mchungaji Mgaya inawezekana kbs ni mchungaji wa mshahara ukiwa mchungaji hutakiwi kuwa mwoga kukemea dhambi/maovu ikiwemo utekaji na mauaji. wachungaji na maaskofu wa Tanzania kazi yao ni kukemea ulevi na umalaya tu huwezi kuwakisia hata siku moja wakikemea ufisadi uliyojaa serikalini, utekaji na mauaji
@crisantisindani3830Ай бұрын
Tupate wapi? Mtumishi kama uyu, mshauli na Mwalimu mzuri na mtumishi wa MUNGU 🤜🤛👏👏👏👏
@christinenyagiro6662Ай бұрын
Kwahiyo wewe huna unachofikilia ni CCM tu. CCM ilikuja baada ya watanganyika kuwekwa na Mungu. Mtu kama ni unfamiliar huwezi kutanguliza CCM. Tunaitaji watu kuliko hivyo vyama. Uningizaje CHADEMA hapa? Katika watekaji na wauuwaji nadhani uko mmoja wao. Sisi haoa tunahuzunika kwa ajili ya ndugu zetu wewe huko kuangalia na uchawa wako wa CCM. Ninyi CCM kwani hata CCM ikitawala milele wewe utakuwepo kwenye huo umilele? Kwani CCM ilikuwepo kuanzia lini?
@estachengula3902Ай бұрын
Pole mchungaji unapendwa sana watu kutekwa mungu anakuona vizuri kuhusu wewe
@crisantisindani3830Ай бұрын
Ukosawa mtumishi, hauwezi kuongea ukamlizisha Kila mtu. Hata kama aje nani? Kutawala lazima atatukanwa tu. Hakuna anaependa mtu au watu, kutekwa au kuuwawa. Chadema wachukuwe ushauri huo , Mimi ni mpangaji wa CCM nalipa Kodi kupitia kontroo namba. CCM ni family kubwa kuiondowa CCM Kwa hoja za chadema tutasubili sana🇹🇿🇹🇿 japo chadema wafwasi wake mihemko mingi mbele wanakuta ukuta zinabaki lawama Kwa CCM na Mwenyekiti wa CCM taifa. Kuiondowa CCM ni ndoto Asante 🤣🤣🤣👍👍👍
@DrSwahibАй бұрын
Maneno safi tu
@christinenyagiro6662Ай бұрын
Kama ni uchawa tumekusikia kwani serikali za huko nyuma hawakutuuwa. Kwahiyo wewe ni Mungu unajua kama Mungu alifanya vizuri. Hata wewe unatangaza vita. Kwa sisi tuliyo poteza watu wetu tunadhani unahusika katika watu wanao tekwa kwahiyo CHADEMA wanastahili kuuwawa?
@adenhyera4820Ай бұрын
Mtathamo wake ila ukweli anaujuaaa
@beinafuu6219Ай бұрын
Kuwatii nikweli jaman lakin haikusema msiwakemee kieshima.kukosoa kupo kwa usitaratibu nyinyi.mnakaa kimia mno
@FellaMbogelaАй бұрын
SERIKALI IANZE MSAKO IKISHIRIKIANA NA WANANCHI KUWASAKA HAWA WAHALIFU WATAJULIKANA TU HAIJALISHI WANATOKA WAPI BADALA YA KUNYOSHEANA VIDOLE, TUNAANZA NA HAO WALIOTAJWA MAANA WAPO. NA WAKIKAMATWA WATAWATAJA NA WENZAO
@fidelfidel-jz4iwАй бұрын
Mtumishi umeongea mapungu makubwa tuliyonayo waafrica hilo ndio tatizo kubwa liliropo kwetu viongozi wote wao ni maninafsi tu wao wanajiangalia tu wakati hiyo njia ni rahisi .kuteka watu .kwanza hawatoi mbinu za kuendeleza watu
@SalvatoryMtungaАй бұрын
Hayo ni mawazo yake na wewe una mawazo yako, sasa ya nini umtolee maneno machafu?.
@mxfsedtirzАй бұрын
Kama kuingilia serikali ni kosa hata Nyerere ni mkosaji tena mdhambi kwa sababu alipinga serikali iliyikuwepo ya kikoloni ya Uingereza.
@reginas1832Ай бұрын
Asanteni kwa comment sihitaji kusikiliza
@HuaweiMate-i4sАй бұрын
Wachungai we go wanatafuna kondoo waliopo zizin lakini Hawa na Jabari kwa wale ambao wasio wakwake
@christinenyagiro6662Ай бұрын
Wewe Mtumishi kwahiyo kifo cha Chawula? Wewe sema unaona sawa tu kufa kwa watu, kutekwa watu na kuwuwa watu ni sawa?
@FrankMwakatundu-cu6bdАй бұрын
HONGERA SANA MWANDISHI WA HABAR UNA MASWALI MAZURI MNO KIASI KWAMBA MCHUNGAJI AMEYUNBA SANA(AMEJARIBIWA KISHA AMEKULA MWELEKA)!!! MASWALI YAKO YAMETUSAIDIA KUUTAMBUA UDHAIFU MKUBWA ALIO NAO MCHUNGAJI, SI HUYU TU WAKO WACHUNGAJI WENGI WANAZIOKOA NAFSI ZAO LAKINI WANAZIANGAMIZA KWA MUNGU!!! ( MAANDIKO MATAKATIFU YANASEMA HIVI: ATAKAYE IOKOA NAFSI YAKE ATAIANGAMIZA) NI KTK ENEO KAMA HILI, SOTE TUNAIPIGIA KELELE SANA KATIBA HII KUWA IMEMPA RAIS MAMLAKA MAKUBWA (KIASI CHA KUMFANYA KUWA DIKTETA YAANI KUWA JUU YA SHERIA/KATIBA) RAIS ANA UWEZO WA KUFANYA CHOCHOTE NA HAYUPO WA KUMZUIA, HILO LINAWAANGAMIZA WATUMISHI WA MUNGU WENGI HAWAKO TAYARI KUANGAMIZA NAFSI ZAO NA KUPOTEZA MASLAHI YAO YAANI MAKANISA YAO KUFUNGIWA!!! KWA HIYO WANAOGOPA KUIKEMEA SERIKALI KWA UFISADI WOWOTE, ONA HUYU ANAVYO KWEPA KUJIBU KWA USAHIHI!! ( UCHAWA UNANUKIA HAPO)!!! Taifa lina wakati mgumu sana!!!!
@AlexMlabaАй бұрын
Tunahukumu serikali kuhusika na utekaji na mauaji kwasababu kunawatu wamepigiwa simu wanatekwa na mwingine amenusulika kufa na akataja sehemu alipelekwa na amemtaja MTU aliyemwona alipotekwa lakini tunaambiwa watu wasiojulikana
@christinenyagiro6662Ай бұрын
Kwahiyo Kibao alikuwa amekosa nini tena yuko katika bus polisi wanamushusha na kesho yake alikutwa amekufa. Kwahiyo wewe mchungaji Kwahiyo wewe unaona wapotee tu? Kwahiyo wewe ndiyo unahusika kuwateka basi
@bcozhenry2698Ай бұрын
Mtumishi mwoga anajifanya hajui
@musa-v3fАй бұрын
mchungaji Mgaya inawezekana kbs ni mchungaji wa mshahara ukiwa mchungaji hutakiwi kuwa mwoga kukemea dhambi/maovu ikiwemo utekaji na mauaji. wachungaji wa Tanzania kazi yao ni kukemea ulevi na umalaya tu huwezi kuwakisia hata siku moja wakikemea ufisadi uliyojaa serikalini, utekaji na mauaji
@NixonJohnson-zn8nkАй бұрын
Wewe huna speech direct in Asia sua subiri hukumu yako kwa mungu huna point
@DominickDebolahАй бұрын
Hayati Rais mwinyi alipigwa na kijan na aliamulu aachiwe jukwaan pindi akitoa nathaah ya uzazi wa mpango
@BahatiRamadhani-i8fАй бұрын
Chawa hyu
@charlesshitobelo6870Ай бұрын
Wewe Mchungaji ni li chawa tu.
@gowekogoweko5803Ай бұрын
MH😮😮😮😮😮
@FADHILIMBUBAАй бұрын
Huyu mch hajui Yesu alimwambia mfalme Herode kuwa ni mbweha ilikuwepo sababu ya kumuita hivyo
@spiritualrevivaltv4973Ай бұрын
Naomba andiko
@eliezaisaacmwanjabeki9714Ай бұрын
sorry
@mxfsedtirzАй бұрын
Shule hazijengwi na chama zinajengwa kwa pesa ya kodi za wananchi.
@spiritualrevivaltv4973Ай бұрын
Shule za WAZAZI CCM, ZA WAKATOLIKI, KKKT, MORAVIAN, SABATO, Je mashule na hospitali zao zimejengwa kwa kodi zako, vipi kuhusu private sectors
@Yomiyomi6897Ай бұрын
Huyu ni MPUMBAVU KABISA KABISA. Watu wanakufa, unaogopa mamlaka. Eti HUKEMEI. Anatumia Maandiko vibaya kabisa. Hana lolite la Mungu. PUMBAFU KABISA. Huyu ni mchungaji. Wala msimsikilize. Hafai. Boga tupuuu.