Bro kweli tuliwahi kukuskia sana tukakupenda kwa Ngoma zako ila kwasasa katafute kazi nyingine ingependeza kama ungekua mfugaji ila muziki utavunja heshima ulio itafuta muda mrefu
@veryboyplatnumz3506 Жыл бұрын
Dah 😂 tutafanyaje sasa ndo malegend wenyewe hawa!
@GamechangerTz Жыл бұрын
Kila La Kheri Brother Mb Dogg Mungu Akutangulie Mkuu
@victoriakapele8682 Жыл бұрын
Kazidi vya kuiga hana ubunifu twevo
@mfalmekaitaba2425 Жыл бұрын
Kelele zooteee kumbe ni come back ahahaha dah!! #Diamond ni Engine ya mziki huu aisee.
@EzekielTv49 Жыл бұрын
Yeah ni kweli cuz alivyosema atatrend mpaka mwakani watu wameamka,,,,,me namkubali jamaa kwa asilimia nyingi sana,,,he knows how to do business
@diamondplatnumz6274 Жыл бұрын
Amna kitu hapa
@wabaremasandiko1024 Жыл бұрын
Nasikia dude la jay Moe TU!
@issakamangila4143 Жыл бұрын
Wakupe hela yako brother
@AfricanMusic24 Жыл бұрын
nakubali sana mwana
@jmm1840 Жыл бұрын
Mmbwana Mohamed. Mb dog 🐕 man. Hunaga mambo mengi na nimtu wa watu. Ushauri wangu kumbuka sauti ilivyokusumbuwa. Achana nao kila uinukapo wanatafuta njia ya kukuzima.
@ikramalmas7039 Жыл бұрын
Kaambiwa ukimtaja diamond basi wimbo unaoutoa lazima utaenda
@mohammedsalum3502 Жыл бұрын
Uyu jamaa ajielewi ss nyimbo gan alieibiwa mbona wanamsema vibaya mond uyu mbwa afanye kaz zake
@juniorgodfrey1527 Жыл бұрын
Wengine mnaongea mambo ambayo hamuyajui jaribun kusearch huo wimbo wa mapenzi ni kitu gani alf angalia artist ni nan na license ni ya nan ndo utamuelewa mb dogg anamaana gani kudai 1 billion haki lazima itendeke
@Chemba67 Жыл бұрын
Diamond ni kama maji------aidha utayanywa , utaoga au utapikia......huwezi likwepa jina la Diamond hao wanaojiita ma-King kila siku wanaishi kwa kutaja jina la Diamond
@alimussa2655 Жыл бұрын
Acha usenge wako wewe watu wamezulumiwa wewe ebo
@Chemba67 Жыл бұрын
@@alimussa2655 We fala tulia.........usije tafuta chaka baadae..... hakuna aliyedhulumiwa ni njaa,kiki na tamaa ya kutaka kuyatoa kiharaka......
@EzekielTv49 Жыл бұрын
Exactly,,,,,,mtu akifanikiwa fanya nae kazi
@svt3 Жыл бұрын
@@alimussa2655hawa wazee wa zamani njaa inawatesa saana
@essirmalifedha6561 Жыл бұрын
hawa wasanii walio fulia bhna Wanashida sana Kila kitu Diamond duuuh
@shwaibukhatibu2838 Жыл бұрын
Kwani kasingiziwa?kama unaakili niulize Kwa kila kitu yeye tatizo ni muizi WA nyimbo za watu toka kitambo kwann asimseme king kiba
@essirmalifedha6561 Жыл бұрын
@@shwaibukhatibu2838 Me cwez kuongea naww coz Uneisha weka Ushabiki hapa Kwo Kila mtu Ashinde Mechi zake sawa kk
@omarylugusha Жыл бұрын
Kwaio ukifulia hauruhusiwi kudai haki yako?
@essirmalifedha6561 Жыл бұрын
@@omarylugusha Embu nenda KZbin kisha Andika Spaki harfu Uone Nyimbo zake Zipo chaneli Gani kisha Uje na hoja sawa !? ukishaona Njoo nambie Kwann Nyimbo za Spaki zina mikikiwa hovyo na Watu Wengne
Diamond ni kama maji------aidha utayanywa , utaoga au utapikia......huwezi likwepa jina la Diamond hao wanaojiita ma-King kila siku wanaishi kwa kutaja jina la Diamond
@chidybwax8080 Жыл бұрын
Nyinyi ni machiz hamfaatiliag hata mziki kuna platform inaitwa ziiki inahusika na daimond so kuna wqsanii nyimbo ziko huko na hat milk zao ndo maan hawajapew peda zao
@paulntalima6998 Жыл бұрын
@@chidybwax8080 acha ujinga shda yako uelewa mdogo 😂😂ww ziiki ni kampuni ya wahindi makao makuu yake ni south Africa inasambaza nyimbo za wasanii walio ingia mkataba nayo na pia diamond nyimbo zake husambazwa na ziiki hujui lolote umejaa roho mbaya TU ndio mana kila siku unashindia mihogo kichwa panzi ww
@paulntalima6998 Жыл бұрын
Haisambazi nyimbo za wasanii ni TU WA bongo Bali ni nyimbo za wasanini mbalimbali Africa sema NN diamond ni moyo WA bongo fleva akinyamaza mziki unaanza kupoteana wanaija wanaanza kusikika Kila Kona akitoa Ngoma na wengne wanafata mkumbo na game Ina change,na siku akifa na mzki WA bongo utasikika TU bongo na watu wataacha kuufatilia
@emanuelgavile3503 Жыл бұрын
Ushazeeka mbwa mmoja kalime uko
@shwaibukhatibu2838 Жыл бұрын
Ni kweli Ila wewe utafika kweli umri huo?jifikirie Sana hii dunia ni mapito
@kimwalove Жыл бұрын
Huyu jamaa kapagawa
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Mama ako je,,au hujui mama ako alikua fan wa mb doggy isingekua baba ako uyo huyu angekua baba ako kuwa na adabu
@alliancendabarushimana4570 Жыл бұрын
Billion 1😂😂😂 umeshindwa kuzitafuta mwenyew unazitaka kwa mwanaume mwinziyo wew toa ngoma ti
@criminalminds7723 Жыл бұрын
Kwaio msani wenu alipopora pesa ya harmonize alikua sawa???kwaio mtu akiporwa asiseme sio kwakua nyinyi mashabiki maandazi muko,
@canisiusibrahim9856 Жыл бұрын
@@criminalminds7723kama aliporwa kwann harmonize hakushtaki si kuna basata na mahakam?
@vanjay8685 Жыл бұрын
@@criminalminds7723ukosefu wa exposure ni maradhi makubwa sana...ATI harmonize ambaye kama sio huyo diamond angekua muuza siso mtwara...it's time muheshimu mchango wa diamond amewapa maisha watu wengi sana
@husseinmtangwele5990 Жыл бұрын
@@vanjay8685 acha ujinga wewe huyo unaemtetea mbona na yeye katolewa na watu na hawajamlipisha na hata ivyo bado anawadharau
@vanjay8685 Жыл бұрын
@@husseinmtangwele5990 ebu nitajie ni nani na nani walimtoa na evidence ya wao kudharauliana...bobjunior ama? Ambaye wanakuaga pamoja Hadi Leo ni washikaji.... being imbecile is a choice don't be myopic and centimental
@dominickstephano2061 Жыл бұрын
Broo acha kula mdomo kila mtu ni mondi mondi hv wew tafta njia ya kutokea
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
CHKUENI SI ULINIAMBIA NA NITAREJEA AU ATA MBAGALA,,SKILIZA UTAJUA IPI NI HIT...MUDA UMEPITA LKN SIO MANAKE UDHARAU WATU.
@mwidanimwagona4384 Жыл бұрын
Sawa ni haki yake apewe, mapenzi nikitu gani hiyo ni ngoma ya mb doggman
@MichaelStarlyaku Жыл бұрын
My bext artist ever.
@FestoReonadi-kq8kp Жыл бұрын
Uyu anatafta kuludi mjini hautapata njia kilahisi ninacho sifia mondi ni mtu anaejierewa
@emmanueljulius7171 Жыл бұрын
Hichi kishikaji kishapotea sema nn bongo trending unaishi 😂
@lutenganolukali2122 Жыл бұрын
Sauti inaenda kama ya joh makini
@lightnessshechaba5278 Жыл бұрын
Good
@frankngoloka5416 Жыл бұрын
Kama unataka kutoa wimbo we toa maneno mengi ya nini?
@MakopaKopa8 ай бұрын
Makopalnc bby
@wenzeslaus06shayo09 Жыл бұрын
👏
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊✌️👍.
@Rii_home_store Жыл бұрын
Kwaiyo diamond ndo mmiliki wa acount zote za wasaanii wa tz na ndo miliki wa nyimbo zote basi ni tabu
@emmanuelmayunga1518 Жыл бұрын
Issue sio diamond tatizo hapo ni mameneja wake ni Majizi
@SAMISAI. Жыл бұрын
MB dog zunji nyie😂😂 mfupiii
@BlackKing89-l1u Жыл бұрын
Mbona jamaa kawa MGANGA wa KIENYEJI?? Halafu huyu jamaa kapambania mziki gani wa bongo? Watu kama Juma Nature, Sugu, AY, Majani, Prof J, Master J ndo walipambania mziki wa bongo.
@Mpakauseme Жыл бұрын
Mbona hatuoni huo uganga hapo zaidi tu amevaa mavazi ya kitamaduni, waafrika mnamatatizo sana yani utamaduni wako unaona ni uganga
@zuberimohamed43 Жыл бұрын
Acha unazi ukizungumzia sound ya Bongo flava baibuda hawa ndo wachonga barabara ukisklza Album ya huyu jamaa hkn wimbo uta skip vngnevyo labda ulikuw bado mdogo
@Teachercandle Жыл бұрын
Uzifanye mchezo na majaniii😂😂😂
@valeriaally6584 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣nicheke tu mm,sasa hao wadada hapo nyuma na hayo mavazi vp tena,kwel wasanii wabongo wakiishiwa ni kama huwa wanachanganyikiwa