LUSINDE UNATISHA KAKA, HAHAH DILI LIMEHARIBIKA TURUDI
@marcondokeji89824 жыл бұрын
Hongera Sana Lusinde
@felixkamkala33034 жыл бұрын
Noma sana Kobajajo
@johnsonjulius78324 жыл бұрын
Hahahahaa!, huyu jamaa ni hataree
@jamesjameson55303 жыл бұрын
You prolly dont care at all but does someone know a way to log back into an Instagram account..? I stupidly lost my password. I would appreciate any tricks you can offer me
@geofreymgeni26685 жыл бұрын
Mbowe achia basis tuone kama kweli democrasia IPO Hii point ya democrasia inafia kwanu kwa nn huachii uwenyekiti bwana wewe
@lamecktheonest2255 жыл бұрын
Geofrey Mgeni 😁😁😁kutoka ngumu, chama cha baba mkwe kile.
@mathewungani97244 жыл бұрын
Lusinde Noma
@wilsonkaseha20344 жыл бұрын
Hahaaaa dah! Lusinde bhanaaa. Burudani
@shadrackmwakalinga54164 жыл бұрын
Kweli kabisa Mlamu
@aboudinternational18194 жыл бұрын
Mzee Karume akirudi anapiga bakora waliokalia urais wote Zanzibar kwa kuacha kulivua koti walilolivaa liwabane, barabara na majumba alizozijenga still zilezile.
@mamahustru4 жыл бұрын
Hao 3 viti maalum wasiolipa watakuwa chakula ya Mwamba 😜
@Ba638284 жыл бұрын
Lusinde
@loner_wolf4 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea facts sana ....... Huwex kupigania demokrasia wakati wewe mwenyewe umejaa madudu ndani yako tena makubwa na kushangaxa...... Sasa mbunge viti maalum ateuliwe kwa masharti ya kulipia kiti maana yake hicho chama au biashara ya mtu . .....napendekaza serikali ingekuwa na TARATIBU za kuviendesha hivi vyama vya siasa ...... Hiyo kulipia viti maalum sio haki kbsa .
@drgeofreymdede39525 жыл бұрын
Ukweli mtupu
@abrahamkibona70384 жыл бұрын
Tabia zao na jinsi wanavyoishi, ni kweli kabisa
@yohanantunga96574 жыл бұрын
Atauliza nyelele wananchi bado wanachangixhwa michango?
@shaurimwambange59404 жыл бұрын
Mh hata hamna haja ya kampeni ccm lazima tushinde
@mbwanaseif4045 жыл бұрын
Lusinde unauwaga
@kimentamavala6404 жыл бұрын
Khaa nilikuwa cjui wwe ndio kibajiji
@dicksonsheja2515 жыл бұрын
Hahahaaaaa CCM OYEEEE
@idukatonga89375 жыл бұрын
Machizi oyeeeee
@matukutajuma1564 жыл бұрын
Duh!!!!!
@MS.independent89344 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂kwali watashangaa sna tena sn😂😂😂😂😂
@saltarisasenga48284 жыл бұрын
Point za msingi Sana hizo
@Wastara0014 жыл бұрын
Kichapo cha Chadema
@octaviusonesmo68672 жыл бұрын
Au ndo sababu leo.....
@filbetkalembe28064 жыл бұрын
Huu ndiyo ujenzi wa taifa wabunge wetu bwana hata kuwasikia hawatushasishi kwa hivi duu
@abrahamkibona70384 жыл бұрын
Na kwa Sasa upinzani haupo,😂
@danieljohn38364 жыл бұрын
Nimeangalia mara mbili
@jeniphermaiko38864 жыл бұрын
Kibajaji wewe ni jembeeeeeeeee
@subiradalabu66164 жыл бұрын
Apana chezea bajajii
@alikarisa4 жыл бұрын
Akina Raila hao. ,🤣🤣🤣🤣🤣
@lydiathadeous66444 жыл бұрын
Ni kushangaaaa tuuu 🤣🤣🤣😂🤣😂😂😂
@robertsemaganga91684 жыл бұрын
Mh umeniacha hoi wewe balaaaa
@genimaige60235 жыл бұрын
!!!!! mshangao😂😂😂😂😂
@lamecktheonest2255 жыл бұрын
😁😁😁😁lusindeeeeee
@manasemwakilasa59314 жыл бұрын
Ila wewe jamaaa
@mlelwahunaloloteunachumiat38202 жыл бұрын
Huna lolote lile njaa tuu inakusumbua
@fadhilikyando94834 жыл бұрын
Huyu jamaa ukifika mtera jimboni kwake kubayaaa hakuna maendeleo kabisa lakini ukimuuona anavyo bwatuka unafikili kafanya makubwa
@fnnyanda59934 жыл бұрын
Jamani, wewe kweli unajua jimbo lake!?. Yaaani, wewe acha utani kwa Mhe. Lusinde. Si useme tu shida yako naye Ataku-Beep. Naona humjui sawasawa.
@castoyordan85154 жыл бұрын
home boy wewe ni kiboko kabisa
@freebeguronu59484 жыл бұрын
Ww hujui kitu poyoyo kichwa box
@abdalahfarida20744 жыл бұрын
Katika vitu najutia katika Maisha yangu ni kuzaliwa Tanzania. Watu hawabadiliki wako hivyo hivyo kila kukicha. Wabunge wanakalia majungu na umbea tu hakuna Mwaka wanakua na ubunifu. Kule Poland wenzetu wanatumia viazi vitamu kuzalisha Sukari inayopatikana mwaka mzima kwetu Wabunge wanakalia kutafuta nani awe Rais Mwala 2020 na 2025. CCM ni watu wanaingia madarakani kujitafutia wao na familia zao ridhiki huku Watanzania wakiteseka. Hivi hii ni nchi ya Watu kunywa chai bila Sukari kweli?. Wawekezaji wanaiogopa kwa kuwa na Rais asiyejali mitaji ya watu. Watanzania tutakalia majungu na umbea wa kina Lusinde. Katika wabunge hovyo ni huyu Lusinde. Sijawahi kusikia akichangia mambo muhimu yanayohusu Nchi wala jimbo lake hata siku moja. Hata wanaomchagua kwenye jimbo la Mtera ni kwamba wamekosa wasomi ndio maana anachaguliwa kila mwaka wa uchaguzi. Mbunge anasimama kwa mda wake wote anaongelea CHADEMA na sio chama chake na jinsi ya CCM kushinda uchaguzi upuuzi mtupu. Hata Watanzania wengine tumeiga huo ujinga hatujitambui. Angalia nchi inakosa misaada WHO kwa kuficha watu wanaokufa na kuugua COVID19. Badi kuna Watanzania wanashabikia wanaona ni sawa kabisa kuficha wagonjwa na vifo. Katika nchi naichukia ni hii inayofilisi watu wenye uwezo wa kuanzisha viwanda na kubakia kuongelea jinsi ya kushinda uchaguzi. Watanzania tuna hasara kumbwa sana kuongozwa na CCM. Kila anaeingia madarakani anakimbilia kujenga kwake hivi kweli kiwanja cha ndege cha Bilioni 44 ni cha kujengwa CHATO wakati Makao makuu Dodoma hakuna kiwanja cha ndege. Viongozi hawaangalii hasara tunayopata kujenga vitu muhimu mahali havina umuhimu wa kujengwa. CCM wote wako hivyo sioni mwenye nafuu. Unaacha kupanua Bandari ya Dar es salaam unaenda kujenga bandari Bagamoyo kweli CCM ni madungayembe. Pamoja na kejeli zote mnazopewa CHADEMA bado tunawahitaji kwani hakuna nchi Duniani haina wapinzani. Sera wanazotumia CCM kuongoza nchi nazisoma hapa kwenye sera zenu japokuwa wamejaribu kuzitekeleza kwa wakati mmoja na kufilisi nchi. Hakuna miradi mikubwa hivi Duniani inayofanywa kwa kipindi kifupi ni lazima kuifanya kwa awamu. Watanzania wamelipa kodi mpaka Surwali hazikai viunoni mpaka waongeze matundu. Mimi nawadokeze tu Watanzania kuwa bado hatujapata shida ndio zimeanza hivyo hivyo tujiandae kupata mateso bila chuki. Ukijaribu kusema au kutoa ushauri kwa CCM jiandae kukatwa kichwa. Kwa Magufuli lazima ukatwe kichwa maana haambiliki. CCM tupatieni idadi ya wagonjwa na vifo vya COVID19.
@ayoubmwanawima63805 жыл бұрын
Wakamkuta hayupo poyoyo kweli
@nickmdem53944 жыл бұрын
Msenge ww
@robertsemaganga91684 жыл бұрын
Polisi mtu wenu huyu anayetoa matusi tunataka kumuona ndani
@zalkiabendera50864 жыл бұрын
Ukweli unaumaeeeeeee😂😂😂😂
@omarymbalala62244 жыл бұрын
Huyu hakisimama nikuhusu chadema tu
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Ndio siasa hiyo,,,,,
@rajabuseleman60124 жыл бұрын
Huyu jamaa huwa nibalaaa
@fredreckmwakalinga34754 жыл бұрын
Kati ya wabunge ovyo huyu hana hoja za msingi yeye ni taarabu tupu
@salehemsumi6154 жыл бұрын
Lakini sio mlevi na wala hajasingizia kavamiwa na wasiojulikana
@madinahemed36504 жыл бұрын
🤣🤣
@elishamwaya40744 жыл бұрын
Duh ukiwa na wabunge 5 kama hawa mungu ataichukua nchi yake akawape watu wengine maana hadi mbunge anatoa porojo
@rizwankiaze92642 жыл бұрын
Huna lolote fagilia tumbo lako
@edmundkasalile15174 жыл бұрын
0
@teddykanondo57534 жыл бұрын
KATIKA MBUNGE MJINGA NA WA MIPASHO NI LUSINDE. HIVI MTERA HAMNA WASOMI WENGINE WAKACHUKUA JIMBO. CCM NI WAKUSANYA KODI CHADEMA NI WALIPA KODI WAPI NA WAPI. AKILI YA LUSINDE NI CHOO TU. HUWEZI FANANISHA MLIPA KODI NA MKUSANYA KODI
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Acha ujinga wewe, ruzuku ya kila mwezi chadema wanapata, wabunge wao wanakatwa fedha nyingi tu kwaajili ya kuchangia maendeleo ya chama,,,,wakati chama hakina hata ofisi!!!!
@dankirahi74624 жыл бұрын
Hiyo tathmini ya Lusinde ni kali
@shukurunzenzule59635 жыл бұрын
haha haha eti ccm ndo wanamwamini lusinde kwa uongeaji piiiipooziiiiiiiii
@idukatonga89375 жыл бұрын
Lusinde ni chizi
@geofreymgeni26685 жыл бұрын
Ila mbowe naye amekaa kitambo sana dahhh sijui trip hii tutampa lisu dahh
@innocentmahuvi86255 жыл бұрын
sio chizi huo ndo ukweli wabunge CDM wanalipa 1.5million kila mwezii
@salminisalehe94174 жыл бұрын
Shukuru Nzenzule 😂 😂 😂 😂 Tulien Dawa Iingie Vizuri