Gwajima aangua 'kilio' Bungeni kisa ukatili kwa wanaume na wanawake

  Рет қаралды 20,463

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

24 күн бұрын

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ameangua 'kilio' wakati akimjimbu Mbunge wa Arumeru Magharibi, Noah Saputu aliyetaka Waziri aonyeshe masikitiko na uzito kuhusu vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanaume na wanawake.
Haya yamejiri leo Ijumaa, Mei 17, 2024 wakati Bunge likiwa limeketi kama kamati kupitisha vifungu vya bajeti ya Wizara hiyo. Aidha wabunge wamepitisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025.

Пікірлер: 65
@janifajani8875
@janifajani8875 21 күн бұрын
Huyu waziri gwajima ni mama washoka anayo yafanya mtaani anaairahili pongezi ss wana Nchi ndotunaona sass huyu baba alitaka afanye maigizo bungeni huy mama ana fanya vitendo mtaani mumuache❤❤❤❤
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 21 күн бұрын
Huu ni upuuzi sn, Mwkt na waziri hamko serious mbona mnafanya utani, Mmekera sn!!!
@matelekafedrick6935
@matelekafedrick6935 22 күн бұрын
Watu wapo seriously af yy anaigiza 😢😢😢😢😢
@milkahappyphanus8823
@milkahappyphanus8823 Күн бұрын
Mama unapambana sana ,piga kazi
@amanihenry9392
@amanihenry9392 7 күн бұрын
viongozi ndiyo kioo na wana power ya kukemea hili jambo .......na sio maigizo ya huyu mama
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 22 күн бұрын
Waziri huyu ni mpambanaji kwenye wizara yake kuliko mawaziri wengine wote basi tu hii ni jinsi mwenyekiti alivyoufikisha kwake ,na huwa anapendaga utani utani lakini ni chapakazi sana mfuatiliaji sana,hapo asibebeshwe lawama pekee yake hiyo wizara haiwezi kujiendesha yenyewe bila wizara zifuatazo kushirikiano nayo:mambo ya ndani,Tamisemi,habari na mawasiliano,michezo na sanaa katiba na sheria bila kuwa kitu kimoja hii wizara haitaweza pekee yake bila hao kufanyia kazi yanayohusiana na hayo wanayolalamika wabunge
@verinicamartin6420
@verinicamartin6420 21 күн бұрын
Pole mama mpaka umenitia huruma mama
@moreenonesmo-jz2ws
@moreenonesmo-jz2ws 22 күн бұрын
Mama Poleee
@paschalpaschal9261
@paschalpaschal9261 22 күн бұрын
Hata m/kiti amezingua
@husseinmanyanga1587
@husseinmanyanga1587 21 күн бұрын
Acheni utani bungeni munakula kodi zetu kwa kwenda kuigiza bungeni hamtufai kabisa nyinyi
@dinakyoma5977
@dinakyoma5977 21 күн бұрын
Songa mbele mweshimiwa waziri, tulioko nje ya uwanja tumeona juhudi zako na tunakuombea hakika!
@juliethkatabwa5306
@juliethkatabwa5306 21 күн бұрын
Yupo Mungu mtajibu tu
@Laizer3
@Laizer3 22 күн бұрын
Waafrika ni ngumu kujiamulia ndo maana wanaamuliwa na wazunguuu maisha ya kuishi
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 18 күн бұрын
Sasa ndo nini😢😢
@angelabanzi8253
@angelabanzi8253 21 күн бұрын
Mmmh
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 22 күн бұрын
Huyu waziri au shida tu .hayuko sirasi....hafaiii
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 22 күн бұрын
Hakuna kitu kinaudhi kama hiki amambo anakifanya Mhe. Waziri katika hili
@user-hp2ix5wp6i
@user-hp2ix5wp6i 22 күн бұрын
Huyo waziri ajiuzulu
@JacksonSimbeye-qz1zp
@JacksonSimbeye-qz1zp 21 күн бұрын
Siasa mchezo
@PartySekemi
@PartySekemi 22 күн бұрын
Hakuna lingine naweza kusema suhura afanye ile kazi yake ya saa nane usiku mama samia kweli kama yuko serios kuhudumia watanzania huyu mama atumbuliwe mara moja haiwezekani jambo kama hili asimame kuigiza hatuna imani nae 😢 anakua kama sio mzazi???????
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 21 күн бұрын
Waziri hana tatizo sema Sheria ndyo haimpi nguvu na serikali yetu inaogopa kupitisha Sheria kukomesha ushoga maana watanyimwa mikopo
@user-ss6ey3ge1d
@user-ss6ey3ge1d 22 күн бұрын
Ndio waziri kazingua
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 22 күн бұрын
Hivi ninyi wabunge mko serious na wananchi hawa wanaohitaji maendeleo.
@user-qx5mq6un7e
@user-qx5mq6un7e 22 күн бұрын
Bunge limekuwa futuhi
@valentinoswenya748
@valentinoswenya748 22 күн бұрын
Vitu kama ivyo mirad ayo awezi post
@paschalpaschal9261
@paschalpaschal9261 22 күн бұрын
Huyu waziri anatakiwa atumbuliwe
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 22 күн бұрын
Yaani hela zetu ndivyo zinavyoliwa hivi?
@paschalpaschal9261
@paschalpaschal9261 22 күн бұрын
Utani apeleke kwa sheji yake Gwajima sio mbungeni KWENDA KABISSA
@eliaichraymond1215
@eliaichraymond1215 21 күн бұрын
😳😳😳
@chandalamasana-sb7rm
@chandalamasana-sb7rm 22 күн бұрын
Hakuna wazr hapa
@Mwanah27
@Mwanah27 17 күн бұрын
Mbona wabunge wachache
@user-ce5mi6zc9t
@user-ce5mi6zc9t 21 күн бұрын
Haya ni maigizo tu, ngoja alawitiwe mwanae ndo alie kweli kweli
@khatibabass3106
@khatibabass3106 21 күн бұрын
Huyu sio mshenzi huyu
@GodloveMtewele
@GodloveMtewele 22 күн бұрын
Tupo mwisho wa wakati hayana budi kuwepo yesu yumlangoni
@josephmallya5525
@josephmallya5525 22 күн бұрын
Aibu naona mimi
@MenelusCzar
@MenelusCzar 22 күн бұрын
MIMI NAJUA MAPAMBANO YA GWAJIMA, NAENDELEA KUKUOMBEA MUNGU MH WAZIRI🙏
@dorothygwajima9473
@dorothygwajima9473 22 күн бұрын
Tuendelee kupambana, nashukuru sasa elimu imeenda kwenye jamii, sasa Kila ngazi inaongea ajenda ile ambayo, tofauti na awali kabla ya wizara hii, ilikuwa hata haisikiki. Kusemwa na wengi ni ishara kuwa, kazi ya elimu iliyofanyika miaka miwili iliyopita siyo ndogo. Sasa wapiganaji tumeongezeka, vita ni mtaa kwa mtaa, Kijiji kwa Kijiji, kata kwa kata hadi kwenye baraza la madiwani. Tutashinda.
@PartySekemi
@PartySekemi 22 күн бұрын
Acha unafiki labda ni ndugu yako lakini hauwezi kusimama mbele ya kioo ya watanzania walio serious na swala kama hili halafu uje uigize😢😢😢😢
@jenadiusnicholaus3238
@jenadiusnicholaus3238 21 күн бұрын
Hii nini sasa?
@elikanaernesti8440
@elikanaernesti8440 21 күн бұрын
Kama mnasapoti wekeni wazi maana mnacheka kweny jambo la msingi Kama hili
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 21 күн бұрын
Sasa. Haya maagizo au
@washingtonngullo1988
@washingtonngullo1988 21 күн бұрын
Anaigiza huyo
@prof.abusakelsaleh3524
@prof.abusakelsaleh3524 21 күн бұрын
Bunge la CCM
@magesadani9058
@magesadani9058 21 күн бұрын
Itungwe sheria sio maneno matupu
@richardjafu7404
@richardjafu7404 20 күн бұрын
Hawa comedians wanafanya Nini bungeni? Nitashangaa kama ataachwa kuwa waziri!
@user-po5ww1zp9f
@user-po5ww1zp9f 22 күн бұрын
Waziri jau kwel huyu😅😅😅😅
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 22 күн бұрын
Mwenxio ulovaa nae sare kavaa shungi,kakushangaa kinafki eti anaimamisha kichwa ulivolia,maji2 mengine hayana uchungu na wanaolawitiwa na kubakwa.
@erickmassanja4201
@erickmassanja4201 21 күн бұрын
Utani kwenye jambo Muhimu kama hilo kweli!!!!!!
@sponsor7882
@sponsor7882 21 күн бұрын
huyu gwajima comedian tangu enzi za magu
@athanaskallega4824
@athanaskallega4824 22 күн бұрын
mwenyekiti aweke kwenye paper yake ya ya bajeti. Kwakweli huyo waziri analeta UTANI
@EdibiliSalum
@EdibiliSalum 21 күн бұрын
Sasa kwann msiweke sheria mashoga wanyongwe tuu reo mnatuletea usenge usenge
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 22 күн бұрын
Ndivyo alivyo sasa inafaa mumzoee lakini kiukweli anachapa kazi huyo mamaacheni unafiki
@dorothygwajima9473
@dorothygwajima9473 22 күн бұрын
Habari za asubuhi ndugu yangu. Sijitetei wala kujisifia ila maoni yao ya mishale napokea huku nikijiuliza, hivi Ishara ya kutoa simu yangu binafsi kwa jamii, kuanzisha kituo cha simu cha wizara na kujiunga na mitandao yote kwa akaunti za majina yangu mwenyewe, na kupokea hoja za wananchi moja kwa moja, siyo kielelezo cha uwajibikaji? Kuinyanyua ajenda ya ukatili hadi imefikia mahali wote tunazungumza tofauti na kabla ya wizara hii nayo nilidhani ni hatua! . Anyway, acha tupokee, tusivunjike moyo, acha kazi iendelee na maoni tupokee. 🙏🏽
@monicachacha455
@monicachacha455 21 күн бұрын
hahaaaaaaaa
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 22 күн бұрын
Mapambano sio kwa waziri peke yake ni kila mwananchi tubadilike ktk mtazamo wenzetu nchi nyingine kila mtu ni askali wa mwenzie
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 22 күн бұрын
Askari siyo askali
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 22 күн бұрын
Mbona mashoga wapo acha unafiki wewe mkafanyeje kukomesha ushoga 😂
@chenyakwihela1637
@chenyakwihela1637 22 күн бұрын
Huyu waziri ni Mjinga sanna hayupo serious kabisaaa
@abelkingu4653
@abelkingu4653 21 күн бұрын
Watu hawako serious kabisa hawa, Ujinga tu humo
@onesmobaraka4448
@onesmobaraka4448 21 күн бұрын
et huyu nae ni wazili lijinga lipumbavu , kuna uwezekano wa kubadili uraia hap hii nchi imejaa majinga majinga tu
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 22 күн бұрын
Ningekuwa rais Mimi kesho magazetini
@sk-wj9or
@sk-wj9or 21 күн бұрын
Huyo mwenyekiti achunguzwe juu ya vitendo hivyo.
Why You Should Always Help Others ❤️
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 47 МЛН
Can you beat this impossible game?
00:13
LOL
Рет қаралды 61 МЛН
Make me the happiest man on earth... 🎁🥹
00:34
A4
Рет қаралды 8 МЛН
Ninja asimulia jinsi alivyopigwa Congo na walinzi kisa picha ya Hersi
24:42
Alichokisema Malisa baada ya kuachiwa kwa dhamana
7:03
Mwananchi Digital
Рет қаралды 254
HISTORIA USIYOIJUA JINSI MAREHEMU REMMY ONGALA ALIVYOKOKA KANISANI KWA ASKOFU GWAJIMA
35:12
MBUNGE MSUKUMA: Kuhusu kuishia Darasa la Saba, kaeleza kila kitu
5:25
Why You Should Always Help Others ❤️
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 47 МЛН