Duh! Kweli wanyakyusa wanajaliana! Mbarikiwa kumpa pole Matha wakati ni juzi tu kilitifuka!!!

  Рет қаралды 1,540

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@ZablonMalikaSaya
@ZablonMalikaSaya Сағат бұрын
Tishio la huyu Martha Mwaipaja ni Mch Tochi ya Mlinzi, Tochi ya Mlinzi alipost video zake 3, Nondo za Hatari, Martha kashindwa kuhimili japo hazina matusi hata kidogo, Zote kaomba ziondolewe KZbin😊
@ZablonMalikaSaya
@ZablonMalikaSaya Сағат бұрын
Yule jamaa anabonda hawa wahuni vibaya sana. KZbin wameziondoa Sababu zilikuwa za Uchiuchi
@Leoni-m3u
@Leoni-m3u Сағат бұрын
Tochi ya Mlinzi Hoja zake huwezi kupangua, yule jamaa anajua bana! Alafu hana matusi Wala nn, ila Fasiri ya Neno limekaa pale
@Mery-f5p8c
@Mery-f5p8c 12 минут бұрын
Hutaona Martha Mwaipaja akipambana kushusha hii video. Ila kwa Tochi ya mlinzi alikuwa halali😂
@HellenLemilya
@HellenLemilya 2 сағат бұрын
Una Yesu kweli na hayo makucha?Nina wasiwasi hunishawishi na nafikiri hata wengi huwashawishi,na siku nimekuona unaimba singeli kwa kiboko ya wachawi nilipata wasiwas na nafikiri hata wengi walipata wasiwasi,na mm toka nisikieje kuwa umeachana na mume wako na ww ni muhubiri wa neno la Mungu niliacha na kukosa hamu ya kusikiliza nyimbo zako na hata wengi waliacha kusikiliza
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Сағат бұрын
Kwanza mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni mungu? Au yesu???
@BeatriceSoka-c7c
@BeatriceSoka-c7c 28 минут бұрын
Kama huelewi wewe acha coz HUTAELEWA​@@zaidiissa3714
@BeatriceSoka-c7c
@BeatriceSoka-c7c 26 минут бұрын
Dah Mungu tusàidie
@HellenLemilya
@HellenLemilya Сағат бұрын
Kama ninyi mtaenda mbinguni nyinyi waimbaji maarufu wa kike basi Mungu alitupa kuishi na kusubiri kwenda mbinguni hata kwa vyovyote atakavyo na sisi wengi tutakuwa hatujaelewa neno la Mungu vizuri,may be usinzi ,mauwaji ,wizi ,na mengine sio kosa ,wanawake maarufu hawaishi nafasi zao kwenye ndoa kama vitabu takatifu zinavyosema ,naunga mkono hoja wazo la Mbarikiwa ya kuwa wanawake wanalewa sanaaaa wakipata umaarufu ,kilevi kikubwa cha wanawake ni umaarufu Mungu saidia maana umaarufu tunataka kwa ajili ya utafutaji na sio kwa ajili ya uvunjivu wa ndoa
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 2 сағат бұрын
Hapa kuna mambo mawili tofauti.1.Imani ya Matha Mwaipaja kwamba,"lolote baya likikupata,nyamanza,mwachie Mungu na usilalamike kwa namna yoyote,acha Mungu akupiganie mwenyewe".2.Imani ya mch.Mbarikiwa Mwakipesile ni kwamba,"lolote baya likikupata,usikae kimya,lalamika tena hadharani(paza sauti),waambie wabaya mabaya yao,wazuri na mazuri yao, mwambie pia MUNGU ili aingilie kati juu taabu zako".NB:Nilicho kibaini kati ya watu wawili wa ni kwamba,Mch.Mbarikiwa Mwakipesile anaiishi imani yake(anaishi kulingana na NENO,but Matha Mwaipaja anachokiongea ni tofauti na anachokiishi,yaani anachokiongea ni tofauti na anachokiishi.Mungu wa mch.Mbarikiwa Mwakipesile si mungu wa baali,ni Mungu wa kweli, Ameen ❤❤❤❤❤
@espeditofataki4914
@espeditofataki4914 2 сағат бұрын
Kwa kweli hata sisi wengine kuna haja ya kupambana kupaza sauti kwa nguvu zote iwe ulieleweka au hukueleweka kikubwa ni kupaza Sauti tu.
@barakabusima
@barakabusima Сағат бұрын
Unajuwa shida ni kwamba ninyi waimba kwaya wengi wenu mnaburudisha tuu watu unawezaje kuimba kama malaika halafu unakata kiuno kama shetani ...sasa hayo makucha ya nini
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH 2 сағат бұрын
Jamani asilalamike mwee anyamaze!! Na asipigane mwenyewe amwachie mungu ampiganie.
@HellenLemilya
@HellenLemilya Сағат бұрын
Enewe pole kwa account ako iliohakiwa na Mungu akusaidie niliongea sio kwamba mm nipo sawa hapana,ila kipindi fulani ulikuwa ni wa kunitia moyo na kunishawishi na kutegemea mema na ukweli wa neno la Mungu kupitia kwako , mwishoni niliishia kusikia na kuona vituko kwako ,kwa nafasi ako nategemea kuongonzwa through God truth of his words
@Mery-f5p8c
@Mery-f5p8c 29 минут бұрын
Kwako hatafuta hizi video, japo anayo Copyright. Tochi ya Mlinzi ndo havumiliki 😂
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Сағат бұрын
Sasa nynyi wakristo mnasema yesu awabariki kwani anaebariki mungu au yesu???kwani nyinyi mamuomba au kumuabudu mungu au mnamuabudu yesu???
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH 2 сағат бұрын
Na kwenye crip hiyo anasema anaecheza na acount yake atapambana nae mpaka kushinda duu!! Kunyamaza na kumwachia Mungu apambane kumemshinda.
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 2 сағат бұрын
Nyakati zote ni zakuwa vitani Tu.
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 2 сағат бұрын
Nyakati zote ni vitani tu, maana ibilisi hanaga mapumziko hata mara moja. Na wala hajawahi kwenda mapunziko hata siku moja. Maana yeye anakuacha kwa mda tu na tena anakurejea upya kwa njia tofauti na ya mwanzo au ileile au tofauti kwa Mazingira.
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 2 сағат бұрын
MARTHA MWAIPAJA NYAMAZA USIPIGANE MWENYEWE, MWACHIE MUNGU APIGANE, KWA NINI UNALALAMIKA MITANDAONI KWA SISI WA MWILINI? WEWE NI WA ROHONI, PIGA VITA VYA ROHONI😅😂😅
@caljersilverhabor464
@caljersilverhabor464 2 сағат бұрын
Hizi maelezo anayotoa Mbarikiwa ni rahisi sana kuelewa ila ni mtiani mgumu sana kwa walokole wa siku hizi kuelewa. Wataishia tu kutusi ila maelezo yenyewe ni waziwazi kabisa. Ndiyo mana mara ntyingi naskiliza tu na wala sisomi comments za watu huenda nikakutane na tusi ya kynichafua roho. Ubarrikiwe sana mchungaji
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Сағат бұрын
Sasa mbona huyu dada mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni yesu au anaebariki ni mungu???
@caljersilverhabor464
@caljersilverhabor464 50 секунд бұрын
@@zaidiissa3714 Endelea kuuliza wengine utapata jibu pengine. Kwangu mimi niko kujifunza.
@AnaniaKyando
@AnaniaKyando 2 сағат бұрын
Baba tusamehe bule tulikuhukumu na leo yameturudia sisi wenyewe
@wanejohnmsukwa6590
@wanejohnmsukwa6590 3 сағат бұрын
Kwa anadiko hili Muhubiri 3:7,wote mpo sahihi.Mbarikiwa upo sahaihi na Matha yupo sahihi Kwasababu kila jambo na wakati wake kunawakati wa kunyamaza na wakati wa kuongea Muhubiri 3:7 Wakati wa kurarua, na wakati wa kushona; Wakati wa kunyamaza, na wakati wa kunena; .Hivyo hapo ni kufundishana tu kwa upendo na hekima yote.Niwazi wakati wako wa kuongea Matha alikuwa anapita kwenye wakati wa kunyamaza.Na sasa Matha ameshapita wakati wa kunyamaza ameingia wakati wa kuongea anaongea. sasa.Na hii yote ni kwa sababu tunatofautiana viwanago vya imani na mapito.Hivyo muache tu Matha azungumze sasa ni wakati wake umemfikia.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 3 сағат бұрын
Utafika sana wakati wa kulia, kunena na kulalamika hata kwa ninyi ambao mko katika wakati mdhanio ni wa kunyamaza. Ndipo utakuja kujua ni kwa nini haukulia pamoja na waliolia.
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 2 сағат бұрын
Kwa hiyo upi wakati wa kuongea na upi wakati wa kunyamaza??? Na wewe una uhakika kama kweli wakati wako wa kukomenti umefika? Au ulitakiwa usubilie wakati huo ufike?
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 2 сағат бұрын
Ndugu yako akilia na kulalamika. LIA NAE NA LALAMIKA NAE, PAMOJA.
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 2 сағат бұрын
Mungu wa Mch.Mbarikiwa Mwakipesile,ndiye MUNGU wa kweli(muumba mbingu, nchi na vyote vilivyo na visivyo hai),jina lake lihimidiwe Ameen❤❤❤❤❤
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Сағат бұрын
​@@Mbarikiwa_Mwakipesileharafu huyu dada hajielewi mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni mungu au yesu?????????!!!
@joshuangonya-jt5dj
@joshuangonya-jt5dj 2 сағат бұрын
Aisee! Mzee una akili sana.
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Сағат бұрын
Harafu huyu dada hajielewi mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni mungu au yesu???
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we Сағат бұрын
Hapa kakosea wap
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 2 сағат бұрын
Martha Mwaipaja alitaka kuifunga account ya Kikosi kazi cha injili na sasa analalamika baada ya kuona na yeye anakabiliwa KUMBE UKITENDA MEMA NI KWAAJILI YAKO MWENYEWE NA UKITENDA MABAYA NI KWAAJILI YAKO MWENYEWE!!!!
@rabiamenshoo1988
@rabiamenshoo1988 2 сағат бұрын
Martha hana uwezo wa kufunga account ya mtu yeyote labda yake mwenyewe.Acha kupotosha pengine una/mna bifu naye
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 2 сағат бұрын
@@rabiamenshoo1988 Kama hana uwezo huo mbona analalamika kuwa wanamfanyia hivyo hivyo kwenye account yake?
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Сағат бұрын
Harafu huyu dada hajielewi mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni yesu au mungu??
@MankaTansaniya
@MankaTansaniya 6 минут бұрын
​@@zaidiissa3714Kwani vipi? mbona umekazania sana..yeye ndio anajua anabariki au habariki
Ndoto hii ngumu aliyoiadithia askofu Gwajima ni ya wakati gani?
14:15
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 5 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 13 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
Mbarikiwa kusulubiwa hadharani kama hili litapuuzwa?
20:37
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 1,1 М.
BIBLIA PEKEE NDIO ITAKAYOKUSAIDIA USIWE TEGEMEZI KWA WATUMISHI || MWL DIANA MWAKASEGE:
4:16
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 952
Mbarikiwa amshukia mwanamke anayesema alitekwa na anayesema alifumaniwa
15:32
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 14 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 13 МЛН