Mch:Daniel Mgogo-Wanaume tuna wivu orginal

  Рет қаралды 520,408

Uhai Online Tv

Uhai Online Tv

5 жыл бұрын

Пікірлер: 322
@paulwspanga1479
@paulwspanga1479 4 жыл бұрын
Mchngaji mungu akupe maisha marefu ili kutuelimisha siku zote
@abuuashyam8417
@abuuashyam8417 4 жыл бұрын
Na allah ampe nuru ya uislam ajekwetu uislamuni
@godloveadamu4379
@godloveadamu4379 4 жыл бұрын
Nimeamini alicho kisema bwana Yesu,kuwa mtawatambua Kwa matendo yako,hakika we we uko upande Wa Yesu,Baba Mungu akubariki sana,maana kupitia kinywa chako roho za Mungu zipo kuponywa.Bwana YESU akubariki sana uendelee kuponya nafsi zetu.
@kusekwasita1576
@kusekwasita1576 4 жыл бұрын
Huyu jamaa sijawahi kumsikia akihubiri mafanikio mengimengi
@elihurumasaruni9437
@elihurumasaruni9437 Жыл бұрын
Mch unabarukiwa kwa sababu unasema ukweli mungu akubariki Sana mtu was mungu
@agnesmunai1576
@agnesmunai1576 2 жыл бұрын
Am watching from +33 merci beacoup incretable. following daily it's aroutine kwangu so much blessed
@maggyirene110
@maggyirene110 5 жыл бұрын
Hiyo doze imenitosha.. Asante Mtumishi. BARIKIWA ushangae.
@ineskilamwai453
@ineskilamwai453 4 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi ⛪✋ Mungu azidi kukupandisha viwango vingue👏👏
@jacksonabdy1118
@jacksonabdy1118 3 жыл бұрын
Huyu mchungaji namwelewa kweli Big up Danieli mgogo
@alvinroyal7127
@alvinroyal7127 3 жыл бұрын
Ahsante mchungaji kwa mafunzo mazuri kabisaa Ubarikiwe
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 4 жыл бұрын
Mungu akulinde Mheshimiwa Mchungaj Daniel
@priscadaniel4964
@priscadaniel4964 4 жыл бұрын
Me hapa sielewu jaman ila Asante mtumishi kwa sababu unainua iman yngu MUNGU anipe wa kuendana naye
@dancanchacha5767
@dancanchacha5767 4 жыл бұрын
pongezi mchungaji kwa ukweli mweupe nayapenda mafunzo yako xan barikiwa
@dieudonnejohnson5200
@dieudonnejohnson5200 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji 🙌🙌🙌
@kisiriryoba710
@kisiriryoba710 5 жыл бұрын
Nakupenda sana mtumishi kwa sababu wewe hautuogopi waumini unatupa za uso moja kwa moja.
@denischristian7469
@denischristian7469 4 жыл бұрын
Pasta umebarkiwa kwa karama ya kusema ukwer iri tupone
@ishaisha8406
@ishaisha8406 4 жыл бұрын
Kiukweli unatulenga sana mahubiri yako pia unabadilisha watu mungu ibariki kazi ya danie mgogo
@bernardomondi2632
@bernardomondi2632 4 жыл бұрын
AMEEN asante Mtumishi wa Mungu na kakangu Mwenyezi Mungu atuonekaniye na pia kwa mafunzo mema
@makekemgeyekwa9220
@makekemgeyekwa9220 3 жыл бұрын
Barikiwa
@mercyemma9770
@mercyemma9770 4 жыл бұрын
Amen mafundisho yako yananibariki na kuziponya ndoa zetu mafundisho ya ndoa WA mama tunateseka sana mungu WA mbinguni akubariki
@mercyemma9770
@mercyemma9770 4 жыл бұрын
Mama Godwin simanjiro
@timothybijondo2937
@timothybijondo2937 4 жыл бұрын
asante kwa mafundisho natamani ungekuja kwa church yetu uwafunze watu
@norbertpaul2620
@norbertpaul2620 4 жыл бұрын
nabarikiwa Sana kwa mafundisho yako mchngaji.
@raelndeda4960
@raelndeda4960 4 жыл бұрын
Amen and amen postor, mafunzo mazuri zaidi
@alicemalombo6813
@alicemalombo6813 Жыл бұрын
😂😂😂 pastor God..bless...you..tumefundishika....🙏🙏🙏
@danielmwangos4528
@danielmwangos4528 3 жыл бұрын
Umenigusa mtumishi japo sijaingia kwa ndoa ila hongera sana Mungu akupe neema yakuzidi kutupa ufahamu
@jastintweve8073
@jastintweve8073 4 жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji mgogo sema sana manaume wapone.
@nzinzangwinula363
@nzinzangwinula363 4 жыл бұрын
Kabisa baba ubarikiwe mtumishi
@hamischares3390
@hamischares3390 3 жыл бұрын
Mchungajo mahubiliuako mazulisana natamani ungelikuwa kahama Daa
@millicentamwayi4607
@millicentamwayi4607 4 жыл бұрын
Pastor hapo umesaidia Ndoa yangu Sana umefanya mumme wangu ameanza kula🙏😆🥰
@patrickngeni4050
@patrickngeni4050 3 жыл бұрын
Hahahaaa
@ziporahernest2017
@ziporahernest2017 3 жыл бұрын
Amen
@casmirpeter1293
@casmirpeter1293 3 жыл бұрын
Safi sana
@risperindakwa7378
@risperindakwa7378 3 жыл бұрын
Napenda mahubiri yako sana mtumishi. Barikiwa kwa neno la kuiinua roho za wengi. Amen
@risperindakwa7378
@risperindakwa7378 3 жыл бұрын
Kenya tunakusikiliza na tunapenda mahubiri yako sana
@evawayesu5865
@evawayesu5865 4 жыл бұрын
Amen amen 🙏 Mungu akubaliki sana Mchungaji Asante sana 🙏🙏🙏👍👍👍
@ngooaggie8471
@ngooaggie8471 4 жыл бұрын
Kweli mchungaji, ubarike sana kwa doze
@stephenkagwi619
@stephenkagwi619 4 жыл бұрын
umenijenga sana iyo tabia nitarekepisha may lord be with you in the evengalism
@meryoscar6699
@meryoscar6699 4 жыл бұрын
nabarkiwa sana na mafundisho yako mtumishi mngu akupe maisha maref uenderee kutuponya?
@cristinageje8801
@cristinageje8801 3 жыл бұрын
Kweli baba ubarikiwe najifunza mengi
@huldakitururu3985
@huldakitururu3985 4 жыл бұрын
Unaponya wengi mungu amekuinua makusudi kabisaaa Barikiwa sanaaa katika jina la Yesu
@samwelmadaraka1521
@samwelmadaraka1521 5 жыл бұрын
Kweli nimepona dozo imeniingia natamani siku moja uje huku mwanza wilaya ya magu kata ya nyanguge tupone wengi
@salamafulu2185
@salamafulu2185 4 жыл бұрын
Kwel kabisa aje tu tupone wengi mkoan kwetu
@lusiiddi6514
@lusiiddi6514 3 жыл бұрын
Imefika mahali pake ubarikiwe mtumishi was Mungu
@michaelsimba7807
@michaelsimba7807 3 жыл бұрын
Mchungagi mungu aendelee kuku linda hudumayako imenifikia asante
@vailethwiliamu6867
@vailethwiliamu6867 3 жыл бұрын
Kweli mchungaji mungu akupe maisha marefu nakupenda bureee
@abrahamabuutena517
@abrahamabuutena517 4 жыл бұрын
Waaa,,nimekuwa hapo but thanks for that message
@anitharichard4892
@anitharichard4892 3 жыл бұрын
Hahahahaha wezi Wa vitabu shuleni tujuane mungu anisamehe bule
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 3 жыл бұрын
Nipo hapa hahahahahaha😁😁😁
@gracegesare5313
@gracegesare5313 4 жыл бұрын
Kweli pastor .volume iko sawa
@lucyzakaria4258
@lucyzakaria4258 4 жыл бұрын
Barikiwa sanaa mtumishi ujumbe wako utaponya wengi baba
@nemaalq7534
@nemaalq7534 4 жыл бұрын
Asante sana mchungaji mungu akubariki unatuponya kwa mafundisho yako yanatujenga na kutuinua
@sheilahkibadu8004
@sheilahkibadu8004 3 жыл бұрын
Amina asifiwe Mungu nice message
@magerthmage3278
@magerthmage3278 4 жыл бұрын
Sema Baba pindua meza za mioyo yetu km Yesu alivyopindua meza hekaluni.
@quinterpatrick9581
@quinterpatrick9581 4 жыл бұрын
Nnabarikiwa sana na mahubiri Mungu akubariki mtumishi
@basilsamuel4221
@basilsamuel4221 3 жыл бұрын
Mchungaji mungu akuweke tuzidi pokea baraka
@gladysnyachae8816
@gladysnyachae8816 3 жыл бұрын
Nione maji mjungaji ndio tuendelee umenitoa mbali mtumshi balikiwa kutoka kenya lakin nakupata nikiwa Dubai balikiwa sana
@benjavanjr9230
@benjavanjr9230 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana hili somo. Mungu ni mwema
@michaelsimba7807
@michaelsimba7807 3 жыл бұрын
Umebalikiwa kama mimi 🙏🙏🙏🙏
@johnjoel8305
@johnjoel8305 5 жыл бұрын
Kina wakati unaona Ameen zinapungukua kea kweli neno linachoma
@naomyreuben8473
@naomyreuben8473 4 жыл бұрын
Kuna familia mtumishi utazingusa sana
@linuspeason9853
@linuspeason9853 3 жыл бұрын
Big up mtumish somooo nzur katk maishaa ya leo
@anitharichard4892
@anitharichard4892 3 жыл бұрын
Hahahahaha aya baba ubarikiwe hata sisi vijana tumejifunza baba
@alembimoses2533
@alembimoses2533 3 жыл бұрын
Wonderful inspiration thank you for putting me in garage of life
@irenefuraha7343
@irenefuraha7343 3 жыл бұрын
Mimi nakufaliya sana sababu ninahamu ya neno la Mungu
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 4 жыл бұрын
Kama msingi haukuwa sahihi/mzuri usitegemee kupata nyumba imara kweli 2mrejee Mungu.
@belindagiliard8977
@belindagiliard8977 5 жыл бұрын
Kuna wanaume wana gubu jamani. Dawa ni kuwapotezea
@TheSalma1999
@TheSalma1999 4 жыл бұрын
Belinda Giliard ndio
@cpasalma1532
@cpasalma1532 4 жыл бұрын
Umenena vyema
@zahramunir8596
@zahramunir8596 4 жыл бұрын
True
@hildajoshua2906
@hildajoshua2906 3 жыл бұрын
Amen Amen Amen Tulibarikiwa sana kwenye semina patandi Arusha Barikiwa sana
@estherizabell6386
@estherizabell6386 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@lucyjoachim8622
@lucyjoachim8622 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi 🙏🙏🙏
@manyarawilson2105
@manyarawilson2105 3 жыл бұрын
Thanks Rev.Mugogo...enyewe nati lazima zikazwe.....marekebisho kiasi kwa mpiga camera...mwambie aizungushe hadi kwenye umati...asante!
@judithkabyazi1471
@judithkabyazi1471 5 жыл бұрын
BWANA AKUBARIKI MTUMISHI KARIBU KARAGWE,,_KAGERA
@paskomagege5906
@paskomagege5906 5 жыл бұрын
Mungu akubarik sana nimejifunza kitu
@edwardogola8431
@edwardogola8431 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa mafundisho yako yatubalisha sana
@adelynemizengo1514
@adelynemizengo1514 5 жыл бұрын
Ahsante sana baba ubarikiwe mtumishi
@patrickmbogo7805
@patrickmbogo7805 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi kwa darasa lako zuri
@ngaizajovenary7162
@ngaizajovenary7162 4 жыл бұрын
Duuuh sichoki baba kukusikiliza bless you
@jmsangi8311
@jmsangi8311 4 жыл бұрын
Kwel mtumishi mm mwenye namkaushiaga akizingua
@WaitheraChomba
@WaitheraChomba 4 жыл бұрын
Pastor may GOD bless u in Jesus name
@selestinakitura4077
@selestinakitura4077 4 жыл бұрын
Upo sahihi mtumishi wa mung
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Ubarikiwe in Jesus name.
@danieljohn3836
@danieljohn3836 5 жыл бұрын
Mungu akusaidie mchungaji
@aigoo3163
@aigoo3163 3 жыл бұрын
I love ur teachings u ar real blessed jamani
@deogratiusminja8427
@deogratiusminja8427 3 жыл бұрын
Ubarikiwe katika kufanya huduma yako Mtumishi Mgogo. Mungu akutangulie katika kuwafungua watu.
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 3 жыл бұрын
UBARIKIWE PASTOR KWA MAFUNZO MEMA.
@japhetedgar2228
@japhetedgar2228 4 жыл бұрын
Asante mchungaji umenihamisha kituo
@naomiraphael4830
@naomiraphael4830 5 жыл бұрын
Kweli mtumishi tunakusikiliza mtandaoni
@magerthmage3278
@magerthmage3278 4 жыл бұрын
Sema na wanaume Baba ili wapone.
@violetandia2376
@violetandia2376 3 жыл бұрын
Amen 🙏 pastor
@azizatatu1677
@azizatatu1677 4 жыл бұрын
Amen amen 🙏 mungu akubariki
@festowalinda8352
@festowalinda8352 4 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana
@samsalum2509
@samsalum2509 4 жыл бұрын
Daaah nam ujinga umenitoka Jana nilisusa kulaa ubwabwa nikalala na njaa
@gullaalex6590
@gullaalex6590 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@veeJesus
@veeJesus 4 жыл бұрын
😂😂😂
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 5 жыл бұрын
Hilo ni kweli asilimia 100
@evalineemmanuel8178
@evalineemmanuel8178 3 жыл бұрын
kabisa pasta wanaume baadhi yn wanazira hd kula huo mzigo ninao pasta kusamei hawez jmbo linakumbukwa miaka nenda rud
@neemamassawe4484
@neemamassawe4484 4 жыл бұрын
Barikiw baba nilikuw na stress zimeisha
@silibetjoseph8469
@silibetjoseph8469 4 жыл бұрын
Sema wenye ndoa wapone
@patrickmusyoka3544
@patrickmusyoka3544 4 жыл бұрын
Ameen mtumishi wa mungu barikiwa Sana tena Sana
@solomonkongoa2786
@solomonkongoa2786 5 жыл бұрын
Nakweli ujinga umenitoka, nabarikiwa mchungaji
@mlokayasinta6352
@mlokayasinta6352 5 жыл бұрын
😀😀😀
@rosemarycharles481
@rosemarycharles481 4 жыл бұрын
Munguakubark
@alisaalis9218
@alisaalis9218 4 жыл бұрын
Aki pastor una mafundisho mazuri sna,,be blsd sir
@charityurio9060
@charityurio9060 4 жыл бұрын
Ame sir gob blesd pastor
@dottostanslaus4940
@dottostanslaus4940 3 жыл бұрын
Asnte mtumishi
@ellytitus1259
@ellytitus1259 4 жыл бұрын
Mahubir yako naya elewa sana. Mungu akubariki sana
@mercyemma9770
@mercyemma9770 4 жыл бұрын
Kweli ndoa ziko icu
@veronicamchilo8552
@veronicamchilo8552 4 жыл бұрын
Hao wa kwenye mitandao mimi ni mmoja wapo
@monicalushola443
@monicalushola443 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@millicentaseyo5817
@millicentaseyo5817 5 жыл бұрын
Asante mhubiri mungu akubariki sana
@miriamkiwia2999
@miriamkiwia2999 4 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu
@rhodamalembo7873
@rhodamalembo7873 4 жыл бұрын
Kweli mchungaji
@roselynewendy3929
@roselynewendy3929 3 жыл бұрын
Hehehe hata wengine one week without communication .I salute you
@scolaelias9454
@scolaelias9454 4 жыл бұрын
Ahsante kwa message Nzuri
@sharonyuu8870
@sharonyuu8870 3 жыл бұрын
God bless you mchungaji
@enosmsilanga7867
@enosmsilanga7867 5 жыл бұрын
Amen baba
@nyamugishaangelique3206
@nyamugishaangelique3206 3 жыл бұрын
Barikiwa sana sema ukweli wako wengi ksb
@merinajoel4362
@merinajoel4362 3 жыл бұрын
Amina sana nakupenda sana pastor
@deboranicholaus3818
@deboranicholaus3818 4 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri
@merinajoel4362
@merinajoel4362 3 жыл бұрын
Kichwa kimeharibika kipeleke garage
@florakawau5615
@florakawau5615 4 жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu.ujinga kwisha
@mariabenedict328
@mariabenedict328 5 жыл бұрын
❤❤❤❤blessed pastor
@happyeliuzima7682
@happyeliuzima7682 5 жыл бұрын
Trueeeee pastor
@ebbykerubo95
@ebbykerubo95 4 жыл бұрын
Nimejengeka kimawazo Amen
@weisikodaniel7944
@weisikodaniel7944 4 жыл бұрын
Shukrani Sufufu,mtumishi unalenga exactly
@jaliaotien.o6995
@jaliaotien.o6995 3 жыл бұрын
....... .. .................. Mhhhhhhhhhhhhhhh makubwa
@tabumasumbuko7213
@tabumasumbuko7213 4 жыл бұрын
Unafundisha tusipoelewa tuna matizo barikiwa sana mtumishi
@danklinkarisa2468
@danklinkarisa2468 2 жыл бұрын
God 🙏 blessing you pastor
@fr.anthonykiungu3176
@fr.anthonykiungu3176 5 жыл бұрын
Wivu, kuzirazira kutatumaliza
@stelasasala5972
@stelasasala5972 4 жыл бұрын
Ni hatareee
@veeJesus
@veeJesus 4 жыл бұрын
Mtaisha
Mch:Daniel Mgogo-Heshima yangu naitaka hata kama unanizidi kipato
11:41
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 34 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 8 МЛН
Mch:Daniel Mgogo-Usifikiri wewe ni wa kwanza kumuona
14:59
Uhai Online Tv
Рет қаралды 262 М.
MCH.DANIEL MGOGO - MSHUKURU SANA MKEO HUJUI KAZI ANAYOFANYA
34:05
Uhai Online Tv
Рет қаралды 155 М.
Rev Moses Magembe- MTAJI WA MWINJILISTI NI WENYE DHAMBI.
5:03
EVANGELIST KANANI
Рет қаралды 23 М.
Mch: Daniel Mgogo-Utafumaniwa pasipo kujua
14:49
Uhai Online Tv
Рет қаралды 187 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: WAKATI WOWOTE UNAPOHITAJI MSAADA MRUHUSU ROHO MTAKATIFU AKUSAIDIE.
13:05
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 224 М.
MCH DANIEL MGOGO - UNAFIKI (OFFICIAL VIDEO)
22:20
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 609 М.
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 34 МЛН