Kimara Korogwe mmeipata neema ambayo wengi wnatamani kuipata lakini Mungu hana upendeleo. The inauguration of PCC in Tanzania is the beginning of the Overflow of Holy Spirit to all of us. Sasa Kumepambazuka Tanzania.
@jasperjackson8871Ай бұрын
I trust u Pastor John Magembe God will be with u alwayz Joshua 1:9 Uwe hodari na moyo wa ushujaa. Mungu yu pamoja nawe ewe shujaa.
@eldakevela2606Ай бұрын
Ubarikiwe Baba kwa huduma! Mungu amtangulie mchungaji Yohana katika huduma.
@jasperjackson8871Ай бұрын
Mungu akikuita atakutunza na kukufanikisha ktk yote aliyokuitia hivyo usiofu kitu na hakika huu ndio wakati wa Bwana uliokubalika hivyo na ukasimame kwa ujasiri wote mbele zake na mbele ya watumwa wa Bwana mloitwa kwaajili yao kwa utukufu wake aliyejuu. Napenda unyenyekevu wako ni ishara ya kuhitimu vema mafunzo ya Mungu kwaajili ya ile kazi uloitiwa. Maombi yangu Mungu akupe neema ktk kizazi chetu ili kujenga boma na kuitimiliza kazi iliyo mbele yetu. Si kwa nguvu wala uweza bali kwa Roho wa Bwana ishindi ni lazima. Ameeen🙏🙏🙏
@amoss.tz1Ай бұрын
Amen tunashinda zaidi ya kushinda!
@christophernzige3913Ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa kunipa neema ya kusikiliza injili ya kweli ,kutoka mtu wa Mungu ,
@bernadethadanielАй бұрын
Amina kazi ya BWANA YESU iendelee hakika tutashinda
@EbeliNjeje-qw3qfАй бұрын
Barikiwa mtumishi Tunakupenda kutoka kyela k9
@RechoChales-m5fАй бұрын
Amina mtumishi
@bernadetteshukuru9154Ай бұрын
Amen amen amen 🙏
@MushagalusaLeonard-zw8rrАй бұрын
Barikiwa Baba mchungaji
@RobertSilingtonАй бұрын
YESU akutumie mpaka mwisho
@SalomeKonga-i7iАй бұрын
MUNGU atukuzwe milele Kwa ajili ya kazi ya injili unayokwenda kuifanya kama senior pastor PCC.Kazi him ni ya BWANA hakuna ànayeweza kuzuia kazi hii.Mungu awe nawe daimà
@rahelhango9236Ай бұрын
Tukio kubwa la kihistoria🔥🔥🔥
@MushagalusaLeonard-zw8rrАй бұрын
MUNGU aendee pamoja nanyi kma alivyo kuwa na mtumishi wa Mungu Yoshua
@B.Stephen92Ай бұрын
Bwana awe pamoja nanyi katika mambo yote! Awaongoze, kuwalinda na kuwabariki. Mkawafanye mataifa kuwa wanafunnzi wa Yesu Kristo aliye Bwana na Mwokozi.
@marymgonzo7891Ай бұрын
Hongera sana Mchungaji Yohana
@johnsebastian-bx6qnАй бұрын
Amina baba
@emmanuelrugimbana4971Ай бұрын
Mungu awe pamoja nawe ktk huduma yake
@Amosbenard6321Ай бұрын
Amen
@RechoChales-m5fАй бұрын
Tumekukumbuka baba watu wa sumbawanga
@MushagalusaLeonard-zw8rrАй бұрын
Hili Neno nila hekima,"niliko toka Ni mbali ninako enda Ni jirani"
@FarijiEdsonАй бұрын
No more waiting Azusa street revival it's majumba sita now
@JibeMwaijibe-p1zАй бұрын
Jamani huyo yohana ni mtoto wa kuzaliwa au wa kiroho wa mzee magembe kama ni mtoto mzee afadhali make......