Mwenye Alienware aliua Malaika wa mungu. Mbarikiwa pole sana karma kwa walewauaji ziko.....
@jacobyusuph5763 Жыл бұрын
Yaani sipati picha mbele za mwana wa Adamu itakuwaje!! Barikiwa Santa Shujaa na Mch Mbarikiwa
@upendomhewa8202 Жыл бұрын
Twonane milele tuoname bandarini kule usipange kukosekana pale amina
@PeninahMwangi-z3y Жыл бұрын
Always blessed with your devotion to God 🙏
@happyiskaka Жыл бұрын
MUNGU AKUTUNZE MUNGU akukumbuke uliko gerezan Baba yangu HAKIKA nakosa NENO MUNGU awabariki nyote
@TupoNasson11 ай бұрын
Amen
@agathalyakurwa871311 ай бұрын
Mama angu nitakuona tena kwel??? Hakika ni pengo kubwa umetuachia mama yetu
@njiailiyonjema11 ай бұрын
Mama yenu aliyewaachia pengo🙄🙄, mama yetu Salome bado yupo hai na anaendelea kuimba kama kawaida yake.
@AndreaSamweli-x7r Жыл бұрын
mungu akutunze
@GeofreyKalo-ot3we Жыл бұрын
Ungeendelea kumsifu tu mungu ila hayo mambo ya siasa ndio yamekuharibia maisha pole
@FridayMwassa Жыл бұрын
Kwaani kuwakemea wezi wa raslimali za taifa kunahitaji uwe mwanasiasa.Mara ngapi wakina askofu shayo,na wengine wengi wamewakemea wanasiasa,ila mbarikiwa mwakipesile kwasababu siyo mwizi mwenzenu ndiyo maana mmenfunga
@elizabethnyira44004 жыл бұрын
Yesu awabariki 🙏🙏💪💪❤️🌹👍🙋♀️🌂
@mariamtanz42243 жыл бұрын
Unanibaliki sana mtumishi
@jacksonjohn17083 жыл бұрын
MCHUNGAJI NINAKUKUBALI SANA JAMANI KAZI YAKO NI NJEMA MUNGU AKUINUE PASTOR , HAKIKA WEWE NI MCHUNGAJI UNAEIMBA KWA KUMAANISHA KILE UNACHOKIIMBA, TUZIDI KUOMBEANA
@marthabayyo32282 жыл бұрын
Tuonane milele
@ombentemba1432 Жыл бұрын
Wimbo mziri sana ila studio haukuutendea haki
@PriscaMbafu Жыл бұрын
Mungu yu pamoja nawe
@BoniphaceKagozi Жыл бұрын
Muguakutuze mutumishiwa mugu hukouliko gerezani huoniushuhuda baba muguakulide
@agnesyjoseph3906 Жыл бұрын
Nawapenda najifunza mengi kwenu
@asbrkinya1547 Жыл бұрын
Mubarikiwe. Waimbaji. Bwana awezidishiye❤
@anndeya2783 Жыл бұрын
Just keep the spirit. Really blessed by your worship