Mch: Daniel Mgogo - Nyumba nzuri lakini mwenye nayo

  Рет қаралды 786,798

Uhai Online Tv

Uhai Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 419
@user-he8wg5vf7f
@user-he8wg5vf7f 6 ай бұрын
Nakupenda kupita kiasi jamani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Mungu akupe maisha marefu🙏🙏🙏🙏
@daughterofthemoon7413
@daughterofthemoon7413 3 жыл бұрын
Haki huyu mchungaji mi hunibamba saana😂😂😂😂😂😂.much Love mchungaji 💪💪
@johannes4127
@johannes4127 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana
@janetemba2844
@janetemba2844 4 жыл бұрын
Akili ya MUNGU haichunguziki, kila kitu alikiweka kwa makusudi yake, Nabarikiwa sana na mahubiri yako Pastor.
@euphemiaoyori606
@euphemiaoyori606 4 жыл бұрын
The first pastor in the whole world who preaches the truth
@fabianndimanya2055
@fabianndimanya2055 3 жыл бұрын
Exactly
@lazarodulle8498
@lazarodulle8498 2 жыл бұрын
Nakukubali Sana na balikiwa Sana ninaposikia mahubili yako nadhani kabisa lako ni ukweli njia uhakika
@athumaninyagali8582
@athumaninyagali8582 Жыл бұрын
ubarikiwe sana mchungajii
@monicaisaya6143
@monicaisaya6143 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 mtumishi Mungu akulinde Amina kubwa nabalikiwa Sana iseee sindano zinatuingia🙏🙏🙏
@KalengeClement-sk7in
@KalengeClement-sk7in Жыл бұрын
❤❤❤ ubarikiwe kwautele mutumishi wa bwana
@agneshassan4712
@agneshassan4712 3 жыл бұрын
Mgogo wanipa raha sana mahubiri yako
@barakamollel992
@barakamollel992 2 жыл бұрын
Mungu Ana makusudi na kila kiungo
@johnouma5781
@johnouma5781 5 жыл бұрын
Ubarikkwe sana mchungaji Mkenya aliye Uarabuni nabarikkwa sana...napenda sana mafunzo yako
@neemajosephati8403
@neemajosephati8403 5 жыл бұрын
Naomba namba yako ndg
@johnouma5781
@johnouma5781 5 жыл бұрын
Nitafute Facebook,,siezi peana number yangu hapa ni public,,tafuta Oyoko John facebook.
@wardawarda3427
@wardawarda3427 5 жыл бұрын
Mchungaji umenishinda tabia neno lako ni upanga ukatao kuwili barikiwa na Mungu.
@estherwilliam5125
@estherwilliam5125 4 жыл бұрын
Warda Warda NENO lake?, la Mungu
@joachimujohn2247
@joachimujohn2247 2 жыл бұрын
Barikiwa
@marystella1662
@marystella1662 4 жыл бұрын
A true man of God watching from Kenya God bless you.
@JuniorGaddafi3978
@JuniorGaddafi3978 4 жыл бұрын
Tupo pamoja
@cleahmsavi9982
@cleahmsavi9982 4 жыл бұрын
Mm pia
@davisfungo4481
@davisfungo4481 4 жыл бұрын
HALELUYAAAAAA.............MUNGU AKUBARIKI....
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
mchungaji wewe si mchezo,MUNGU Kaweka vipaji kwa baadhi ya watumishi, DANIEL NI MMOJA WAPO,,,,,,,big up father GOD
@kid_daniel5381
@kid_daniel5381 4 жыл бұрын
Haki huyu mchungaji anifurahishaga afu ananielimisha hapo ,naamini waumini hawachoki ibada ubarikiwe mzee Baba
@danfordmartin1817
@danfordmartin1817 3 жыл бұрын
Tumshukulu mungu kutuletea mchungaji anaeelimisha jamii bila kujari dini zao ubarikiwe sana
@sidemathias1700
@sidemathias1700 5 жыл бұрын
Mchungaji nakupenda sana aiseee unanikosha sana mm mwisilam lakin unaniflaisha mno napenda sana stailiyako yakuhubili ubalikiwe sana mgogo mtani wang
@akhiikassimallimakame8657
@akhiikassimallimakame8657 5 жыл бұрын
Side Mathias
@felicianluvanda9672
@felicianluvanda9672 5 жыл бұрын
Wote niwa Mungu mmoja tunatofautiana tu mavazi
@nguombagalalang3jfashioncl150
@nguombagalalang3jfashioncl150 4 жыл бұрын
Ndiyo wotee ni kitu kimoja
@anasiamacha2543
@anasiamacha2543 4 жыл бұрын
Felician Luvanda Hahhahahh
@irenemassawe7291
@irenemassawe7291 4 жыл бұрын
Mchungaj mungu akutunze milele 🙏
@danielorango5875
@danielorango5875 5 жыл бұрын
Mchungaji Mgogo. Ujumbe wa kusawazisha wanadamu wote. Nimebarikiwa mno baba Mchungaji.
@esterbarinaba5891
@esterbarinaba5891 5 жыл бұрын
Mungu ni wezeshe niwaone wenzangu Ni watu wako Bora kuniliko Asante mchungaji
@kuyanjulius3978
@kuyanjulius3978 4 жыл бұрын
Mch, Baba tunakuelewa vizuri Sana, Mungu akuongeze,
@masigomhoja5182
@masigomhoja5182 5 жыл бұрын
dah huyu analihubili taifa na sio kanisa lake tu hakika huyu kaletwa na mungu atusaidie
@roinajohnson9788
@roinajohnson9788 5 жыл бұрын
Kabisaa yaani mahubili yke mi nayaita no stress yaan unatoa mawazo
@mbaembae7789
@mbaembae7789 4 жыл бұрын
Ukweli mtupu Kenya twapenda mgogo sana
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 3 жыл бұрын
Ni kweli. Ila neno Mungu tuanze na herufi kubwa
@amankajuna5064
@amankajuna5064 5 жыл бұрын
Ninabarikiwa sana na ujumbe anaoutuma Mungu wetu kupitia kinywa chako Baba Mchungaji
@lydiamwaniki1572
@lydiamwaniki1572 Жыл бұрын
Mchungaji you say as it is much love here in Kenya
@byamungujeanvie9514
@byamungujeanvie9514 2 жыл бұрын
Mungu akubaliki kwamaonyi yenu
@shaymohd6547
@shaymohd6547 2 жыл бұрын
Hakika na kweli pastor asante sana
@danieljohn3836
@danieljohn3836 5 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana kwa mtumishi wa ukweli
@felicianluvanda9672
@felicianluvanda9672 5 жыл бұрын
Huyu mchungaji hakika kaletwa na Mungu ....lengo nikuokoa dunia hii na hasa Tanzania nampenda sana Mgogo yupo kuponya watu waaina zote...... ...
@majidswalehe3854
@majidswalehe3854 3 жыл бұрын
Asantee baba Sema tupone
@japhetkenga6861
@japhetkenga6861 4 жыл бұрын
malindi twakungoja pastor
@tinamsengi570
@tinamsengi570 3 жыл бұрын
Waooo nnakukubali mtumishi
@ramadhankijana9442
@ramadhankijana9442 3 жыл бұрын
Yaani mafunzo yako huwa nayapenda sana
@rosestephano7657
@rosestephano7657 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mchungaji
@christineamukoye9969
@christineamukoye9969 5 жыл бұрын
AMEEEEEN jina labwana liimidiwe na penda mahubiri yako sana baba mchungaji Daniel Mgogo
@mwipagiesthermalemi4469
@mwipagiesthermalemi4469 5 жыл бұрын
Ameen mgogo tupa mawe
@edghamoses6189
@edghamoses6189 4 жыл бұрын
Ahsant mch. Naomb mawasiliano yako nahitaj kuonan na wew nin tatz
@stevenmajoge4644
@stevenmajoge4644 5 жыл бұрын
Mchungaji nakupendaga,sanaaa tunaomba ufungue taw mwanza
@thobiasmboje1506
@thobiasmboje1506 4 жыл бұрын
Mgogo barikiwa sana Mungu awe pamoja na wewe unahubiri ukweli mtupu huna upendeleo wa kumlea mtu hawa ndo wahubiri wanaotakiwa mbele za Mungu ni kuomba na kusali ili kupambana na majaribu mda wote Mungu Mkuu
@jayrosbajungu7954
@jayrosbajungu7954 4 жыл бұрын
Naipenda injili ya matumishi
@lumumbagustave5282
@lumumbagustave5282 4 жыл бұрын
Rwanda tunakuelewa Mgogo
@veeJesus
@veeJesus 4 жыл бұрын
Salimia Rwanda
@frankongete9396
@frankongete9396 5 жыл бұрын
I like your real and true Gospel in this Generation of watapeli!
@anasiamacha2543
@anasiamacha2543 4 жыл бұрын
frank ongete Yaani daah
@elizabethmussa3111
@elizabethmussa3111 3 жыл бұрын
H
@ceciliamusembi7226
@ceciliamusembi7226 4 жыл бұрын
Mtumishi uinuliwe na Mungu,kuubiri kwako baraka nyingi kwangu,BwanaYesu aonaye Kwa siri Akubariki
@emabreefraim9141
@emabreefraim9141 5 жыл бұрын
Amina!.Mungu atuwezeshe atuokoe na hili pungufu.
@ndayisengatheoneste5898
@ndayisengatheoneste5898 2 жыл бұрын
Pastor Daniel i love your teaching very much even I don't understand very much swahili but the little i understand it bless me much.ilove you and i pray for you. God bless you.
@emmanuelmuthui3081
@emmanuelmuthui3081 5 жыл бұрын
Muchungaji you are the best. Much love from Kitui East, Kenya. Barikiwa.
@hadijaomary7982
@hadijaomary7982 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji
@fabianndimanya2055
@fabianndimanya2055 3 жыл бұрын
Ana muunda kuku kweny sahani🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jaman pastor nakupenda mnooo
@ezraemuria7397
@ezraemuria7397 4 жыл бұрын
This is the true man of God
@erickurio6637
@erickurio6637 3 жыл бұрын
Sina Cha kusema ila mungu akubariki
@happymwinami3287
@happymwinami3287 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mahubili yako mchungaji wangu kweli mungu atuwezeshe
@chotandege7926
@chotandege7926 4 жыл бұрын
Hata mungu anamsahau
@t7zkc5tpxgim28
@t7zkc5tpxgim28 5 жыл бұрын
Amen, Mungu akubariki sana pastor
@angelamukami2511
@angelamukami2511 4 жыл бұрын
Kweli kabisa mchungaji Naomba uje kwetu kanisa ulete huo ujube full gospel church of Kenya joska ,karibu sana kwetu
@drrobertkibagendi5556
@drrobertkibagendi5556 2 жыл бұрын
From Kenya,Dr Robert,am practically touched
@ngunochugga8761
@ngunochugga8761 5 жыл бұрын
Ukweli Mwanadamu ni kiumbe mbinafsi sana. Yaani hata mkipiga picha ya pamoja, cha kwanza ni kujiangalia mwenyewe kama upo na ndo uwaangalie wenzako.....
@kijiwenikijiweni9118
@kijiwenikijiweni9118 5 жыл бұрын
Nakuelewa sana pastar piga injili namabomu lipua mm nakupenda sanaa
@maidamatinya4905
@maidamatinya4905 5 жыл бұрын
Hicho ni kipaji cha pekee babaangu! Kitumie Mungu amekupa!
@ndenitoriakimaro9631
@ndenitoriakimaro9631 5 жыл бұрын
AMEN baliķiwa mno Baba
@margaretshiru4590
@margaretshiru4590 4 жыл бұрын
AMINA AMINA AMINA AMINA AMINA AMINA AMINA
@maryalphonce7653
@maryalphonce7653 4 жыл бұрын
Mungu akutunze
@elishasemhomba324
@elishasemhomba324 5 жыл бұрын
Mungu akubariki na mahubili yako.
@albertludago7374
@albertludago7374 5 жыл бұрын
Mungu akibark sana mtumishi wa Mungu naipenda sana injili yako unasema kweli
@simonmwakyusa7715
@simonmwakyusa7715 3 жыл бұрын
Mungu awe nawe daima najifunza mengi kutoka kwako
@deborasantonia3452
@deborasantonia3452 3 жыл бұрын
Asante Sana mtumishi wa mungu yaani unatusaidia Sana mungu akuongezee uishi miaka mingi
@willingtonejohn1929
@willingtonejohn1929 5 жыл бұрын
Mchungaji umenifanya nicheke,,,et kilicho kufanya kusoma ni kuongopa kulima....
@osman19681leje
@osman19681leje 4 жыл бұрын
Mmmm kusoma ni kuogopa kulima.....!!!🙄
@ruthnyaudo5034
@ruthnyaudo5034 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 nakuambia nimecheka yangu yote, that part imenimaliza kabisa
@jeniphamkada258
@jeniphamkada258 4 жыл бұрын
Nakupenda sana mchungaji mungu akulinde mana mafundisho yako yananifanya niwe furaha mda wote ubarikiwe sana
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 5 жыл бұрын
Kwa kweli hata wazungu Matajiri wanakula kwa mahesabu mno ili wasizidishe Karolis mwilini,ila tunaovipata kwa shida ndo tunataka vingi saana kupita kiasi
@GidionEmamuel
@GidionEmamuel 5 жыл бұрын
Mchungaj wwewe n mtumish wa mung halali man unahubiri sana na unatia maneno ya kwak n ya mung big up like kam umependa
@nicolauskaaya2890
@nicolauskaaya2890 5 жыл бұрын
amina
@jastinetv7679
@jastinetv7679 5 жыл бұрын
Amen! Ubarikiwe sana Mchungaji.
@lilianzishwapaul1557
@lilianzishwapaul1557 5 жыл бұрын
Safi sana mchungaji waambie,, all of you the same... God bless you👏👏👏👏
@oprahwilliam7639
@oprahwilliam7639 4 жыл бұрын
👏👏👏👏
@nicholaskhainza4802
@nicholaskhainza4802 5 жыл бұрын
Huo ni ukweli mchungu mchungaji.Barikiwa.
@siateshanapokebaba3757
@siateshanapokebaba3757 4 жыл бұрын
Mtumishi unazid kunifurahisha
@fransicochunji327
@fransicochunji327 4 жыл бұрын
Amen. Mungu akubariki sana
@emiliankomba8550
@emiliankomba8550 5 жыл бұрын
Barikiwa sna mchungaji
@kuyanjulius3978
@kuyanjulius3978 4 жыл бұрын
Baba mchungaji, tunaomba somo la ndoa hasa wake zetu Baba mchungaji tunaomba.
@katiilight1517
@katiilight1517 5 жыл бұрын
Mungu niokoe na hili pungufu
@hobokelanyaluke6071
@hobokelanyaluke6071 4 жыл бұрын
Mafundisho yako nayapenda sana
@mpollrose5446
@mpollrose5446 5 жыл бұрын
ubarikiwe sana baba kwaujumbe mzur tumebarikiwa
@augustinondabeda7730
@augustinondabeda7730 5 жыл бұрын
very fantastic messages pastor my Almighty God may lift you highest
@robartalembe9909
@robartalembe9909 5 жыл бұрын
Nimejifunza kitu barikiwa sana Mtumishi
@andrewmajita6437
@andrewmajita6437 5 жыл бұрын
Asante baba mchungaji neno limepenya
@jacobezekielhoya1626
@jacobezekielhoya1626 4 жыл бұрын
Sema tupone baba yangu,,,,,wewe ndo kiboko ya wachungaji matepeli na manabii wa uongo.
@karimally3960
@karimally3960 4 жыл бұрын
Wote jola moja tofauti mxhonooooo
@jeremiarogathe3916
@jeremiarogathe3916 5 жыл бұрын
Angalia pakua yake amina mtumishi
@gracekim2481
@gracekim2481 3 жыл бұрын
True gospel Many years ahead of you Man of God.
@dianakibunyi
@dianakibunyi 4 жыл бұрын
Pastor Mungu akubariki,nimecheka sana
@blandymassawe2850
@blandymassawe2850 5 жыл бұрын
Ety upate kansa pastor barikiwa sana
@tabithawambui3904
@tabithawambui3904 4 жыл бұрын
Pastor nakupenda bure.
@arexmerck2324
@arexmerck2324 4 жыл бұрын
Yani we mchungaji nakupenda sana eti mtu anaunda kuku kwenye sahani 😂😂😂😂😂😂
@fabianndimanya2055
@fabianndimanya2055 3 жыл бұрын
Nmecheka mno leo🤣🤣🤣🤣
@lukamwakosya6676
@lukamwakosya6676 5 жыл бұрын
Hahahaha....ameeen.nabarikiwa sana mtumishi kwa maubiri yako
@miriamwaithera2742
@miriamwaithera2742 4 жыл бұрын
Kweli kabisa pastor napenda vile unaongea dhahiri
@clementinespertoniyitegeka6820
@clementinespertoniyitegeka6820 4 жыл бұрын
Jamani lewo, nimesahau kufanya homewark yangu 😂😂😄👌you have med my evinig super
@rehemamkanda5652
@rehemamkanda5652 4 жыл бұрын
Amen
@eliaspetro4341
@eliaspetro4341 3 жыл бұрын
Nakubal
@siateshanapokebaba3757
@siateshanapokebaba3757 4 жыл бұрын
Mtumish barkiwa sana
@lydiahann1737
@lydiahann1737 5 жыл бұрын
Napenda naninafuatilia mafundisho yako huwa yanifariji barikiwa sana
@erikaingabire2676
@erikaingabire2676 4 жыл бұрын
Hahahahaaa wanapanda Na Yooo Na kushukanayooo 😂😂😂 Barikiwaga sana Muchungaji najifunza mengi kupitia mafundisho yako
@ibrahimdickson9749
@ibrahimdickson9749 5 жыл бұрын
Nimefurahi sana barikiwa sana
@floreemichael2815
@floreemichael2815 4 жыл бұрын
I wish tugekuwa na wahubiri kama hawa, hapa kenya
@ikipkoechk
@ikipkoechk 4 жыл бұрын
utawala number 33 or 34 ni Kenya
@emmakulatamulongo6704
@emmakulatamulongo6704 4 жыл бұрын
Your the best paster god bless you very much I like your gospel.
@selinamfinanga91
@selinamfinanga91 3 жыл бұрын
Wakawaida sanaaaaaaanaaa
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 4 жыл бұрын
Mimi niMwislamuuu sipokabisaaaa upandewakeee lakiniii mahubiriii yanagusa
@solomonnyaholoti4340
@solomonnyaholoti4340 3 жыл бұрын
Yaan kuna watu mnachekeshaga kwa hyo kuwa muislam ndo nn
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
@@solomonnyaholoti4340 Mimi sijuwi ndio nini wala sitaki kujuwa ndio nini lakini dua ninayomuomba Mungu kila wakati ni kunifisha (kufa) nikiwa Muislamu. Ni hasara kubwa kufa na Imani isiyokuwa ya Kiislam.
@mirianeyohana148
@mirianeyohana148 5 жыл бұрын
Amen mchungaji wetuu
@sylvestermhojaaron9659
@sylvestermhojaaron9659 4 жыл бұрын
YESU akupe neema zaidi ya hiyo
@stevenkipara9310
@stevenkipara9310 5 жыл бұрын
Duuu...Mungu akubariki Mchungaji!Yani usipoona raha kwa Yesu basi umerogwa kwa namna hii 😁
@denisokumu.blondy6821
@denisokumu.blondy6821 5 жыл бұрын
Hehe
@pensevnyos3845
@pensevnyos3845 5 жыл бұрын
Mimi Kama mkenya pia nafurahia hata nikiwa nje ya nchi Mungu akubariki sana
@gracealexander5309
@gracealexander5309 5 жыл бұрын
Ameeeeen Ameeeen Barikiwa sana Baba mchungaji
Mch: Daniel Mgogo -Waliokwenda shule wakaiacha shule shuleni
15:39
Uhai Online Tv
Рет қаралды 682 М.
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 47 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,3 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 16 МЛН
MCH.DANIEL MGOGO-KUANZIA KIATU MPAKA NYWELE NI UZINZI MTUPU!!
27:22
Uhai Online Tv
Рет қаралды 108 М.
Mch:Daniel Mgogo:Malezi ya nyanyanyanya Vs Malezi ya kijeshijeshi
15:01
Mch Daniel Mgogo - Madhara ya Dhambi Evening Glory 11th July 2018
1:01:46
Africha Entertainment
Рет қаралды 19 М.
Mch: Daniel Mgogo-Utafumaniwa pasipo kujua
14:49
Uhai Online Tv
Рет қаралды 187 М.
NGUVU YA UMOJA KATIKA FAMILIA SEHEMU YA TANO -  PASTOR DANIEL MGOGO
57:15
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 328 М.
MWANAMKE ULIKUWA UNANUKIA SUFURIA HALAFU LEO UNAMDHARAU MUMEO”PASTOR MGOGO
21:22