Asante kaka! Ufafanuzi mzuri au mwalimu mzuri kwa ujumla
@ramadhanmohammed6474Ай бұрын
Nakukubali sana mzee wangu wajina Allah akujaalie umri mrefu mwalimu wa data.
@DominicMwambeАй бұрын
Kazi nzuri mheshimiwa tunapata elimu kubwa kuhusu mpira
@MohamediKiaziАй бұрын
Nimekuelewa vizuri sana hakika wewe ni mwalimu na sio mchambuzi hongera sana.
@RamadhanMwiru-n4yАй бұрын
Apo nimekubali mzee wangu
@RamadhanMwiru-n4yАй бұрын
Apoa nimekukubali mzee wangu
@StephanoSomekeАй бұрын
Uko vizuri sana Mzee wangu
@MakoyoSadiАй бұрын
Upo vizuri
@petermwijage9882Ай бұрын
big up
@dannylekasio8466Ай бұрын
Kweli asiyekuelewa ni wale slow learner tu!!! Uko vizuri !!!
@yusufunguruko8080Ай бұрын
Wewe sio mchambuzi bali ni 'Mwalimu' - nakuhakikishia hivi sasa wachambuzi wote wa bongo wanajifanya kuelezea watu baada na wao kupata madini kutoka kwako tena basi bado hawaelewi vizuri wanakariri tu na kuwalisha wadau matango pori - keep it up Mbwaduke you are very bright, maana issue sio kusoma issue je una kichwa cha kuelewa na kuhifadhi hicho unachokisoma na kukitema kwa watu na wao wakakuelewa ? hiyo ndio sifa kuu ya mchambuzi ama mwalimu mzuri - Mungu akubariki sana Mbwaduke ktk kutuelimisha sisi na wachambuzi wengine uchwara !
@MbwadukeStatsАй бұрын
Shukrabi sana Mkuu. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!!
@MbwadukeStatsАй бұрын
Aamyin!!
@SadamuKutemileАй бұрын
Ww jamaa niiiiiimwaaaamba upewe maua yako
@PetroMwilongoАй бұрын
Ungekuwa my father ninge enjoy life❤
@rosejamesmakange4097Ай бұрын
Uko vizuri Bro!
@DaudSemkuyaАй бұрын
Ni kweli kaka uko vizuri mimi nakufatilia muda sasa ktk uchambuzi
@RashidiNjengaАй бұрын
Uko makin sana mwaduke
@athanazistraton185Ай бұрын
hongera sana kaka kwa uchambuz ulio tukuka. lakni maelezo yanakua nengi angalia za muhmu zaid. (ni maoni yangu tu sio kwa ubaya)
@MbwadukeStatsАй бұрын
Shukrani sana na maoni yako yatamfikia Mzee wa Data. Ila pia ushauri kwako, eneo unaloona umeshaelewa au huoni kama lina mantiki unarusha tu kwa kidole chako kwenye screen (iwe simu au kifaa kingine). Ila ushauri wako mzuri utamfikia Mzee wa Data. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono.
@Swamadu-g9oАй бұрын
Nakukubali sana kaka ww nimtù nanusu❤❤❤
@pekomisegese7724Ай бұрын
Ramadhan Mbwaduke Unanikosha Sana. Wewe Unatoa Somo Mpaka Kwa Wachambuzi Njaa. Wanakutegemea Wewe Ili Nao Wapate Cha Kuzungumza. Salute Kwako Kaka.
@PaschalFrancis-p8zАй бұрын
Good
@Chtboy-yg2zhАй бұрын
uko vzur mbwaduke
@EzekielCharles-j8xАй бұрын
Uko vizuri sana
@jchuriАй бұрын
Best teacher! Upo vizuri! Keep it up! I see your bright future!!!!
@francisassenga2546Ай бұрын
You are very right Brother Rehabura. Ila Mzee wa Data ni Mwalimu mzuri sana. He knows to describe the "process" clearly.
@YaredMaigeАй бұрын
Big up sir
@GasparMfoiАй бұрын
Ubarikiwe
@SimbilaKimweriАй бұрын
Asante mtaalam was data
@telvinnicholasАй бұрын
Uko vizuri kaka, ila next time tafuta mic ya kubana kwenye Koti la suti hili utakuwa unachoka kushikilia hiyo kaka! Anyway it’s jokes 😅
@HassaniNtimbaАй бұрын
Ahsante mwalimu Mbwaduke Kwa kutufafanulia mwenendo wa makundi unavyotakiwa kuwa mm binasfi nimeelewa vizuri sana.
@MariamAbdalla-c2fАй бұрын
Thank you
@abedysteven4930Ай бұрын
Mbwaduke ww n Bora kwangu umenifanya niuelewe mpira zaid🎉🎉🎉🎉 salute for you!!
@SamwelLaizer-o3xАй бұрын
Good clarification... keep 🔥
@BarackaOrenjiАй бұрын
Wewe ni mchambuzi mzuri sawa
@japhetkahindi4791Ай бұрын
Nakukubali Sana Best analysis
@rapha255.Ай бұрын
Uko vizuri keep it up....
@BabaH-l7gАй бұрын
Uko vizuri tunajifuza mengi ktoka kwako
@AdathaJulius-d5gАй бұрын
Yani baba yangu mzee wa data " kama walimu wetu wa hisabati uko ukerewe wangrkuwa wanaelezea kama wewe bila kuingia na bakora na kunielimisha kama wewe ili nimuelewe yani muda huu kiukweli ningekuwa na kitu lakini nimeishia kufuta viatu😭 asante baba ubarikiwe🙏
@MbwadukeStatsАй бұрын
Ha ha ha ha haaaa...shukrani sana. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@AnitaAriza-o8yАй бұрын
Heller Wells
@BarakaAbdalah-s5qАй бұрын
Anajua mzee wa data
@DaudSemkuyaАй бұрын
Kaka mimi nakuelewa sana
@AlinanineMwaisumoАй бұрын
Unajua sana jamaa. Nakukubali sana. Congole sana.
@EliaPunduguАй бұрын
Nakuelewa Sana mzee Wa data
@NestoryMwakipesileАй бұрын
unajua sana mtaalamu mbwaduke
@JacksonMbitesАй бұрын
Napenda kusikiliza Huyu mzee wa Data Ako sawa
@HuseniMasengaАй бұрын
Heshima kwako 🎉🎉🎉
@mabrukson122Ай бұрын
Duuuuh, Tisha sana mzee
@olaliaandrea5198Ай бұрын
Asante sana nimeelewa uko vizuri
@haleluyakihombo769Ай бұрын
Mbwaduke🔥💪🏿
@mgallason...5686Ай бұрын
Pure mathematics on soccer
@GeraldMyukuАй бұрын
Mm cjamuelewa
@DaudSemkuyaАй бұрын
Napata elimu kubwa kutoka kwako kaka nakukubali
@choloboy2134Ай бұрын
Noma snaaa bwaduke
@RashidIssa-e9fАй бұрын
Uko vizur sana mkuu
@JacksonMwinulaАй бұрын
Big up mwaduke kiwango
@broja255Ай бұрын
Hapo esperance Tunis inatuhusu wananchi
@MussaUpundaАй бұрын
Ag E❤😮🎉
@AmosKagwebeАй бұрын
Ok nmekuelewa mno endelea vivyo hivyo
@ntegrity277Ай бұрын
Huyu sio mtu! Huyu jamaa ni KAMUSI this guy is very intelligent, he is the smartetst guy I know
@maryamtan682Ай бұрын
Asante sana kwa maelezo mazuri.
@oscarsanga3293Ай бұрын
Ongera sana mbwaduke,unajua sana.
@mohamedkutwambiАй бұрын
Mwalimu wa Walimu 🎉🎉🎉🎉🎉
@GeofreyMwafingaАй бұрын
hapo nimekuelewa
@djparasite2556Ай бұрын
Siku zote ukifanya unachokipenda lazima ufanye vizuri🔥🔥🔥🔥
@ZakariaIbrahimuАй бұрын
Thanks bro tunakuwewa sanaa
@JuliasMsolaАй бұрын
Nimekuelewa vizur mwalim
@husseinmgalula5864Ай бұрын
Mwalimu mzuri sana BILA ufafanuzi sio rahisi kuelewa
@Elasmo_mwinamiАй бұрын
Kwa maelezo haya hata mtu asie jua mpira anajifunza jambo na anaelewa vitu vingi , tuko pamoja na wewe R. Mbwaduke
@logical102Ай бұрын
Good teacher
@hafia.056Ай бұрын
Yanga Africans oyeee let's saying oyeee hayaa
@HassanAndulileАй бұрын
Huyu brother yuko vizur sana,hakika ni mzee wa data
@SteveSteve-l6gАй бұрын
saf sana mwalim tunakuelewa sana
@dastanmbunda8247Ай бұрын
Nakukubali sanaaa kakaa
@DonardNyakaruguАй бұрын
Bro nakukubali sana uchambuzi unaujua
@AdathaJulius-d5gАй бұрын
Na wewe ndiyo baba yetu africa mashariki na kati akuna data kama wewe 🎉🎉🎉
@chukialberto4659Ай бұрын
Mzee hongera kiukweli wewe ni mchambuzi kweli kweli.Tangu tukufahamu hatuangaiki
@Evance-op4jwАй бұрын
siyo raja ni mazembe
@JogookichaaJrАй бұрын
Jemedari aje apate somo huku
@PoulinSimonАй бұрын
Wew tunakutegemea achana usimba na uyanga utafika mbaliiii
@p3chami495Ай бұрын
Barikiwa kaka
@IsaacMdalahelaАй бұрын
Wewe zaidi ya mwalimu
@AgustinoMbutaАй бұрын
Upo sawa watu hawajui et wambie
@R10_RajabАй бұрын
Asante sana Mtaalam
@robertchazya2351Ай бұрын
Wapenda soka mnaonaje huyu mwamba aweke namba za simu tuwe tunamchangia hela hata bukubuku aise mtu ukiwa nayo ili kumpa support kwa kazi nzuri anayofanya...
@macmuganАй бұрын
Nakupata vizuuuri mzee wa Data
@HemedmusoTzАй бұрын
Nimekuelewa sana mwalimu
@alfanmussa3041Ай бұрын
Nimekuelewa kaka
@sebmalunde5945Ай бұрын
Uko sawa kabisa
@SaraphinaBomangiАй бұрын
noma Sana brother 😍
@amohmark97Ай бұрын
Mchambuzi mahiri sana🎉
@FilberthMachendeАй бұрын
Uhakika fainal
@BENJAMINDEUS-b2gАй бұрын
Sorry Mbwaduke pot 1 sio Raja but ni Mazembe, uko vizuri mr
@MbwadukeStatsАй бұрын
Correct. Kuna makosa na ndiyo maana tumeomba radhi pale juu kwenye descriptions. Shukrani sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
@EmmanuelMrimi-v1rАй бұрын
Yanga bingwa milele
@KachileMagutaАй бұрын
Your a good
@maalimfadhili2343Ай бұрын
Upo vizuri kaka
@JohnGoliamaАй бұрын
Umetisha umeeleweka
@bigman3559Ай бұрын
Kazi nzuri
@ZaydShafiiАй бұрын
Aisee umetisha hii ni darasa tosha
@robertmaroaАй бұрын
Kaz nzur
@zenakassim3819Ай бұрын
❤❤❤ Asante
@gasperelasto8842Ай бұрын
Ila ww ni mwanaume wa shoka. How do yu know these things? Yan unajua hadi unakera💪
@MAGEMEYOHANAАй бұрын
Imechanganya kidg bro mazembe Yuko pot 1
@MbwadukeStatsАй бұрын
Yes. Ni kweli kuna mahala Mzee wa Data ameteleza na ndiyo maana tumeomba radhi pale juu kwenye descriptions. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono.