Kabisa watu wajiriwe kwa mikataba mifupi ili wasibweteke
@samnation830323 сағат бұрын
Bure Kabisa
@1961nungwi3 сағат бұрын
Yuko sahihi. Body kazi yake kubwa ni kuangalia mbele huko tunakokwenda. Strategy. Body lazima ziwe na wataalamu wa maeneo mengi, hasa ya kisasa na yanayokuwa. Kwa walioanza kazi wakati wa Mwalimu, mambo mapya na trends mpya za teknolojia na mambo ya masoko ya kisasa yanaweza kuwa mageni kwao. Hii inaweza kusababisha maono yao kutokuwa sahihi. Makampuni binafsi kwenye biashara yanafahamu haya; mashirika ya Serikali bado Yana kazi kwenye eneo hili.
@DICKSONTimoth-xk7rj8 сағат бұрын
Mtu akistaafu haitakiwi apewe kazi yoyote inatakiwa aende nyumbani kwake akalee wajukuu vijana wengi wasomi hawana ajira