsomeshe wewe unayejuwa
@hamisimshamu89687 ай бұрын
Ebu tupe ukweli kwanza
@ramadhanimdillah676 ай бұрын
Hivi uwongo huyu sheikh uko wapi kwani huyu si anahadithia historia tu ya maisha yao ambayo hata wewe pia
@AmoIslamicTv6 ай бұрын
Unalaana weee
@OmanOma-xi3hm7 ай бұрын
Allah akufishe na shahada
@abdallahkimbute12556 ай бұрын
Allah awalipe in shaa Allah
@timejames50996 ай бұрын
M mungu akuhifadhi na Kila balaa sheikh
@BintJahsh6 ай бұрын
Mwenyenz mungu hamtupi Mja wake
@MohdTryson6 ай бұрын
Uko sawa sheikh
@عبداللهباحميد-ن4ق6 ай бұрын
Poleni Sana Ndugu Shafi Na Wenzako Kwa Mitihani Mulio Ipata Lkn Maajurin IN SHA ALLAH
@zainulabideen69556 ай бұрын
kwely Sheikh, dr. sule amiaribu mengi kabisa...., comemment from Mozamquique
@yoramabubakar80127 ай бұрын
Allah akuhifathi shekh wetu❤
@MombaMapira7 ай бұрын
Pole sana uku kwetu siyo kuzuli
@amourrajab60617 ай бұрын
Vzr sana , ila unafaa kuisoma dini Shafii sio kusoma mahubir
@RonjoSalum7 ай бұрын
Unawazim ww
@rashidbusanya58437 ай бұрын
Allah awalipeni kila la heri mnapambana sana
@Ismailmusa-y6b7 ай бұрын
Allah anakupenda sana na ndo maana anakulinda kwa Kila madhoruba lengo tu niuzidi kutulingania, Allah akujaalie umri mrefu na usije ukabadilika,
@ustadhshafiionlinetv7 ай бұрын
Allahuma Amiin
@musayosia40817 ай бұрын
Amiina 🙏
@feisaldesign41567 ай бұрын
Polen sana Allah atawalipen khery inshallah
@abduladinane6 ай бұрын
Pole sana nikiwa Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@CândidoAdrianoMaimba6 ай бұрын
Poleni sana jamani
@DjumaAsha6 ай бұрын
😢😢😢😢😢Allah azidi kuwahifadhi Mashekh zetu
@rayboyw.awakary42196 ай бұрын
Duh pole sheikh
@antoniojovenssalassini66866 ай бұрын
Comment from Mozambique 4🎉🎉🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@buanaquendaabdalaabdala82607 ай бұрын
Pole Sana Shee❤
@DjumaAsha6 ай бұрын
Subhanallah Allahu Akbar Anaelindwa na Allah kwamwe hawezi dhuurika
@Athuman-rd4br7 ай бұрын
pole sana upo safi sana dogo
@Hgd-jk6lh7 ай бұрын
Mwalimu shafii tunakupenda saan
@jalaphsaide5417 ай бұрын
Mm ni mtu wa msumbiji hii mnona inaniumiza sana
@HamisiMdhamiru5 ай бұрын
Allah atalipa Kila lakher
@jaymapepefatma59366 ай бұрын
Kkkkk 😁😁 poleni. From Mozambique 🇲🇿❤
@BachooHassan-n8r7 ай бұрын
Poleni Sana mungu atakulipeni Insha Allah peponi Amiin
@Mwalimujumajuma6 ай бұрын
Poleni San masheh wangu
@OrlandoTarcisio-r3h6 ай бұрын
Pole sana mashekhe wetu insha allah Allah atawalipa 22:10 ,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mosessalum43014 ай бұрын
Uko sawa
@barrehotel-q5t6 ай бұрын
Allah amewapigania kwa Kweli Alhamdulillah kama mpo salama
@maulidhatibu48596 ай бұрын
Mwenyezi mungu huwalinda waja wake wema
@husnashaibu10376 ай бұрын
Allah akulipeni kheri
@feizalmas7 ай бұрын
Mungu awalipe Kila jema Kwa mlopitia Kwa akili ya kazi ya allah
@khamiskasheshe21876 ай бұрын
Masha allah
@tolatz68276 ай бұрын
Poole saana shekh
@AbasGwevu5 ай бұрын
Shaafii unasema kweli
@SintosamuelErnesio6 ай бұрын
Mugu awajaliye Mimi nimto wasumbiji palma poleni sana
@ibrahimswalehe2543 ай бұрын
Mashaalah
@emmanuelandrea97946 ай бұрын
Uislamu sio ugaidi ,ila Kuna magaidi wanatumia uislamu vibaya na Watu wanaamini waislamu ni mgadai
@BernaRazao6 ай бұрын
Maashala
@TinaZimba6 ай бұрын
Ila inaruhusu kuuwa ni mungu yupi huyo
@sonnyr18996 ай бұрын
Sheikh wangu umetowa simulizi Nzuri na yenye mafunzo.
@mahmudumsuya38316 ай бұрын
MOLA akujaalie heri shehe shomari
@bostonbensonkapute52747 ай бұрын
Pole Sana!
@RaimoRaimo127 ай бұрын
pole saná
@OmanOma-xi3hm7 ай бұрын
Pole she shafi
@MochammdHadija-pn7nn7 ай бұрын
Mashaallah
@IDRISSETHED14D146 ай бұрын
ni kweli uyu nze anasema ukwelu
@OmanOma-xi3hm7 ай бұрын
Waambiemashelhe zet waleo hatar
@mpefu_49366 ай бұрын
Mungu atakongeza wewe fanya tu
@barakamanga55027 ай бұрын
Safi nikweli uislamu sio kuua
@FridayMwassa7 ай бұрын
Kasome koran yako vizuri
@abubakarimussa91317 ай бұрын
Wallah mashaallah
@yotehapatv77056 ай бұрын
Allah Akbar❤❤❤
@Dearm-ome2in1huba7 ай бұрын
Shekhe shafi nampenda kwa ukweli wake. Huwapa watu daraja zao kwa wanavo stahili nihizo dara kama anavosema kuhusu sule
@maulidimanzi99647 ай бұрын
Wew Allah amekuonesha kile nilchokuona wew
@maulidimanzi99647 ай бұрын
Nilchokiona mm
@maulidimanzi99647 ай бұрын
Nilchokiona mm
@Athumanikaoneka6 ай бұрын
Polesana
@Faqueassumane6 ай бұрын
Mimi Niko Mozambique tena cabo delgado hatari uku unabaati ostazy
@furaiNvita7 ай бұрын
Comment from🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🥰🥰
@anraneamisse92437 ай бұрын
Na hio ndo shida kubwa hata ukivaa kanzu wakat una safir shida
@EsperanceSalifu6 ай бұрын
Hiyo kweli
@saudaumar33547 ай бұрын
Allahu Akbar,Intansurullah
@saidemuamedeali26783 ай бұрын
❤❤❤
@AllyFarouq6 ай бұрын
Uko ndo kukomaa sheke
@jacobnorbertchenga94657 ай бұрын
Yule Dr. Sule si ana Pete yule ndo maana machale yamemcheza 😢
@mikasailajr6 ай бұрын
Hahahahahah
@rosemary38166 ай бұрын
😂😂😂😂
@SHEIKH_AHMAD.6 ай бұрын
Sasa vimepita tuko zetu huku
@mudidachi86167 ай бұрын
Allah Akbar
@odenmasebo97777 ай бұрын
POLENI SANA HII NDO DUNIA
@AllyRAJABUNYEMBEKE-cb1fn6 ай бұрын
Polen sana
@ManoAnsso-up6ib7 ай бұрын
Mimi Kutoka Mozambique Huku Kwetu Tunavyo Ishi Huku Pemba
@mustafapandu51897 ай бұрын
Nyinyi nakukubalini sana sio hawa vishekhe visharo vinavyojifaharisha n elimu ata ukucha hawajangoka kwa kupigania dini
@ramadhanmkandas57336 ай бұрын
Shehe Kuna uhitaji mkubwa wa kutoa elimu juu ya watu wetu maana wengi hatuna elimu ya dini
@shaleMakame-m7j5 ай бұрын
Mimi ustazi sualiangu ni lama jihad inapigana jagwani no sio kwenhe mji sasa awa watoto na waze na wanawake wana toka wapi?
@twaibumikidadi73777 ай бұрын
Umesikia ww shafii huwex kurlewa nini kimachoendelea Sera ya Ughaidi imeletwa na marekani kwa Lengo tu la kuuumiza Uislamu! *İslam tourturing* Mliteswa koz mlikuwa waislamu ! Nchi ya TZ ni imekaa kilristo mifumo yake kila kitu !
@RashidiMakwamba-rn4wx7 ай бұрын
Nampula
@AmissecassimoCassimo6 ай бұрын
Nampula ni nyunpani
@mczido65547 ай бұрын
Mhm
@hajiabdalla57727 ай бұрын
Na huyu mwisho atamfata huyo mpumavu
@abubakarmuhammadsaid32446 ай бұрын
bastoLa
@MaabadiJuma6 ай бұрын
Una jua vp kama wale hawaja chokoswa
@saideassanencacha22947 ай бұрын
Poleni sana waislamu wenzangu mimo nimzalendo wa uku Mozambique.Hawa ni machetani tu hatuna wala aja nao
@armandoleonardo69666 ай бұрын
Você só pode ser um terrorista
@starjay30526 ай бұрын
duh 🙄 uyo askali alikua na moyo sana unajua mtu akitoka kuuwa anakua awezi kua na akili vizuli