mie ni muislam ila huyu mchungaji ni mfano wa kuigwa na wachungaji wote, mafundisho yake anafundisha hadi wasiokuwa wakristo, binafsi namuelewa sana MGOGO
@farajamhenzi90374 жыл бұрын
Mungu akubariki Sanaa mtumishi ni me barikiwa saana
@zakiarama99094 жыл бұрын
Pamoja sana
@datiuskaroly75714 жыл бұрын
ubarikiwe
@barakawabuge52853 жыл бұрын
Naam hata mimi hunifundisha.. Mtu muhammad (s. A. W) alisema kuna wakristo na mayahudi wazuri... Mfano najashi
@jamilakelota60332 жыл бұрын
Fact
@anethkalokola57772 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi injili yako ya ukweli mtupu sema tupone
@esperancekavira85482 жыл бұрын
Mungu akupee maoni zaidi na zaidi mchungaji
@jaclinsimon99992 жыл бұрын
Asante ubarikiwe maana najua utafanya wanaume wengi
@kevokipanya48084 жыл бұрын
mtumish Amen kwel unayo sem naumen fumbua sasa asnt mtumish mungu asid kukup upeo wakutufundish sisi kondoo wako
@selestinebiyake38382 жыл бұрын
Hahaaaaaa pasha moto mzee
@christinadaud45383 жыл бұрын
Barikiwa
@sophiemulebinge33504 жыл бұрын
Mafundisho aya Yana tujenga saaana. Mungu akubariki baba. Nakufata, nikiwa Congo
@abdulijumaa4963 жыл бұрын
Una maubir mazuri nakufatiliag san
@lucasleonard52904 жыл бұрын
Nime kufuatia sana mchunguji,mahubiri yako yapo tofauti sana wewengine,waleee mahubiri yao ni yamaari
@lydiahann17374 жыл бұрын
Mungu akumbaliki mchungaji na azindi kukupa ufunuo uendelee kuieneza ijiri
@asentusodhiambo96214 жыл бұрын
Bwana Yesu apewe sifa, tunashukuru Sana mafunzo ya dharura tunaiyoipokea
@marketphone63534 жыл бұрын
amina na mm namuerewa san mungu awe naye na ampe miaka 20000000000000
@lekiajuvenary90802 жыл бұрын
God bless u
@brigithaassenga51914 жыл бұрын
Ni kweli baba nikikumbuka mapito niliyopitia Mungu mwenyewe anajua kwa sababu yeye ndo aliyenipigania; Asante Jehova shama kutupa Mchugaji mgogo.
@hilgathjoshua88044 жыл бұрын
Uko sawa kabisa mtumishi 😁😁😁
@andrewalute30853 жыл бұрын
Yes my friend
@lameckhansuliteremuka44932 жыл бұрын
mgogo nijje
@bahatimmependezamwanginda52024 жыл бұрын
Kupitia mahubiri yko wengi wanaponywa, wanaosema husomi maandiko wanakuonea wivu Achana nao, piga kaz baba songa mbeleeee
@emmanuelineuwizeye30972 жыл бұрын
ubarikiwe sana baba
@irenesimon91073 жыл бұрын
Kweli muchungaji ingekuwepo kipimo sijiwi ingekuwaje kweli Mungu atuhulumie
@martinenestory78293 жыл бұрын
Hongera sana kwa hili neno.
@fideskalalu3414 жыл бұрын
Baba umetisha sana
@tituskhaemba6544 жыл бұрын
Napenda mahubiri yako pastor 🙏❤️
@apolinayusuf38384 жыл бұрын
11q11
@evangatima33773 жыл бұрын
Mungu akubariki baba
@eliasmsese76944 жыл бұрын
Yes bshop Daniel mgogo nakbal Sana mahubili yako bless
@seng25112 жыл бұрын
😂😂😂😂huyu mchungaji
@celinahguru83264 жыл бұрын
AMINA barikiwa Sana mchungaji
@nyaxx383 жыл бұрын
Ama Kwa kweli neno hili ni la kweli kabisa. Mungu atusaidie
@sumadavid32402 жыл бұрын
Haminaaaaa
@mwajumahmkali95574 жыл бұрын
Eti Kama mdoli😁😁😁😁😁😁😁😁💃💃💃
@dorcasmukhanji2724 жыл бұрын
ubarikiwe pastor
@lanisterchuga40682 жыл бұрын
Amen amen
@ruthmulei99774 жыл бұрын
Hyo lnjili kali sana
@beatricenjoki2834 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Amen Amen Kwa neno barikiwa Sana mtumishi 🙏🙏🙏🙏
@sengebasenga66654 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki
@martinantary11744 жыл бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi
@mathewandrew37613 жыл бұрын
Nimeipenda iyoo
@tituskhaemba6544 жыл бұрын
Hongera pastor 🙏
@annamrima55074 жыл бұрын
Ameen mchungaji mungu akubariki na akuinue zaidi
@MuhindoMurabazi8 ай бұрын
Kweli kabisa
@frankruremesha14764 жыл бұрын
Amen Barikiwa sana Mchungaji
@jacksonchiwalanga48173 жыл бұрын
😅 barikiwa
@magrethndambo76843 жыл бұрын
Nimekuelewa baba
@robaisitatishow16074 жыл бұрын
Barikiwa mchungaji
@everlinsalano972 жыл бұрын
Lovely message.long live pastor
@khadijakisingo79204 жыл бұрын
Mchungaji mungu akubariki sana
@djmanywele72524 жыл бұрын
Mmmmh mgogo umebarikiwa kiukweli
@salomemunuo18834 жыл бұрын
Nakuelewa sana mchungaji 🤣🤣
@irinewafula15574 жыл бұрын
Waaaaaa!!!ukweli kabisaa unasema,, maji moto ya kuoga hahaha kweli mchungaji
@agneswaitherero40534 жыл бұрын
Be blessed for this msg
@peterkatwale17942 жыл бұрын
Apo sasa
@zabibusaid14733 жыл бұрын
Dah mulemule
@ebadimyenda27394 жыл бұрын
Mungu akuinue
@gracelauzi97464 жыл бұрын
Sema tupone
@irenemacha74574 жыл бұрын
Jmn wanaume wanatunyanyasa sana Tukwila na Mumbai
@elizabethchalesi28293 жыл бұрын
Ndio kweli
@amanindiyogi21672 жыл бұрын
Amena 🙏🙏🙏
@wagisimasabahi15334 жыл бұрын
Safi sana
@lubungaetienealmasi10594 жыл бұрын
Nipo Canada ila wanga nakufatilia sana Mungu akubariki
@jacklinelucas30214 жыл бұрын
Barikiwa sana maana nishida ulijuaje ?mwanaume nishida yan mwanamke unachoka sana sana yan huku mtoto analia anataka kunyonya baba nae nitegee net mara muda mwingine umeandaa chakura mezani anakwambia nipakulie ×punguza kingi sana ninawishe yan ss unachoka huku umepa nguo ataaza kuzitimua mojahd nyingine hoo hii sijaipenda ulinunuaje? Yan tunatabu
@mathisjosefu23503 жыл бұрын
Waongo ao
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Tuwe na yesu
@ankogeorge89724 жыл бұрын
Wanaume hapa wametulia kimyaaaaaaa!!!
@Petro7572 жыл бұрын
Ni kweli
@hildamasonda32434 жыл бұрын
Ameni mchungaji
@bujucommedys29203 жыл бұрын
Nikweli mchungaji
@andrewalute30853 жыл бұрын
Yes
@sifaeliyesayamakala74833 жыл бұрын
S sifaeli Junio
@jamessila32192 жыл бұрын
Sasa Kama maisha ya doa ni hivi nitaoa
@kadiihanjari7104 жыл бұрын
Kabisa nikweli baba muchungaji
@annemwande68074 жыл бұрын
That's my pastor 😂😂😂
@christinekituyi98262 жыл бұрын
Ile hekima uko nayo pastor si ya kawaida
@priscammassy67253 жыл бұрын
WhatsApp
@focuseric41094 жыл бұрын
Yan upo sahihi ata mm niseme ukwel wa mungu nilikua ivo ivo lkn ss kwasababu yako nimebadilika yani nasema kwel yamungu kasoro tu kumuamsha asubui lkn mengine nimo na nungu anisamehe.