MBWADUKE: KAIZER CHIEFS VS YANGA BONGE LA MECHI/ HUKO CAF YANGA DUDE KUUBWA KWA CHIEFS/ KI, CHAMA..

  Рет қаралды 35,453

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

Пікірлер: 42
@wtnyambizi9876
@wtnyambizi9876 Ай бұрын
Uko vzr kazi nzuri
@cosmasmwaitete5004
@cosmasmwaitete5004 Ай бұрын
Mbwaduke Mungu akubariki sana kwa kazi yako uko vema sana, piga kazi mkuuu
@NGULYANGAI-matelePHONE
@NGULYANGAI-matelePHONE Ай бұрын
Amina🙏🙏🎧
@yohanadavid8055
@yohanadavid8055 Ай бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri unafanya kazi kama mchambuzi na sio shabiki, ni hatari sana kufanya kazi yoyote bila kukosolewa, wafuasi wako wote wasipokukosoa ujue unakundi la wanafiki na wakati wowote watakukimbia, kukosolewa ni muhimu kwa ajili ya kuboresha maisha yetu
@Sittamasaru
@Sittamasaru Ай бұрын
Nakufatiria sana mzee wa data uko vizuli sana
@user-kt3ro2zt5i
@user-kt3ro2zt5i Ай бұрын
Hatali sana master 💚💛💚💚💛💛🏆🏆🏆
@edisonkatunzi
@edisonkatunzi Ай бұрын
Mbwaduke Mimi nakukubali sana kwa data zako unanikumbusha enzi za Mzee kashaha ongera sana bro
@AngeloKigula
@AngeloKigula Ай бұрын
Hakuna wa kufananisha na mbwaduke
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 Ай бұрын
Mbwaduke,tunayo kazi😅😅😅
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 Ай бұрын
Mzee wa data uko vizur sana kazi nzur👏👏👏👏
@AngeloKigula
@AngeloKigula Ай бұрын
Unajua sna mzeeee🫡🫡
@AyubuTozzo
@AyubuTozzo Ай бұрын
Nakukubalii sanaa kaka
@perepetuajohn
@perepetuajohn Ай бұрын
Hakika unamjua kuchambua mpira vizuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@danmbizo3472
@danmbizo3472 Ай бұрын
Uko vizuri sana Mzee wa data, nakufuatilia kutoka Kenya 🎉🎉
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@StevenKapugi
@StevenKapugi Ай бұрын
Jamaa anajua sana
@NGULYANGAI-matelePHONE
@NGULYANGAI-matelePHONE Ай бұрын
Kaizer kama Azam tu 😊😊
@ErickSwai-k1f
@ErickSwai-k1f Ай бұрын
❤unakuja kuni kumbusha mzee kashasha
@user-bi6bo2hh9o
@user-bi6bo2hh9o Ай бұрын
Jamaa anajua kuuchambua mpira kama mwalimu kashasha
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Ha ha ha ha haaaa..🤣🤣😅Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono Kiongozi!
@maxezeaguttu7821
@maxezeaguttu7821 Ай бұрын
Teacher la Ball
@ErickSwai-k1f
@ErickSwai-k1f Ай бұрын
❤❤
@user-ix3ml6dm6y
@user-ix3ml6dm6y Ай бұрын
Mbwaduke unajua saaana hata ukocha unaweza
@ommyhatib7331
@ommyhatib7331 Ай бұрын
Pamoja sana
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Ай бұрын
Yanga hii yenye hawa watu mbele Dune,Aziz Ki,chama,professor P,Nzengeli,Muda,Mzize,ni mauaji ya Kimberley. Mimi ni simba ila uwazi tuuseme pamoja nakusajili vizuri.
@josephngwega7398
@josephngwega7398 Ай бұрын
Aisee😂😂
@MicJorl
@MicJorl Ай бұрын
yanga bigwa
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Majibu ya ki-GSM😅🤣
@GodloveMyaka
@GodloveMyaka Ай бұрын
BWADUKE unatisha tukimuondoa Mungu hakuna aliye kama wewe❤
@saidmlemeta8083
@saidmlemeta8083 Ай бұрын
Eng wa data nakuelewa mno
@IfahamuTanzania
@IfahamuTanzania Ай бұрын
Kinachowafanya Kaizer Chiefs hawafanyi vizuri kwenye Ligi Yao na Ligi ya Mabingwa ni nini?Mbona Wana uchumi mzuri!?,Timu zetu Zina uchumi wa kawaida na bado zinafanya vema,sababu ya jamaa kufanya vibaya ni nini?,Nilitegemea Kaizer iwe miongoni mwa timu 5 tishio barani Afrika
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Ni kweli inashangaza sana. Lakini ni kawaida kwa sababu fedha hazichezi uwanjani bali mipango mizuri ya kuzitrumia kwa usahihi kupata timu bora. Man Utd wana hela lakini tangu aondoke Fergie hawajagusa taji EpL, Pyramids kule Misri, PSG UEFA wanaisikia tu na hela zao e.t.c
@filibetifilibeti534
@filibetifilibeti534 Ай бұрын
hakuna tim
@gasperelasto8842
@gasperelasto8842 Ай бұрын
😂😂😂kaka Ramadhani, hivi hayo 'mavuma' huwa unayasoma saa ngapi ndugu yngu!?
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Passion Bro...!😊
@NGULYANGAI-matelePHONE
@NGULYANGAI-matelePHONE Ай бұрын
Nimejikuta nacheka😅😅
@Yuleyule-u6c
@Yuleyule-u6c Ай бұрын
Acha uzembe ww mbaduke kweli umeangalia kaiser chief sahivi wanafanya vibaya sana kwenye ligi yao tu Wapo nafasi ya 10 Sasa si afadhali hata mashujaa. Ww unachambua history siyo fact.
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats Ай бұрын
Msamehe Bure Bro.. maana yaelekea Mzee wa Data hajui kitu. Angeongea kwa facts angejua kuwa ligi iliyomalizika PSL Bingwa ni Kaizer Chiefs😂😅
@subiriabdulrahmani2343
@subiriabdulrahmani2343 Ай бұрын
Huna hata aibu kuwa tofauti na wenzako
@LucasHaile-dy9kd
@LucasHaile-dy9kd Ай бұрын
Kaka nadhani history ndiyo hujenga mpira wetu wa leo, na anachokichambua huyu jamaa sio history ya mda sana bali ni Kaizer Chief ya sasa, au wewe unataka kutwambia Kaizer ni wabovu sana mpaka ulinganishe na mashujaa? au na wewe mpira hujui?
@Yuleyule-u6c
@Yuleyule-u6c Ай бұрын
@@LucasHaile-dy9kd Shida yetu tukisikia Timu ya nje ya nchi unaamini ni Bora Sana ww kama mashujaa ilicheza na Simba na yanga na ikawasumbua unaamini haiwezi kuwa Bora kama kaiser chief. Fatilia takwimu za kaizer Chief Sasa hivi Alafu ndo uje ucomment.
@PetroChengula-bg4ld
@PetroChengula-bg4ld Ай бұрын
❤❤❤
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 47 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 5 МЛН
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 163 М.
Roma and Diana visited MONSTER JAM Show 2024
33:34
★ Kids Roma Show
Рет қаралды 31 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН