Ameen MAMA,Daud anasema "KUKEMEA UBAYA NDIO UTAKUWA WIMBO WANGU",.. Kuitwa mtumishi,mchungaji,nabii,nkkwa kanisa la leo ni njia ya kujineemesha,kuwa na maisha mazuri na anasa. Lakini kumbe kazi ya mtu wa Mungu ilikuwa ni kuiongoza jamii katika njia sahihi ya kuishi,kuanzia wewe unakuwa mfano.MATHAYO 5:13-16
@isayamwashibanda58194 күн бұрын
Ameni mtumishi
@uzimameditv81484 күн бұрын
Ndiomaana Mungu ndiye hakimu wa kweli, kuliko sisi binadamu, maana tungekuwa sisi tunge wahukumu watu wengi, kutokana navile tunavyoona.
@AhaziSimwakwenda3 күн бұрын
Kama aunacha kusema kaakinywa umeasiliwa na mumeo pole sana anza kufanya mazoezi ya kubeba ujauzito