MBWADUKE: Fahad Bayo Yanga? Angeweza?

  Рет қаралды 6,994

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-comment na ku-like...

Пікірлер: 18
@amanimbalamwezi
@amanimbalamwezi Күн бұрын
Mimi leo niwakwanza kama una muelewa mwaduke konga like
@JunioMsabaha
@JunioMsabaha Күн бұрын
Upo vzr mzee wadata
@Mwakaismsociety
@Mwakaismsociety Күн бұрын
Nakukubali sna brother.
@lewismpangala927
@lewismpangala927 4 сағат бұрын
Hamna kitu bora baleke
@AishaMsungi
@AishaMsungi Күн бұрын
Nakuelewa sana
@MussaHamadi-s5c
@MussaHamadi-s5c 18 сағат бұрын
Hafawi muacheni uyo acheni upuuzi injinia
@josephfissoo9583
@josephfissoo9583 Күн бұрын
Recodi zake kama ya Joeph Guede,lakini yeye zaidi kidogo
@NazilisalumukadeweleNazilisalu
@NazilisalumukadeweleNazilisalu Күн бұрын
Awana pesa ya kusajili wachezaji bora young African ni matapeli kwa mshabiki waoo wanapenda kusajili uwongo anajuwa wakati ajui
@MikidadiAbdu-s6o
@MikidadiAbdu-s6o Күн бұрын
We timu yako inaweza kama lawi tu coast ilikushinda
@bahengepascal
@bahengepascal Күн бұрын
Ww jamaa acha uongo hao wanaocheza Kam wengekuw wabay na ww unao wazur wangekufunga Kila kukicha acha umandazi yako
@TriciaSambo
@TriciaSambo Күн бұрын
wamsajili wasimsajili watajua wao ila tu mimi naomba kujua yanga princess kwenye mechi ya ligi walivaa jezi zenye nembo ya caf badala ya NBC kikanuni hiii imekaaje naomba kujua please 😅
@JosephChrisant
@JosephChrisant Күн бұрын
Ulitaka wavae masanda ya wafu ya Makolo?. Nenda kawaulize CAF huko acha kutupigia kelele sisi tunasikiliza dada za Mbwaduke .
@TriciaSambo
@TriciaSambo Күн бұрын
@JosephChrisant mbona povu linakutoka vip unanijua au ndo unataka kujifanya unanijua
@JosephChrisant
@JosephChrisant Күн бұрын
@@TriciaSambo Nikujue wa kazi gani?. Mimi naijua Yanga tu.
@TriciaSambo
@TriciaSambo Күн бұрын
@JosephChrisant ndo ukomae nayo uache kufuatilia comment za watu zisizo kuhusu na usio wajua huo ni umama na ukome tena ukome
@JosephChrisant
@JosephChrisant Күн бұрын
@TriciaSambo Ukisha ongelea Yanga ujue linanihusu. Hivyo usilete mambo yako ya ajabu ajabu kwenye issues zinazohusu umma wa soka. Nenda kalee watoto wako huko uone kama tutakujibu. Kuhusu kukujua sihitaji kukujua maana huna faida kwangu.
@shafisaggaf1889
@shafisaggaf1889 Күн бұрын
Hakuna mshambuliaji hapo.
@Charliechapline7443
@Charliechapline7443 Күн бұрын
🤔
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 15 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 17 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 16 МЛН
WASABATO NA WACHOKONOZI.
15:00
WACHOKONOZI
Рет қаралды 6 М.
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 15 МЛН