#TheBarTender ... Episode Number 08 🍹🍸 . . @mkudesimbaoriginal Yupo Ndani ya #TheBarTender 🍹 na BabaAko @jonijooo . . Big Shout Out To ..... @rhapsodys.dar 🏙
Пікірлер: 1 100
@annajemsi35525 жыл бұрын
Jaman nime enjoy sana interview ya mkunde Simba mlo enjoy interview ya mkunde Simba weka like yako hapa.
@pilikhamis29245 жыл бұрын
kitale yan nakuaminia maneno yakua mkuambiwa vzr sana hongera kk ila weka kila siku maana duu niuhondo
@sechelelafungo18844 жыл бұрын
Yupo poasana
@kaniyahiouise14745 жыл бұрын
*Kama unaangalia huku ukisoma comments tujuane gonga like twende sawa*
@mtumishihewa75955 жыл бұрын
nielekeze mkuu naandikaj hayo maandishi aisee
@Official_Sunday_Mjeda5 жыл бұрын
Nice kk pammoj
@mtumishihewa75955 жыл бұрын
kaka nelekeze bhx
@azizarajabu64765 жыл бұрын
Mkude anajielewa sana anaakili ya kufkilia jambo jema namkubal sana
@ngnkjumanne32875 жыл бұрын
Sana
@stevenshonza68695 жыл бұрын
Uhalisia wa inje ya camera juice grac kama zote kudadeq nimekubali
@officialfranktv90815 жыл бұрын
Hiyo juice hata ningekuwa mimi ningeinywa hivoo hivoo ujakosea😂😂😂
@cleverphd71585 жыл бұрын
1:Young Killer 2:Giggy Money 3:Country Boy 4:Lulu Diva 5:Dude 6:Master Jay 7:Romy Jones 8:Mkude Simba The best show in Town tuko pa1 show ya kibabe
@chiefhelloguysmbossoshikam58225 жыл бұрын
Duh uko vzr ktk ufuatiliaj
@salma_6j9755 жыл бұрын
Master j umemsahau
@BeneguPro5 жыл бұрын
@@salma_6j975 rudia usome liste
@shodristvtv61215 жыл бұрын
Master jay
@cleverphd71585 жыл бұрын
Shodris tv TV uyo apo no.6
@fredykutaly30615 жыл бұрын
Noma sana wasaf Tv joni jooo na kitale ndan ya nyumba
@zulfatothman10515 жыл бұрын
Jonijooo leo utakiona ametembea juani alafu ucku piga tarumbeta baba😆😆🔥
@K257955 жыл бұрын
icho kimwendo Cha mkude simba nimekikubali kama naw unakiona sw gonga like hapa
@georgegerase19035 жыл бұрын
Kytet Mackam m
@ilhammshana91435 жыл бұрын
Matege flan nn😂😂😂😂😂😂
@zuusaidibushiri55563 жыл бұрын
Kumbe we pia umekiona
@K257953 жыл бұрын
@@zuusaidibushiri5556 ndio ndiio umenikumbusha mbaliii
@swabanswar29795 жыл бұрын
Yani Nakupenda zaidi ya sana kitale😍 Lookng good mashaallah
@andersonchibule47615 жыл бұрын
Do you really mean?.
@mohamedabubakar32735 жыл бұрын
.
@fumually49914 жыл бұрын
Nice
@khadijanjama90165 жыл бұрын
Namkubali mzee wa maneno ya kuambiwa acha nikupe mistari kidogo ya kitale!...asante sana afande nimefurahi kuniweka jela mana kula nure kulala bure dah Asante 😁😁😁😁
@missdija49594 жыл бұрын
Khadija Njama wajina hii nilichekaga mpaka mbavu zinauma😂😂
@g.p.ubandusa75645 жыл бұрын
Kama una futilia maneno ya kuambiwa ngoga like hapa
@naimakweyamba53405 жыл бұрын
Tupo sawa sasa episode 26
@mudymboriko44535 жыл бұрын
Baba ako uyu jamaa anakunyw kama me na me siwezi kunywa taratibu
@kervinalfred99935 жыл бұрын
AFRICAN NOLLYWOOD MOVIE TV kitale
@alicedavido13305 жыл бұрын
Siku nyingine huitwi Tena the bar tender😄😄 unamaliza juice
@frankrenatus55245 жыл бұрын
😁😁😁😁 Nipigie tena juice kumbe choo kipo hapo
@hawaomar50455 жыл бұрын
Millard Ayo kaka yangu sorry mi natafuta kazi aina yoyote ile naomba msaada wako
@hawaomar50455 жыл бұрын
Iwe Duka au kaunta fresh tu but nahitaji msaada wako
@abdulaziz7035 жыл бұрын
Safi sana kuona Millard unapata time ya kupitia channels nyingine za wenzako kuona wanafanya nini. Nachukulia hii ni kama nafasi ya kujikuza kikazi kwa kupata mapya na kuchubgulia mapungufu ili uteleze nayo. Safi sana Millard. Keep it Up !
@marcelinamkireri27864 жыл бұрын
Millard ayo nakutafuta sana nikupateje
@marcelinamkireri27864 жыл бұрын
Millard ayo Kaka nakupayeje
@rahimrifaiiyabdullah15305 жыл бұрын
Yaani kiuujumla mkude simba kwa maneno ya kuambiwa umeecheza vizuri sana na kwa mtazamo ule wa maneno ya kuambiwa uko vizuri
Duuuh kapiga vikombe vi 5 vya juice nimekukubali mzee baba
@edgarelia30355 жыл бұрын
Daaaah kitale huvungi me mwenyewe na juice si vungi yani
@abdallahlyimomrwana91345 жыл бұрын
#mkudeeeee🍷🍷🍷✔ Like kama jamaa umemuelewa
@hilarytemba505 жыл бұрын
Kizazi sana
@mikesonko25225 жыл бұрын
Nmependa unavyo fanya maambulizi ya hio juice bro
@veronicaminja76804 жыл бұрын
Mike Sonko
@AAa-xv2mw5 жыл бұрын
Bwakila leo kanywa juis utalipa mze baba hhhhh
@kizaabwe7265 жыл бұрын
Umetisha sana bro kital 😂😂😂
@wizzyculture73155 жыл бұрын
Baba akooo
@yohanajulias41935 жыл бұрын
da jamn huyu jamaa namkubali xan wangap tuko pamoj
@Buterajm15 жыл бұрын
Majizo kabisa anafanya kazi mzuri sana tena kwaki siri ❤️🥰❤️🥰🥰🔥🔥🔥🔥
@paultz17315 жыл бұрын
Julienne Heart naomba namba yko
@Buterajm15 жыл бұрын
Ali Ali did you know Majizo was helping them?? Tell me where you heard that I can go watch it too🙄🙄
@Buterajm15 жыл бұрын
Paul Reuben ThT not a problem but this is public comment come in my inbox on Instagram @julienneheart
@stanleyjunior72305 жыл бұрын
@@Buterajm1 hi naomba nikutafute
@shaniahrachma77675 жыл бұрын
mkude simba much love from kenya jonijoo 🔥🔥🔥🔥bigup babakooo
@emmasteve12815 жыл бұрын
Nomaaaa sanaa ndo namalizia bongo dar natembelea tena huku....
@esemudjeambrose9645 жыл бұрын
Nimetoka zangu bongo dar saram kwa dude sasa nipo na babaako mdogo mdogo
@princehenry41965 жыл бұрын
ESEMUDJE MUDIAGAA hahahhahahaa kama mm vileee
@jairosmnahi12185 жыл бұрын
baba akooo nmeisubil kwa hamu aisee
@malangobinlokendo70484 жыл бұрын
Nimemkubali kbs bwana Mkude Simba, Kitale kama umemkubali na ww gonga like 👍👍
@ahmedali03335 жыл бұрын
OLAAA JUICE BEI GANI KM VP NITALIPAAAAA WEKAAAA JUICE BAAAAAAAAAAAAKO HAPO HAKUNA KUREMBAAAA MWENDO WA JUICE TUUUU 😅😅😅
@mustaphamuslim65645 жыл бұрын
Ivi jaman inamaana bwakira ndo huyu huyu mkude Simba mwenye kujua ukweli jaman.
@mjukuuwabib3405 жыл бұрын
Nakubali sana hajawahi kuharibu interview hata siku Moja, like kwake tafadhali.
@eliasengele78385 жыл бұрын
MKUDE SIMBA kamaliza show KINYAMWEZI
@lindasophia12885 жыл бұрын
Yes hongera sana kabisa kwa Movie ile ya MANENO YA KUAMBIWA 🔥👏
@kingwigo29614 жыл бұрын
Ile ni tamthilia sio movie
@fadhilplatnumz62095 жыл бұрын
Duh- huyumshkaji namkubali pia anavpaj 4 vyakuigiza
@NonoNono-qp3zu5 жыл бұрын
Mhh juice nne🤔🤔 Watakuwa hawakuiti kwenye shoo za kula😂😂
@leahnyamle41794 жыл бұрын
Nakukubaliiii my brooooooooo
@iradukundamike53705 жыл бұрын
Jonijo na kubari sana burundi oyoooooo tunafatiria kipindi cako hongera sana show kari ya kizazi kabisa
@munashabani13765 жыл бұрын
Ata kojoa Sasa haaahaaa yani ana chekesha sanaaa
@tumainimatulo33585 жыл бұрын
Kafanya mambo kiualisia kbs nimekukubali babaake
@malkavoice25705 жыл бұрын
Kumbe ni biashara ya Majizo hii tamthilia, duh! Afu jamaa simwelewagi kinoma ni mtu wa masifa sana afu ukichek nyuma ya pazia ni katili kichizi hanaga utu tena mbinafsi vby mno. Nakukubali Kitale Jisimamie achana na Majizo ikibidi
@zakhiamzenji60045 жыл бұрын
Ovyo
@saoamy71685 жыл бұрын
Matako
@yasiraraphat69895 жыл бұрын
2:14 eti nikampiga za mbali tu.. babaaako... hahahahahah... hlf mkude we ni hbr nyngn umepiga Glass 5.. salute baba
@acruxe58105 жыл бұрын
Mwanaume kamili ana kunywa Juice kama mkude simba 🔥
@danielmlanda97875 жыл бұрын
KAMA JUICE NI YA BURE LEO KWAKWELI MMEFILISIWA KABISA....... 😀😀😀😀😀
@squadbaby78375 жыл бұрын
😂😂😂😂😭
@stanleyhenrish10555 жыл бұрын
Hiyo ya walimu wapya imenivunja mbavu hahaha kama na wewe imekuchekesha gonga like
@faridamchomvu60725 жыл бұрын
Ahahah mkude ataki uzungu juice mapigo yafasta😂😂😂
@ipyanatv64345 жыл бұрын
wanao mkubali mkude gonga like tujuane
@mejubaraza94155 жыл бұрын
Jamani huyu kaka hb wallahy kama unakubaliana na mimi achia like yako wacha chuki
@stanleyjunior72305 жыл бұрын
Ww dada samahani ila naomba number yako nikutafute
@mejubaraza94155 жыл бұрын
@@stanleyjunior7230 mmh ukona mazuri gani kakangu
@venture_rafael5 жыл бұрын
Asa huo ndo uanaume mwanaume hatumii mrija nakukubali sana broh
@abdulrahmanmohd40645 жыл бұрын
Bora Hata nisi kushangaze baba gonga like Twende sawa Ther bartender jonijooo Wasaf tv
@brendaguez44865 жыл бұрын
kitale handsome sanaa
@husseinnzeyimana92125 жыл бұрын
Dah Wasafi tv mko poa sana,kitale ameniuwa sana kabisa nimecheka sana
@peacebabutz44595 жыл бұрын
Kama kawa mzeee baba nakbalina na wewe unacho fanya wauni sio watu baba ako wanakbali uswailini by PEACEBABU
@nicholauspanjaofficial87905 жыл бұрын
mkude simba nimemkubali anishi maisha ya ualisia wake
@roi25545 жыл бұрын
Aisee #mkude nimekukubali sio poa kwenye matunda juis
@anithapaul68235 жыл бұрын
😂😂😂nmecheka unywaji wa juice daah
@stephanozibe27405 жыл бұрын
An niliwaza mkude aje kwenye hili pindi an duh nimefurahi sana af surplize make nimetafta insta usafini kote cjaona kitu nikawa nawaza leo tunakuwa na nani pendaa sanaaa #ManenoYaKuambiwa #KichwaniHamnaShule *...team no strec...# much love BaBaAko
@kelvinevans75135 жыл бұрын
Yaan huyuu jamaa amekaaga kishari em ona ata anavooingia apoo 😂😂😂
@marrymimependasanacosta18374 жыл бұрын
Hahahaa
@saidmukhtan85665 жыл бұрын
Wangapi wanakubali tamthilia ya maneno ya kuambiwa gonga like hapa
@aliymapenzi68125 жыл бұрын
Kama unatoka morogoro like yako muhimu apa tujuane mapema
@sabinaonline65755 жыл бұрын
Bonyeza picha kushoto uone magonjwa ya figo Subscribe like komenti
@lupinamathiasikopowakitale67715 жыл бұрын
Penda sana kaziyake ila punguze kunywa juisi
@abasitulangondo44034 жыл бұрын
Aliy Mapenzi imepit hy
@teklaedward89285 жыл бұрын
Kitale bhana eti ''hii juice ipo nyingi ?'' 😂😂
@yusuphpenza48955 жыл бұрын
Jamaaa anajua sana..... na yupo siriasi na jambo lake.
@ommyp7rajaa4155 жыл бұрын
Kama umeziona Glass Tano za juicy alizopiga mkude gonga. Like twende sawa
@hadijahamisimbasha82125 жыл бұрын
Juice ipo nyingi hhhhhhhhh
@aminaluttu6494 жыл бұрын
Jamn tatu sio tano alafu kuna watu wanakunywa zaid y hapo mmemuona huyo tu
@mariamaiko98544 жыл бұрын
namkubali sanaa
@saisai-ql6fh3 жыл бұрын
M
@simonpadon64585 жыл бұрын
Bartender kipind chang bora kabisaaa
@edwintesha96035 жыл бұрын
Bbbabakooooo
@aishamother99435 жыл бұрын
Kitale tale,back from prison
@petrodunia10965 жыл бұрын
Kitale nouma babaako
@lindawiman96345 жыл бұрын
Yani kitale kumbe wewe mzuri hivo ayise nakupenda sana kwa maneno ya kuambiwa umeshuti vizuri sana
@jamhurdaud44725 жыл бұрын
Mkende jilan yangu,,,,kabsa
@omarynampiliti93565 жыл бұрын
Juice Baba Akoooo Nouuumaaa
@samuelypaulo8204 жыл бұрын
wangapi tulio kimisi hiki kipindi tujuane kwa like👍👍🔥🔥
@rogerboaz23445 жыл бұрын
Hichi kipnd napenda mkichelewa kupost cn raha
@KautpeJr5 жыл бұрын
jamaa yko making na kzi
@hassanjoseph23985 жыл бұрын
Ebwane maneno ya kuambiwa sijakohta nukta #kitale.#jonijo
@onjenikatindasa73155 жыл бұрын
Daaahhh n noumaaa sana hkii kipindiii
@avitrujweka21135 жыл бұрын
Juice kama zote! Hongera kwa kuwa mhalisia mbele ya camera!!! 🔥🔥🔥💪💪💪💯
@fatmasemfuko63835 жыл бұрын
Kupatwa kwa juice 😀😀😀 jonijoo kumbe upo pande hizi naona ile account yako siku hizi kimya sana....
@fatmasemfuko63835 жыл бұрын
@Ali Ali sijamuita ila nimemuulizia tuu jamani 😟😟😟😟😟😷😷😷😷
@hamisifuko42815 жыл бұрын
@Ali Ali, mbona wivu kama wote hivi na maneno makali flani ,vipi mzee Baba😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hawaabubakar26195 жыл бұрын
Hongera xana kake yngu katika iman kwa kua hautumi kilevi i salute u blazer kitale from saudi Arabia
@jeniphaledson44834 жыл бұрын
Nobody like jonijo you are the best man
@mussajoseph77465 жыл бұрын
Akija mzee wa gambe #Piere liquid atamaliza pombe zotee apo 😀😁😀😂😀😁😂
@jackleenmandary26325 жыл бұрын
Htr
@yusuphamani725 жыл бұрын
Axe huyu jamaa nyota ngapi jamani
@nayopamlimbatv13825 жыл бұрын
Kula tu GB zangu sina neno juu yako kaka #wahunisiowatuwazuri #babakooooo