Mbarikiwa atoa wimbo wa majonzi akiwa KIFUNGONI; NILIYATEGEMEA HAYA

  Рет қаралды 216,969

Helbeth Mlelwa 🎖️

Helbeth Mlelwa 🎖️

Күн бұрын

Пікірлер: 272
@Chrispineipap0
@Chrispineipap0 7 ай бұрын
Pole sana Mtumishi,Mungu akutangulie na akutete kwa Jina la Yesu Cristo
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 11 ай бұрын
SHUJAA MBARIKIWA MWAKIPESILE,AMN'GAN'GANIA MUNGU KWA MATENDO YAKE MAKUU,Amina.
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 11 ай бұрын
❤❤❤❤Mungu yupo nanyi daima atajibu kwa muda mwafaka Hawaii Wala hachelewi
@mamamdogo409
@mamamdogo409 11 ай бұрын
Pole mtumishi,naamini mama Samia Ako makini kwa haki ya kila mtu utatoka tu mungu atatenda usife moyo hili ni jalibu kama mengine 🙏
@user-yd8qb5kf6g
@user-yd8qb5kf6g 9 ай бұрын
Dahhh MUNGU awe pamoja nawe mbarikiwa Amin katika MUNGU hakuna kinachoshindikana jaribu ni sehem ya Imani
@user-cx4jl6wk6m
@user-cx4jl6wk6m 9 ай бұрын
Mungu awe pamoja nawe Mtumishi wa Mungu na afanye njia utolewe gerezani😢
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Nakuomba sana mtegemee Mungu kuliko mwanadamu. Endelea kuwa pamoja na Mungu. Kila siku tunaoyaona mateso yako kutoka kwa serikali ya CCM, Mungu hatakuacha. Mungu anakwambia nyamaza kimya utaona majibu ya Mungu na wataona ukuu wa Mungu.
@mamasmartcollection7063
@mamasmartcollection7063 9 ай бұрын
Mapenzi yako yatimizwe BWANA kwa ajili ya mtumishi wako,l LOVE YOU JESUS, THANK YOU LORD 🙏🙏
@nyakatongongo4292
@nyakatongongo4292 8 ай бұрын
Mungu atajibu
@nyakatongongo4292
@nyakatongongo4292 8 ай бұрын
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@nyakatongongo4292
@nyakatongongo4292 8 ай бұрын
Mungu atakutetea
@yustongede263
@yustongede263 11 ай бұрын
Hata kama wanajiona wameshinda, lakin bado wameshindwa, hata kama upo jela, umeitenda kazi yake aliekutuma. Chakula changu ndicho hik niyatende mapenzi yake nikaimalize kazi aliyonituma. Hongera Sana shujaa.
@bonabonala5559
@bonabonala5559 11 ай бұрын
wakristo msipo msadia mtumishi huyu nanyi yatawakuta ira sio kwa gwajima wala mzee wa upako wataanyooshwa na mungu wao wa mapesa naa ushetani tumuunge mkono mbarikiwa yuko nyikani mwamakula mungu yupo, nawewe amina
@khadijakahindi8943
@khadijakahindi8943 9 ай бұрын
Mungu yuko nawe pastor ,hata yesu alipitia mtihani mikubwa ,mungu yuko nawe mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏
@barakamwakisale3431
@barakamwakisale3431 8 ай бұрын
Daaa hii nyimbo nasikiliza huku machozi yakinitoka mchungaji wangu mungu yupo ipo siku atazililisha uma kuwa mwacheni mungu aitwe mungu
@user-yy2fn1xf1l
@user-yy2fn1xf1l 7 ай бұрын
mungu peke ndye atakufuta machozi awo mapepo waache TU mungu atawahukumu
@MichaelAbel-v3m
@MichaelAbel-v3m 10 ай бұрын
Mtumwa wa Mungu,hapo hakuna Roho wa Mungu, unyenyekevu, Eb 12:14-15, Hos 4:6,soma Biblia Ina pande mbili,utabarikiwa.Amen
@priscahkiyondi-om1lt
@priscahkiyondi-om1lt 9 ай бұрын
🙏🙏
@BenadetaLatnathael-ri9iu
@BenadetaLatnathael-ri9iu 11 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa mungu mung Yuko pomoja nawe mung hufugua njia pasipo njia hope moyo yapita ❤🎉🎉🎉🎉🎉❤
@salahsadi3908
@salahsadi3908 10 ай бұрын
Tulia tulia hayo yatakua furaha kuu mbele za MUNGU wetu watakapoanza kulia wao hakuna faraja kwa binafs na wasipotubu jehanamu inawangoja kwa moto wa milele,
@AbdonMkinga
@AbdonMkinga 7 ай бұрын
MUNGU akuone mtumishi Wake
@HILIDAMAKALA
@HILIDAMAKALA 8 ай бұрын
Ameen hayo yote ni mapito to mtumishi yanamwisho
@LizybethRaphael
@LizybethRaphael 4 ай бұрын
duuuuh.!!!!! mungu wa mbinguni hata nyamaza kwa ajili yako mbarikiwa naamini kwamba katika hayo yote TUNASHINDA NA ZAIDI YA KUSHINDA hata nyamaza mungu pia atalipa kisasi kwa wote waliokutendea haya baba angu Samweli anasema kuwa Lakini hata sasa bwana AMETUPIGANIA neno hili litakuwa moyoni hata kinywani mwako kila sikuu utawaambia watu
@pascalpeter6984
@pascalpeter6984 6 ай бұрын
Ufalume wamungu unatekwa na watu wenyenguvu 👏👏✊
@user-ju4mi1qx5b
@user-ju4mi1qx5b 11 ай бұрын
Jipe moyo. Mkuu lazima atukuzwe yesu kupitia we were. Mtumishi wa mungu Atapambana nawo❤❤❤❤❤❤❤
@ngesileanganile3747
@ngesileanganile3747 9 ай бұрын
Mungu yu pamoja nawe katika kipindi hiki kigumu unachikipia ni SWALA muda tuu na kanani nchi ya Ahadi Utaifikia tu
@mamasmartcollection7063
@mamasmartcollection7063 9 ай бұрын
Jipe moyo mkuu mtumishi utashinda,baada ya dhiki nifaraja, majaribu ni mtaji,usiogope Mungu yu pamoja nawe wala hatakuacha pamoja na familia yako, Mungu akupe uvumilivu 🙏🙏
@UAMSHOTV
@UAMSHOTV 11 ай бұрын
EEH MUNGU INGILIA KATI BABA, MZAZI WETU TUNAMHITAJI SANA SANA, EEH YESU TUSAIDIE BABA
@user-ku5up6bp4m
@user-ku5up6bp4m 11 ай бұрын
Pole mtumishi wa Mungu, umevipiga vitavilivyo vizuri atasimama nawe bwana wamabwana kunakusudi la Mungu kwayaliyokupata
@GodwiniMatola-v8w
@GodwiniMatola-v8w 7 ай бұрын
Mungu atawalipia
@evapendoshilamungaya7759
@evapendoshilamungaya7759 8 ай бұрын
Tumika hata gerezeni watu wapate kupona.Injili inasonga mbele.Mungu akubariki.
@user-bp6pl8xi8z
@user-bp6pl8xi8z 9 ай бұрын
Mmbarikiwa mtumishi wa mungu huo ndio ukristo I gawa mate so mengi lakini mungu unaye mtumikia atakuokoa hatuwezi kosa kulia but ❤❤❤ ndugu zangu na dada lindeni mama musimuache
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 11 ай бұрын
Mungu msimamie mtumishi wako.
@AjuaLupembe-px2rb
@AjuaLupembe-px2rb 11 ай бұрын
Mungu usiye nyamaza kwa ajili ya jina lako na watoto wako mtoe mtoto wako mbarikiwa gelezani kwa ajili ya utukufu wa jina lako Amen
@rehemachipwaza5907
@rehemachipwaza5907 10 ай бұрын
Mungu shuka tukuone nyoosha mkono wako kwa mwanao Mbarikiwa shuka Baba tukuone😢😢😢
@emmanueliman7408
@emmanueliman7408 11 ай бұрын
Jipe moyo,Paulo and Sira waliomba,niwatie moyo msilie sana kama wimbo ulivyo hatuna budi kuyapitia haya tulio wateule wa ufalme Mbinguni,familia jipeni moyo mkizidi sana wafilipi 4:6,7.pia Mwenye haki ataishi kwa imani.
@ngugit88
@ngugit88 10 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu sana vita hivi ni vyake vitamletea Mungu utukufu praising God in a strange land its not easy may Jehovah Elgibor fight this battle
@neemamhongole2801
@neemamhongole2801 9 ай бұрын
UNAJUA ukisema UKWELI,unaonekana MJINGA,POLE SANA MTUMISHI WA MUNGU!MUNGU YUPO NAYO PIA YATAPITA!!YUPO MPIGANAJI WAKO,PLS USIFE MOYO!!
@JosephineDangat-et6nn
@JosephineDangat-et6nn 3 күн бұрын
mungu na awatunze watumishi
@joycendila7059
@joycendila7059 11 ай бұрын
Pole mtumishi wa Mungu mateso unayoyapitia pamoja na familia yako ni maombi yangu Mungu aingilie kati asimame mwenyewe bila yeye sisi hatuwezi
@jamesstar1737
@jamesstar1737 6 ай бұрын
Ameen
@ElimengiridaMugisha-ex6tc
@ElimengiridaMugisha-ex6tc 9 ай бұрын
Poleni jaman Yesu a liyasema
@PaulKilonzo-mw4ks
@PaulKilonzo-mw4ks 10 ай бұрын
Mungu teda miujiza kwake
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 11 ай бұрын
Mungu awatie nguvu family yambarikiwa mungu ni mwema atafanya jambo juu ya huyu mtumishi wake amina
@dominiqueharerimana5536
@dominiqueharerimana5536 10 ай бұрын
Kbx huyu Babu M.ch Mtumishi wa Mungu kuanza nyimbo ya Kwanza ambapo alianza kuimba nilimufwata ,kwa mateso yooote ambao alipitia kwajili ya injili njema nilimufwata na mpaka leo nimemufwata nawambia ukweli 100%mapito haya ,haya takua yabule machozi haya .Mungu sio means damu Soma kitabu Cha Kuhesabu16:1..........................kumaliza.
@hildakirui119
@hildakirui119 7 ай бұрын
Pole sana mtu wa mungu wacha mungu akufute machonzi 😢😢😢hata nimelia.
@user-lw8nq3je1f
@user-lw8nq3je1f 9 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ili uweze kutoka gerezani
@samsonanney
@samsonanney 8 ай бұрын
Hakika mungu ndy mwenye haki atafanya njia pasipo na njia pole mtumishi wa mungu
@upendoshirima-uh7of
@upendoshirima-uh7of 11 ай бұрын
Ole ,ole,ole Kwa taifa lisilomuhofu Mwenyez Mungu.viongozi munaohusika juu ya mateso ya watu wa Mungu tubuni maana ole ya Bwana ipi juu yenu
@IsaacPhilemon-mt7bk
@IsaacPhilemon-mt7bk Ай бұрын
Pole sana
@DianaMacha-jf8gw
@DianaMacha-jf8gw 9 ай бұрын
Huenda ikawa Mungu ameruhusu aende huko gerezani ili wafungwa nao injili iwafikie
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 8 ай бұрын
Jamaniiiiiii kwann mmefkia huku lkn KANISA?????
@UlimbokaMwaipaja-uo9wt
@UlimbokaMwaipaja-uo9wt 9 ай бұрын
Hakika Mungu akusaidie mtumishi.ila Mimi naamini Mungu anakuandaa kwa namna furani
@CremanceNyarukundo-qz1gj
@CremanceNyarukundo-qz1gj 8 ай бұрын
polesana tenapole mungu atakutoshatu namimi nipitia hayoyote usifemoyo uyumungu tunayemutumikia atakutoa gelezani polesana
@godfreymajura5336
@godfreymajura5336 9 ай бұрын
😂pole sana baba lkn lazima tujue kuwa 1wakoritho 10:13-14 imejieleza Amina hope moto mkuu
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 9 ай бұрын
Mungu nimwaminifu nawahaki,Yeye hufanya njia pasipo nanjia,Mungu aliyefanya kwa Paulo na Sila hata kwako ATAFANYA.
@user-jh3pi2nu7v
@user-jh3pi2nu7v 7 ай бұрын
Mungu pekee ndie mwenye uweza,.... Kuna wakati mungu ametufumba.. Hatukujua saa wala majira kama ipo siku utayapitia.... Lakini Mungu hafananishwi.... Atabaki kuwa mungu...... Kibinadam ni vigumu kukubali
@user-hh6bu9jr9x
@user-hh6bu9jr9x 10 ай бұрын
Ulimwenguni mnayoziki jipeni moyo hakika mungu atakushindia mjakazi wa mungu Mbarikiwa nasi tunakuombea kwa bwana hili nalo liwe na mlango wa kutokea
@user-ie5wx8ls2v
@user-ie5wx8ls2v 8 ай бұрын
Mungu aibaliki familia na Maisha yako amen
@user-uz4kv9vl3m
@user-uz4kv9vl3m 9 ай бұрын
Mungu anakusudi mtumshi wa Mungu huko uliko ichape injili wafungwa waokoke
@markojoseph8091
@markojoseph8091 8 ай бұрын
Mungu akusaidie.shujaa wa Imani
@user-kp5wj7su8m
@user-kp5wj7su8m 8 ай бұрын
Mungu afungue njia zako mtumishi
@DanielMpagama-p5q
@DanielMpagama-p5q 8 ай бұрын
Usife moyo mtumishi. Mungu atafanya njia pasipo na njia. Utatoka salama kabisa. Mungu yupo
@thomasmatagi7359
@thomasmatagi7359 11 ай бұрын
Mungu amewaamini kwa imani yenu kwa kuruhusu mpite katika majaribu hayo makubwa
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 10 ай бұрын
Majaribu ni mtaji wa imani isiyotindikiwa Jipeni moyo mkuu Mungu hajanyamaza anetoa mda Watesi wako wajifunze kupitia wewe,watende haki kabla ya ghadhabu ya Mungu ile kuu.
@user-nk9vp4dt5f
@user-nk9vp4dt5f 9 ай бұрын
Mungu asiye lala wala asinzii, ipo majira na nyakati atajiziilisha kwa ukuu wake.
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 11 ай бұрын
Mungu akufunike kwa damu ya YESU Christo aliye hai
@vallemankini-yf6fb
@vallemankini-yf6fb 11 ай бұрын
Mwenye haki wa Mungu ajapopita ktk uvuli wa mauti cyo kwamba Mungu haoni anaona anakuandaa kwa majira usiyoyajua bado Glory to God
@FahariMahenge-ub7ex
@FahariMahenge-ub7ex 9 ай бұрын
Mungu yupo
@lekungatoroka9194
@lekungatoroka9194 7 ай бұрын
Barikiwesana ❤❤❤
@JumaMohamed-ps6zo
@JumaMohamed-ps6zo 10 ай бұрын
Acheni kuhubiri uongo, ili mambo ya kama hayo yasiwakute, sasa kama Yesu anaokoa na akuokoe tuone
@alice-sd1sv
@alice-sd1sv 9 ай бұрын
Amen very touchable song
@yusternachilima5888
@yusternachilima5888 11 ай бұрын
Mungu shuka na shusha haki yako japo mala moja ☝️ nakuomba 🙏🙏🙏 😭😭😭😭
@user-ob6qy8py6l
@user-ob6qy8py6l 10 ай бұрын
Jua kabisa MUNGU kaluhusu,ayubu alisema nikipata mema tu na Malaya yaende Kwa nani
@BerthaMaganga
@BerthaMaganga 9 ай бұрын
Imani iliyo kubwa kama hii tuipate wapi je tupate mema tu na tusipatwe na mabaya Imani kama ya ayubu yesu ni mweza
@EliaMwaijumba
@EliaMwaijumba 11 ай бұрын
Umehubiri wauni wameiacha bangi unatumwa kama yusufu gerezan ubiri na huko kuna watu wa mungu
@AvelinaChiute
@AvelinaChiute 11 ай бұрын
Pole sana mtumishi ,hakuna marefu yasiyo na ncha
@geregoniyanizigama6061
@geregoniyanizigama6061 7 ай бұрын
Yalitabiliwa kuwa mtapelekwa magelezani nimwanzo tuombe tu yalio andikwa yatatimia lakini mtetezi wetu yupo usivunjike moyo
@IlakozeJoshua
@IlakozeJoshua 11 ай бұрын
Mung anasikia tuyaombay tunapasw kuvumilia hay tunayopitia
@-lameckvitalis
@-lameckvitalis 11 ай бұрын
Baba upo mlango wakutokea mungu atafanya😢😢😢😢
@user-yd3gq6wm6q
@user-yd3gq6wm6q 10 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa mungu mungu akutetee
@Annah-m8r
@Annah-m8r 10 ай бұрын
Jaman alifungwa kwasababu ya nini
@timotheosaimon6169
@timotheosaimon6169 9 ай бұрын
Kamanda Pole sana MUNGU hatanyamaza wala kukaa kimya. Hakika MUNGU ingilia kati katika hili
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 11 ай бұрын
Mungu akuone mtumishi pole sana
@user-ix7cs9vr4b
@user-ix7cs9vr4b 11 ай бұрын
Machozi ya mwenye haki hayamwagiki bure
@RoziNkind-kk8re
@RoziNkind-kk8re 11 ай бұрын
Mungu akusaidie muchungaji
@wemamanikana9791
@wemamanikana9791 11 ай бұрын
Ee Bwana Yesu Kristo onekana katika hili tunakuomba 😢🙏
@user-gi7dr8sk4h
@user-gi7dr8sk4h 9 ай бұрын
Sijajua sababu ya yeye kuw magereza hebu wenye habari hii naomba munisimlie ninj shida
@trizafrances4304
@trizafrances4304 9 ай бұрын
Mungu Mungu ingilia Kati Jehova kupitia huyu mtumishi wako muondole Hii mi sukosuko Jehova
@sarahmwakipembe5033
@sarahmwakipembe5033 11 ай бұрын
Jamani Wengine tunaumia Sana Jehovah ingilia Kati Mbarikiwa achiwe huru haya machozi wengi yatawagharimu pole Sana watoto wa Mbarikiwa pole mama mbarikiwa
@ElishadaiSam-rq3hl
@ElishadaiSam-rq3hl 11 ай бұрын
Tutakutoa hivi punde Mtumishi wa Kristo. Tupo kwenye huo mchakato.
@cosmasnjawa7249
@cosmasnjawa7249 11 ай бұрын
Mungu awatie nguvu kikosi kazi Cha injili mungu yuko pamoja na ninyi yuko anaona hatakaa kimya atetenda wana wa mungu
@karumelaahuu8075
@karumelaahuu8075 9 ай бұрын
Polesa
@rosemarenga832
@rosemarenga832 11 ай бұрын
Mungu atakutetea mtumish jip moyo
@njiaya6833
@njiaya6833 11 ай бұрын
Mungu akiamua kuingilia kati kila jambo tz litakuwa ndivyo sivyo kama ardhi ilifunuliwa wana wa israel wakafunikwa itashindikana je kwa taifa ambalo ana agano nalo.
@user-tp5he4cq9s
@user-tp5he4cq9s 10 ай бұрын
Neno la MUNGU linasema ole atendaae Hila ila Hila hukutendewa mungu😢 yupo na we mchana na usiku amini hilo neema ya MUNGU ikufunike
@ukumbushoadam5691
@ukumbushoadam5691 10 ай бұрын
Mungu upo wapi kwani jaman mbna hivoo Fanya jambo basi Mungu Nakuomba
@irenenanjala3242
@irenenanjala3242 11 ай бұрын
Jina la bwana litukuzwe milele 🙏🙏
@PendoBajuta-gp1bp
@PendoBajuta-gp1bp 7 ай бұрын
🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️
@PrescahJohsee
@PrescahJohsee 10 ай бұрын
Hayo ni mapito ya watumishi wa bwana
@malitapius7834
@malitapius7834 7 ай бұрын
Tulia.mtumishi haya yatapita 😂😂😂
@emmanuelmgowella8228
@emmanuelmgowella8228 8 ай бұрын
Mungu anena juu Yao nadhambi hii hakika mungu ataihukum
@esaumoiseselias-gs4py
@esaumoiseselias-gs4py 11 ай бұрын
Mungu akurinde Mchungaji tunakuombea
@alfredmchilo6438
@alfredmchilo6438 10 ай бұрын
Sina shaka mbarkiwa kwan moyon mwako umemjaza crsto hivyo uyapitiayo mnapitia pamoja ningumu kibinadam caa utakatifu hakika utapita
@amossambe2838
@amossambe2838 9 ай бұрын
Atukuzwe Bwana maana anao watu Dunian wakujivunia
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,8 МЛН
Mbarikiwa video kutoka studio  Tenzi no 12  Roho wa mbinguni
9:55
Helbeth Mlelwa 🎖️
Рет қаралды 76 М.
Nataka kuvuka-Bwana niongeze-Roho wa Bwana by pastor Collins Khisa.
19:55
Pastor collins khisa
Рет қаралды 397 М.
MBARIKIWA  AIBUKA na KIFO CHA MARCO
8:03
Modesta Peter
Рет қаралды 92 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,8 МЛН