No video

🔴MBUNGE GWAJIMA AKEMEA USHOGA"WATU WATAPUNGUA KWENYE TAIFA"

  Рет қаралды 94,248

Miwago Tz

Miwago Tz

Күн бұрын

Пікірлер: 228
@badrumbaruku
@badrumbaruku Жыл бұрын
Yn uyu gwajima anafaa kua rais wa tanzania mungu mjaalie awe rais siku moja insha allah siku zote hua tunapenda wasema kwel
@everlight6
@everlight6 Жыл бұрын
Barikiwa Mchungaji kwa kusema ukweli huu. Mungu na aikumbuke sadaka hii madhabahuni kwake
@user-oi5tw8zi2f
@user-oi5tw8zi2f Жыл бұрын
Ahsante baba yangu nilikuwa nasubili kauli yako nimepata ujasiri sana Mungu wa Mbinguni akulinde bishop
@justinelukumay5308
@justinelukumay5308 Жыл бұрын
Gwajima Mungu Akulinde Sema Watu wajue maana huo ni Ushetani Mkubwa Huo
@mikbete
@mikbete Жыл бұрын
Majitu ya mbinguni ndio yako hivyo, hayavumiliagi ujinga! Nakupenda sana Gwajiboy, people of your nature are limitted, save the nation.
@mikbete
@mikbete Жыл бұрын
Sauti ya watu, sauti ya wasio na sauti! Jitu la mbinguni.
@saimonmizingo7485
@saimonmizingo7485 Жыл бұрын
Mzee kemea tena na tena na Mungu akusaidie
@stephanoburetter3503
@stephanoburetter3503 Жыл бұрын
Waooooo safi nikweli tunakoelekea sio kabisa wakikamatwa wafungwe miaka 30
@rachellukumay5742
@rachellukumay5742 Жыл бұрын
Kama Askofu aliitwanga COVID Hili ni dogo Mungu wetu ni mwaminifu Sana Asante Dr Gwajima Napenda ujasiri wako
@maseseboniphace504
@maseseboniphace504 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.Tuko nyuma yako hatutakuangusha.
@JohnMatagirah-zr7xn
@JohnMatagirah-zr7xn Жыл бұрын
Nakubali Sana mh.Gwaji Boy
@khaliddaud-wu9hg
@khaliddaud-wu9hg Жыл бұрын
Safi sana brother Gwajima
@ibrahimmadulo6089
@ibrahimmadulo6089 Жыл бұрын
Gwajima nakukubali sana kaliamshe dude bungeni
@chochotekitu-hf6of
@chochotekitu-hf6of Жыл бұрын
Ikiwezekana mchungaji ngwajima apewe inch tunataka watu wenye msimamo kama awo kupambana na. Mashetan wahalibifu wa mataifa mengine mungu akupe maisha marefu askofu ngwajima.
@agreykombe5396
@agreykombe5396 Жыл бұрын
Ngwajima leo nimekuelewa sanaaa
@patrickmathiasnsalanga3401
@patrickmathiasnsalanga3401 Жыл бұрын
Good Mr gwajima. At least you have spoken about this. People have remained silent. But you have spoken. I comand all the people to talk louder on this matter.
@ricosaidamri1898
@ricosaidamri1898 Жыл бұрын
Fys😅😅aaf😅ff😅f😅ff D d r
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Huyo mdude wa mbinguni 📖📖📖🏹🏹🏹💪🔥🔥
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 Жыл бұрын
Sijui km dunia inalitambua hili thank u Askof Gwanima
@davidkalaghe2441
@davidkalaghe2441 Жыл бұрын
Mchungaji tunashukuru kwa kuwaambia ukweli kuliko hao wanaomumunya maneno na kupindisha ukweli.Mungu akubariki saana.
@suleim505
@suleim505 Жыл бұрын
UMEONGEA KITU CHA MSINGI SANA,, BIG, UP SANA 👏👏
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Жыл бұрын
Damu ya yesu inilindie watoto wangu
@bintiwayesu2226
@bintiwayesu2226 Жыл бұрын
ilinde kizazi chetu chote cha sasa Amina
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 Жыл бұрын
Amina dada😭😭
@ainekishagodwin1877
@ainekishagodwin1877 Жыл бұрын
Usiombe maombi ya ubinafsi ndugu ombea taifa Zima
@andersonchongoma1723
@andersonchongoma1723 Жыл бұрын
Ahsante sana dr Gwajima ....Lipua baruti zote
@danielmwakyoma4290
@danielmwakyoma4290 Жыл бұрын
Kwakina la Yesu Kristo tupingee hii laanaa
@Davidmwakipesile-tq7oh
@Davidmwakipesile-tq7oh Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Жыл бұрын
Yaan tuwaue tu. Kumamaezao hao. tatizo nihivyo vizungu vinavyokuja kuja humu Tanzania. hatuvitaki vizungu
@tanzanian8847
@tanzanian8847 Жыл бұрын
Gwajima mi nakukubali Sanaa. Mungu akulipe na akulipe kwa hilo. Na akuongoze katika njia ilinyooka. Umenifurahisha
@mushamkina2694
@mushamkina2694 Жыл бұрын
mzee Mungu akutunze upo sahihi bunge limekaribia kawaambie hayo mamiswada hatuyataki na mamisaada yao
@naomibuchanga9047
@naomibuchanga9047 Жыл бұрын
Ahsnt Mung wangu tuanaihitaj uponyaji wako sisi.
@WamburaSamsonmayama
@WamburaSamsonmayama Жыл бұрын
Mungu awanusulu watoto wetu
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 Жыл бұрын
Keep it up Gwajima
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 Жыл бұрын
Baba ulikemea Sana , lichanjo baba usipowe
@patsonkimaro5685
@patsonkimaro5685 Жыл бұрын
Hakika huyu ni mtumishi wa Mungu aliye juu
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Kabla bunge gwajima muone mwakyembe
@fredrickmalunde3426
@fredrickmalunde3426 Жыл бұрын
Baba Huwa tunakujubali sana ,tungependa upige dude Moja kwenye ibada ya jumapili
@JoshuaSanga-bq1um
@JoshuaSanga-bq1um Жыл бұрын
Gwajima
@violetgeorge5521
@violetgeorge5521 Жыл бұрын
💪💪💪💪💪 love from Malawi..... Yani tuli katae wazungu musitupe ushetani wenu kama ni laana wa pate wawo wasitu lazimishe ujinga
@fatmaKibamba-qy9ve
@fatmaKibamba-qy9ve Жыл бұрын
Ahsante MIWAGO TZ. Gwajima oyyeeeeee..... Ushoga basi.
@sellahmwakabuta8246
@sellahmwakabuta8246 Жыл бұрын
Kamanda Mungu akutunze
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 Жыл бұрын
Ni haki ya shetani tunaomba ma askof wote itisheni maandamano nchi nzima kupinga ushoga askof gwajima tuko pamoja
@mawazomolani2677
@mawazomolani2677 Жыл бұрын
Ni kweli muhimu sana kutoa elimu kwa watu wote
@ludobudege1662
@ludobudege1662 Жыл бұрын
Ushoga ni laana
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Mwenyenz mungu awatie nguv wote wanao pnga ushoga mjaliwe afya njema,wanao Lilia haki za binadamu ndo izo sasa endeleen kushabikia mpate hak za binadamu ndo zenyewe sasa anae juwa haki za binadamu Ni mungu pekee
@NuhuabdallahSalum-fq7fc
@NuhuabdallahSalum-fq7fc Жыл бұрын
Nashukuru kuwa gwajima ameielewa marekani leo maana aliwahi kusema marekani ndio muhimili wa ukristo duniani wakati marekani ilipokuwa inauwa waislamu kwa kisingizio cha ugaidi
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Жыл бұрын
Yaan hao wakikamatwa wauwawe tu
@floriannkwita6012
@floriannkwita6012 Жыл бұрын
Baba Askofu ninaona juhudi zako Mimi mazidi kukuombea kwa nguvu zako kaliamshe Bungeni maana Taifa linaangamia ,Viongozi hampaswi kukaa kimya nipo tayari kujitolea kunyonga haya mapepo ya mashoga
@GidionMwaki-rp1oc
@GidionMwaki-rp1oc Жыл бұрын
Hongera Sana Tena upange siku tuandamane hatutaki kupigwa na mungu
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Жыл бұрын
Yaan nikweli tuandamane kupinga hili. Niushetani
@davidissangya2943
@davidissangya2943 Жыл бұрын
Hapo Kwenye kuandamana ingekuwa njia thabiti kukomesha ila Watanzania Nina mashaka Sana kwenye Eneo la Kumaanisha
@Juventusvsbeller-xu9nd
@Juventusvsbeller-xu9nd Жыл бұрын
Hapo mheshimiwa nakuunga mukono niushetan wakupitiliza tupinge
@Veni584
@Veni584 Жыл бұрын
Gwaji boy Oyeee
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Amsha dudeeee gwajimaaaa,,, oyeee, tupinge ushogaaaaa
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Жыл бұрын
Subhanllah
@elinamikileo4011
@elinamikileo4011 Жыл бұрын
Safiiii mzee Gwajima Ni USWETANI MKUBWAAAAAAAAA
@magrethmmbaga7098
@magrethmmbaga7098 Жыл бұрын
Washindwe hayo ni mashetani kabisa
@selemanimkwichu782
@selemanimkwichu782 Жыл бұрын
Uchafuuuuuu kabsa
@jumberichardkilopa6465
@jumberichardkilopa6465 Жыл бұрын
Ukweli kabisa Mutumishi wa mungu
@glory1saro647
@glory1saro647 Жыл бұрын
Kweli Mtumishi
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Samia angalie sana mikataba Kuisoma maneno ya chini madogo herufi zake yanakuwa mabaya Na unayo soma ya juu herufi zinaonekana inakuwa tofaut achunge asome zote tudogotudogo mwisho inakuwa chin kabisa
@aidaraphael1956
@aidaraphael1956 Жыл бұрын
Ubarikiwe baba
@bobdutchbobdutch8443
@bobdutchbobdutch8443 Жыл бұрын
Asante Sana Kwa ujumbe wako mwenyezi mungu akufanyie wepesi
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 Жыл бұрын
Sio muda mrefu watatuletea haki ya kutembea uchi barabarani . Na tutashindwa kupinga. Tuchukue hatua
@JohnNasson-ez5jj
@JohnNasson-ez5jj Жыл бұрын
Safi sana mchungaji gwajima
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 Жыл бұрын
Tunataka Sheria itungwe Bungeni,akikamatwa mtu anajihusisha na ushoga afungwe kifungo cha maisha jela au auwawe,na nyumba ikibainika ni mahali pa kufanyia ushoga ibomolewe na mhusika afungwe kifungo cha miaka 30 jela. WANATUHARIBIA KIZAZI CHETU.
@PiscoProducer
@PiscoProducer Жыл бұрын
Nakubr
@yonamathias8764
@yonamathias8764 Жыл бұрын
Nakumbuka kabla magufuli hajafa aliaacha amkabidhi nchi kwako tunakuaminia
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu Жыл бұрын
Point juu ya Point
@agathasungura5047
@agathasungura5047 Жыл бұрын
GWAJIMAAAAA OYEEEEEEE
@elvanstambuli
@elvanstambuli Жыл бұрын
Gwaji upo vema
@sophianyange3655
@sophianyange3655 Жыл бұрын
mimi nakuelewa sana baba
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Жыл бұрын
Wachinjwe mashoga nawasagaji
@mikbete
@mikbete Жыл бұрын
Gwajima, sioni hila ndani ya sauti yako, naona upendo na kweli. Najua unajua Mungu amekuandalia jukumu zito mbele yako. Nawapenda watu wote lakini wewe nimiongoni wa watu wachache wanaochangia furaha yangu.
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Umesema vizuri Bishop, waambie ukweli. Mungu akilinde Taifa letu.
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 Жыл бұрын
Gwajima ni msanii lakini kwahili yupo fact sana! Very good
@Saumujames1234
@Saumujames1234 Жыл бұрын
Hee mwenyez mungu🤲 naomba uwoke vizazi vyetu🙏 maana shetan yupo kazn
@muhundaramadhani5057
@muhundaramadhani5057 Жыл бұрын
Gooood
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 Жыл бұрын
My JESUS IS LORD AND IS COMING SOON
@rehemafungo7387
@rehemafungo7387 Жыл бұрын
Amiiin🙏
@naigeorge7765
@naigeorge7765 Жыл бұрын
MUNGU akubariki mtumishi
@Davidmwakipesile-tq7oh
@Davidmwakipesile-tq7oh Жыл бұрын
Mungu aiponye tanzanià
@robertabel6984
@robertabel6984 Жыл бұрын
Asante baba
@floraflora5717
@floraflora5717 Жыл бұрын
Mungu nalia kila saa Mungu simama na tañzania saidia watoto wetu Yesu krsto wakati wako wakutenda tutende Baba
@sostenesswai7920
@sostenesswai7920 Жыл бұрын
Wewe n mimi kabisa yan kila muda naogpa naona usodoma na gomora
@michaelmsambusi9287
@michaelmsambusi9287 Жыл бұрын
Safi ngwajima umesema ukweli nakuunga mkono tupinge na kupiga vita vikal ushetani huo aukubaliki kwa sisi wakristu na wala kwa wenzentu waislam ndoa za jinsia moja ni dhambi ya mauti.
@taturashid4167
@taturashid4167 Жыл бұрын
Wote watakaoruhusu ushoga duniani Finnar jahanam,maana m/mungu kakataza upuuzi was aina hiyo,
@msanginaza905
@msanginaza905 Жыл бұрын
Safiiii sana Gwajima
@erickabel6201
@erickabel6201 Жыл бұрын
Nakukubari ❤❤
@neemafabian7721
@neemafabian7721 Жыл бұрын
Mungu akutunze kwa kulisemea Taifa tuko nyuma yako baba
@IvanChaula-xz9ne
@IvanChaula-xz9ne Жыл бұрын
Saf sana dude la mbinguni naona umeshaanda njia yakukilipua bungeni na atakayekataa anamume wake huyoo
@SiliviaMwalizi-uu3mz
@SiliviaMwalizi-uu3mz Жыл бұрын
Ee mungu nutusuru
@omanqqwe4061
@omanqqwe4061 Жыл бұрын
Safi sana baba nakupenda ❤❤❤
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 Жыл бұрын
Ushoga hautasimama hatutaki, hatutaki , kuzaliajna ni amri ya MUNGU wao mabeberu, mavitimoto, hayo, mazeruzeru hao wanauwa wanaume wetu , ,ili Africa ikose watu Hala mwenyewe yarudi, hatutaki kwa jina la YESU
@salarose5980
@salarose5980 Жыл бұрын
maaskofu wanakemea kila sku wewe ndio hujui kama wanakemea ukibagua unaleta kutokuaminika maaskofu
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Жыл бұрын
Mchungaji hata mpango wauzazi waodoe kwasababu hapo zamani hayakuepo wazungu tuwapinge wasituretee nadawa hatamisada hatuitaji misada
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 Жыл бұрын
Gwaji boy bhna😅😅
@bahatihassan5413
@bahatihassan5413 Жыл бұрын
Umesema vyema gwajima
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 Жыл бұрын
Kamsikilizeni MWAKYEMBE ndo mtajua haya mambo bila Serikali kuvunja mzizi iliyowekwa na taasisi zinazofadhili ushoga itakuwa ngumu sana hii kitu kuisha.
@wazirially8005
@wazirially8005 Жыл бұрын
Mbunge wa wetu gwaj boy
@jandaboytzz2755
@jandaboytzz2755 Жыл бұрын
hatutakubali
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 Жыл бұрын
MUNGU AKULINDE SAANA KWAKUSEMA UKWELI SBBU SIOKWAMBA VIONGOZI WAKUBWA WANAYAJUA NAWANANYAMAZA SIJUI WANAMAAMA GANI
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Wabunge toeni sheria,,, shoga, msahaj akibainika, hukum
@aliebrahim9423
@aliebrahim9423 Жыл бұрын
Katika hili umeongea vyema sana Gwajima
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Mimi naona tu kashoga ukikaona kisu Cha tumbo potelea mbali Wanatuitia kiyama
@mwalimjecha6893
@mwalimjecha6893 Жыл бұрын
Huwa sikuwelewi leo tu nimekuelewa
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Kwa hilo Gwaji nimekupenda umesema ukweli wote wangekuwa kama we we tungekomesha
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 Жыл бұрын
Amina
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 Жыл бұрын
Mtu yeyote mwenye harufu ya kuutetea ushoga na alaaniwe
@davidwatson6821
@davidwatson6821 Жыл бұрын
Hebu maaskofu watoe tamko kuhusu hilo tatizo la ushoga, makanisani, tusifumbie macho
@neemamhongole2801
@neemamhongole2801 Жыл бұрын
DAAA!SAAFI SANA GWAJIMA,MUNGU ATUTETEE,NA NINYI TEKELEZEN SHERIA JAMANII,TUNAKATAA USHOGA KWA NGUVU ZOTE!!
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 19 МЛН
Askofu Gwajima aongea baada ya kutajwa na Paul Makonda
8:45
Millard Ayo
Рет қаралды 258 М.