Mungu awabariki sana wazazi wangu katika Kristo Yesu, naona i upendo mkubwa kwa Mungu kwasababu hali zenu za afya zilivyo mbaya sikutegemea kama mngeweza
@ELIASWAILES18 сағат бұрын
Barikiweni mm nawakaribisha mje huku GUA SONGWE MKWAJUN
@stamilinyakunga2 күн бұрын
Ameen baba nakuelewaga Sana Sana god bless you.
@stefanosangaСағат бұрын
Hii ndio injili ya kweli ambayo wengi wanakwama Sana ubarikiwe sana
@ElizabethBolo-h9f2 күн бұрын
Mmekuwa kwangu role model kutoka kitambo nikifuatilia nyimbo zenyu kutoka kenya
@FESTOKANDAGILAКүн бұрын
mungu enderea kuwa nao hao watumishi wako nazani kupitia hao wengi tutapata neeema yako
@alunekyusa49052 күн бұрын
Mungu awabariki na kuwatunza sana❤
@hildandumbalo58273 күн бұрын
Mubarikiwe sana, kweli mtumishi wa Mungu umebarikiwa sana 🙏 ❤❤🎉🎉🎉
@thehenrych3 күн бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu. Siku Mungu akiachilia Kibali ukapata fika Arusha Mjini, na ikampendeza Mungu ningetamani sana ukutane na Mtumishi mmoja wa Mungu, Mchungaji. Nikiamini katika Bwana itakuwa ni Baraka
@Mbarikiwa_Mwakipesile3 күн бұрын
Ulipokuwa unaandika comment hii Mbarikiwa alikuwa Arusha mjini
@Gloria-vh5bz3 күн бұрын
Natamani sana kujiunga na nyie nataman kuwa chini ya mtumishi huyu anaekemea dhambi ,asietanguliza maslahi yake binafsi sio Hawa WENGINE wanaotetemekea wale wanaotoa sana fungu la kumi Kanisa nilikua nasali unaheshimiika km tu huwa unatoa pesa nyingi kanisan
@@Mbarikiwa_Mwakipesile basi wakati mwengine Mtumishi akipata kibali cha kuwa Arusha. Mtumishi wa Mungu naomba official Email yako au namna ya mawasiliano ya moja kwa moja. Asante
@Gwa-Kayaga2 күн бұрын
Hallelujah 🙏
@AnaniaKyando2 күн бұрын
Mungu akutangulie yote unayo yatenda Amina
@danielmwampeta33382 күн бұрын
HONGERENI SANA BABA NA MAMA bila kuwasahau Mlioambatana nao. MKONO WA MUNGU NA UWEZA WAKE NA UWE PAMOJA NANYI.
@jacksoncharles54113 күн бұрын
Mbarikiwe sana ❤❤❤❤❤
@ElizabethBolo-h9f2 күн бұрын
Ukweli kazi ya MUNGU nikujigolea nakupitia mazito kwa ajili ya Kristo usife moyo maandiko yanasema nikitu gani kitatutenga na upendo wa MUNGU
@RobertGwelela-m3l3 күн бұрын
Hongereni kwa kazi ya Mungu.
@AndrewKisava2 күн бұрын
Azuiwe nananiii ujue injili neno la Mungu halizuiliwi atakaye zuia anakufa haraka na injli inaendelea
@MamaNkungi3 күн бұрын
Hongera baba na mama NAMI niwe mwanao napenda sana kuongozwa na mungu wako
@EdwardMwasyamula3 күн бұрын
UBALIKIWE sana baba kwa kazi njema
@amoskinyaba61142 күн бұрын
karibu sana Simanjiro , utafikia sehemu gani ..
@ChemicalMathayo2 күн бұрын
Orkesumet
@zawadimwaibako40652 күн бұрын
Mungu awabariki sana wazazi wangu. Nautamani sana huo moyo mlionao🎉🎉🎉
@WilliamPaul-v4q2 күн бұрын
Ameeeeeni baba
@DanielKoipapei2 күн бұрын
Hongera sana baba
@davidikakombole88333 күн бұрын
Mmmmmmmmh big up Dady and Mamu ninyi ni taa ya ulimwengu
@Afrikahuru283 күн бұрын
Hii safari iwe sababu ya majibu ya maswali magumu yasiyo na majibu kama sivyo basi iwe Mwanzo kupata majibu ya maswali haya. Mungu na aone Dua za wazazi wangu..
Yesu alisema watu wanojitangaza namna hii .. ili watu wawajue na kuwaona wao ndio watakatifu zaidi ya wengine hawa ndio WANAFIKI HALISI
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 күн бұрын
Ila wewe usiyejitangaza ndiye Mtakatifu zaidi. Hongera kwa kuwa kuandika hivi si kujitangaza
@Theironrod9373Күн бұрын
@ Shida yako ni nini bro mbona mwanzo ulikuwa vizuri tu .. ungeziacha kazi zako ziseme na watu wakushuhudie kwa kazi zako.. hata YESU aliposhambuliwa alisema kuwa kazi njema nyingi nimewaonyesha zitokazi kwa baba.. kwa nini mnanipiga kwa mawe!! Kazi ndio zinazokutambukisha bro .. wewe usijipost na acha wengine wakushuhudie!!! wale wanozikubali kazi zako watasema wema wako na sio wewe
@Mbarikiwa_MwakipesileКүн бұрын
@Theironrod9373 Kwani wewe shida yako ni nini? Mbona haujaziacha kazi zako ziseme watu wakushuhudie? Musa, Paulo nk, waliandika na kuwafikishia watu matendo ya Mungu yaliyotendwa kupitia wao, je nao hawakuwaacha watu wawashuhudie? Nyaraka za Paulo ziliandikwa na nani? Kwa nini? Je hatoi taarifa za mambo aliyoyafanya katika miji mbalimbali? LIMBUKENI. Ukijulishwa ujinga wako ni kupigwa mawe?
@Theironrod9373Күн бұрын
@@Mbarikiwa_Mwakipesile Ujinga ndio unaanziaa hapo mnakimbilia matusi kuliko kutoa elimu .. alafu mnasema MUNGU kawatuma kuokoa watu .. haya sasa kuitana limbukeni imetokana wapi na swali nililokuuliza?
@Mbarikiwa_MwakipesileКүн бұрын
@Theironrod9373 imekuuma kwa sababu ni limbukeni kweli. Ni limbukeni kwa sababu ya upuuzi unaandika. Unataka tukuite nani. Tumekuita Mtakatifu umejamba tena. Tumekuita limbukeni bado unatapika. Acha sasa tufanye umeshinda.
@EdwardMwasyamula3 күн бұрын
Mama ongeleni sana namuona asikofu mode Hilo ni zoezi tosha sana
@kikosikaziupdate3 күн бұрын
Bikoni 🎖
@Cyprianchonya3 күн бұрын
Kaka Mimi shabiki wako napenda KAZI zako
@neemanziku54033 күн бұрын
Sasa mtumishi mbona wenzio wanalowa ww unamwavuli
@RubenMtuwaMungu-bz8ee2 күн бұрын
Kwa hiyo wagawane mwanvuli moja!?
@HelbethMlelwa2 күн бұрын
@@RubenMtuwaMungu-bz8ee wanadamu wana maswali ya ajabu sana
@eliasselemani19632 күн бұрын
Hahahaha
@gotafostv73052 күн бұрын
Kwahiyo wote hao wangeingia kwenye mwamvilu huo mmoja? .Au unatafuta comments?
@malkiarosemuhando33102 күн бұрын
Yaani maswali mengine!!!
@JohnGodfrey-q3c3 күн бұрын
Hongera wazazi wangu
@jacksoncharles54113 күн бұрын
Mchungaji wangu kwani umesharuhusiwa kuhubiri Injiri nje ya Isyesye(mbeya),je, mbona ni kama ulizuwiwa?.
@yuzzob3 күн бұрын
Kumbukumbu la Torati 25:4 [4]Ng’ombe apurapo nafaka usimfunge kinywa. Thou shalt not muzzle the ox when he treadeth out the corn.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee2 күн бұрын
Wakristo wa kizazi hiki sijui mna tatizo gani? Petro na Yohana walikatazwa wasihubiri kwa jina la Yesu wakawajibu hivi je tumtii Mungu ama wanadamu? Hawa hawaendi kueneza siasa bali kuwapa watu habari njema za ufalme wa Mungu.