Tanzania imebarikiwa na Mabingwa waimbaji!!!!! Kumbe lugha (Kiswahili hapa) ni kito cha thamani kwa taifa!!!! Tuna heri sie tunaoilewa lugha hii. Sikiliza sauti ya Ndugu Makondeko. Doooo!
@edamayulewajenes93947 жыл бұрын
Amen.....barikiwa sana ...sote tutafanana n yesu
@annamrima55074 жыл бұрын
Ameen
@janetrixomulama28678 жыл бұрын
Amen,barikiwa mpendwa wa Mungu
@pastornyundo18353 жыл бұрын
Hongera
@tuyizereghadi161911 жыл бұрын
ee bwanae "makonde" unanitia mashaka bro, nilikuwa na mpango kuitembelea jimbo la dar kama vile kariakoo mwaka kesho..ile nililo kuwa nalo kuondolewa badae kusikia huu ujumbe...nashukuru sana Mungu akubariki .....eti" usipo tubu zambi utaenda mbingu ya Morogoro"
@bobog97326 жыл бұрын
Mbinguni sio Ungereza wala Umarekani Viza yakwenda mbinguni ni Yesu mwana wa Mungu
@feysalfad13096 жыл бұрын
KZbin
@benedattemutisya41057 жыл бұрын
Mbinguni sio American pale wasiotakikana hawaingii 👏
@brianmukunda69688 жыл бұрын
Really Mbinguni sio kariakoo....
@athumanibinuri9227 жыл бұрын
Mbingun sio kariakooo kweli jamn
@benjaminmotanya64628 жыл бұрын
mungu asante sana kwa ndugu huyu
@RizikiNash10 жыл бұрын
Nafurahi sana eti nisipotubu zambi zangu nitaenda mbingu ya murogoro ha ha ha ha ha ha ha
@trezashiko60487 жыл бұрын
Sifa kwa Jesus
@madalisophiri58807 жыл бұрын
Ameen mpendwa
@millylukas68329 жыл бұрын
Amen
@naomi3409 жыл бұрын
amen!
@Hillhammer.23889 жыл бұрын
what a revelation
@fotinata71817 жыл бұрын
Asante sana mtumishi
@mkwekimaro77989 жыл бұрын
wapendwa ktk Bwana I Really like Le song nielekzni ni vp nifanye niwez download plz. asanteenii
@julietkyungu58111 жыл бұрын
wow it true
@pastorshadrackkjuliusjaamc21758 жыл бұрын
mbaraka mno
@euchariakumbulu79385 жыл бұрын
wimbo mzr picha na ishara mpangilio mzr
@mkwekimaro77989 жыл бұрын
wapendwa ktk bwana I really like Le song nielekezn ni vp niwez download plz
@aityubd12 жыл бұрын
With due respect, nice music, but the message is full of prejudice, replacing God on judgement. Let God be God....