Mumeshamshauri na kumshinikiza Mbowe,lakini haelekei kukubali kwa hiyo,muacheni akapigwe kwenye box la kura,ya nini kuendelea kupoteza nguvu na muda bure?🤔
@idrissansereko640319 сағат бұрын
Kwa Nini mbowe hataki kustafu hâta mwalim Nyerere alistaafu kwa Nini Mbowe anajifanya kua chama ni chake ? Atoke kbs kachoka
@rasnchimbi19 сағат бұрын
@idrissansereko6403 katiba inamruhusu.
@GodfreyBikukan20 сағат бұрын
Mzee tamaa huyo
@margarethpolepole743812 сағат бұрын
Mbowe must go
@RwelamiraPascal19 сағат бұрын
Thanks. Good analysis
@kaundavyoseena651417 сағат бұрын
Well said.
@abeidsanga736118 сағат бұрын
Yetu macho
@richardhosea882730 минут бұрын
Sema kila masika na mbu wake
@nestor38420 сағат бұрын
Mzee Freeman Mbowe mwacheni akapigwe ndani ya box la kura Hatutaki mtu mwingine kwa sasa zaidi ya Tundu Antipas Mugw’ai Lissu
@malkavoice257012 сағат бұрын
Yaani mpaka dakika hii Mbowe kashapoteza dira ni kama gari ilokuwa kwenye speed kali alafu ikaharibika break hapo dereva anakubali liwalo na liwe na dereva wa hii gari ndio akina Boni Yai na wenzie. Ameshakata tamaa anataka akiharibu chama asingizie ccm wamemuharibia makusudi kama anavyoishi Lipumba na wenzake
@dorahy157919 сағат бұрын
Uchovhexi mchafu . Ndiyo Tundu Lissu ni mchafu atachafua nchi, kana kelele sana. Halafu hakana hekima.
Yes alisema hagombei tena lakini wanachama wamemuomba agombee kuna ubaya au kavunja katiba? Kwani mbona mnataka sana Mbowe aachie uenyekiti kunani?🤔 ...si mkapige kura akishindwa ataondoka zake makelele ya nini!? mmh! Nchi ina vituko hii kila kukicha🙌
@isaacemily188919 сағат бұрын
Lisuu aondoke chadema na Genge lake la Kihuni ,Mbowe amejitolea kwa chama miaka 40,,,Lissu hata kusimamia supermarkets hawezi
@richardhosea882728 минут бұрын
Inamaana waliokwenda kwa Mbowe kumzunguka ni wazamiaji?
@benedictmrisho180016 сағат бұрын
Endeleeni kumpiga chura teke
@wolframkifaru122613 сағат бұрын
Fam anaudhi SNA.Fam Leo kumbe NI fans WA miccm IKIWA vifanga vyake vinumizwa kila kikicha.very shameful
Huyo anayecheka pembeni hajui kwamba NO REFORMS NO ELECTIONS. Katiba Mpya ikipatikana tu CCM hata ikishindana na jiwe inapigwa chini.
@tumainimwaifunga388421 сағат бұрын
Angechukua Heche ai Lema Uenyekiti
@kelvinmasungakilunguja753920 сағат бұрын
Nam nilitoa ushaul hu Lema mwenyekit mh Heche makamu akili kubwa hi Lema katulia akulupuk
@kingj960611 сағат бұрын
Succession plan utakuwa nayo vipi wakati miaka 7 iliyopita ilikuwa ya kufungwa na kupambana na kesi kila siku?. Bado anahitajika, mwache amalizie miaka yake 5. Hivi nani hapo angevumilia mateso ya Magufuli kipindi kile na bila kubadilika?. Au bila kukimbilia ubelgiji mara kwa mara?. Wakina nyerere na wengine, walikuwa na serikali, so ni rahisi kwao kuachia uongozi. Kwa mbowe pengine anaona chama kinahitaji miaka yake michache ya mwisho, ndo awape waongoze. Na Mbowe kawajenga wengi tayari, ni swala la time tu ikifika. So msimpangie muda. Waacheni wajumbe waamue.
@kelvinmasungakilunguja753921 сағат бұрын
Kwann mmtoe mh mbowe Kwa kejel kias hik hiyo hapana hicho ni chama kakitoa mbali Kwa garama kubwa mh mbowe bak chama chako kitakufa aondoke yy na genge lao
@MerkiorMwakalindile-d8w17 сағат бұрын
Kakitoa mbali wapi? Na mzee Mtei asemaje? Wanasema hawalipwi, kwa nini ang'ang'anie, maslahi binafsi
@Jua_kusudi_lako12 сағат бұрын
Kumbe ni chama cha mboe😂
@titonkwabi743017 сағат бұрын
Mbowe ana busara kuliko mbeligiji, upinzani wapimeni hao wagombea kwa busara zao. Siyo kwa kuongea na kutoa povu. Lisu anatumika na mabeberu😊. Huyo akipewa nchi rasilimali zetu zitapewa mabeberu. Lisu hafai hata ukatibu kata.