MBWADUKE: PERFECT SIGNING! AISEE HUYU SERGE POKOU KATIKA SIMBA MPYA ANA BALAA/ NGOMA, KIBU...

  Рет қаралды 63,975

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@SimonSaguda
@SimonSaguda 6 ай бұрын
Nakubari kioo cha jamiii Mbwaduke👏🏻
@harunamshahara1837
@harunamshahara1837 7 ай бұрын
Bro ww ni mwamba Sana....unatakiwa uwe mchambuzi wa UEFA
@abiolasereman2575
@abiolasereman2575 7 ай бұрын
Watafika maana kirasiku tetesi simba ❤❤❤
@GilbertKalima-i3s
@GilbertKalima-i3s 7 ай бұрын
We kwan humuamini mbwaduke
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 6 ай бұрын
Ngoma kibu Thanks your
@NashonyNashon
@NashonyNashon 7 ай бұрын
nakubali Sana mbwaduke
@DanielWamungu-ub3wf
@DanielWamungu-ub3wf 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@DanielWamungu-ub3wf
@DanielWamungu-ub3wf 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@DanielWamungu-ub3wf
@DanielWamungu-ub3wf 7 ай бұрын
🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️❤❤❤❤❤❤❤❤
@devisjoseph5787
@devisjoseph5787 7 ай бұрын
Simba yangu fanya mambo yenye maana zaidi
@BilaliBaruani
@BilaliBaruani 7 ай бұрын
Shukran jaziilan
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 7 ай бұрын
Hivi Simba haina viungo wa pembeni?haya!baadaye Sasa ooh Yanga hivi ooh Yanga vile
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 7 ай бұрын
Nafikiri Simba wenyewe wanajua zaidi
@sangaelly8548
@sangaelly8548 7 ай бұрын
Wewe Mbwaduke hatari sana hawa ndo walitakiwa sana kwenye ualimu
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 7 ай бұрын
Hata kama somo ni gumu, lazima wanafunzi wake wafaulu vzr. Anajua sana kuelekeza soccer
@HabibuHassan-qr1tw
@HabibuHassan-qr1tw 7 ай бұрын
Tutashukuru kama ni tarifa za kweli mana kwa simba kama mabango2
@AmaniSylivester
@AmaniSylivester 7 ай бұрын
Nimchezaji Mzuri lakin apewe mda wa kutosha kwenye mech
@rubenemanuel2240
@rubenemanuel2240 6 ай бұрын
Wameshindwa tayar kaenda Al hillal
@jumbemachano9207
@jumbemachano9207 7 ай бұрын
😢Jee kafunga mangapi ?. shida ni mfungaji.
@abdallahonga6395
@abdallahonga6395 7 ай бұрын
Viungo wa pembeni simba wanatosha
@IsaacJames-lp6zr
@IsaacJames-lp6zr 7 ай бұрын
kwan mo hamuoni mbwaduke amuajili
@dominickiungulia1016
@dominickiungulia1016 7 ай бұрын
Akisajiliwa, ataongeza Nguvu kwa wale wachezaji watakao bakia.
@ramadhanimohamedi1397
@ramadhanimohamedi1397 7 ай бұрын
Binafsi namkubali shida wanazubaa hadi wengine wanawasajili sasa
@SalimRamsei-ok9el
@SalimRamsei-ok9el 7 ай бұрын
Kumbe ana usishwa tu
@ThePlants-zc3rp
@ThePlants-zc3rp 7 ай бұрын
usitutajie hao matapeli wa ziwani
@allymtunge5530
@allymtunge5530 7 ай бұрын
Yani lile kundi alio baki ligi ya mabingwa na Galaxy
@PartickMungure
@PartickMungure 7 ай бұрын
Siku zote mashabik wa yang hawataki maendeleo yetu
@AndreaMadeni
@AndreaMadeni 6 ай бұрын
km inakukela nenda ww
@MouriceDaniel
@MouriceDaniel 6 ай бұрын
Mnaxem kwel,,???
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 7 ай бұрын
TATIZO LA SIMBA HUWA WANAWAHUSISHA LAKINI WANAACHIA HADI WANACHUKULIWA
@ramadhanimohamedi1397
@ramadhanimohamedi1397 7 ай бұрын
Hilo ndo tatizo lakini huyu serge pouku ni mashine hiyo
@Davidchilumba09Davidchilumba09
@Davidchilumba09Davidchilumba09 7 ай бұрын
mathematics ulipata alam gan maan 😅😅😅
@ELIUDISIAME
@ELIUDISIAME 7 ай бұрын
acha kutuchosha twambiye anamangori mngapi
@amanikivuyo8141
@amanikivuyo8141 6 ай бұрын
Subiria kunywa supu chini utakuta nyama..mwaduke ni mwamba
@EliudLubavu
@EliudLubavu 7 ай бұрын
😊😊😊😊
@abdallahonga6395
@abdallahonga6395 7 ай бұрын
Simba haiitaji viungo wa pembeni
@muhammadkassim6291
@muhammadkassim6291 7 ай бұрын
Chini ya uongozi huu tegemea sajili sehemu ambazo hazina uhitaji
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 7 ай бұрын
Je hao waliopo wanaweza kumuweka benchi Sergi Pokue?
@SimonEmilyo
@SimonEmilyo 7 ай бұрын
Kwa nn unasema haitaji viungo wa pembeni?ebu wataje hao viungo wapembeni
@KelvinElisa-w9b
@KelvinElisa-w9b 7 ай бұрын
Inahitaji viungo gani,,,na hao waliopo wamefanya nn,,broo😮use your common sense
@prospermujungu7787
@prospermujungu7787 7 ай бұрын
Huyu Mwaduke mi ananiudhi sana. Kila gharasha liletwalo na viongozi wabovu wa Simba yeye huwafagilia kumbe bomu tu. Nikikumbuka alivyowapamba Sawadogo, Babacar Sarr, Pa Omar Jobe na yule beki wa Zolan sina hamu naye huyu ovyo kabisa. Nadhani yupo kama kibaraka kuwadanganya wafuasi wa Simba kwa faida ya wapinzani.
@zakayomgaya2758
@zakayomgaya2758 7 ай бұрын
Natamani wewe mchambuzi wangu pendwa ukawe unatusajilia wachezaji pale simba maana unadata halisi
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 6 ай бұрын
Fatilia uchambuzi wake wamsimu uliopita akinaonana alivokua anawabariki, kinajobe, uje ulinganishe na kazizao,. Usajiri huwanikubahatishatu ndugu
@DanielWamungu-ub3wf
@DanielWamungu-ub3wf 7 ай бұрын
🍍🍍🚜🚜🍍🚜❤❤❤❤❤
@AndreaMadeni
@AndreaMadeni 6 ай бұрын
D
@saidmfaume1282
@saidmfaume1282 7 ай бұрын
Hamna mchezaji hapo
@kingclassicwear2774
@kingclassicwear2774 7 ай бұрын
Utasajiliwa wewe tukuone
@GilbertKalima-i3s
@GilbertKalima-i3s 7 ай бұрын
Kacheze wewe tukuone
@DavidGershon
@DavidGershon 7 ай бұрын
Mimi huyo sergy wenu hajanishawishi kuja simba Maana huu uchambuzi wako mzee kama vile unatoa risala wewe tuambie huyu mchezaji ana magoli mangapi na je hii taarifa za kuja kwake ninkweli au tetesi hatutaki uchambuzi kama fundi ujenzi unapiga plaster unatuchosha Sasa hizo tackling sis yanatuhusu nn
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 7 ай бұрын
Duuh! Yaani Bro hujui umuhimu wa tackling kwa mchezaji wa nafasi ya kiungo? Ni kweli hujui kwamba katuika dunia ya football wakati wa kluelekea dirisha la usajili huwa kuna taarifsa rasmi na tetesi katika ligi zote duniani? Ni kweli hujui? Na pia hujui kwamba siyo kila nafasi uwanjani wahusika hupimwa kwa idadi ya mabao? Anyway... maoni yako tunayaheshimu sana Mkuu! Tuendelee kulisongesha klupitia jukwaa hili.
@MagrethCostantine
@MagrethCostantine 6 ай бұрын
Kama hujashawishika chukia familia yako ikacheze
@MagrethCostantine
@MagrethCostantine 6 ай бұрын
Kama anakuchosha nenda wewe katueleweshe mbwa wewe
POKOU SERGE⚫️Left Winger-Asec Mimosa🇨🇮▪️2023-2024.
8:38
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
KWA MBINU HIZI 4: SIMBA YA FADLU ITAKUWA BALAA...
11:16
SoccerData
Рет қаралды 66 М.
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН