MBWADUKE: WATAPIGWA TU! NI HAWA WATUNISIA SFAXIEN WATAKAOIVAA SIMBA MAKUNDI CAF CC/ MPANZU, ATEBA...

  Рет қаралды 19,484

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

Пікірлер: 39
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 6 күн бұрын
Pole mchambuz wetu naona koo haliko sawa mungu akufanyie wepes saut yako ni muhim sana kwa watanzania mungu akuponye
@mtakatifutv2101
@mtakatifutv2101 4 күн бұрын
Yaan wewe😊
@rwegoshoramichael3144
@rwegoshoramichael3144 2 күн бұрын
Mzee wa data uko safi sana
@ericsallu3237
@ericsallu3237 5 күн бұрын
Mzee wa Data Nakukubali sana, Sio wale wengine mpaka wasikie wenzao.
@abdulhalilaly2906
@abdulhalilaly2906 6 күн бұрын
Pole sana wangu ,big up xn
@drallan6879
@drallan6879 6 күн бұрын
we love you Mbwaduke tumia pia strepsil lozenges for this throat issue
@RizikiSaidi-cq7vc
@RizikiSaidi-cq7vc 5 күн бұрын
Kaka huwa nakukubali sana kuliko wachambuzi wengine wote kwanza unaujua mpira na sheria zake huwa hupepesi kwenye ukweli unasema bigup sana kaka mungu akufanyie wepesi upone haraka kabla michuano haijanza
@AllyHemed-g5h
@AllyHemed-g5h 2 күн бұрын
Simba kwa uchambuzi na takwim tuko mbli msim huu
@rwegoshoramichael3144
@rwegoshoramichael3144 2 күн бұрын
Wewe ndo umebaki mtu wa Hali Naamini kwa uchambuzi huu wengine waje kujifunza kwako. Wale mamluki kama kina mpenja, na wengine waje waone unavyojuwa mpira kaka. Uko sawa sana
@FrankDaud-vf2vy
@FrankDaud-vf2vy 5 күн бұрын
Tuchambulie na huyu sijui costarting
@atupelemsyani7411
@atupelemsyani7411 5 күн бұрын
Dah! Bonge la mchambuzi aisee 👋👋👋
@AbutwalibuMohamedy
@AbutwalibuMohamedy 6 күн бұрын
Sukutua maji yenye chumvi kutwa mara 3 maji hayo yaishie kwenye Koo halafu unayatema Insha Allah utapona kwa muda mfupi pia punguza sana kuongea ingawa ndiyo kazi yako ya uchambuzi pole sana
@ZuberiHuseni
@ZuberiHuseni 5 күн бұрын
Nakubal San kaka huongei ushabik,huchagui Wala haubagui timu unaongea ukweli
@kareemibrahim1892
@kareemibrahim1892 5 күн бұрын
Sheikh asali muhim maan sauti imekauk san
@AllyHemed-g5h
@AllyHemed-g5h 2 күн бұрын
Peter capeter ubalikiwe mchambuz tuko pamoja kaka
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 6 күн бұрын
Mbwaduke tumia dawa kaka mana sauti inazidi kupotea
@OjinoKipingi
@OjinoKipingi 6 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉mungu akuponye mchambuz wangu maili
@Simbacstanzania
@Simbacstanzania 5 күн бұрын
unafaa kuwa mwalimu wa wachambuz wetu hapa tz mana nakuona huna mapenzi na timu yeyote hapa nyumbani inatakiwa hivyo
@khalidmwakabuta5045
@khalidmwakabuta5045 6 күн бұрын
Kweli kabisaa maana anapata taabu hata kuongea asee afanye mpango wa matibabu haraka
@ayubukiuya669
@ayubukiuya669 5 күн бұрын
MIMI NAKUKUBALI KINOUMAH BABA
@DavidPaul-vn9io
@DavidPaul-vn9io 5 күн бұрын
Mtumie pesa akanunue hata maji koo limekauka
@HappyCatfish-cs2yn
@HappyCatfish-cs2yn 6 күн бұрын
Usijali mwamba sauti IPO kazini,piga kazi
@thomasiboniventure8969
@thomasiboniventure8969 5 күн бұрын
Poooleh san kkk
@rwegoshoramichael3144
@rwegoshoramichael3144 2 күн бұрын
Mbwanduke wewe ni analyst mzuri mno. Unaweza kuchukuliwa hata EPL😊
@Simbacstanzania
@Simbacstanzania 5 күн бұрын
lekebisha myck hakuna saut
@seifsefunga3228
@seifsefunga3228 6 күн бұрын
Mchambuzi bora africa
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 6 күн бұрын
Mzee wa data pole naona saut imegoma mchambuz wetu
@GaberJabeh
@GaberJabeh 6 күн бұрын
Bas nilikukuwa najua spika ya simu yangu kumbe weye shekhe
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 5 күн бұрын
😂
@GabrielAmma-jp1oo
@GabrielAmma-jp1oo 5 күн бұрын
Huna baya mchambuzi umenyooka
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 5 күн бұрын
Wengesubr ukapoa sisi tupo t bwanduke
@withowilliam9057
@withowilliam9057 6 күн бұрын
Million Mia nane tu Kuna mabululu wa billion
@SleepyAlpineSkiing-qi8gq
@SleepyAlpineSkiing-qi8gq 6 күн бұрын
Tumia mayai sauti inapote mtalamu
@TimothyJuma-pp6gm
@TimothyJuma-pp6gm 5 күн бұрын
Tunajivunia watanzania kuwa na mchambuzi Kama wewe
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 6 күн бұрын
Sauti imekumbwa na nini siku hizi
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 6 күн бұрын
Maradhi Kk. Ni mapenzi yake Muumba...tuombeane dua tu ili Mola amfanyie wepesi Mzee wa Data apone haraka. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!!
@Wautoto
@Wautoto 6 күн бұрын
Utakuwa saw kaka
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 6 күн бұрын
​@@WautotoIn Sha Allah...tumuombee tu kwakweli!!
@ShaabanJuma-s3z
@ShaabanJuma-s3z 5 күн бұрын
Kaka dua zote kwako❤❤
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,4 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 12 МЛН
MZEE AMWAMBIA RAIS MWINYI UOVU WA ZANZIBAR BILA KUOGOPA.
6:36
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 53 М.
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,4 МЛН