Unaposkia nyimbo izi unaskia uwepo wa Mungu, mbarikiwe sana watu wa Mungu.
@user-ru6pz2dx3m6 ай бұрын
Mungu akutetee sana nyimbo hili inanibariki sana
@user-qm3ur5sx7t7 ай бұрын
Yesu wewe unatosha kwenye maisha ya mbarikiwa ingilia kàti yesu tunakuomba tunakuomba mungu wa mbinguni
@HenriquesAlberto-bx7op3 ай бұрын
Asante sana mchungaji. Mungu akuteteee...
@KabonekeFathili3 ай бұрын
Samahani kaka taarifa hii ni ngeni
@fgvh2151 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo za mtumishi
@user-vn5vo3zc6yКүн бұрын
Ameen
@Uplifiting2 жыл бұрын
Mpendwa wangu Kaka na Mtumishi wa Mungu wetu Jehova, unanibariki sana na sauti yako upako uliopewa na Bwana Yesu Kristo. Achana na siasa, siyo mahali pacha kwako. Endelea kumsifu Mumba wako! Baraka zako ziko hapo. Barikiwa sana Mtumishi.❤️❤️❤️🧚♀️🧚🏾🙏🙏🙏🙏
@NgenaSuzanne-rh5eu2 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe saana, nasikiya kubarikiwa sana, Mungu wetu akubariki
@user-sk6ly4oj9c9 ай бұрын
Kikosi kazi pamoja na kupaza sauti hili la kuchangisha pesa kwa kutumia nyimbo zake litafaa sana piteni jamaan
@doriswangui34446 ай бұрын
Ooh!Naskia hizi nyimbo zikiwa na upako mwingi...machozi yanitiririka nikitafakari mapenzi ya mungu
@daudimichael73389 ай бұрын
Nimerudi huku kujifariji, baada ya mtumishi wa Mungu kufungwa jera
@user-zs7hm1xh6f6 ай бұрын
Mungo anatosho
@johnptingit64843 жыл бұрын
Great praise and worship songs. I always come back to listen to, be preached to and to be blessed. Please keep up the good work.
@sophiaesmarcharo9775 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲💜💜💜💜💜
@user-wy7ix7rs8q5 ай бұрын
Kenya tunaombea mbarikiwa sana atoke, jela Tanzania wakikata karibu Kenya
@openshawmuruli53313 жыл бұрын
Go ahead brother ,this is the way we desire that one day we may see our Lord Jesus.
@hmphrymz23562 жыл бұрын
L
@marbleimbuhila11 ай бұрын
Sina hofu mbele zake dhambi zangu kuziosha MUNGU nimwema kwa maisha yangu
@jemimaphilmon5391 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana nimependa
@user-mz4et1un8b6 ай бұрын
jina la bwana libalikiwe
@ochangamedia9747 Жыл бұрын
Nakutakia miaka nyingi duniani mkuu Kwa jina la Yesu
@user-bo6hb9jq4o9 ай бұрын
Amina unanigusa sana
@fgvh2151 Жыл бұрын
Nyimbo zinavutia uwepo wa Mungu,,,namungu azidi kubariki watumishi wake
@felixmunyao4400 Жыл бұрын
Amina tutupe vya chini vyote twendeni kwa bwana .....
@NellyCherono-bc7vp Жыл бұрын
From Kenya , wish I could download to praise when am offline
@tumainimwakyaka2775 Жыл бұрын
Umebarikiwa sana mtumish wa MUNGU kuanzia saut had mahubir yko
@user-jl6en6rr8m7 ай бұрын
❤Nakuombea mtumishi wamungu utashinda yote Kwa imani
@user-tk3it3qs7z Жыл бұрын
Hiso nyimbo sikiimba nakuanga naama najaswa roho mtakatifu sana
@NellyCherono-bc7vp Жыл бұрын
I really feel touched with this songs
@lucasamos48733 жыл бұрын
AMENI UBALIKIWE MTUME WA BWANA YESU KAZI NZURI
@GuweMwaloz-mj7rg10 ай бұрын
Mungu awe nawe
@eppiemodest Жыл бұрын
This man of God is very talented. God 😇 you Mbarikiwa. 🙏🙏🙏
@restituta52062 жыл бұрын
Utu wa ndani jamani.Bwana Yesu utukuzwe milele.
@eppiemodest Жыл бұрын
Kwa hizi nyimbo utawaokoa wengi.Hata hizi kesikesi zitafutwa. I have ever heard such Gospel songs 😇 like these of Mbarikiwa Mwakapesile.🙏
@miriammsuya44543 жыл бұрын
ubarikiwe mtumishi
@user-vt4wj1fr2c8 ай бұрын
Mungu wambinguni akukumbuke mtumishi Amen.
@alphoncio44962 жыл бұрын
Great uplifting Jesus Christ music
@restituta52062 жыл бұрын
Ubarikiwe sana na Bwana
@pettypetty1343 жыл бұрын
Much blessed with This songs za tenzi za rohoni
@JosephOmollo-nu4st4 ай бұрын
Amen 🙌🙌🙌 feel blessed with you songs
@lenoraneviah2273 Жыл бұрын
Good 👍 👍 👍 👍 👍 👍 👍
@oscarnjau5292 жыл бұрын
Its give me a warm hope in Lord... Great singer's lovely songs
@anndeya2783 Жыл бұрын
Thank you for blessing my heart
@gracelauzi9746 Жыл бұрын
Amen Amen MUNGU atukuzwe milele tuko pamoja
@hellenngwilla550 Жыл бұрын
Ameeen ubarikiwe sana sana
@gilbertmasinde4975 Жыл бұрын
Very much blessed
@user-tk3it3qs7z Жыл бұрын
Lineti
@Johnmarcelino-jmj4 Жыл бұрын
Twasoma nijma sana. Kutoka Mocambique 😅
@jerimutuli44552 жыл бұрын
Kazi nzuri, be blessed 🙏
@user-ws9pe2qk1u4 ай бұрын
Amina mbarikiwa🙏🙏🙏
@haruniaisha59058 ай бұрын
Mungu akukumbuke uko ulipo brother😢
@khadijakahindi44613 жыл бұрын
Good songs🙏🙏🙏🙏
@andrekamango85732 жыл бұрын
Najivuniaga mbarikiwa nasikiaga kuringa nilipo kutana nahii chaneli mimi najihisi kila muda nikati ya kikosikazi yesu mpe uhayi Wa milele mbarikiwa ili wajukuu wetu wakute injili hiyi ili waishi utu Wa faida baba nakuomba
@WillyTingo-rg2mh6 ай бұрын
Amen glory to God 🙏🙏🙏
@ronaldmochereorina1432 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana ,God bless you
@pascalinamukui84003 жыл бұрын
Amen, sauti nzuri za kumsifu mungu
@fgvh2151 Жыл бұрын
I'm blessed with your songs
@SixmoundMatembo-kl9lc Жыл бұрын
These worshiping songs are amezing
@Leahmjohn2 жыл бұрын
kifaransa cha tokyo
@kagsmedia20243 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@fgvh2151 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢
@eppiemodest Жыл бұрын
😇😇😇😇🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏
@harrisonikere6648 Жыл бұрын
What a blessing.......hallelujah Amen!!!!
@roselinemulikikondu1886 Жыл бұрын
I really feel blessed every time while listening this worship songs,,may God see you through
@priskapamela41232 жыл бұрын
Mbarikiwa always blessed me 🙏🙏🙏🙏
@HelbethMlelwa2 жыл бұрын
Karibu katika ibada zetu, zinazofanyika mtandaoni popote duniani.
@jacklinekirera29802 жыл бұрын
hakika jakutumaini sina ila damu yake bwana
@amoselias77922 жыл бұрын
Amina nabarikiwa sana
@pettypetty1343 жыл бұрын
Much blessed
@angelinatryphone61522 жыл бұрын
Amina🙏🙏🙏
@user-cy9bl3eu9g5 ай бұрын
Mbna azdanlodiki😢
@HelbethMlelwa5 ай бұрын
Nunua dvd
@SylvestermathiasLuoga-hd2rrАй бұрын
Mtetezi yu hai yesu kristo atakushindia kama kina meshaki na wenzake BARIKIWA SANA BABA
@tinakioko76883 жыл бұрын
🙏🙏
@georgeemase3861 Жыл бұрын
Can I get a link so that I can download please
@nellycherono1238 Жыл бұрын
I need to download
@jasminealvine3962 Жыл бұрын
Usifiwe msalaba lisifiwe kaburi linalozid yote
@JacoboNyolobi-rt6bwАй бұрын
Barikiwa baba
@windlaymachogu40813 жыл бұрын
Sir please ineed your prayer I'm from tassia Nairobi prophet windlay kwamboka good songs
@HelbethMlelwa3 жыл бұрын
Contact me in WhatsApp +255620671231
@windlaymachogu40813 жыл бұрын
0796499849 contact
@nellycherono1238 Жыл бұрын
I love this praise but u can't download
@audatusbuberwa3616 Жыл бұрын
Ninaposikiliza nyimbo hizi nafarijika sana. Na DVD zinapatikana Kigamboni sehemu gani?
@lordorcas93443 ай бұрын
Mitume na Wanabi oh Yesu bote ba likufa lufu mbaya lufu y’a HATARI Mungu na sisi Utuwezeche tufike ku muicho Amen ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏🌹🥰🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@dominiqueharerimana55363 ай бұрын
Wakisema eti kana watu watafutwa machozi na kutulizwa muyo kabisa heri mtu wakuvumilia mpaka mwisho atapumzika milele ,hapa duniani Kuna vikwazo Kuna majaribu lakini(utaamu wa uvumilivu Ni furaha.) ndugu zangu tusikate tamaa tuzifunge mikanda nyuma ya maisha ya Leo Kuna maisha Bora Tena.
@gilbertngetich8273 жыл бұрын
Wish you could allow us to download. Otherwise the songs are Soo beautiful and touching.
@HelbethMlelwa3 жыл бұрын
You can download them for free
@gilbertngetich8273 жыл бұрын
@@HelbethMlelwa I have tried downloading it but it's saying this song can't be downloaded.. I think you put some restrictions. Otherwise thanks. And again I wish I can get the DVD. I'm in Kenya.