BABA KTK JINA LA YESU KRISTO, BWANA TENDA,Ili wajue ya kwamba tunaye mtetezi anaye Teta....amen❤
@brightergermanus2163 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@fikencharles9993 Жыл бұрын
Amen, Mungu anapiga.ole wao wanaowagusa masihi wa Mungu.hata Mimi naamin MUNGU yupo na watumishi wa Mungu.
@uwezohekima-qk8ss Жыл бұрын
Waaaaaooooo....safiiiiii sanaaaaa....mungu pukutisha maadui wote wa mbarkiwa!!!
@mkritowamungu Жыл бұрын
Ni naomba Sana tena Sana wadhalim na wezi wa CCM wauone na kuushuhudia mkono wa mungu.
@amkenikumekucha Жыл бұрын
Mpendwa jaribu kuandika jina la Mungu Baba yetu kwa herufi kubwa ili kutofautisha Mungu na miungu barikiwe sana mpendwa.
@juliusgitonga363 Жыл бұрын
Yote uliyoyaomba ni wakati wa Mungu kukujibu Mtumishi,watajua kuwa waliguza mwenye haki.
@mvunge7108 Жыл бұрын
Hakika Mungu Wenu niwakweli, Kazeni Maombi Utawala wa Waovu Uanguke...Kanisa lenu lina Mungu.
@magreth.mhando-12 Жыл бұрын
Mungu aliyeziumba mbingu na nchi atazidi kukutetea mtumishi wake naamini 🙏
@mosesmacha1080 Жыл бұрын
Atatutetea sisi sote
@frolerencemusila2746 Жыл бұрын
Mungu na Akutetee Mchungaji Isaya 43:2 Na Yeremia 1:19 Mungu yupo upande wa haki na Mungu atajionyesha kwako Tuko nyuma yako tukikuombea Mathayo 5:10-12
@denisjoel2833 Жыл бұрын
Kwa sababu wamekuwa watawala wenye viburi ni muda wa kujulikana kwamba Mungu ws wenye haki yupo
@levidavid1156 Жыл бұрын
wew ni eliya. wasasa. hakika. najivunia mnoo namtumishi mkweli kama ww. umeniambukiza Sanaa ujasiri now siogopi. kitu. naupinga mkataba wabandari.
@isaacsanga9707 Жыл бұрын
Sefania 3:19 Tazama, wakati huo nitawapatiliza watu wote wanaokutesa; nami nitamponya yeye achechemeaye, nami nitamkusanya yeye aliyefukuzwa; nami nitawafanya msifiwe na kujulikana, hao ambao aibu yao ilikuwa katika dunia yote.
@marialesulie6798 Жыл бұрын
Amen
@hildandumbalo5827 Жыл бұрын
MUNGU YUKO NAWE MCH MWAKIPESILE TUKO 🙏🙏💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
@shamimtv254 Жыл бұрын
Nabadoo Mungu atawafutilia mbali kama Farao na jeshi lake
@GabrielPetro-qj2mk Жыл бұрын
Ww ni saut ya mungu duniani
@ESTOMIHISHOO Жыл бұрын
Na shetani anasauti si kila sauti niya MUNGU
@MUSSAPAUL-qo8hj Жыл бұрын
@@ESTOMIHISHOO Muhuni wewe nakupiga Kwa ugonjwa wa tumbo kujaa gesi, utajamba na utakosa choo, hutapata amani mpaka ujutie haya
@ugalidona-cs2yn Жыл бұрын
MUNGU Ndo MUUKUMU Wa HAKI Na Ndo KIONGOZI WA KWANZA Na Wa MWISHO Na NDO MTAWLA Wa VYOTE Na Ndo Mwenye MAMLAKA ZOTE, Ni ZAKE; Mbinguni Na Duniani,Amina. MUNGU Ataendelea Kuwa MUNGU Wa Kweli,LEO hata Milele Yote,Amina.
@yomseyyomsey5114 Жыл бұрын
Usijaribu kucheza na watumishi wa Mungu katika maisha yako Mungu alisema waacheni watumishi wangu msiwabeze.
@alvinsanga2428 Жыл бұрын
Mungu awaadhibiapo adui zako usishangilie kwa maana gadhabu inaweza kukugeukia
@eliabbanyikwa8716 Жыл бұрын
Mungu mtetezi yuko nawe baba
@jumaigoti7541 Жыл бұрын
Mtumishi mungu akulinde sana
@MasanyiwaKalabu Жыл бұрын
Mungu ni MWEMA kila wakati
@maryikambo-l4i Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu akutie nguvu ktk hili jaribu zito. Bado neno linatuambia kisasi si juu yetu. Bali ni cha Mungu, adui yako mwombee na ndipo unapompalia makaa ya Moto kichwani pake.
@helbertsoneka2008 Жыл бұрын
Mungu mhukumu wa haki atahukumu, ila nasikitika kuona hili lipo kwa namna hii daaah ni aibu kubwa sana kwa taifa lakini yote haya yana mwisho, Amen.
@danielchacha1305 Жыл бұрын
Wao pia wafahamu kuwa yeyote atakayeua kwa upanga naye atakufa kwa upanga.
@BahatiKweli Жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema, wewe ni sauti ya wengi , 🎉
@NaomiMagoti Жыл бұрын
Mungu tuondolee watu watabishaji kwenye nchi yetu Tanzania
@EllaNkuku Жыл бұрын
Mtumixh hakika mungu hata kuacha kamwe hao wanapigana na mungu hakika watakufa wao!
@christopherkanyalakc8941 Жыл бұрын
Maombi ya mwenye haki ni manukato mbelele za BWANA
@claudiamndele Жыл бұрын
Mungu tusaidie wenye haki
@christianchando7041 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu Mbarikiwa. Piga kelele usiache kwa kwa kitisho chochote wewe piga kelele. Kama Chadema na Tundu Lisu walipiga kelele za uwongo mpaka Dunia ikaamini kuwa Magufuli alitaka kumuua. Nadhani kelele hizi zako zitavuma zaidi kwa kuwa hazina hila
@SATZ-news Жыл бұрын
Viongozi wa Ccm walibadirika tu kipindi cha JPM vinginevyo ni washenzi tu ongeza maombi wote waanguke👏👏👏 Barikiwa ssna na endelea kutusemea mtumishi!!😇😇
@adamjulius9782 Жыл бұрын
Ni razima ijurikane. daudi anasema nilikuwa kijana sasa ni mzee sijaona mwenye haki ameachwa.
@mosesmacha1080 Жыл бұрын
Kweli kabisa MUNGU yupo nasi siku zote, Amen
@adamjulius9782 Жыл бұрын
Tafazali Sana, ikiwa wewe ni mwanamke na unavaaga suruali usikomenti chochote, maana mahali hapa ni patakatifu
@_CyprianBC Жыл бұрын
NATAMANI SANA KAMA KILA MTUMISHI WA MUNGU KWA DINI NA DHEHEBU LAKE ANGEPIGA MAOMBI KAMA HAYA HUENDA HATA MILIMA INGEBADILIKA NA KUWA TAMBALALE AMBAPO HATA HAWA WANAOJIONA WATAWALA WA MAISHA YETU WANGEJIFUNZA NA KUIONA NGUVU YA MUNGU, SAFI SANA MTUMISHI MAANA HATA FARAO ALIJIFANYA MTAWALA ILA CHA MOTO ALIKIONA NA ALISARENDA MWENYEWE KWA MAPIGO YA MUNGU DHIDI YA WATU WAKE NA TAIFA LAKE
@safarikeza9143 Жыл бұрын
Watumishi wa mungu huwa wanahekima zao sio huyu,
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Uzuzu, usukule, roho mbaya na ukatili ndio wanachojua ni hekima.
@safarikeza9143 Жыл бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile Kwako hakuna Roho wa mungu kabisa unalo jambo mbona kipindi cha magufuli hujawahi kukemea jambo rotate, wasiojulikana hawakuwepo we munfiki tu unalo jambo
@nicholaswaemmanuel7221 Жыл бұрын
@@safarikeza9143 Eti "rotate?"umevurugika brother! Hata nami sijaona ulilolikemea enzi zile za mzee JPM wala enzi hizi zilizojaa MAASI na UOVU WA AINA ZOTE. INA MAANA MZEE KWA KWELI ALIKUWA ADUI WA UOVU NA NDIYO MAANA HATA NAWE HAUKULIONA LA KUKEMEA. KUMBE NAWE NI MWANA CHAMA CHA KUUPINDUA WEMA NA KUUFANYA UOVU NA UOZO, NA UOVU KUUITA WEMA? MUNGU AKUREHEMU SANA IKIWA TU UTAHITAJI REHEMA ZAKE.
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
@@safarikeza9143wewe mwenye hekima si ungeongea sasa ili hekima yako ijulikane
@EzekiaMichael-jn5np Жыл бұрын
Na iwe hivyo
@User255tv Жыл бұрын
Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao (Isaya 58:1).
@Satier47 Жыл бұрын
Amen 🎉
@AndreaNzunda-f7o Жыл бұрын
Magufuli aliiawa na Samia tumeona alivoweka majambaz baada Magufuli kufa, Alina nape, makamba hao majambaz kabis
@mestonisimzosha203 Жыл бұрын
😳😳TUTAJUEA MENGI .
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Umeona eee
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Safi sana mbarikiwa ccm Hawa mbwa koko Hawa wanajidai sana na huyo rais WAO wamchongo ngoja MUNGU alieumba mbingu na nchi awanyooshe
@mosesmacha1080 Жыл бұрын
MUNGU pigana nao wanaopigana nasi
@claudiamndele Жыл бұрын
Mungu lazima aonekane
@rambostalon2888 Жыл бұрын
Wanashindw kula na vipofu kama wamachinga tumeumizwa sana lakini mungu atalipa
@epimackjohn461 Жыл бұрын
KIONGOZI WA NCHI HII MIMI NAMSIFU KWA UVUMILIVU WAKE , ILA KWA SASA AMBAPO JAMBO HILI LA BANDARI LIMEFIKIA KUYUMBISHA AMANI YA NCHI INGEFAA ACHUKUKUE UAMUZI WAKE AU MSAADA KWA WENYE HEKIMA SULUHU IPATIKANE KATI YA MAKUNDI HAYA YANAYOCHUANA .
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
@@daudimichael7338 umeona eee
@alfredbalazire Жыл бұрын
Hawataki kusikia polepole yanakuja
@FredymaswiMwita-oj6gv Жыл бұрын
Mchungaji komaaa Mungu Yu nawe,,,,
@martinkisha6307 Жыл бұрын
Na bado zamu ya hakimu mwenyewe Mungu anaenda kumshughurikia
@NaomiMagoti Жыл бұрын
Mpaka tukuone Mungu wetu
@janethmeikoki9297 Жыл бұрын
Haya hayana budi kutokea ili utukufu wa Mungu uonekane na pia kutimia kwa ujio wa kristo kunyakua kanisa lake,sioni ajabu hapa maana haya yalitabiriwa na nikweli kwamba Upanga wa Mungu utapita juu ya Taifa hili la Tanzania tusipotubu.
@mbelechimakobola8835 Жыл бұрын
Kwenye clip fulani uliwahi kutoa namba na jina la m-pesa kwa yeyote aliye na mchango kwa ajili ya huduma yenu baada ya kunyang'anywa simu, tafadhali naomba uniandikie namba hiyo hapo ili na Mimi nichangiepo kidogo kwa kuwa niliahidi kwenye clip hiyo lakini namba ilinipotea, ahsante kwa uelewa.
@@Mbarikiwa_Mwakipesile ok ahsante sana, na Mimi nimeshatupia kamchango kangu kwenye namba hiyo tayari kama nilivyoahidi. Kwa kweli ahadi ni deni, haswa kwa kazi ya Mungu ni nadhiri kabisa, namshukuru Mungu nimeitoa!
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
@@mbelechimakobola8835 asante sana
@jamesjahasa4726 Жыл бұрын
Mwakipesile MUNGU atakupa hekima ya kuongea na wakuu ziheshimuni mamlaka zilizo juu yako huwezi kushindana na mamlaka ukawa salama ogopa MUNGU na selikali daima
@MUSSAPAUL-qo8hj Жыл бұрын
@@jamesjahasa4726 Wewe unasema hayo Kwa sababu umeshiba na unajamba Jamba tu mpaka kupitia mdomoni, sisi huku Mwanza maji yanatoka mara Moja Kwa wiki mbili, umeme kukata tumeshazoea, kodi wakipita TRA ni shida tu, haya wewe ulie serikalini ukila Kodi yetu ndio unatetea maana mkishiba ni kujambia tu raia, mashetani nyie msio na utu,, Mimi nawaka moto Mimi sijui nipasukie WAPI!!!!!???? HUYU NDIYE SAUTI YANGU, BABA YANGU MBARIKIWA MWAKIPESILE TUKO PAMOJA DAIMA, KOKOTE NIKIPATA ATA KA 5000/- POKEA TU MTU WA MUNGU NIKO KWENYE MSOTO
@EmanuelKini Жыл бұрын
Wazalendo kama ndugai wachache sana muwashukuru hata wabunge wa COVID maana ndio wanatupa na tunayaona madudu haya.
@chrispincharles3616 Жыл бұрын
Wapigweeeeeeee....
@joshuajastin. Жыл бұрын
Kitu kimetokea.
@ayoubmwampeta Жыл бұрын
Ameeeeee! Hakika wew ni elia mtu wa haki. Hata kufika hapa mim najua wewe ni mshindi.wapigwee!!!
@edisonsebasitian-th3zy Жыл бұрын
Imeandikwa alaniwe Samia na selikali yake
@shabaniduduma8885 Жыл бұрын
Kweli uchizi si lazima uokote makopo
@Magufuli. Жыл бұрын
AMOSI 2:1-3
@simonzakaria4770 Жыл бұрын
Mathayo 5:44 [44]lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, But I say unto you, Love your enemies, bless them that curse you, do good to them that hate you, and pray for them which despitefully use you, and persecute you;. Kwanini usiwaombee waokoke
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Wakikataa waendelee kuua? Soma WARUMI 2:4-5 Au waudharau wingi wa wema wake na ustahimili wake na uvumilivu wake, usijue ya kuwa wema wa Mungu wakuvuta upate kutubu? Bali kwa kadiri ya ugumu wako, na kwa moyo wako usio na toba, wajiwekea akiba ya hasira kwa siku ile ya hasira na ufunuo wa hukumu ya haki ya Mungu, atakayemlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake; Kwa akili yako unajua kuwa atahukumiwa mwisho wa dunia?
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
acha ujinga na unafki wako apa nyie ndio majitu yenye roho mbaya sana mkifanyiwa mabaya hapa unajifanya kama kondoo na mimaandiko yako acha uchawa wako wewe
@MUSSAPAUL-qo8hj Жыл бұрын
Wewe Simon Zakaria nyie mko serikalini ukila Kodi yetu, endeleeni kujamba tu kupitia mdomoni, mavyakula yanezidi tumboni
@simonzakaria4770 Жыл бұрын
@@MUSSAPAUL-qo8hj hivi kumbe na matusi mnayajua enyi kanisa la matusi.
@simonzakaria4770 Жыл бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile anayetoa hukumu ni Mungu siyo wewe unayewatisha watu mitandaoni eti wakuogope.wewe mwenyewe bado unasubiri kuhukumiwa kwa matusi yako na kuzidharau mamlaka
@HURUMAKALINGA Жыл бұрын
Maomb gan hayo sas ni kama unavisa na wanaccm wte mh
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Ccm time hii mmeyakanyaga
@rehemadaudi550 Жыл бұрын
Nimeamini serikali ina subira ktk kutoa maamzi, kwa matusi ya huyu jamaa km una hasira, angeshanyongwa, na waumini wanafuata nyuma km mbuzi,😂😂😂 ila kwa ushauri wangu huyu angepelekwa milembe sio jera kuna kitu hakijakaa sawa
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊👍✌.
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Serekali hairogwi
@luganomwaigomole7441 Жыл бұрын
IMANI ISIYO TETEREKA
@protasmligo4032 Жыл бұрын
Sisiemu kwakweli hawafai kwa sasa kuongoza nchi,zimejaa dhuluma,
Mwamba hiyo ni sauti ya wapigania haki kigoma tunakupata JPM mwamba wa dunia
@deograthiusalphonce6977 Жыл бұрын
DUH MAOMBI YA KITOTO SANA HAYA ....YAANI HIVI NI VITUKO SIO MAOMBI😂😂
@JESUSISLO891 Жыл бұрын
Tunaomba ila tunaomba vibaya sidhani kama hayo ni maombi ya mlokole, hamna utofauti na mpagani na ajabu mnayaleta mitandaoni kama mafarisayo waliosimama njia kuu wakidhani maombi marefu ndio yanasikika kweli tumekosa maarifa heri mwisho mwema
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Kwa uelewa wako hata Eliya ni farisayo. Kwani yeye alisema nikaribieni mimi wakati naomba. Kwa wewe una mwisho mwema ila unamfuatilia mwenye mwisho mbaya? Bila shaka unataka mwisho huu? Au umevimbiwa asali?
@JESUSISLO891 Жыл бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile kiburi cha uzima
@anafikamugisha8834 Жыл бұрын
Wewe ambaye sio mpagani uliyeokoka kuliko wote ikiwa tukio lililompata Mbarikiwa lingekupata wewe,unge ropoka hayo!? au wewe umevaa ngozi ya kondoo!? .Inawezekana wewe ni MTU mbaya Sana uliyevaa ucha Mungu.Tumepewa mamlaka yakufanya vita,lakini sio dhidi ya watu wema Bali waovu na uovu Ndio maana waovu wanafanya Vita na wema.Sidhani Kama hayo waliyofanya nimabaya na waendelee hata sisi huku nje tunaomba hayo Wala hatutanyamaza maana hao wapo Kila mahali.Ukipiga Mungu amepiga ukinyamaza Mungu amenyamaza,Mungu unapoomba yeye anajua ajibu kwa njia Gani adui akianguka unafrahi na kucheza
@jumannemsengi2195 Жыл бұрын
Ila huyu MTUMISHI inabidi kufatilia anachosema kwa maoni yangu sidhani kama anacholalamikia ni UUONGO sio kwa kujiamini hivi, hebu tulisikiloze hili kwa masikio matatu mwisho wa siku majuto ni mjuukuu. Anaongea maneno makali mnoooo mbona hatupati majibu upande wa pili😭
@babazungu3180 Жыл бұрын
😂😂 km ndiyo una roho mtakatifu kaz kweli
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Sina huyo roho mtakatifu nina Roho Mtakatifu ambaye anaamini katika haki na utu
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
unae wewe
@BernardMwakipesile-nq5ze Жыл бұрын
Napenda wote walioumizwa na tawala mbalimbali wawe wamoja hakuna raisi ambaye hajaua hata magu aliua
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Ni vizuri. Kila anayemjua aliyeua ndugu yake kwa baraka za mtawala na aliyeua yuko mitaani ajitokeze. Itakuwa ni vizuri sana.
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
alimuuwa nanai yako mbona ulikaa kimya kipindi yopo minafki mikubwa nyie
@barakahhawu2324 Жыл бұрын
Fanya lolote mzee wa siku ama kweli damu ya shujaa WOKOVU HAIENDI BURE
@nicholaswaemmanuel7221 Жыл бұрын
WANGECHEZA NA DINI ZAO, WAGANGA WAO, WACHUNGAJI WAO NA KAZI ZAO KULIKO KUMDHIHAKI NA KUMKEJELI MUNGU KIASI HICHO. JE, HAWAJASOMA, HAWAJAAMBIWA AU KUSIKIA KUWA TANGU KUWEKWA MISINGI YA DUNIA MUNGU HADHIHAKIWI NA HAKUNA ALIYEWEZA KUPAMBANA NAYE? MUNGU AWATIE NGUVU NA MIOYO YA TOBA IKIWA WATAONA HAJA YA KUTUBU. HATA NAMI NAJIFUNZA KITU. AMEN!
@KaseMwaliyoyo-mb3wp Жыл бұрын
Hakuna lisilo wezekana kwamungu Asante yesu na bado
@osanamgallah4297 Жыл бұрын
MUNGU TUNAKUOMBA NYOOSHA MKONO WAKO ILI WAJUE WEWE NDIWE UWAPAYE PUMZI
@yohana1242 Жыл бұрын
Uyu mbwa ndo atakae ondoa amani kwenye hii nchi
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Kenge hujui hata amani nini. Je amani yaweza kuwepo penye mauaji? Yaani muue alafu muwe na amani? Basi ninyi ni mashetani. Ila fahamu kuwa amani hiyo ya kuua watu na kujilimbikizia mali inatakiwa kuondolewa kwa njia yoyote.
@innocentlethisia416 Жыл бұрын
TAIFA LIMEFIKA PABAYA SANAAA
@ESTOMIHISHOO Жыл бұрын
Kama MUNGU nimwanao atafanya. Lakini yeye ni MTAKATIFU PIA sio wamitandao jifunze hekima, hayo mbaombi TUNAYA HARIBU TUNAYA BADITILISHA KWA DAM YA YESU , Bro dini si kivuli cha kufichia maovu yako kua makini ,
@merumount5988 Жыл бұрын
Ana maovu gani Mbarikiwa? Taja..
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Umesheshachelewa kubatilisha. Zaidi ya hayo kwako uovu ni haki na haki ni uovu. Kwa hapo utaendelea Kutukana
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
wewe kufanyia maovu ndio kivuli Cha kwendelea na maovu kama na wewe uliusika yatakukuta tu subilia ujila wako
@barakahhawu2324 Жыл бұрын
Akiuawa ndugu yako wa karibu ndo utajuwa Kama Mungu mwanao au ADUI yako
@barakahhawu2324 Жыл бұрын
UKIONA MWENZAKO ANANYOLEWA ZAKO TIA MAJI
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
hahahahahaaaaaa nimechekaa
@Yeshuatv729 Жыл бұрын
Wenzio wakipata mateso unasema ni Mungu anawaadhibu,lakini wewe ukipata mateso UNAONA serikali inahusika??hii akili yako ni ya kishetani Sana wewe jamaa. Nakuonya kwa jina la Yeshua Hamashiach uache kelele za kishetani NCHINI. Una Roho mbaya Sana wewe mtu.
@merumount5988 Жыл бұрын
Wenzie kina nani? Mbarikiwa anataja wahusika wanaomsumbua, mbona hawajitokezi kukanusha? Serikali si ina wasemaji wake..au wewe ndie unawasemea?
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
"yeshua Hamashiach" ndio zimwi gani hilo?
@aleckmwakibete8952 Жыл бұрын
kiukweli watu kama nyie mngekuwa mko jirani makofi yalikuwa yanawahusu, shetani baba yako amekutuma uje umtetee
@Yeshuatv729 Жыл бұрын
MPOKEE Yeshua Leo hii kabla hujafa ukaenda jehanamu. Huna wokovu bila kubatizwa kwa jina la Yeshua.
@JojiGeorge-c4f Жыл бұрын
Unajua mchungaji unaropoka sana sijuii Kama akili zinakutoka kwa mda
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Usiyeropoka umeongea nini, wapi na kimeleta maana gani? Kenge mna uwezo wa kukosoa kwa comment wakati wewe huna ulololifanya.
@barakahhawu2324 Жыл бұрын
Wengine tunaropoka moyoni ila mdomo umekaa kimya
@JojiGeorge-c4f Жыл бұрын
Wacha kuchafua serekal mtoto wako kafa Kama watoto wengine wanavyokufa na Kama nikuuwawa huwez kumuua mtoto wa mtumishi wa Mungu bila Mungu kuruhusu mtoto ako alikufa kutokana na ajali iliyotokea damu itakuwa damu ilivia kwa ndan bila kujua ,Kuna mtu pia alipata ajali na hakuumia popote na ndugu pia na pastor baadaye alikuja kufa kumbe aliumia ndan kwa ndani
@barakahhawu2324 Жыл бұрын
@@JojiGeorge-c4f ivi Yule afisa usalama wa taifa aliyesema aliratibu kifo Cha mtoto ndo unamkatalia wewe
@BakariAlihajiАй бұрын
Apelekwe mentalii huyu
@AdelaJohn-n5v Жыл бұрын
Mungu ndiye mtetezi wetu tunakuomba umutetee mutumwa wako Mbarikiwa To lllllll
@emmanueltuppa5459 Жыл бұрын
Mvua ya vyura
@safarikeza9143 Жыл бұрын
Wewe ni mutu mudogo sana samia hawezi kuhangaika na wewe mama wa watu
@bcozhenry2698 Жыл бұрын
Wewe mpumbavu tu, kuna mtu mkubwa hapa duniani zaidi ya Mungu?
@juliusgitonga363 Жыл бұрын
Eti mbarikiwa ni mtu mdogo sana?Wewe ambaye ni mtu mkubwa,je waweza kuyasema yali ambayo huwa anayasema?
@nicholaswaemmanuel7221 Жыл бұрын
Huyu ni kibaraka mweusi(kazi ya uchawa hii); hatari sana! Na wewe (@safarikeza) uwe makini sana na Mungu. Ujue tangu mwanzo MUNGU HADHIHAKIWI.
@EliatoshaLema-rw5hm Жыл бұрын
Wewe kama ni mkubwa kuliko mbarikiwa una Nini zaidi? Ngoja sasa uome ukuu wa Mungu kupitia mbarikiwa
@medicalamon908 Жыл бұрын
1 Kor 1:27-29.SOMA bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu; tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko; mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.ACHA KUDHARAU WATUMISHI NA MTU YEYOTE YULE Kama kweli unaamini kuwa MUNGU yupo na alikuumba.
@jamesmasome359 Жыл бұрын
Mbwa wewe....
@safarikeza9143 Жыл бұрын
Udanganye wajinga kama wewe Mala usalama wa taifa mara samia unanini wewe wahangaike na Wewe utaishia kuropoka tu kwenye mitandao
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Wamekutuma? Hata Farao na watu wake waliongeza matusi hata baada ya ishara madhubuti kutendeka. Acha inyeshe tuone panapovuja.