Dakika 47 za moto hoja ya Mdee bungeni, mnyukano mkali watokea

  Рет қаралды 76,943

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Hoja ya Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee aliyetaka Bunge lijadili utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara kwa EPC+F imechangamsha mjadala wakati Bunge likiwa limeketi kama kamati kujadili mafungu ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/25.
Mjadala huo umejiri leo Mei 30, 2024 jioni huku Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson akimbananisha Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba afafanue utekelezaji wa EPC+F huku Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akichuana vikali na Waziri wa Uchukkuzi ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa wakishukiana kwenye mjadala huo.

Пікірлер: 228
@manethmwiyanja7654
@manethmwiyanja7654 3 ай бұрын
Mwigulu Janja langu sana tiuwasiliane ukimaliza hoja ya mdee
@abdulhakimjuma9112
@abdulhakimjuma9112 4 ай бұрын
Wasanii tu hawa wote wako kwenye maskani hawana bunge mijizi, milaghai tu
@George-jz3jg
@George-jz3jg 4 ай бұрын
Mwigulu wewe ni tatizo sana kwenye serikali hii
@wta_Tanzania
@wta_Tanzania 3 ай бұрын
Mdee na mpina ndo tuliobaki nao kwenye hili Bunge tukufu
@geophureysamsoni5033
@geophureysamsoni5033 4 ай бұрын
Sipika unatuchanya mbona unawai kukata ya harima hapo tunakuwa na wasiwasi watazamaji
@IddiErias
@IddiErias 3 ай бұрын
mwegurubwew ni mpigaji 2 akuna chochote unachokifanya kwenye hy sekta
@Sibohoro-z5m
@Sibohoro-z5m 3 ай бұрын
Bana mwacheni mwiguluu wetu hana bayaaa IPC +S ni ideology project concentration+ surveillance...... Hamuelewii tyuu aaah so poa aa wazeee
@leoncesarwat8878
@leoncesarwat8878 4 ай бұрын
Mwiguru kajaa upepo safi ajae... Mzee wa Esther express tz
@bibyansimplis3791
@bibyansimplis3791 3 ай бұрын
Dada umenifurahisha kumuunga Kokono halima ktk hoja hii, umefafaninua vizuri swali la Halima Mdee, aksante
@sylvesterassey3395
@sylvesterassey3395 3 ай бұрын
Mwigulu açha blaa blaa, mnaongea vitu technical vipi? Hii ni design, financing and building açha upuuzi wako. Wizi unakutesa kuongea. Mwigulu umezoea kuona wengine ni wapumbavu!!!! Hii mikataba ni ya kuwahi 10% walishachukua.
@deusjoseph8554
@deusjoseph8554 4 ай бұрын
Halima mdee anatufungua macho,, ata ile mikataba ya bandari kama tungemsikilza tusingefka hko
@josephlugala3182
@josephlugala3182 4 ай бұрын
Namchukia sana mwigulu ,,anatoa majibu kama nchi hiii ni ya babaake
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
Ameshatununua huyu
@bibyansimplis3791
@bibyansimplis3791 3 ай бұрын
Kwani hakuna efficient person kuliko huyo Mwigilu. Naona anajibu jibu tu. Maana anawrza akaamua kubudilishwa badilishwa na wakandarasi.
@HassanSheiza-i4j
@HassanSheiza-i4j 3 ай бұрын
Mdee Good
@IddiErias
@IddiErias 3 ай бұрын
Mwiguruu akachunge ng'ombe asituene watanzania ni wajinga z sana
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 4 ай бұрын
😂huyu Mbunge aliyeko karibu na Mwigulu anashangilia michango yote, Hana baya na upande wowote. Safi sana 😂😂
@fortunatamfinanga287
@fortunatamfinanga287 4 ай бұрын
😅
@marckmasassi7466
@marckmasassi7466 3 ай бұрын
Mikataba inaleta Shida sababu Kila Kiongozi ana Mkandarasi Wake Sasa kinacho gomba ni Masrahi za Watu Sababu Toka Mwanzo Lazima mambo YOTE yawe Wazi
@IddiErias
@IddiErias 3 ай бұрын
Alima apewe nafasi ya mwiguru ameshindwa kazi
@RAMADHANNYASOMA-rq5jh
@RAMADHANNYASOMA-rq5jh 3 ай бұрын
Mwiguri janja yako watanzania wanakufatilia sana wewe usifikiri watanzania ni wajinga
@RemmySinkala
@RemmySinkala 3 ай бұрын
Tatizo kijani TU,mchanganyiko ndyo afya
@MurshidHaji
@MurshidHaji 3 ай бұрын
Yani matatizo yote haya nchini chanzo ni mwigulu nchemba ajiuzuru tu akae mwingine kwenye nafasi hii
@tresphorymvulla363
@tresphorymvulla363 3 ай бұрын
Nakuona mbunge wetu wa ukweli mama Jenista Mhagama.
@IddiErias
@IddiErias 3 ай бұрын
Badala ya kujdili ugumu wa maisha mnatuchezea 2 akili
@SimonRichard-lb3go
@SimonRichard-lb3go 3 ай бұрын
Hivi kwani mna kopa kwani hii nchi hakuna rasilima za kuijenga tanzani wenyewe
@AlphonceMrewa
@AlphonceMrewa 3 ай бұрын
Hili limtu munguru halijui linachokifanya ni wizi tuu
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 4 ай бұрын
Wah mnatuchanganya wananchi pesa za serikali zipi na naza mh Rais ni zipi?
@IddiErias
@IddiErias 3 ай бұрын
Huo mkataba feki ni uhuni ndy tunafanyiwa kwenye nchi yetu
@fortuneakankizya5336
@fortuneakankizya5336 4 ай бұрын
Wabunge Wapinzana wana akili na uerevu kupita wabunge wa chama tawala katika hoja za msingi
@BLASTUSMAGONGO
@BLASTUSMAGONGO 3 ай бұрын
Futeni mpango ufutwe ili kuaza upwaaaa
@bibyansimplis3791
@bibyansimplis3791 3 ай бұрын
Mawaziri wapigaji hao. Bakubaliano ni wakandarasi watafute hela maana yake wawe na pesa ndio wapate tender. Sasa inakuwaje mawaziri wanawatea makandarasi.
@GerardLaizzer
@GerardLaizzer 3 ай бұрын
Jaman mwiiguli ni jipu kubwa sana humu🤪🤪🤪
@tresphorymvulla363
@tresphorymvulla363 3 ай бұрын
Spika nakukubali sana kwa kisimamia hoja ya fedha
@bibyansimplis3791
@bibyansimplis3791 3 ай бұрын
Sasa serikani an mkataba na mjenaji j/ makandarasi au na finencer..? NB: Hala za serikali ni za kupunguza makali ya kupanda riba?
@IddiErias
@IddiErias 3 ай бұрын
Tataz madudu yote ya magufuli mama ameyarudisha hao ni mafisadi 2
@IddiErias
@IddiErias 3 ай бұрын
Samia huyo mwiguru umemuea apo kwa kaz gani anayoifanya apo pg nyama chini mama
@BLASTUSMAGONGO
@BLASTUSMAGONGO 3 ай бұрын
Wekeni mezani liaze upyaaaaa hilooo
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 4 ай бұрын
Kweli Tanzania hii watu wanapindisha kiswahili kilichonyoka ili wasionekane kama wamekula pesa
@WilliamMcheju
@WilliamMcheju 3 ай бұрын
Uongooo mtupuuu fisadi mmojaaa
@geophureysamsoni5033
@geophureysamsoni5033 4 ай бұрын
Wewe ndio sijakusrewa kabisa kwaiyo mashimo yaenderee magari yaanguke watu waenderee kufaa mtafaidi nn sasa
@dannykajumba2000
@dannykajumba2000 3 ай бұрын
Waelimishwe maana ya iyo secta
@WilliamMwamahonje
@WilliamMwamahonje 3 ай бұрын
Kubali.umeshidwa.tu
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 3 ай бұрын
Uyo mdee mbunge wa chama gani?
@AsiaDismas
@AsiaDismas 3 ай бұрын
Mpigane spana wenyewe kwawenyewe
@etropialangai6415
@etropialangai6415 3 ай бұрын
Mama ungemtumbua huyu mzee bana
@AsiaDismas
@AsiaDismas 3 ай бұрын
Umechapia mwigulu
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 4 ай бұрын
Binge.la.kifala.utapeli.wizi.ujinga.2025.piga.chini.wote
@IddiErias
@IddiErias 3 ай бұрын
Ashungwa nae ndy walewale
@SurprisedDrill-ky9fi
@SurprisedDrill-ky9fi 4 ай бұрын
Muheshimiwa halima mdee ikiwa chadema hawajakupokea unda chama chako zanzibar tupo wengivtunakupendaaaa
@IddiErias
@IddiErias 3 ай бұрын
Huyo jamaa mnamngangania wa nn
@ChristopherMgoli
@ChristopherMgoli 4 ай бұрын
Wabunge siwaelewi mbona wanashangilia hovyo bila kujuwa wapo upande Gani 😢😢
@bernardowoya6671
@bernardowoya6671 4 ай бұрын
Bunge linapaswa kuendeshwa kwa mfumo huo wa kuisimamia serikali na kuikosoa pale inapoenda kinyume na makubaliano!
@ChongemarwaChongemarwa-qz4hy
@ChongemarwaChongemarwa-qz4hy Ай бұрын
Safi mheshimiwa halima
@HanifaBruno-lv1qf
@HanifaBruno-lv1qf 3 ай бұрын
Hatumuelewi mwigulu
@costamalanda-rj4hg
@costamalanda-rj4hg 3 ай бұрын
Halima mdee,Ester bulaya na Ester matiko nawakubali sana
@evelina9621
@evelina9621 4 ай бұрын
Sipka.uko.juu.waziri.kashindwa.wanamama.juu.huyo.waziri.hana.anachojua.msaidieni
@HassanMchomvu
@HassanMchomvu 3 ай бұрын
@tulia ackson anaakili sana
@FrancoMbilinyi
@FrancoMbilinyi 3 ай бұрын
Anajua kuchezesha shilingi sanaaa huyoo
@amosdickson6318
@amosdickson6318 4 ай бұрын
HIVI HUKO BUNGENI MNAJUA KWAMBA HUYO MWIGULO HATUMUELEWI KABISA HUKU KITAA.
@WilliamMwamahonje
@WilliamMwamahonje 3 ай бұрын
Kilasikuwanakulam.wachie.dalasala.saba
@JumaRajabu-gg7ib
@JumaRajabu-gg7ib Ай бұрын
Namba lak
@petertarimo5513
@petertarimo5513 4 ай бұрын
hakuna mtu mwingine wa kukaa kwenye hii wizara ya Fedha ?
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
mama yenu hawezi kumtoa anajua kula naye
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
Mwigulu ni jipu Lililooza
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 4 ай бұрын
Wamama mko juu endeleeni kuwabana hawa wababa wenye kuwazarau. Kiti cha mh spika kiheshimiwe.
@CharlesLutandula-y3c
@CharlesLutandula-y3c 4 ай бұрын
Halafu mkataba walishasaini
@Worldunite
@Worldunite 4 ай бұрын
Mwiglu Nchemba na Tulia Acson lzm wapambaneeee😅
@marckmasassi7466
@marckmasassi7466 3 ай бұрын
Tatizo kubwa Tanzania tumekumbatia INCHI za Magharibi na KUBWA ni kujinufaisha na asilinia Kumi ndio kinacho tugharimu.
@RemmySinkala
@RemmySinkala 3 ай бұрын
Endeleen hivyo hivyo kutupiga maana wote mnajuana,na hukuna jipya hapo,watz ni maboya vipepeo,ikifika uchaguzi kijani tu
@FrancoMbilinyi
@FrancoMbilinyi 3 ай бұрын
Mmmmmmmmmh 😂😂
@AbdalahMtambuka-rh1dp
@AbdalahMtambuka-rh1dp 3 ай бұрын
alima nakupenda sana kama unge kua ujaolewa ningekuoa
@amosdickson6318
@amosdickson6318 4 ай бұрын
Bunge la mchongo, Spika wa mchongo Kubana muda huo ni mchongo Mali za umma mnakula hivyo Mnacheka wakati mnalibomoa Taifa letu. Kero kweli
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o 4 ай бұрын
Hali a mwanangu nakupendaga. Kwa hoja. Tu. Uko vizuri Sana. Hao wabunge wa CCM wanalindana. Ni philipo mipango tu. Ndiye aliyekuwa bora Sana. Hawa vijana wapigaji tu. Ukimsikiliza maneno yake yanaonekana yamchongo halafu selikali inakumbatia mijizi. Wakati. Kunawasomi wengi wenye. Akili. Na wenye hofu ya mungu. Lkn bado selikali inakumbatia Hao. Hao. Wanachota kwa zam😭😭
@josephkmarwa7425
@josephkmarwa7425 4 ай бұрын
Je .umesahau..tozo..kwani..sio..mzingo...kwa..watumia..simu..wavijijni..x😭😭😭😭😭👣👣
@obednyagani506
@obednyagani506 3 ай бұрын
Trabo na trati
@songeza
@songeza 3 ай бұрын
Mdee safi sana pamoja na Tulia uko vzuri hoja hiyo wake Tena Wala isiptishwe short cut isiwepo wabunge wamebobea kimaswali inaleta mantiki. Pamechafuka pananukaa kama pananukaa vunja mkataba
@bibyansimplis3791
@bibyansimplis3791 3 ай бұрын
Wazo langu: kwa Nini wasipewe makandarasi wenye uwezo wa kipesa, wakope wasikolpe hayo ni Yao ktk biashara zao. Kazi ya serikali ni kuwalipa kama walivyokubaliana .
@NuriyyatIslamic
@NuriyyatIslamic 3 ай бұрын
Du
@NuriyyatIslamic
@NuriyyatIslamic 3 ай бұрын
Di
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 4 ай бұрын
Huyu Mwigulu PhD yake aliipataje au kafanyiwa kama wengine wengi kiasi cha kufanya taifa kuwa chaka la upuuzi.Hakuna aliyesema F ni msaada na si finance? Mara technicalities mara syndication mara yada-yada-yada. Kweli huyu ni doktari siyo daktari. Nashauri PhD ya Mwigulu ichunguzwe, nini andiko lake, nani chair wake, nani wajumbe wa kamati yake, uhusiano wao, muda aliotumia kuisomea, kuitetea, na kuipata. Kuna tatizo hapo.
@ErnestMunuo
@ErnestMunuo 3 ай бұрын
😅
@ErnestMunuo
@ErnestMunuo 3 ай бұрын
😅
@obednyagani506
@obednyagani506 3 ай бұрын
Trabo na trati mwizi huyu jamaa. Viswahili vingi ep plus 7 ndio nini?
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 3 ай бұрын
MIMI nawapenda wote ILA UZALENDO KWA TAIFA KWANZA.HONGERA DR.TULIA KWA KUONGOZA VEMA BUNGE LETU
@GerardLaizzer
@GerardLaizzer 3 ай бұрын
🤣🤣🤣jaman nalifuatili sana bunge hili ila mbona mawe yote ni wazir wa fedha tu si atumbuliwe hili jipuu yaani kila siku ni mwiguli tu na sio kwa sifa ni kukosolewa tuu duuu
@Sibohoro-z5m
@Sibohoro-z5m 3 ай бұрын
Fafanua wew sas maana hamuelewii jinsi mwiguluu anavyojotetea lakn hamtak kuelewa duuh
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 3 ай бұрын
Unajua wabunge wanapiga makofi siyo kwa sababu wamelewa bali wanataka kumaliza ili waondoke na posho zao
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 4 ай бұрын
Mh waziri mheshimu spika. Spika hawezi kukuita ukaendelea kuongea. Heshimuni kiti cha mh spika.
@VenanceMgema-xu6bq
@VenanceMgema-xu6bq 4 ай бұрын
Mwigulu mwizi yule aliwekwa pembeni huyo na jpm.wala hapo hawezi kutoa majibu zaidi ya ubabaishaji tu
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 4 ай бұрын
Wapumbavu kama wapumbavu
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 3 ай бұрын
Unajua wabunge wanapiga makofi siyo kwa sababu wamelewa bali wanataka kumaliza ili waondoke na posho zao
@okoyonene2051
@okoyonene2051 3 ай бұрын
Hata yesu alifundisha 😂😂😂 mwigulu kiatu hakimtoshi
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 4 ай бұрын
Serikali inaenda kutafuta pesa ili impe nani? Hapo ndio tunachanganyikiwa wananchi. Pesa ya serikali na za Mh Rais.
@denisipimilo7450
@denisipimilo7450 4 ай бұрын
Samia ana pesa, kwanini mnagopa riba? Samia mapihechidii woga unatoka wapi? Kopeni
@Sibohoro-z5m
@Sibohoro-z5m 3 ай бұрын
Aloo hii kazii ni ngumu mwacheni mwiguluu wetu bana mbona hivooo.
@gervasejerry
@gervasejerry 4 ай бұрын
Unajua hilo bunge lenu ni chafu, tena mtupu,kwakua mnachezea pesa zetu kipumbavu,dawa iko jikoni
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 4 ай бұрын
Intelest late ni nini yarabi? Huyu Mtasambatavangu ni waziri au chawa?
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 4 ай бұрын
Bungeni wote wapo kimasilahi Yao wanainchi hakuna mtetezi wao Ila siku yenu inakuja namtafilisiwa wote nawambia hamtakaa namaisha haya mambo yanabadilika ipo siku inakuja
@NtongeEmanuel
@NtongeEmanuel 3 ай бұрын
Waziri wa fedha majibu yake hayaridhishi analipeleka pabaya taifaga,mama mwangalie sana Mwigulu anakuangusha,watanzania wameanza kuamka
@bibyansimplis3791
@bibyansimplis3791 3 ай бұрын
Mh. Kuntu uko vizuri . Hao wakandarasi hiyo ni hasara ni Yao.
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o 4 ай бұрын
Halima mdee uko vizuri Sana.
@GOODNEWSTV-nf5qx
@GOODNEWSTV-nf5qx 3 ай бұрын
😢😢😢😢😢 ni Huzuni sana unapomwona mheshimiwa aliyepewa dhamana na wananchi na raisi wetu akampa dhamana kubwa lakini anakosa umakini kiasi hicho kwa hela za walipa kodi.
@FrancoMbilinyi
@FrancoMbilinyi 3 ай бұрын
Na ukimaliza hoja hiyo nitakaaa paleee nikusubirii
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 4 ай бұрын
Sps plas ef ndio nini jamani tuelewesheni, mnatuacha mbali. Sisi wananchi tunahitaji kufahamu vizur mnayoyaongelea, ongeeni kiswahili , ili na sisi tuelewe
@MushuRwega-qp4zm
@MushuRwega-qp4zm 4 ай бұрын
Bashungwa aache uongo. Mbunge hujui Kiswahili. Unasemaje ni limitations ya msamiati kwa Kiswahili kama hujawauliza wataalamu wa lugha wakashindwa?
@JacobMbosalee
@JacobMbosalee 4 ай бұрын
Wabunge kila kitu mnashangilia??? Acheni hizo
@helencyprian8745
@helencyprian8745 4 ай бұрын
Yaani hawaeleweki kabisa ipi pont ipi pumba
@fifo262
@fifo262 3 ай бұрын
Huyu tulia kweli maana kawatuliza wote , hilo jina ni baraka
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 4 ай бұрын
Bashungwa kasomea chuo gani na ana shahada gani yarabi? Kweli kaya yetu imejaa wasanii.
NONDO ZA KABUDI MBELE YA SAMIA AKICHAMBUA KITABU CHA SOKOINE
40:20
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,1 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 42 МЛН
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 23 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 67 МЛН
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
JAMBO TV
Рет қаралды 95 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 42 МЛН