MBEBA MIUJIZA [OFFICIAL VIDEO]

  Рет қаралды 32,216

DADY PRODUCTIONS

DADY PRODUCTIONS

Күн бұрын

Morogoro singers of Catholic {MORSICA} wanakukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu unaoitwa MBEBA MIUJIZA ukiwa ni utunzi wake Ndg. Antony Kiatu ambao unatualika sote kutambua matendo makuu ya Mungu anayotutendea katika maisha yetu ya kila siku.
Wasiliana na MORSICA kupitia nazo zifuatazo ili uwe miongoni wa watakao pata album hii mara baada ya uzinduzi. +255 715 451 192 au +255 673 120 025.
Kazi hii imerekodiwa katika studio za DADY PRODUCTIONS
Contact DADY Productions for booking
dadyrutta88@gmail.com
+255 745 260 131/+255 715 068 53

Пікірлер: 50
@paulinamgalla5348
@paulinamgalla5348 Жыл бұрын
Utunzi mzur ubarikiwe mwl kiatu
@yulianacharles3070
@yulianacharles3070 Жыл бұрын
Wimbo mzur
@binajoseph5801
@binajoseph5801 Жыл бұрын
Waoooooo ujumbe mzuri sana Mungu awabariki
@isaacshomary8266
@isaacshomary8266 2 жыл бұрын
Hongereni sana kwa wimbo na location imekaa pia sana
@inkolataghuliku2114
@inkolataghuliku2114 2 жыл бұрын
Asante sana 🙏
@emmanuelmachibya.
@emmanuelmachibya. 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sanaaa. Hongera Dady productions.
@mc_benja_classic6838
@mc_benja_classic6838 2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana mungu awabaliki sana tufurahia huduma nzuri za gospol
@Blessedhopefamily
@Blessedhopefamily 2 жыл бұрын
Moro sasa inapamba motoooo.... Naomba usajir kwenu jaman, naiona moro mpya kupitia kwenu, Mwl Kiatu, mwl Regine(sorelist)
@inkolataghuliku2114
@inkolataghuliku2114 2 жыл бұрын
Karibu sana
@frankfocus5484
@frankfocus5484 2 жыл бұрын
Hii chuma kali sana kila kitu saaafi Mungu abariki sana utume wenu
@inkolataghuliku2114
@inkolataghuliku2114 2 жыл бұрын
Amina 🙏
@deogratiassamson4033
@deogratiassamson4033 2 жыл бұрын
Kiatu kiatu kiatu nakuita mara yatatu du umeupga mwing saana mungu aimidiww
@michaeldady1767
@michaeldady1767 2 жыл бұрын
Fireeee, amazing production bro. God bless you appreciation from +250
@amosmwanauta5110
@amosmwanauta5110 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri hongereni Sana ukweli mwl Anton kiatu umetupatia kitu
@noreenshinyambala4269
@noreenshinyambala4269 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sanaa🔥
@georgenkuna1132
@georgenkuna1132 Жыл бұрын
Good job
@emmanuelmachibya.
@emmanuelmachibya. 2 жыл бұрын
Aise ni 🔥🔥🔥🔥. Big up Sanaa waimbaji. Hapo mwishoni mwishoni tu jamani. Aiya iyaa nitakutukuza.....
@TalentedMusiciansTMO
@TalentedMusiciansTMO 2 жыл бұрын
🔥
@japhetmahenge6888
@japhetmahenge6888 2 жыл бұрын
Very clean, kwa kazi nzur hakika mnastahili pongezi nyingi xana
@heavenlymusicproduction4360
@heavenlymusicproduction4360 2 жыл бұрын
Bro dady hii kazi ni Kali mnoo
@amosmwanauta5110
@amosmwanauta5110 2 жыл бұрын
Daddy production si mchezo
@azairweaurelia8097
@azairweaurelia8097 2 жыл бұрын
This is what they call gift, talent and anointing in production ..... Mr Producer much blessings upon you ! We love u from + 256
@TalentedMusiciansTMO
@TalentedMusiciansTMO 2 жыл бұрын
Kazi Nzuri sana Mbarikiwe 🙏🙏🙏
@JacksonMungai-l1l
@JacksonMungai-l1l 4 ай бұрын
Wimbo mzuri sana
@carolinesajiloo2557
@carolinesajiloo2557 2 жыл бұрын
Nimzr Sana nimebarikiwa sana
@elizabethjames2579
@elizabethjames2579 2 жыл бұрын
Wimbo mzurii sana wenye hisia Kali ndani yake , hongera sana 🙏🙏
@inkolataghuliku2114
@inkolataghuliku2114 2 жыл бұрын
Asante sana🙏
@generosakinemo5490
@generosakinemo5490 2 жыл бұрын
Kweli Yesu ni wa huruma ukimkimbilia hakuachi. Wimbo mzuri mbarikiwe na Bwana
@yohanamagukula1181
@yohanamagukula1181 2 жыл бұрын
Hakika mbarikiwe sana
@ancilamartin1963
@ancilamartin1963 2 жыл бұрын
Ni Yesu hakika
@noreenshinyambala4269
@noreenshinyambala4269 2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sanaa🔥uyu mama wakwanza alieanzisha nyimbo noma sanaaa😘kazi nzuri sanaaaaaaa mbinguni moja kwamoja.....
@TalentedMusiciansTMO
@TalentedMusiciansTMO 2 жыл бұрын
Amefanya vizuri 👏👏👏
@TalentedMusiciansTMO
@TalentedMusiciansTMO 2 жыл бұрын
Amefanya vizuri 👏👏👏
@inkolataghuliku2114
@inkolataghuliku2114 2 жыл бұрын
Karibuni hakika mungu ni mwema
@free-starpro
@free-starpro 2 жыл бұрын
Huu ndio moja kati ya baadhi zitakazokuwa kwenye album huko Mbinguni. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@TalentedMusiciansTMO
@TalentedMusiciansTMO 2 жыл бұрын
Kabisa 🎶🎶
@inkolataghuliku2114
@inkolataghuliku2114 2 жыл бұрын
Mungu atubariki sote,haikua kazi rahisi ni mungu tuu
@adezilimu8148
@adezilimu8148 2 жыл бұрын
Kazi hiii ni motooo🔥🔥🔥Big up Dady productions, well done.
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@nkiyacharles387
@nkiyacharles387 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri location nzuri sana
@inkolataghuliku2114
@inkolataghuliku2114 2 жыл бұрын
Mji kasoro bahari 😆
@sallywairicu775
@sallywairicu775 2 жыл бұрын
Amazing! Dady you're such a talented person...May God richly anoint you🙏
@rhodamwanduu2305
@rhodamwanduu2305 2 жыл бұрын
Glory to God Hongeren Inko nione inbox kunazawad yako🤣
@benedictmnyasumba
@benedictmnyasumba 2 жыл бұрын
Kaka umetisha
@TalentedMusiciansTMO
@TalentedMusiciansTMO 2 жыл бұрын
Saanaaa 👏👏🔥🔥🔥
@maryigwe4649
@maryigwe4649 2 жыл бұрын
jamani nimependa sana wimbo ni mzuri sana nimebalikiwa na mbeba miujiza🙏🙏
@geoffreysindani752
@geoffreysindani752 2 жыл бұрын
kiatu hongera kwa utunzi mzuri rafki yangu pia wanakwaya hongereni kwa kuimba vizuri
@dianamwendwa977
@dianamwendwa977 Жыл бұрын
I can't stop crying.....Gods blessings be upon you.... This song speaks what's in my heart yet l didn't know how to express my gratitude to Him who is so loving even when we don't deserve it.
@paulzengo3303
@paulzengo3303 2 жыл бұрын
9c
@ndururutsejerome1424
@ndururutsejerome1424 2 жыл бұрын
Ornell mutoni
TWAJA KUKUSHUKURU [OFFICIAL MUSIC VIDEO]
8:40
DADY PRODUCTIONS
Рет қаралды 23 М.
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 24 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 45 МЛН
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 66 МЛН
NEEMA YA MUNGU{Official Video}
8:23
DADY PRODUCTIONS
Рет қаралды 101 М.
FUFUA MATUMAINI{Official Video}_By. PACHA
7:40
DADY PRODUCTIONS
Рет қаралды 29 М.
Agape Gospel Band - Wazee 24 ( Official Music Video )
11:00
Agape Gospel Band
Рет қаралды 1,4 МЛН
Pokea Shukrani (Official Video) By. Kwaya ya Mt. Karoly Lwanga ATC and Lawrence Kameja
10:23
Kwaya ya Mt.Karoli Lwanga Chuo cha Ufundi Arusha
Рет қаралды 101 М.
Chang'ombe Choir CVC-MANENO SABA YA YESU
9:32
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
Рет қаралды 603 М.
EE BWANA KWANINI WASIMAMA MBALI | DADY PRODUCTIONS (Official Video)
6:02
THE MAVOs - NIGUSE BWANA (OFFICIAL MV) | DADY PRODUCTIONS
8:38
DADY PRODUCTIONS
Рет қаралды 161 М.
MUNGU YU PAMOJA NASI | DADY PRODUCTIONS
8:39
DADY PRODUCTIONS
Рет қаралды 61 М.