Barikiwa mtu wa Mungu Tena unafanana na mama Yako sana mama ndo Kila kitu jamani wengine tunatamani wangekuwepo hapa duniani tuwakumbatie 😢😢😢
@judithtitomalyeta4000Сағат бұрын
Nimefurahi saaana kwa kitendo hicho mungu atafungua milango yako zaidi ya kitumishi 🎉🎉🎉🎉
@shangwefisima5417 сағат бұрын
Ubarikiwe pastor sasa mambo yako yatakwenda saafi hutoamini maisha yako.... Samehe waliotumika kupoteza mwanao! Samehe..
@JaneEnockКүн бұрын
Kupitia story ya mama ake Martha mwaipaja....familia nyingi zitaenda pona...Mungu akubarik mtumishi mama ni mama umefanya vzr
@GerardWilliam-xt8pb17 сағат бұрын
Miaka saba siokwamba alimsahau mama. Mbarikiwa amepitia mateso mengi. Kwahiyo ameenda kwa mama mi nadhan ili mama ajue mwanae bado yuko hai. Amen Brother ktk Kristo.
@generosennko834310 сағат бұрын
Hongera mchungaji. Umemshinda ibilisi. Asante kyala. Asante kwa familia hii. Waponye majeraha yote baba. Huu ni ushindi mkubwa kwa familia
@godfreyballegu27858 сағат бұрын
Ahsante Mungu, ahsante Yesu, hatimaye amekuwezesha kuitimiza 'SAKRAMENTI' niliyowahi kukushauri uitekeleze wakati ulipojaribu kuomba ushauri wetu mitandaoni. Sakramenti ni TENDO linalofuatiwa na maneno ya kunuiza (iwe sala, shukrani, maombi nk). Hivyo kitendo chako cha kufika nyumbani kwenu, kumuona mama yako aliyetokwa machozi kwa ajili yako na kumtamkia ya kwamba nimekuja mama, tayari katika ulimwengu wa Roho Malaika amesha wasiilisha hiyo Sakramenti kwa Bwana. Umebarikiwa na uzidi kubarikiwa sanaa, Amina.
@joyceharris2093Күн бұрын
Mungu akubariki sana umefanya kitu chema kimpendezacho Mungu. Mama umemwongezea maisha duniani. Usichoke kumpenda wewe ni faraha kwake
@gracesamila20653 сағат бұрын
Asiyewajali wa nyumbani mwake ni mbaya kuliko asiyeamini, mtumishi wa mungu hakumbushwi kwenda kwao, heshimu baba yako na mama yako upate miaka mingi na heri duniani
@PaulNduluteКүн бұрын
Amen amen baba umeeleweka sana barikiwa.
@NellyMadeni18 сағат бұрын
❤❤❤ Mbarikiwa ombi langu kwa Mungu akupaishe kama Elia. Huna baya umetenda mwema yote❤❤❤
@javanmathias557815 сағат бұрын
Miaka 7 yote ilikuwa wapi .mbona ni miaka mingi sana ..kukaa mbali na mzazi
@mnyongeiddi24549 сағат бұрын
Hata minimejiuliza hilo swali miaka 7 uko Tanzania hii unakaa bila kufika kwa wazazi na uwezo wa nauli unao hatari
@Justinamwakajumba8 сағат бұрын
ni mambo ya kifamilia @@mnyongeiddi2454
@GetruderMfinanga7 сағат бұрын
Mhhh, hiyo nyumba umeionaaaaa
@modestapeter29977 сағат бұрын
@GetrudeMfinanga hajaiona umeiona wewe tu ila vipi nawewe nyumba yenu umeiona?
@helentelemla56236 сағат бұрын
2025 ni Mungu mwenyewe anasimama
@ugalidona-cs2ynКүн бұрын
NI ❤ FARAJA NI ❤ UPENDO WA NEEMA YA MUNGU, ATULINDAE MCHANA NA USIKU. AMINA.
@ThomasIkerrs16 сағат бұрын
Mbariliwa inaelekea hukuwa karibu na mama yake.Mimi kwa sehemu nakufuatilia.Sasa ili kutoa ukakasi kuhusu jambo hili ni vema ukaweka wazi kwa nini.
@Mbarikiwa_Mwakipesile14 сағат бұрын
Rudi kwe Clip za nyuma utajua ni kwa nini.
@molineadema487212 сағат бұрын
Ipo clip kasha eleza sababu iliyofanya ukiitafuta utaona
@leonardfredy7315Сағат бұрын
nakukubali sana brother mbarikiwa
@komandowainjiliyayesuКүн бұрын
Nimependa sana Mtumishi wa MUNGU kweli nijambo njema sana
@TrustElbashil16 сағат бұрын
Hongera my brother mwakipesile mungu akupe maisha marefu watu hawajui kiini walibaki kukutukana bila sababu
@godsonishengoma5378Күн бұрын
Nmejkta natabasamu tu yan!,Ubarikiwe na Bwana Yesu km lilivyo jna lako mtumish wa Mungu.!
@HAAM670Күн бұрын
Tunamtukuza Yesu sana kwa jambo hili. Hivi hujalia Mtumishi Mbarikiwa? Mie nimelia na mama Mbarikiwa alipokuwa analia kinyakyusa!
@vickytango559123 сағат бұрын
Mtumishi hongera, umefanya jambo kubwa la baraka. Familia inapitia mengi mno
@mathewsmbwagha812310 сағат бұрын
Naona nayeye amekumbuka ya Martha Mwaipaja hongera sana🙏🙏🙏🤝🤝🤝
@HAAM670Күн бұрын
Shetani mbaya aisee, anaharibu sana mahusiano ya Familia nyingiii, tuombee na sisi wenzio Mtumishi tunaopitia kama hayo
@SabihaibrahimRajabu19 сағат бұрын
Hatari kweli umegaribiwa
@RehemaMtono13 сағат бұрын
Nikweli anatokea mtu mmoja tu anaharibu familia nzima
@SabihaibrahimRajabu8 сағат бұрын
@@HAAM670 kwani aligombana na mama yakee
@molineadema487212 сағат бұрын
Mchungaji kachukua hatua nzuri ila mbona sijaona mama mchungaji pamoja nawe ,, Mungu awabariki 🙏
@YohanaRichard-e6p19 сағат бұрын
Jambo ulilo lifanya ni kubwa kwa kuwa nguvu ya yesu kristo itendayo KAZI ndani yako katika roho imekuongoza mungu akubariki sana
@StellaNdungeElizabeth12 сағат бұрын
Congratulations man of God bless you
@petermakawia84914 сағат бұрын
Kabla sijakupa hongera naomba kufaham nini kilipelekea kukaa miaka 7 yote hii bila kwenda kumuona mama yako tena mzazi
@michaelsamwelmmari9087Күн бұрын
Mama ni Mama ❤❤❤❤❤❤
@Mwasame_Official112 сағат бұрын
😊😊😊😊amen umefanya kitu cha maana na cha kuingwa kwa kila mkristo ubarikiwe sana.
@sophiamubilaКүн бұрын
Mungu akukumbuke baba hapo umefanya vema mtumshi wa Mungu,neno la Mungu linasema mweshimu baba na mama uishi maisha mema
@WiselightOfficial5 сағат бұрын
Ubarikiwe nimependa sana❤❤
@SelijusiMalambo-f8xКүн бұрын
Mchukue mama yako au mjengee nyumba nzuri
@ernestkomba540319 сағат бұрын
Kabisa,
@ReginahJackson18 сағат бұрын
Umeona eeeeeeeeeh
@zawadiluvanda816218 сағат бұрын
Halafu mhimu nimeshangaa mbeya mjini na kk ifike miaka saba bila kumwona mzazi mmmmmmmmh
@westmanmoses54117 сағат бұрын
Mbarikiwa wengine hatukuelewi huwezi tofautiana na mama Yako mzazi kiasi hicho .Acha hizo bana
@ReginahJackson17 сағат бұрын
@@SelijusiMalambo-f8x kazi kuponda Martha mwaipaja na yy Hana tofauti nae,sakata la Martha la mfanya nae akumbuke nyumbani
@zawadimwaibako406522 сағат бұрын
Nimefurahi kumuona bibi wakiwa na baba🎉🎉🎉
@MalafyaleTata-h9bКүн бұрын
Ameen, nani kama #MAMA,nimehisi furaha sana
@AdelinajescaOswald12 сағат бұрын
Kuwa mbali na Mama yako wakati unampenda na unafanya kazi ya MUNGU na unamuhudumia haina shida kabisa! Wala msishangae kwa sababu ameondoka na kuambatana na Mkewe, na si wawili tena, na maandiko yanasema utawaacha Wazazi utaambatana na Mkeo; sasa hawa wameambatana wakaenda mbali kwa sababu ya Utumishi wa MUNGU Aliye waita kwa kazi yake!
@mariabyomona15 сағат бұрын
Hogera sana mtumishi kwakufanya atuwa ya kumuona mama
@judithlibombolo39759 сағат бұрын
God is great wema hushinda uovu siku zote.
@daudirubibi960114 сағат бұрын
Ameeeeeeni ameeeeeeni nimependezwa Sana mno. Nimejifunza kuongezeka mbele katika Matendo Mema
@GRACEMKWELE11 сағат бұрын
Hongera Mtumishi, umefanya vema Dana, Nani kama MAMA???
@ZawadiMichael-w4d13 сағат бұрын
Amen,mung u amkumbuke na Dada Martha arudi kwa mamaake
@estonmnthali37193 сағат бұрын
Kazi Zuri sana
@immadangote60013 сағат бұрын
Nasikitika kukuona mtu mbaya Sana yaani umekaa mbali na mamayako miaka7 ww sio mtu wa mungu km. Kweli
@josephmchila646714 сағат бұрын
Miaka 7 mbona ni mingi Sana,Kuna tatizo hapo mtumishi.
@ambakisyejeremia420415 сағат бұрын
Mbeya sehemu gani?
@upendokiza606120 сағат бұрын
Mungu atie nguvu familia yote kwa jumla.
@Oreshan-l3f15 сағат бұрын
Mimi ata siwezi maliza miezi sita kama sijaenda Kwa mama
@KamugishaSupe4 сағат бұрын
Tafuteni kuwa na amani na watu wote ubarikiwe kwa KUTAFUTA amani na mama Yako maana huko ndiko amani zitokapo
@desirengenerwasobanuka901523 сағат бұрын
Ubarikiwe sana ndugu Mbarikiwa. Umefanya vyema sana kaka. Mimi nina myaka 13 bila kuona mama yangu. Kweli umenifanya nifikiriye mengi sana. Ni nduguyo Desire kutoka Germany 🇩🇪 ❤
@lulanjamd388615 сағат бұрын
Acheni ujinga mnawezaje kukaa hata mwaka 1 bila kuonana na mama yako kweli jamani 😢
@lovenessmallya81615 сағат бұрын
Mwaka inategemea na maisha usijadili@@lulanjamd3886
@Migapogospel67815 сағат бұрын
Mimi naona watu kama hao kidogo stress @@lulanjamd3886
@taseleli918114 сағат бұрын
Aiseee ni aibu miaka 7 hujamuona mama yako wakati yuko hai duuuuu ngumu kumeza
@RobertMwololo-f2o13 сағат бұрын
Hajasema hajamuona amesema kwenda nyumbani,uwe unaelewa kwanza kabla ya kukoment,kuonana Huwa wanaonana,kasoro kwenda nyumbani.
@eliamhanzi619514 сағат бұрын
Yani nimeirudia hii crip mara tatutatu haichoshi daaa kafurahi haamini kilicho tokea ana ona kama anaota ndoto 😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@jacksoncharles5411Күн бұрын
Ama kweli wewe ni Nsajigwa(Mbarikiwa)❤❤❤❤❤
@ElijiDaniel11 сағат бұрын
Baba ubarikiwe kwa Moyo wako wa upendo,nimefurahi kumuona bibi yangu.
@veronicamnico47738 сағат бұрын
Miaka 7 😢😢😢😢duh MUNGU aturehemu😢😢😢
@annamwanyelele90842 сағат бұрын
mzee 7 kweli bila kumuona mama tena amekulandisha sana mbeya tukuyu sio mbali ue unaenda kumsalimia
@janetchinga6957 сағат бұрын
Amen Amen ❤❤❤❤❤❤❤
@eliamhanzi619515 сағат бұрын
Leo nimefurahi Sana pastor aisee huo ndio ushujaa aisee mama ni mama hata kama alikufanyia nn, nimefurahi Sana kwa kweli mama kafurahi kweli daaa
@tabithaolubaha4349Күн бұрын
Barikiwa mtumishi wamungu
@WitinessJosephКүн бұрын
Mungu akubarilki Sana mchungaji kwakumoenda mama na kumuheshimu
@hellenngwilla550Күн бұрын
Mungu akubariki saaaana huu ndio utumishi😢
@estonmnthali37193 сағат бұрын
Exodus 20:12“ Mheshimu baba yako na mama yako ili uishi muda mrefu katika nchi ambayo mimi Yehova Mungu wako ninakupa
@NGUVUYAUYOGAКүн бұрын
Mungu akubariki sana mzeeee!!!!!!
@kelvinmasungakilunguja753917 сағат бұрын
Yn kweli mtumish miaka 7 ujanana na mama Yako na yupo Tanzania hapa hapa si sawa wazaz ni baraka pia siajpenda ndo Mana sa zingne unapitia changamoto uwe unaenda Kwa wazaz bana wakikuona furaha na anakutamkia maneno ya baraka ubarikiwe mtoto wa mwisho kama Mimi ❤
@benadieliasi79205 сағат бұрын
Hongera sana
@anithawidambe754323 сағат бұрын
MBARIKIWA MPENDE SANA MAMA YAKO NDY BARAKA YAKO. WAZAZI NI BARAKA KUBWA SANA
@johnmmasi448211 сағат бұрын
yani we unakomaa kwenye mitandao 24/7 na kuendesha magari badala ata yakujengea vizr mama yako hapo😂
@JosephineAndrew-v8gКүн бұрын
Tukuyu sehem gan kwenu Mbarikiwa? Mungu akutunze zaidi,
@anchillafabian12 сағат бұрын
Umekaa muda mrefu sana bila kumuona mama maajabu
@IYEGU-p3n9 сағат бұрын
Mbka mamako analia ulifanyeje 😢
@PaulinaLwena13 сағат бұрын
Mama ht anikosee vp nitampenda tu ,km anamapungufu nitamwachia Mungu asemenae,wajibu wangu mm nikumpenda mzazi wang
@elizalutiga62875 сағат бұрын
👏👏👏👏
@MsevenSaudisaidi15 сағат бұрын
Mjengee nyumba nzuri mama ako nyumba anayoishi mama ako haiendani na wewe nyumba mbovu
@JohnGodfrey-q3c9 сағат бұрын
baba yangu umefanana sana na bibi yetu hapo leo ndio nimewaona vyema. Nimefurahi kwa mapokezi ya bibi
@StephanieGerald-qj8vt8 сағат бұрын
Nitaweza kwel kukaa hata miaka miwil bila kumuona mama yang😂😂 mwaka mmoja tu shughul je hiyo 7 duuh
@Moseskabambi-t9yКүн бұрын
Baba yangu mngu akubaliki sana bibi yetu mungu amulinde
@helenastephan7091Күн бұрын
Ni mtihani kweli miaka saba kama uko Marekani, ambae huwzitoka kama huna makaratasi au vibali vya kukutoa na kukurudisha, mnamsema Martha kumbe wa Martha wengi
@MalafyaleTata-h9bКүн бұрын
kamtolee clip mtandaoni kama martha
@Polycarpmathias-r2j16 сағат бұрын
Mhhh miaka 7 yote haujafika kwenu mtumishi, pole sana.
@Focus_Mengi15 сағат бұрын
Mmm!! Miaka saba yote😢
@KisaMwenga-g1lКүн бұрын
MuNGu akubariki sana sana
@rehemaanyisile620521 сағат бұрын
Kwanini umekaa miaka yote hiyo bila kwenda kumsalimia mama yako ulinkifu na upo Mbeya siku zote
@twiseghekisilu884518 сағат бұрын
Ajabu
@MwambaJimwamba12 сағат бұрын
Jamaa anapenda sana spotlight huyu. Hakukua na umuhimu wowote wa kuanza kum record mama bila sababu. Huu ni ushamba
@Mbarikiwa_Mwakipesile12 сағат бұрын
Pumbavu. Kila unachokisoma kwenye Biblia au vitabu kiliandikwa na walioifanya ili kufundisha wengine na vizazi vijavyo. Lutu alizini na watoto wake wa kuwazaa na ikaandikwa, mtu aliua mama yake aliyetaka kumkosesha kwa Mungu ikaandikwa. Yesu aliwakataa mama na nduguze na ikaandikwa. Je ni zaidi ya kumrekodi mama aliyefurahi. Wewe ni moja kati ya WAPUMBAVU NGULI WALIO HAI
@MwambaJimwamba6 сағат бұрын
@Mbarikiwa_Mwakipesile Mtumishi wa Mungu mbona unakua mwepesi sana kuwakwa na hasira kiasi cha kuanza kunimiminia matusi? Natangaza msamaha kwako. Nimekusamehe
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 сағат бұрын
@@MwambaJimwamba pumbavu ni sifa ya tabia sio tusi. Yesu naye utamsamehe? Ulichoandika ndio kinachochotafsiri upumbavu wako. Haya narudia tena pumbavu. Ili utangaze sana huo msamaha wa kizungu.
@AnaniaKyando11 сағат бұрын
Jamani nyie mnae muhukimu mbalikiwa somen alama za nyakati huyu sio mtu wa kawaida maana mm ninao wasoma kwenye biblia nikiwafananisha na mbalikiwa naona wanaendana kabisa huyu hakika ni mtumishi wa mungu kweli
@christianchando7041Күн бұрын
Zaburi 133 1 : Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja. 2 : Ni kama mafuta mazuri kichwani, Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake. 3 : Kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni. Maana ndiko Bwana alikoamuru baraka, Naam, uzima hata milele.
@DomitilaMtua8 сағат бұрын
Miaka 7,!
@hildandumbalo5827Күн бұрын
Hakuna kama mama ❤❤❤
@HappinessMamuya5 сағат бұрын
Kwanini hujaenda miaka yute hiyo saba mtumishi ni mingi sana
@yukundapeter820017 сағат бұрын
Mtoto wa dada yake barikiwa ndo alikuwa changu cha fitna,kujenga ujimbani na kusambaratisha familia
@redemptaanisio27702 сағат бұрын
Khaaa nimefurahi sanaaa jamani
@justinacosmas13 сағат бұрын
Nimejukita nalia tu😭😭
@dorahmavazi11115 сағат бұрын
Nampenda mama yangu Hamisa Bakari
@gaspercharles22446 сағат бұрын
Rekebisha na hizo nyumba pawe pazuri
@dorahmavazi11115 сағат бұрын
Mama mama mamaa mama mama mamaa nakupenda mama
@bishopstephanosaid920515 сағат бұрын
Inamaana hata mbarikiwa alipofiwa na mtoto mama yake hakuhudhuria? Alafu iweje mzazi yuko hai miaka 7 😢😢😭😭 mie wazazi wangu hawapo ningetamani kumuona mama kila saa Neno la Mungu linasemaje au kuna jambo liwekwe wazi
@laurianogerold512913 сағат бұрын
Fuatilia clip za NYUMA ndugu
@AnthonyDcosta-f3q10 сағат бұрын
Miaka saba au siku saba
@GraceMarine-vo9hu17 сағат бұрын
Miaka saba nawote mpo nchi moja hujaenda kumwona Mama mzazi ulikuwa wapi? Gerezani miaka yote hiyo? Ulikuwa mgonjwa? Daah wenzetu mnabahati zakuwa na wazazi wenu lakini mnawasusa kweli, sisi sasa ambao wazazi wetu walitangulia tunatamani wawepo ili tuweze kushare hivi vi khamsini khamsini zetu tunazopata
@malkiarosemuhando331016 сағат бұрын
Ila Hawa watu wa mbeya mi naona Kuna tatizo kidogo ,maana juzi Martha kumbe na huyu mtumishi NAE cvilevile mmh
@ChristianMwisongo-gp6qw16 сағат бұрын
Hakuna anayedhamiria kujitenga hivi na mzazi ila yakikukuta yakukukuta utajua hujui
@HelenaKahema14 сағат бұрын
Wanaongea Tu familia zina mambo mazito
@elizabethkweji10 сағат бұрын
Baba anamdomo huyo,ingekuwa mwingne angekoma
@bupenelson653316 сағат бұрын
Huu sio ushuhuda mzuri 😭
@boscoafikile4737Күн бұрын
Amani ya kristo itamalaki, Mungu awabariki
@onesmombele2571Күн бұрын
Nakuelewa sana mtumishi huna baya vijana wanasema
@magidalenarauya428619 сағат бұрын
Ulikua wapi mpaka usimtembelee miaka 7,
@ShukurkollAngel10 сағат бұрын
Mmh, miaka saba !
@alexvenas2699Күн бұрын
Sasa nimeelewa kwanini ? 😢😢 Mama alikubeba miezi 9 tumboni akakunyonyesha miaka kadhaa,ni mtu wa thamani sana kwenye maisha anapaswa kuheshimiwa .
@AminaJuma-r4y17 сағат бұрын
Hakuna kama mama mama❤❤❤❤mama ni mungu wa 2😢😢😢 mama hata awe chizi ni mama👏🏻💐
@dorcasdavid224713 сағат бұрын
2:53 Ahsante sn Kpnz kwa Neno la Hekima sn,Mungu Akubariki sn.❤