No video

Mbarikiwa Mwakipesile-EWE ROHO WA MBINGUNI. Tenzi no 12 full video song

  Рет қаралды 55,851

Helbeth Mlelwa 🎖️

Helbeth Mlelwa 🎖️

Күн бұрын

Baada ya channel ya Mbarikiwa mwakipesile ya youtube kufungwa, sasa unaweza kuzipata video zake za zamani kwa kupitia channel zifuatazo.
1. Alex Tewele ... / @pastorstz
2. Zawadi blandine ... / @zawadiblandine
3. Helbeth Mlelwa ... / @helbethmlelwa
Mahubiri ya sasa ya Mbarikiwa Mwakipesile yanarushwa kupitia channel ya Kikosi kazi cha injili ... / @mbarikiwa_mwakipesile
Pia ibada zinarushwa live (mubashara) katika mtandao wa facebook. Ingia facebook na tafuta mbarikiwa mwakipesile au bonyeza maandishi haya / salome.mwampeta.5
KWA KILA CHANNEL ILIYOANDIKWA HAPO JUU. NI VYEMA KAMA UTASUBSCRIBE ILI UWEZE KUPATA TAARIFA ZAIDI.
NEEMA YA KRISTO YESU, IWE PAMOJA NAWE. AMEN

Пікірлер: 16
@gracekamugishakazoba9176
@gracekamugishakazoba9176 3 ай бұрын
mungu nimwema umenibaliki❤❤❤❤
@MosesMwakakuka
@MosesMwakakuka Ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa nyimbo yenye mafuta
@Fina-86
@Fina-86 3 ай бұрын
Mungu akubariki
@ezekielmkinga7773
@ezekielmkinga7773 7 ай бұрын
Ewe Roho
@annacambaango6434
@annacambaango6434 2 жыл бұрын
Milk Batakatifu ya Mungu Kweli Kanisa ya Kweli a sent I Hallelujah
@user-cc2mw8bm5o
@user-cc2mw8bm5o 7 ай бұрын
Usiofu mwana WA utashinda to hicho nikikombe to
@rahaburahabu1681
@rahaburahabu1681 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu wimbo umenibariki sana
@keshukakurubay6178
@keshukakurubay6178 7 ай бұрын
Hakika ni kikosi kazi cha injil barikiwa sana
@user-gy5pr5ut9b
@user-gy5pr5ut9b 10 ай бұрын
Mungu awabaliki kweli mungu yupo
@princeshaka965
@princeshaka965 2 жыл бұрын
Kikosi kazi muko sawa sana
@sophiajohn2958
@sophiajohn2958 8 ай бұрын
Njoo Roho Mtakatifu unijaze nguvu
@user-ze5nc1li7j
@user-ze5nc1li7j Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@nancymrema9408
@nancymrema9408 2 жыл бұрын
Mungu akutunze Mtumishi...umeweza kunipa nguvu Kila kukicha...kupitia huu wimbo🙏🙏🙏
@renaldleonard5956
@renaldleonard5956 3 жыл бұрын
Amen
@allennkili8972
@allennkili8972 2 жыл бұрын
Ameeen!
@mashavgatsi144
@mashavgatsi144 2 жыл бұрын
Amen
Mbarikiwa video kutoka studio  Tenzi no 12  Roho wa mbinguni
9:55
Helbeth Mlelwa 🎖️
Рет қаралды 75 М.
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 22 МЛН
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 166 МЛН
Mke wa mbarikiwa ala kiapo juu ya wimbo huu
11:58
Yusufu Mahendeka
Рет қаралды 1,4 М.
OMBI LANGU BY AMBWENE MWASONGWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
5:52
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 4,1 МЛН
MBARIKIWA MWAKIPESILE - UENDE NAMI
9:55
Johnson Kaoneka
Рет қаралды 49 М.
Amen amen| Mbarikiwa Mwakipesile ( video music).
6:42
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 60 М.
SHUKA  ROHO WA BWANA -PROPHET BONIPHACE JANUARY
7:38
PROPHET BONIPHACE JANUARY
Рет қаралды 1,1 МЛН
Upendo  Nkone -  NIKAE MIGUUNI PAKO   (Oficial Video)
8:37
UPENDO NKONE
Рет қаралды 617 М.
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Brawl Stars
Рет қаралды 22 МЛН