"Mbeya Nimepoteza Cheo Sio Heshima | Sitaacha Siasa | Sirro Ajiuzuru" - Sugu

  Рет қаралды 47,763

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Mbunge wa zamani wa Mbeya Joseph Mbilinyi (SUGU) amepiga stori na Clouds 360 kuhusu maisha yake baada ya Ubunge na masuala mbalimbali ya kisiasa na kijamii

Пікірлер: 85
@peterjosephat6685
@peterjosephat6685 3 жыл бұрын
Mjadala nimeupenda sana uko vizuri sugu kwenye mchango wakupigania uhuru wa tanzania dhidi ya wakoloni wa ccm
@williamgeorge150
@williamgeorge150 3 жыл бұрын
Me sioni tofauti ya ccm na ukoloni labda tu ukoloni wa ccm Ni mbaya sanaaaa
@prospermalala6636
@prospermalala6636 2 жыл бұрын
Mh, sugu Hongera sana Kwa kuwatumikia wananchi wa Mbeya
@georgealila7003
@georgealila7003 3 жыл бұрын
Big up bro siro amekuskia
@jitulakalemastr7636
@jitulakalemastr7636 3 жыл бұрын
Sawa mzee sugu nakubali sana bos
@josephngonyani4406
@josephngonyani4406 3 жыл бұрын
Hatar sana inter view za sugu wamepola tittle tumabaki na respect.
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 3 жыл бұрын
Mhe.Sugu,unaelewa siasa,uchumi na hata muziki.Napenda mawazo yako sana.
@saidcontractor3315
@saidcontractor3315 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana Mr sugu
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 3 жыл бұрын
Yaan ..mtu uchoki kusikiliza yaan .dah... Big up... Mr Sugu...✌️✌️✌️✌️
@clintonmwaisaka7117
@clintonmwaisaka7117 3 жыл бұрын
Sugu ni motooooo 2025 bungeni tena
@baravuga622
@baravuga622 3 жыл бұрын
Wanakwita SUGUUU nani..Wanakwita SUGUUU..SUGU SUGU SUGUUU🤜🤛
@lucasmfaume82
@lucasmfaume82 3 жыл бұрын
Amen
@omanss268
@omanss268 3 жыл бұрын
Good interview
@benjaminpaschal759
@benjaminpaschal759 3 жыл бұрын
Mbeya boy chuma
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 3 жыл бұрын
Wananiita sugu..
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 2 жыл бұрын
Respect kaka mkubwa
@lutenganomwannyalu3366
@lutenganomwannyalu3366 3 жыл бұрын
Usiyoyajua ni sawa na usiku wa giza
@josedickson6804
@josedickson6804 3 жыл бұрын
You got brains bro
@vidothlema7131
@vidothlema7131 3 жыл бұрын
Safi sugu
@giriadsyalama4283
@giriadsyalama4283 3 жыл бұрын
Tuta kukumbuka sana jembe letu mbeya baba letu na rais wetu
@joelmdeke7052
@joelmdeke7052 3 жыл бұрын
Much respect bro 🙏🙏🙏
@user-ys4qx6if9k
@user-ys4qx6if9k 8 ай бұрын
Mheshimiwa 2proud a.k.a Jongwe the himself
@ramadhaningalemba2377
@ramadhaningalemba2377 3 жыл бұрын
Kija alijuta sana hii siku anaonekana hana furaha kabisa kuona ccm yake inapondwa🤗🤗
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 3 жыл бұрын
Safi sana muheshimiwa sugu, from USA 🇺🇸.
@gratianustindazesile574
@gratianustindazesile574 3 жыл бұрын
Big up bro
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 жыл бұрын
Kamanda sugu tunakuaminia.
@hendrycomonsiwenga1084
@hendrycomonsiwenga1084 3 жыл бұрын
Mhe, nje ya bunge uwa nakuelewa sna.
@stevensteve7519
@stevensteve7519 3 жыл бұрын
Nakukubali Sana mheshimiwa Sugu.
@georgesikazwe5914
@georgesikazwe5914 3 жыл бұрын
Best interview...🙌🏻
@mabenatv8554
@mabenatv8554 3 жыл бұрын
Mr ii
@crctmwamshotv1120
@crctmwamshotv1120 3 жыл бұрын
Mjadala bora kabisa , content na fact za kutosha kabisa
@kikariantandi4833
@kikariantandi4833 3 жыл бұрын
I RESPECT YOU MR SUGU WELL SAID
@emeldamulukuzi888
@emeldamulukuzi888 3 жыл бұрын
Lakini umepoa sana bana SUGU.
@mirajikisuda4341
@mirajikisuda4341 3 жыл бұрын
KAMANDA SUGU TUKO PAMOJA SANA
@ukendemasangya7963
@ukendemasangya7963 3 жыл бұрын
Yaan Sam mfupi jaman
@solobennymwanshinga6714
@solobennymwanshinga6714 3 жыл бұрын
Ccm bwana et selikari emeamua
@bundukitv1322
@bundukitv1322 3 жыл бұрын
Dondoo za afya TATIZO LA MKOJO👉kzbin.info/www/bejne/rne6gZZ9j7qjhq8
@frolamlila2096
@frolamlila2096 3 жыл бұрын
Nakukubali Sugu
@easymapetv
@easymapetv 3 жыл бұрын
Huyu jamaa, wakimuandaa vizur aweza kucheza party ya mbowe hata kwa robo
@renathaapollo3124
@renathaapollo3124 3 жыл бұрын
Nakubali Sugu
@mandaluukali9629
@mandaluukali9629 3 жыл бұрын
Ipo vizuri sugu tunakuelewa
@mandaluukali9629
@mandaluukali9629 3 жыл бұрын
Zugu oyeeeee
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
wewe ujapoteza cheo ww umenyang'anywa ubunge na haw wasenge, na heshima ipo palepale
@nelsonngemera9832
@nelsonngemera9832 3 жыл бұрын
Hahahaaa eti anapaisha..
@Alimahrooi
@Alimahrooi 3 жыл бұрын
The solution is to reshuffle the ministry of enterio and all higher police ranks plus cheking what they have in the banks and other property and send them home or in prison they are giving bad name of the best contry in East Africa and olso you have to know TZ is not a poor country.
@jenniphermwakasita6830
@jenniphermwakasita6830 3 жыл бұрын
Kwa Zambia Sugu asiongee hakainde ni mwanasiasa mtifu kwenye serikali yake na nitajili hawa wa kibongo ni wababaishaji wanavurugu matusi na kuizarau serikali yao wanasiasa wa kibongo wanafanya siasa ni kwakujipatia utajiri
@boscomfundo7953
@boscomfundo7953 3 жыл бұрын
Inaonekana hujui lolote kuhusu Hakainde. Kajifunze tena uone alivyonyanyasika kwa kupewa kesi ya uhaini.
@salimali5457
@salimali5457 3 жыл бұрын
Sirro AJIUZURU ? Duh nyinyi wazembe kweli.
@fidelludemwa2943
@fidelludemwa2943 3 жыл бұрын
Sugu jibu maswali vizuri mbona unachanganya
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 Ай бұрын
Sikiliza vizuri kama anajibu na unavyotaka kausha
@stellamwakatulile3202
@stellamwakatulile3202 3 жыл бұрын
Sugu Kama sugu
@khatibabdallah6185
@khatibabdallah6185 3 жыл бұрын
Tatizo chadema wanalalamika mnoo cha kujua hakuna mkamilifu unaloona wewe dhaifu kwa mwenzio ni imara kwake.
@gratianustindazesile574
@gratianustindazesile574 3 жыл бұрын
Truth is not subjective. It is objective/ universal.
@tonyaron85
@tonyaron85 3 жыл бұрын
Akili za matakoni hzo pole xn
@giriadsyalama4283
@giriadsyalama4283 3 жыл бұрын
Au sio ko umeisia hapo tu au karudishe ule ulith aliokuachia babu yako huo ndo unakuchanganya
@jumannentimizi9000
@jumannentimizi9000 3 жыл бұрын
TUNAKUPENDA TANZANIA SIYO MBEYA TU TUNAKUOMBA TUTAFUTE KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI SIYO HAWA WANAOITWA WABUNGE WA SISIEMU HAWA SIYO WABUNGE NI MAKADA WA SISIEMU LEO MARA WASEME UGAIDI MARA UTAKATISHAJI WA PESA TUMECHOKA NAO
@fridaymwaseba5848
@fridaymwaseba5848 3 жыл бұрын
Aliyeskia IFM aniambie, hivi ni IMF au IFM
@isayakiiza4708
@isayakiiza4708 3 жыл бұрын
Sugu akili kubwa
@anthonywashokera3500
@anthonywashokera3500 3 жыл бұрын
Sugu bado unakubalika sana
@majosamalundi3687
@majosamalundi3687 3 жыл бұрын
Sunche nakuona
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 3 жыл бұрын
Rais rungu aliagiza vifaru washawasha bunndukilakini ameanguka vibaya
@boscomfundo7953
@boscomfundo7953 3 жыл бұрын
Sugu Kaka mkubwa
@effayanga903
@effayanga903 3 жыл бұрын
Nakukubar jembe lang
@edwinmwandete4525
@edwinmwandete4525 3 жыл бұрын
mwongo kabisa Zambia inaenda kufilisika tangia waanze mabadiliko ya vyama
@kareisindilo2776
@kareisindilo2776 3 жыл бұрын
mb zangu zimeenda kihalali
@sadockmhinza699
@sadockmhinza699 3 жыл бұрын
Crash nikof Ak47
@abelgodfrey8542
@abelgodfrey8542 3 жыл бұрын
Wanamuita nan huyu jamaa
@mwlpierre
@mwlpierre 3 жыл бұрын
Ni Sugu
@paulebby1552
@paulebby1552 3 жыл бұрын
We don't entertain for Free 😂😂
@labilowabiikongo9338
@labilowabiikongo9338 3 жыл бұрын
True nice
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 3 жыл бұрын
Jamaa yuko poa
@stanfordjeremiah8943
@stanfordjeremiah8943 3 жыл бұрын
Kumpigia mkuu wa IFM au IMF?? 🤣🤣🤣
@salimali5457
@salimali5457 3 жыл бұрын
Yani nyinyi munahoji muheshimiwa kila mara munapekua simu zenu ?!
@asifiwenenula7324
@asifiwenenula7324 3 жыл бұрын
Hakika huyu alikuwa mbunge mbeya ulikuwa jembe,, wakati huo 🇹🇿
@fundifundi8328
@fundifundi8328 3 жыл бұрын
Nanyie mbona waongo sana?huyu hakufanya kitu chochote huku mbeya kazi yake nikuongea ujinga tu hana jipya huyo
@Jal210
@Jal210 3 жыл бұрын
Jembe bovu
@benswai8099
@benswai8099 3 жыл бұрын
Wewe dada kazi ya uandishi wa habari ulilazimishiwa? Nakuona unakasirika kweli hasa pale unapoona jibu ulilotarajia halitolewi
@jeromemdoe6816
@jeromemdoe6816 3 жыл бұрын
Kuna Wakati alitaka amkatishe sugu amuulize swali alivyostopishwa kauchuna
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 3 жыл бұрын
Huyu ni ccm damu alishawahi kwenda kugombea mahali anaitwa Kijakazi
@yusuphdomi6430
@yusuphdomi6430 3 жыл бұрын
Nakupa.inia Rais mbeya bigup
@jovinsimon4670
@jovinsimon4670 3 жыл бұрын
Tuko pamoja Mkuu,
@labilowabiikongo9338
@labilowabiikongo9338 3 жыл бұрын
Ok
@jubilatemanase9050
@jubilatemanase9050 3 жыл бұрын
Eti suti na tai😀😀
@godlema6104
@godlema6104 3 жыл бұрын
good interview
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 5 МЛН
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA
2:33:49
MBEYA: M/KITI WA MTAA AUAWA NYUMBANI KWAKE USIKU WA MANANE...
5:03
Kisa cha Habari ya Panya na Ngamia - Sheikh Walid Alhad
49:56