MBWADUKE: EXCELLENT SIGNING! MKALI WA MASHUTI ALIYEFUNIKA NYOTA WOTE LIGI KUU KASORO KI, FEITOTO...

  Рет қаралды 15,947

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

6 күн бұрын

Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

Пікірлер: 18
@boscomtani1006
@boscomtani1006 4 күн бұрын
Mchambuzi Mwandamizi wa mpira wa miguu Tanzania. Ukimaliza hii zungumzia uboreshaji wa kikosi cha wananchi na hatma ya ushindani na kukua kwa ligi yetu msimu ujao.
@rizikylaizer1602
@rizikylaizer1602 4 күн бұрын
Mzee wa data 😊 nakukubali sana achana na wale wachambaji
@GeogreMwakapombe
@GeogreMwakapombe 3 күн бұрын
Hakika uchambuzi wako ni WA uweledi wewe ni mchambuzi WA uhakika asante sana
@ShafiiHungo
@ShafiiHungo 4 күн бұрын
Nice
@mohdothman5888
@mohdothman5888 4 күн бұрын
Jimmy floid hassalbank wa chelsea kabla kununuliwa chelsea alikua mfungaji bora wa league ya England wakati team yake ya Leeds ilishuka daraja msimu huo...
@TittoMholwa
@TittoMholwa 4 күн бұрын
Ww ndo umekariri mwenzako anachambua soka asilia
@Johnmalekela
@Johnmalekela 4 күн бұрын
Namkubali sana mwaduke
@AllyMuhando
@AllyMuhando 4 күн бұрын
Huyu ndiye mchambuzi sahihi anatoa data siyo wachambuzi wengine wanabwabwaja tu
@luqiron8200
@luqiron8200 4 күн бұрын
Nilikua nasubili kwa hamu kubwa kukusikiliza ,hatmae nimekusilikiza vzur
@MatricxDj
@MatricxDj 4 күн бұрын
Bigg up
@lonesomekabora5547
@lonesomekabora5547 4 күн бұрын
Geita imeshuka Daraja lakn Valentino Mashaka kapanda Daraja ni kiwango cha juu sana na juhudi binafsi za mchezaji
@allyabdi7038
@allyabdi7038 4 күн бұрын
Mimi bado nalia na viongozi wa simba kama makocha wakigeni wanakosea alafu analetwa mgunda timu anaiweka sawa kwanini mgunda asipewe timu hata kwa msimu 1 tu
@user-ry7kg7sv2x
@user-ry7kg7sv2x 4 күн бұрын
Kwan mgunda amefanya lipi zuri zaidi ya kuifunga azam 🤣
@JosephTemba-sk4hy
@JosephTemba-sk4hy 4 күн бұрын
Uhakika..
@wardalwena5846
@wardalwena5846 4 күн бұрын
Huyu jamaa hzo namba anakariri vp
@hamzanamahala6201
@hamzanamahala6201 4 күн бұрын
Ana nyota ya kushusha timu
@mohdothman5888
@mohdothman5888 4 күн бұрын
Jimmy floid hassalbank wa chelsea kabla kununuliwa chelsea alikua mfungaji bora wa league ya England wakati team yake ya Leeds ilishuka daraja msimu huo...
@user-pr1nk6vr2q
@user-pr1nk6vr2q 4 күн бұрын
Nice
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 58 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 17 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 152 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 58 МЛН