Sisi kwetu injili ni kuongea na kukemea maaovu na uovu na kuwakataza waovu kutenda uovu. KWA MAWASILIAMO ZAIDI PIGA SIMU 0655436603 au 0769015164
Пікірлер: 160
@isakamwambenja73979 ай бұрын
Ahsante mtumishi wa Mungu. Umesema kweli. BIBLI NI NENO LA MUNGU
@tobiasolando44679 ай бұрын
Mafundisho nzuri Ngugu. Aki nmeombea sana dada Christina. Mungu amfungue macho aki. Amen!
@stephaniakanka81789 ай бұрын
Amen Amen Amen baba yangu hubarikiwe sana kwa mafundisho na neno lake bwana. Nuru na giza haipatani kabisa baba 🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇧🇻
@johngerald47399 ай бұрын
Ni vema ukahubiri Toba kwa wanaopotea kuliko kuhubiri kumsema mtu sioni kama hiyo ni sawa mbele za Mungu wapo Watu hawamjui Mungu wanahitaji injili sio busara mahubiri ya kumsema mtu binafsi watumiahi siku hizi mnatafuta umaarufu kuliko kufanya kazi ya Mungu. Ee Mungu wa mbinguni tusaidie sana.
@mosessiame78829 ай бұрын
Udumu ktk huduma hiyo mtumishi Mungu akubariki sana Ukweli daima unama God bless you
@simonzakaria47709 ай бұрын
Nusu saa nzima unawahubiria wakristo wako habari za mtu badala ya Mungu
@Mbarikiwa_Mwakipesile9 ай бұрын
Ukimhubiri huyo Mungu hauhubiri watu? Kwani Biblia haijaandika makosa na mema ya watu ndio tunayoyasema ili wengine wajifunze?
@odilomwemeziernest6469 ай бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile kweli kabisa mzee tunahubiri kwa kusema watu wa zamani kwa uzuri wao au ubaya wao.
@tinajoe54878 ай бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile hakuna cha kujifunza hapo
@zebedayokatamaduni96763 ай бұрын
@@tinajoe5487Kipo
@JimmyMwakatundu9 ай бұрын
Mmi ni mtu ambaye sisikilizi wachungaji ila wew nakusikiliza, that your incredible pastor we talk really and immediately
@IpyanaPaul8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji hakika mimi nime kuelewa sana
@DawsonDuma9 ай бұрын
Mstari wa 12 inazungumzia mzazi mwenzako siyo mke uliyokwishaoa. Yesu haiwezi kujipinga. Ukiwa na shaka Muulize YESU mwenyewe.
@edengospeltv43959 ай бұрын
Ni kweli Mtumishi yaani ukiingiliana sana na Dunia lazima uangukie pabaya. Mfano mavazi, misemo ...Natamani watu wa media tupate vipande vya ujumbe huu kuna Hekima zinahitajika watu wazipate ziwasidie. Maana wengi wanapima mambo kwa jicho la Dhambi au siyo dhambi wasijue kumbe kuna mambo mengine ni mtego wa shetani kupoteza IDENTITY ya Kanisa
@nguzoyetugirlscentre62709 ай бұрын
Utajifumaniaje we mtumishi ni mchanga kiroho watumishi wengi wanaume wameanguka mara nyigi.Usijitape jiombee Mungu akusaidie. Hivi unajua maana ya neno malaya au soma yakobo ulimi ni kiungo kidogo na mtakatifu utampima kwa ulimi.
@Neema-m6s9 ай бұрын
Amen mtumishi kiukweli binadamu hapendi kuambiwa ukweli ubarikiwe kwa kusema kweli.
@jeremiahcharles60279 ай бұрын
Aliolewa akiwa na miaka chin ya 18 na alilazimishwa ,,,na aliolewa na mtu MZIMA aliaemzidi umrii pakubwa ,so kajitambua kapata pa kuanzia kasepa ,,Hana baya
@patiencekalondji80919 ай бұрын
Hallelujah hallelujah baba nafikiri Mungu anataka kuzaa kiroho yaani kuaminisha wasio mujua Mungu
@stephaniakanka81789 ай бұрын
Ame tuvunja moyo kabisa baba yangu tulikuwa tuna penda nyimbo zake kabisa baba yangu hubarikiwe 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇧🇻
@jeremiahcharles60279 ай бұрын
Kwann uvunjike moyo ,Kila mtu Ako na mapito ya peke ake,,so kaa kwa kutulia ,,,,,,huyu mama aliolewa na kwa kulazmishwa na wazazi ,akiwaa na umri mdogo ,na akaolewa na mtu mzma,,,,sasa kajitambua kapata upenyo kasepa ,kosa lake liko wapi??????
@upendochiwa259 ай бұрын
@@jeremiahcharles6027angekaa kimya tu ingesaidia, kuliko kumsema baba wa watu, mm mwenyewe Christina kaniumiza maana nyimbo zake nyingi nikizisikiliza zinanipa unyenyekevu wakuingia kwenye maombi, naumia sana na natamani christina arudi kwa mume wake itapendeza zaidi
@HappyMsuya-og7ok9 ай бұрын
Ukimsema Sana mtu aliyekosea unajichafua muache mungu afanye kazi yake
@AllexNnko9 ай бұрын
Hii ni aina tu ya mfano wa watumishi walio itwa kipindi cha uamsho na msipo amka nyinyi viongozi vipofu wanakuja kaeni tyr upesi
@JescarMwakipesile8 ай бұрын
Mungu atusaidie ili tuishi na kutembea ktk Kweli Yake.
@DawsonDuma9 ай бұрын
Mathayo 1:20 [20]Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa RohMtakatif Ndoa ni agano na Mungu anaanza kuitambua wakati wa uchumba.
@consoassenga71538 ай бұрын
Tatizo la watumishi wa leo, wengi hamjui mnachopaswa kufanya. Mnafikiri ili mpate waumini lazma mumtumie huyu dada maana mnajua wengi wanampenda na wangependa kumfwatilia.😊
@abrahamnyagawa13049 ай бұрын
Baba,ninakushukuru Sana,niko Shinyanga,lakini ninatokwa na machozi kwa gharama ya ajabu ya huduma yako. UBARIKIWE NA BWANA.ninakupenda Sana,mch mwakipesile.
@chancealimasi19468 ай бұрын
Ubarikiwe
@richardthomas44874 ай бұрын
Wakristo kwa Sasa dini yetu imekuwa haieleweki unaongeleaje mtu uache kuhubiri neno la Mungu
@rachelmaina34769 ай бұрын
Sio lazima ufatane na mmeo.Lakini kama kulikua na mengine mungu aingilie kati.
@dicksonmlelwa17629 ай бұрын
Binafsi nampenda sana huyu mchungaji
@Graceyusuphh9 ай бұрын
Laiti kama Nyumba zingepewa vinywa, basi tungejua siri za wengi. Mungu na wao ndo wanaojua ukweli. Pengne siku ikiwa wazi tutakosa cha kunena. Tuweni na akiba ya maneno.
@MamasokoWahushi8 ай бұрын
Pastor wafaa kuombea hii familia badala ya kuiponda juu ya madhabau na wewe ni mzazi
@jeremiahcharles60279 ай бұрын
Acheni kuhukumu watu,,,,,,,kazi ya kuhukumu sio yenu,,hakuna aliekamilika
@johnjohnkipokola50779 ай бұрын
Lazima aelezwe ukweli! Christina amekengeuka na arudi kwa Mungu akatubu na airudie ndoa yake.
@jeremiahcharles60279 ай бұрын
@@johnjohnkipokola5077 kaka umesikiliza upande mmoja,,, behind ze scene,bint aliolewa katika umri mdogo ,na aliolewa na akiwa bado hajajitambua ,na nikama alilazimishwa ,kapata upenyo kasepa ,,Hana BAYA
@gabriellyadam94159 ай бұрын
Sasa si amfate amwambie kwann anamhubir kanisan @@johnjohnkipokola5077
@RoseCornel-n8t9 ай бұрын
Pole lakini neno ni neno. Let's agree to let the Word to wash us... painful but essential.... lets move from glory to glory so that we become "cities set on a hill"...we are in a race
@beatricesamwel81619 ай бұрын
Tofautisha hukumu na maonyo.anapo potosha watu na kuukwepesha ukweli wa neno la YESU lazima akemewe ili asihalibu wanaotaka kuokoka.tofautisha hukumu na maonyo
@irenemuia27189 ай бұрын
Kweli kabisa ,Amina Amina 🙏
@DanielSaria8 ай бұрын
kazi ya watumishi ndio hiyo kuwasaidia kuona mabaya yanapokuja ili mjiepushe nayo .wewe ukiona hayakuingiii kaa kimya kwa maombi na mafunuo lakini kunawengine wanakombolewa.nadhan tuwe wasikikizaji kwanza Mungu atatupa hekima nanma ya kuyajua hayo.
@AnnaNgobola-pm7fz9 ай бұрын
Mbona ma Mbonambona mnamponda mme mwenzemwenzenu mnazidi kumpoteza christina
@gerowadamwandika6698 ай бұрын
Mchungaji umeongea ukweli mtupu baba, sema watu waelewe Alichounganisha mungu binadamu asitenganishe.
@michaelwanyanga9 ай бұрын
Katika hizo sababu mbili tu naunga mkono kabisa hotuba hii 1.Kumfumania mtu kwa sababu za uzinzi/uasherati 2.Kuzuia imani
@KennedyNgusa9 ай бұрын
Kristina amekuwa biblia ,waumini wa huyu jamaa ,nawaonea huluma mngehubila injili ingekuwa njema sana
@ceciliakongani92999 ай бұрын
Aminaaaa
@agnessmrema89069 ай бұрын
Lakini Cristina Shusho hajasema ameachana na mume wake wala mume wake hajakiri kuachana na mke wake mimi nina imani Cristina bado yuko na mume wake ila katika kumtumikia Mungu kila mmoja anawito wake
@priscadanielscappuccinolov39259 ай бұрын
Nimekuelewa sanaa baba japo ukweli unauma usiogope kemea karipi na urudi
@CharlesKayungi8 ай бұрын
😊mtoto
@patiencekalondji80919 ай бұрын
Mungu ni siri kwa sababu hatumuone kwa macho ila kwa imani tu
@saidsanga39819 ай бұрын
Binafs nakuelewa mtumishi, mungu azidi kukalia kusema kweli siku zote,
@abrahamnyagawa13049 ай бұрын
Safi kabisa,wewe tuko Pamoja.nampenda sana mch mbarikiwa.
@ATHANASLUKEHA-ui7pq9 ай бұрын
Kwamba Mungu anaitambua ndoa kama mumezaa mtoto!SIYO KWERI HATA KIDOGO.
@FridayMwassa9 ай бұрын
Weka wewe hiyo kweli tujifunze kwako
@ceciliakongani92999 ай бұрын
Kweli kabisaa
@tinajoe54879 ай бұрын
Ni mahubiri?
@CharlesKayungi8 ай бұрын
Lakini,Mtumishi.Wanandoa kama hawakuzaa moto, ndoa yao itakuwa feki?
@CatherineMbatta7 ай бұрын
Ni vyema ukahubiri nguvu ya msalaba kuliko kupambana na shusho wako watu wana hirizi viunono ,hawajui wanaziachaje we unahangaika na shusho ambaye anaujua ukweli
@mpingasaidi44939 ай бұрын
Sipendi tena nyimbo zake
@jimmymasebo66429 ай бұрын
Hii comment ni kwa wale tu wanao amini biblia ju ya ndoa naomba mjisomee Kwa mwanaume Malaki 2vs14 Kwa mwanamke Mathayo 19vs3-12 nawapendo wote ndugu zangu
@AzAz-sy6zp9 ай бұрын
Pst ninaomba unijilishe hapo panasema kuhusu kufumania na kuachana plz
@luganomunuwavanu93699 ай бұрын
Mathayo 19:3-
@DawsonDuma9 ай бұрын
Huyo wakumfumania ni katika uasherati mpendwa yaani mchumba. Usije jaribu kumuacha mkeo kwa uzinzi hata awe anajiuza huyo ni wako. Yesu amesema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asitenganishe.
@AzAz-sy6zp9 ай бұрын
Saw
@FridayMwassa9 ай бұрын
@@DawsonDumawaalimu wako wamekupoteza
@jimmymasebo66429 ай бұрын
Kunaneno ameongea point ya kutuzana na kuwa wazi kwa vile unavyota mwezako aonekane hiyo kwisha mambo yote
@venancerutta68759 ай бұрын
Tunakatazwa kuhukumu mwacheni hana kosa maswala ya ndoa mwachie yeye na mume wake kitu ambacho amekifanya cha kutisha ni kipi? Hili si swala la geni christna christina swala hili likome tumechoka mahubiri hayo hawezi kulaaaniwa kwa hilo vitisho (ndoa ni siri ya watu 2) hawawezi kujiumbua (famili wana watoto watangaze ili iweje? (Mtumishi wa mungu huwezi kuyapanga maisha hata ww hujui la kesho
@michaelndilima62109 ай бұрын
Kwa hali hii ni bora nokae bila zehebu usilu nikolaa nimtukze mungu na kumsifu kwa kuniuba na kunijaloa akili kufafanua
@NiyizigamaClaudine9 ай бұрын
Ana myaka 50 alizaliwa 1974 Unembe
@vukasuvukasu93359 ай бұрын
Yawezakana Mzee wa Christina ni violent Kuna kitu inaitwa emotional abuse
@carolinenyemba24128 ай бұрын
It's time to put someone in prayer,when the devil want to destroy he uses people,this woman doesn't know what she is doing,she is blinded she needs help please
@judycheruiyot54149 ай бұрын
Kwani mahubiri ni shusho tu? Bure kabisa
@abrahamnyagawa13049 ай бұрын
Wewe ndiyo bure kabisa, yaani,injili hiyo ilivyo bora na ya thamani.? Hovyo kabisa.
@ceciliakongani92999 ай бұрын
Hana mahubiri huyu....empty debe
@DawsonDuma9 ай бұрын
Uasherati na uzinzi ni tofauti. Uasherati ni tendo la ndoa la watu ambao hawajaoa /kuokewa na wachumba ambao hawajafanya tendo la ndoa na mmoja akafanya nje tendo hilo Uzinzi ni kufanya tendo la ndoa nje baada ya wanandoa kuwa wailiisha fanya tendo hilo..
@luganomunuwavanu93699 ай бұрын
Wewe uasherati ni kwa walio ndani ya ndoa, uzinzi ndiyo wale ambao hawajaoa au kuolewa
@DawsonDuma9 ай бұрын
Marko 10:11 [11]Akawaambia, Kila mtu atakayemwacha mkewe na kuoa mwingine azini juu yake;
@nkhomagodfrey47899 ай бұрын
👏👏
@doreensamwely87409 ай бұрын
Sasa kwan inakuhusu nn, ubrii injili tuu mwacheee afanye yake
@DawsonDuma9 ай бұрын
1 Wakorintho 7:8,10,12 [8]Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. [10]Lakini wale waliokwisha kuoana nawaagiza; wala hapo si mimi, ila Bwana; mke asiachane na mumewe; [12]Lakini watu wengine nawaambia mimi, wala si Bwana, ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mke asiyeamini, na mke huyo anakubali kukaa naye asimwache.
@consoassenga71538 ай бұрын
Nyie viongozi wa dini kwani hamjui biblia inasemanye kuhusu kumuonya mtu aliyekosea kama mnahisi kakosea? Na je! Mmemsikiliza huyo dada akaeleza sababu ya yeye kusema alichokisema? Na je! Ninyi ndoa zenu ziko salama? Ninawashauri viongozi wa dini wafundisheni waumini yale yanayowapasa kuhusu Imani na Dini na sii mipasho.
@gideonchipepo84059 ай бұрын
Je ukimtafuta ukamhuliza vizuri ukaongea nae ana kwa ana mi naona ingekua hekima sana kuliko kumhubili madhabahuni kila siku. Maana Biblia imesema mwite umuonye akikosea.
@Mbarikiwa_Mwakipesile9 ай бұрын
Wewe umemtafuta Mbarikiwa? Au nawe umeandika comment ya kumkosoa hadharani?
@carolinenjoroge90928 ай бұрын
Mahubiri ya neno yataanza saa ngapi?
@Mbarikiwa_Mwakipesile8 ай бұрын
Kabla na baada ya hapa. Ingawa hata haya ni sehemu ya mahubiri ya neno la Mungu
@majaysjrmtitu53009 ай бұрын
Asante sana baba.
@gracesanga64899 ай бұрын
mchungaji nakupendaga sana ila nini Leo ibaada yako kumhubiri mtu wakati MUNGU anawajua walio wake habar za huyo dada ziacheni watajuana na MUNGU,au mfuateni mwambieni. yeye mwenyewe
Wanaenda vizuri tu ila tukumbuke kuwa shetani yuko kazini na wewe mwenyewe ujiangalie hujui mke wako anakkufikiliaje
@vukasuvukasu93359 ай бұрын
Baadala ya kusema mengi mbona usitafute ukweli tena hiyo vedio ya Christina kuondoka ni ya zamani IAM sure wako pamoja kwa sasa!
@RossaRutasha9 ай бұрын
Bado ndoa ya mke wako itakavyoondoka ndio uchanganyikiwe zaidi
@musatibeti9 ай бұрын
Hata ww unaonesha ninamnagan kristo hayupo ndaniyako maana unazungumzia sana mamboyamwilini .mbonamtumishi hujatumwa kuwatangazia vituhivyo
@KennedyNgusa9 ай бұрын
Neno hapo amna
@abrahamnyagawa13049 ай бұрын
Katika hayo asemayo,huoni Neno hapo? Pole Sana,hovyo kabisa!
@ceciliakongani92999 ай бұрын
Hana neno kabisaa huyu mchungaji...ana kiangazi Cha neno
@charlesphilipo35339 ай бұрын
Acheni kurukia kila jambo ili kupata umaarufu,,huyo mwanamke anajua anachofanya siyo mtoto
@joachimchacha32289 ай бұрын
Kumbukeni na Hera za nabii mkuu jodev alizoenda kupewa Arusha nalo ni anguko kubwa
@odilomwemeziernest6469 ай бұрын
Ela ilikuwa suala la baaae,ila alianza kuomba nguvu,nanukuu maneno yakee"baba nipe nguvu"nabii akaamka akasema"nikupe nguvu"?akaimba wimbo wake na kumwambia aimbe hata beti moja kisha ndo akampatia milioni kumi.
@patiencekalondji80919 ай бұрын
Kuna andiko inasema Yesu ni bwana harusi atafunga ndoa na nani?
@FrankMushi-cs5js9 ай бұрын
Ayoo ni mambo ya kiroho zaidi ndugu autaolewa maana c dini yakoo heshimu iloo
@angelsulle71779 ай бұрын
Hivi wewe kazi Yako ni kumhubiri Christina au injili ni mchungaji Gani??? Injili utahubiri lini huna adabu umetamka matusi makubwa makubwa hadharini wewe si Nuru mkwazaji mkubwa
@NixonGerson9 ай бұрын
Hata mkeo ipo cku.... matatizo ya ndoa hayana ujanja....
@BarakaSmollel8 ай бұрын
Iyo sio hukumu Bali kukanyana
@babadee47858 ай бұрын
Judging others doesn't make us perfect.
@hatiagk44479 ай бұрын
Hueleweki hata kidogo
@jacksonmkuye77399 ай бұрын
Una matatizo binafsi
@ashelikilele1679 ай бұрын
Nazani unajini sharifu linakutesa
@DawsonDuma9 ай бұрын
Kama unaelewa zaidi ya nilivyoelezea kwanini usininieleze kwa upendio? Sisi ni viungo vya mwili wa kristo. Tafuta neno la Mungu na uelezee bila chuki.
@DawsonDuma9 ай бұрын
@Yoram_Changala upendo upo wapi kwa jibu hili
@Ukristohalisigizani-d3d9 ай бұрын
Kwa kweli kwa wewe hata ukisikiliza huwezi kuelewa; lakini maelezo yako wazi kabisa kwa mtu yule aliyetaka kuelewa.
@VunjabeiVunjabei9 ай бұрын
Binti Gani anamezaa na anamabinti mtoto wake anaiaka20
@konexenon50519 ай бұрын
mtu akiwa na dhambi huwa Mchungaji hasimami madhabahuni na kumsema ingekua hivo makanisan asinge baki mtu
@innocentkanyata99239 ай бұрын
Fanya yako achana na Christina Shusho
@filbertkalenga9 ай бұрын
Tutambue kuwa hata shetani alikuwa mwimbaji baadae akabadilika awa muovu
@DawsonDuma9 ай бұрын
Ndoa ni agano hata mke umemfumania mara mia au haitaki imani Yako agano hilo halivunjiki. Ndoa inavunjika pale mmja anapokufa TU.
@Mbarikiwa_Mwakipesile9 ай бұрын
Shika wendawazimu huo uje ufe kwa kujinyonga.
@DawsonDuma9 ай бұрын
Je tubadili neno la Mungu kwaajili ya kuogopa kujinyonga?
@luganomunuwavanu93699 ай бұрын
@@DawsonDuma mathayo 19:9 ielewe vizuri hiyo usitafsiri kwa mihemko. Ukifumania unamwacha
@Mbarikiwa_Mwakipesile9 ай бұрын
@@DawsonDuma neno la "wazungu" tunalibadili macho makavu (mchana kweupe). Hicho unachofahamu ni neno la wazungu. Yaani umetafsiliwa maandiko kama wazungu walivyolenga kumuangaisha Mwafrika. Ndio maana watu kama wewe huwa choka mbaya kwa kila kitu.
@DawsonDuma9 ай бұрын
Mtumishi, hili neno 1kor 7 : 12 nimefundishwa na Bwana Yesu mwenyewe kwa sauti kabisa. Uwe makini mtumishi maana km unashaka Muulize Bwana atakujibu tu km alivypnijibu mm.
@princessjj82989 ай бұрын
Wewe baba...Huna biblia???. Maandiko ya kufundisha yameisha mpaka kila siku madhabahu yako unaitumia kuongelea watu. Hubiri Injili acha kujadili watu.
@ceciliakongani92999 ай бұрын
Hujawahi kuwa na lolote la maana la kumwambia yeyote yule...
@samwelmatemu88739 ай бұрын
Hakuna mahali panasema mke akimfumania mme wavunje ndoa isipo kuwa inamlenga mke akifanya uasherati.toa andiko
@FridayMwassa9 ай бұрын
Hivi na wewe ni mkristo
@samwelmatemu88739 ай бұрын
Huyo dada hapungui miaka 53+
@SabastianRaymond9 ай бұрын
HAPO NAPO HAUKO SAWA. UZINZI NA UASHERATI NI VITU VIWILI TOFAUTI.
@odilomwemeziernest6469 ай бұрын
Lakini vyote ni dhambi na vinahusisha kuingiliana kimwili kati ya ke na me
@saruninaisministries12139 ай бұрын
Useless statement
@neemarosedawson31549 ай бұрын
Mwache huyo dada wewe hubiri Injili tu.
@abrahamnyagawa13049 ай бұрын
Hiyo siyo injili? Hovyo kabisa.
@tinajoe54879 ай бұрын
Huo ni umbea
@ceciliakongani92999 ай бұрын
😂😂😂kweli kabsaaa
@ceciliakongani92999 ай бұрын
Tena wa Hali ya juu
@RebeccaAmisi9 ай бұрын
Peya watu neno acha chouchou MUNGU ana juwa ya kesho please ama hauna neno?
@consoassenga71538 ай бұрын
Tatizo la watumishi wa leo, wengi hamjui mnachopaswa kufanya. Mnafikiri ili mpate waumini lazma mumtumie huyu dada maana mnajua wengi wanampenda na wangependa kumfwatilia.😊