Karibu katika Darasa langu la fedha na uchumi nitafundisha kwa njia ya Mtandao (Whatsapp), Popote Ulipo Tanzania unaweza kupata mafunzo haya, DARASA hili la siku 10 Linaanza tar 5 mwezi 11 kwa Kiingilio cha 25,000 ila ukilipa kabla ya Tar 1 ni Tsh 15,000 tu, Kwa Maelezo zaidi Piga 0744126640.
@abdallahathuman94932 ай бұрын
Sawa kaka😊
@braymusic99563 ай бұрын
Asante Sana Victre mwambene
@mangalamlala35163 ай бұрын
My mentor!
@SALAMAJuma-s1s3 ай бұрын
Upo vzur na mm insha allah nitakuja kununua vitu 10 cha neema kikaniki na vyko 3 na jole nanauka 6 insha allah nikirud Oman 🇴🇲 insha allah
@claudjohn3 ай бұрын
Asante kwa somo
@smhina183 ай бұрын
🙌🙌 salute kk nimejifunz kitu
@JacquesKambale-gq7db3 ай бұрын
Nakusukuru kaka ila napatikana congo uwe unaanja naalama ya kunjumwisha, lengine samahani pesa hizo pima tanja kwa dola
@MaryFlorence-t3m3 ай бұрын
😂😂wwe mchawi umeanza kutupigia debe hapo hapo duh but nimekuelewa
@JacquesKambale-gq7db3 ай бұрын
Nianjie alama ya kujumlisha +
@edsonmundebhabrand3 ай бұрын
Bwana kaka me nafanya kaz kwenye mikopo hela zangu hazifiki ofsin sas nilikuwa naomba unisaidiedie
@KhamisAmirykanda3 ай бұрын
kak vitabu unauza shingap
@noelzakayo78543 ай бұрын
Nataka hicho kitabu sell like crazy npo dom na Shngap?
@BoscoTadeu3 ай бұрын
Mimi nitapataje hivyo vitabu? Niko Nampula mozambique
@edsonmundebhabrand3 ай бұрын
Bwana kaka me nafanya kaz kwenye mikopo hela zangu hazifiki ofsin sas nilikuwa naomba unisaidiedie