Рет қаралды 5,991
''Nilivyokuwa gerezani siku moja nilipata ujumbe kutoka kwa mtoto wangu akanambia baba nimepewa zawadi nikuletee toka Machame nikumuuliza nizawadi gani akasema nimepewa fedha nikamwambia wapi akasema kanisani nikamuuliza za kanisa au za mtu binafsi akasema nizamtu binafsi nikamuuliza amekupa na ujumbe gani akasema amekupa walahu ununue maji upunguze maumivu ya kuwa gerezani nililia sikuile'' Freeman Mbowe