Kuna vitu unacheza hadi watu wanasahau kuwa unaigiza wanatukana wanaona kama ni kweli na siyo maigizo Unaigiza vizuri sana
@SaraMgoloka-kz5wl2 ай бұрын
Wanyamwezi woyoooooooooooo❤big up ome boy kelvin✊❤️
@fatumastv3 ай бұрын
Tina anajuwa sana kuigiza jmn ❤❤
@RoseRugimbana2 ай бұрын
Uko vizuri Tina kwenye uigizaji endelea kupambana ufikie ndoto zako mamy
@KhadijahKinyuri3 ай бұрын
Muigizaji bora ❤
@Zeinabmea2 ай бұрын
Tina nakupenda sana dadaangu uko vizuri sana hongera kwa kazi nzuri❤❤❤❤
@Aineth-t2h8 күн бұрын
Napenda sauti ya huyo Dada mtangazaji
@WembaAntoinette2 ай бұрын
Kwakweli Tina anaigiza vizurisana kwenye filamuyake yéyé nalavnesi wanaigiza vizuri sana pamoja 'na Kevin 'awapendasana kwakweli Mimi nipo kongo 'nafatilia filimuyao sana iyi ya mutoto wabos
@LilianiMeena3 ай бұрын
Karembo ❤
@MamanEstherEsther3 ай бұрын
Tina mleta utamu wa mtoto wa boss ❤❤
@DidaAlly-iz1it2 ай бұрын
Sasa uko kijitikisa mpk saangapi jmn si mpk mkimariza maujiano ushachoka 😂😂😂😂😂😂😂😂
@DishaniDisha-zm2gm3 ай бұрын
Anaweza
@LeticiaSimon-q1g2 ай бұрын
Uko vizur sanaaa Tina wangu
@MweniThoya-o4g2 ай бұрын
Muigizaji bora sana 2😂😂😂😂😂😂😂
@EDINAMAIGA-l5m3 ай бұрын
Nakupenda wajina wa mwanangu
@TatuMkeso3 ай бұрын
Tina hongera
@HasnaHassan-p8d2 ай бұрын
Tunaomba mahojiano na victoria mwigan tumemmis
@victormkello95753 ай бұрын
#Muheza 🙌
@PiliRashidi-tt8nd2 ай бұрын
Ww ni mrembo mashallah
@neemanelson60572 ай бұрын
Kipenzi changu😢
@FurahaDavid-t1o3 ай бұрын
Uko sawa tina❤
@JumaGendeye-sv6yl3 ай бұрын
Mbona matiti haya turii 😂😂😂
@MANUNITED-lg3pv3 ай бұрын
Love🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@ZAnikiMwinchumu22 күн бұрын
Asa apo ndy kanongona jamani😂😂😂
@JacklinMajesi-hp6nuАй бұрын
Mkifanyiwa izo interview c mtulie muongee tu vzurii kujitikisa tikisa ivo ndo nn mue mnatulia
@SalmaAbdul-l6p3 ай бұрын
❤❤
@anethmshahara85192 ай бұрын
Tina umefanana na Sara Nyika
@felistussamuel49172 ай бұрын
Uyu dada anajua kuigiza weee
@christinakomba6893 ай бұрын
Wajina hongera japo unanikwaza😂
@AyubuSanga-z4s3 ай бұрын
naomba namba ya kelvin
@EliamaniNanyaro2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😅
@NewNew-ep5dq3 ай бұрын
Kumbe tina mtu wa muhza aya tukutane majengo
@yohanamaige-y8s2 ай бұрын
Penzi la mtoto wa boss na dada wa kazi ya 31
@barikinanyaro62913 ай бұрын
Wewe tinah kelvin ni mjita sio mnyamwezii kazaliwa nzega tabora ila kabila alisi ni mjita mtu wa musoma mkoa mara
@GraceBriton3 ай бұрын
Tina nimependa NGOZI yako❤
@LoveAron3 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤
@UpendoMaduhu2 ай бұрын
Tina unavoyatoaga macho hata hupendezi
@tonykonki14373 ай бұрын
Wewe mtangazaji tafta blizza ingine bana
@CharlesKelemensi-r5b3 ай бұрын
Tina muongo kwenye kijana muuza maji ulikuwepo
@JacklineKaduma3 ай бұрын
Kasahau 😂😂
@BijouxMunezero-k3e2 ай бұрын
Ira www Tina nichum ira puguza kumtesa Tina kwakweli
@GraceVISAMAYANI-gj1xm2 ай бұрын
Ndio alikuepo
@KibuukaGeorgeWilliam3 ай бұрын
Nawapenda Sana nyote ila nifanyeje ili namim nisjiunge maana nampenda sana uigizaji na Nina weza najiamin please naomba maombi yangu yamfikie kelvn ntashukulu
@VanessaDaniel-m1r3 ай бұрын
Yn sipendi ayo mambo yakugusa gusa wigi ovyo kwan mbona ushamba hivyo jmn kila mda wigi tu kugusa