Sawa kabisa injili ya kweli inaridi Tanzania sasa kwakweli namshangaa Mungu . Ni watumishi wachache wamekazana kupigana kuhusu injiri ya kweli vita imekuwa kubwa lakini ushindi upo Na hii inatuhakikishia kuwa siku zote mungu atakuwa mungu Kweli ufalme wa Mungu unapatikana kwa shida 2025 ni mwaka wa wale tu wanaomtumikoa Mungu kwa roho na kweli watainuka kwa viwango vya ajabu Mungu awabariki sana
@PasiweloMpembe-r4l5 күн бұрын
Mmevaa vizuri mungu awabariki mmejistiri vema
@MoosaMd-h6b2 күн бұрын
Damu ya Yesu yaosha dhambi zangu. Nakupenda sana YESU wangu mzuri.
@lilianboke19285 күн бұрын
I BELEAVE GOD IS PLEASED WITH THIS WAY OF DANCING AND WORSHIPPING. AMEN. KEEP UP
@EmmaroseJoseph4 күн бұрын
Mavazi huonyesha namna Mtu wa ndani alivyo mbarikiwe sana Kwa mavazi yampayo utukufu MUNGU
@ugalidona-cs2yn5 күн бұрын
❤ kuwa hapa hivi leo ni nguvu ya MUNGU tu. ❤ Amina.
@MeckitilidaTushabe-or9hu4 күн бұрын
Unajua mavazi yenu Yana hubiri injiri mbarikiwe sana. Kazi Yenu njema. Nawatakia heri ya Mwaka mpya
@RachelAlex-z9s4 күн бұрын
Jamani nashindwa hata niongee nini ila itoshe tu kusema Bwana Mungu wa mbinguni awabariki sana
@davidikakombole88335 күн бұрын
Kweliiiiii mavazi haya ni ibada tosha
@Suzanpaul-j9k3 күн бұрын
Nyimbo nzuri b san Mungu awabariki sana 🙌🙌
@JustinaMambo-jb4uj5 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 love from Zambia tunawapenda sana
@Josmedard5 күн бұрын
The way these choirs members dancing and put on clothes it gives a strong lessons
@NelsonBrydon5 күн бұрын
Amen.good. Song nimebarikiwa
@Phal0ha-i1u5 күн бұрын
Team natural mko very smart I'm blessed 🙌 🎉
@simonIbrahim-hc8vm5 күн бұрын
Aminaa kubwa!!! 🤲📖🤲🎂🙏🙏🙏🙏
@victorishengoma57244 күн бұрын
Hili ni kanisa la wanaosafiri pamoja na kwa umoja...HONGERA MBARIKIWA UMETENGENEZA TOFAUTI
@marymwombe-pwonde14424 күн бұрын
Ameeen amen giza na nuru havipatani
@Phal0ha-i1u5 күн бұрын
Soloist uko sawa
@victorishengoma57244 күн бұрын
Kanisa la waliojikana
@janekilembe93945 күн бұрын
Mungu awabariki,naomba utaratibu nayapenda mavazi yenu,nikiitaji mnishonee je?