Baleke hawezi kulingana na Guade baleke ana kiwngo cha chini sana Guede ana kiwango cha juu sana sio wa kulinganishwa na huo usenge! #Yanga tunafeli sana kuwachukua wachezaji walofubaa kutoka simba!
@shalooboyburundi28 күн бұрын
angebaki kiukwr mimi sikupenda gede kuomdoka yanga
@BenjaminiPastiani29 күн бұрын
Tunaomba utu June kuhusu ujio wa Jean baleke kuja yanga kuna ukweli kaka tunomba utujuze