Mch Moses Magembe - UNABII WA KUZALIWA MASIHI | IBADA YA MKESHA WA USIKU WA KRISMASI

  Рет қаралды 9,721

Rev Moses MagembeTv

Rev Moses MagembeTv

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@tumainiurio3644
@tumainiurio3644 Күн бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@JastFinancial02
@JastFinancial02 2 күн бұрын
Amina Sana Sana 🙏🙏🙏🤲 mtumishi wa Mungu injili iendelee zaidi na zaidi
@JohnMoni19
@JohnMoni19 2 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu tupo nyuma Yako mzee tunakuombea
@ev.elishaadamson9531
@ev.elishaadamson9531 2 күн бұрын
Mungu akubariki sana baba, endelea kupiga kazi
@rev.musabalalarogersmusabalala
@rev.musabalalarogersmusabalala Күн бұрын
Tuko pamoja, Mungu atuamshe kanisa
@eliphaznkurunziza7405
@eliphaznkurunziza7405 Күн бұрын
Baba namshukuru Mungu maana nilipo anza kukusikia nilipiga hatua kweli
@rev.musabalalarogersmusabalala
@rev.musabalalarogersmusabalala Күн бұрын
UAMSHO NI AJENDA YETU, YESU, MZEE TUKO NYUMA YAKO
@NgoshaJaphet-zo4sq
@NgoshaJaphet-zo4sq 2 күн бұрын
Baba yangu, Mungu akutunze ,Mungu anakuamini
@AlexHalinga-m9e
@AlexHalinga-m9e 2 күн бұрын
Mungu amejitwalia mchungaji magembe tumepewa na Mungu
@rev.musabalalarogersmusabalala
@rev.musabalalarogersmusabalala Күн бұрын
Kweli kabisa, ninafurahi kusikia mnajua tunu hii tuliyonayo
@Amosbenard6321
@Amosbenard6321 2 күн бұрын
Ubarikiwe sanaa babaangu Nakuombea sanaa
@petershauri-l9y
@petershauri-l9y 2 күн бұрын
Hii injili unayohubiri baba ningumu mno tena ningumu sana nadio wito nilioitiwa pia hii injili niyakweli kabisa lakini kwahii injili watu wngi wanaichukia lakini injilihii ukiielewa mbinguni lazima uingie
@ChescoMbena
@ChescoMbena 2 күн бұрын
Baba ubalikiwe na bwana Yesu kristo songa mbele Yesu yupo Kwa ajili ya kulitimiza kusudi lake
@ERADIUSDEZIDERI-r6f
@ERADIUSDEZIDERI-r6f 2 күн бұрын
Amina mtumishi barikiwa
@EliusFungavyema
@EliusFungavyema Күн бұрын
Asante Yesu.
@AlexHalinga-m9e
@AlexHalinga-m9e 2 күн бұрын
Mungu akutunze
@LusajoMwaipopo-s1b
@LusajoMwaipopo-s1b 2 күн бұрын
Amina napokea
@AlexHalinga-m9e
@AlexHalinga-m9e 2 күн бұрын
Injili hii tunaitaka sana
@SamwelSadock
@SamwelSadock 2 күн бұрын
Nakupongeza ssna Bsba yangu toko pamoja
@alphonsinemauwa
@alphonsinemauwa 2 күн бұрын
Tunapoķea Amani ya Yesu Kristo Amina, Amina Amina
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 2 күн бұрын
AMINA Bishop Magembe
@beatricemayodi9858
@beatricemayodi9858 2 күн бұрын
Amen baba
@MsafiriAmos
@MsafiriAmos 2 күн бұрын
Baba injili yako ni ya Mungu wa kwel
@Baraka-b7u
@Baraka-b7u 2 күн бұрын
Mch Maghembe wakataze watu wasisherehekee hii sikukuu inawapeleka watu kuzimu kwa wingi sana
@leahkihiri5417
@leahkihiri5417 2 күн бұрын
Huoni kama ndo wanatumia kuhubiri neno wewe unasema kupelekwa kuzimu
@oscarsemundi6161
@oscarsemundi6161 12 сағат бұрын
Imeandikwa wapi ndugu
@SimonMuli-f5j
@SimonMuli-f5j 2 күн бұрын
From kenya we say amen
@AlexHalinga-m9e
@AlexHalinga-m9e 2 күн бұрын
Mchungaji magembe tumepewa na Mungu na duniani waelewe hivo
@smartgain_tz
@smartgain_tz 2 күн бұрын
Pentekoste ilikua kanisa la kweli, ilifanyika dhehebu 1906, na mungu si dhehebu akamwinua mjumbe wa wakati wa mwisho wa laodekia branham ahsante mungu kwa yote kwa sababu siku zote wewe si dhehebu
@seiyajose
@seiyajose 2 күн бұрын
Ameeeeen I received
@navojosephat656
@navojosephat656 2 күн бұрын
Hallelujah
@alisalukele
@alisalukele 2 күн бұрын
Amen Amen
@revivalmt5445
@revivalmt5445 2 күн бұрын
SISI KAMA REVIVAL MOVEMENT TEAM TUKO PAMOJA NA WEWE TUTAKUWA NA WEWE KILA ENEO BABA
@adamucosmas2749
@adamucosmas2749 2 күн бұрын
Amen 🙏
@PasiweloMpembe-r4l
@PasiweloMpembe-r4l 2 күн бұрын
Kuna mchungaji mmoja anaichapa injili Kama yako nakwambia kijiji chote kimeinuka kinataka ahame kijijin songa mbele
@josejosia3024
@josejosia3024 2 күн бұрын
NAWAKI KUKATAA WALIO HAI WAFU WATA FUFULIWA WATA KUFWATA WAKIKUKATAA WAZIMA KWAJINA LA YESU WATALETWA WALEMAVU WATAPONYWA NA BWANA YESU AMBAYE NI BWANA WA KANISA WATA KUFWATA YANI NIKIVYOVYOTE HATA MIMI NINA UCHUNGU MUNGU HAINULIWI NA WENGI BALI WEWE UNA HUO MOYO MKUU WAKUMWINUA MUNGU NA MUNGU AMEKUPA NGUVU HIZO TENA MUNGU AMEKUTANGULIZA HAKIKA WEWE UNAROHO YA ELIYA TENA KAMA YOHANA MBATIZAJI MUNGU AKUPE YEYE MZIGOZAIDI MAMBO MENGINE YAKISHETANI YA KIBINADAMU YAJIFUTE YENYEWE TENA IMEANDIKWA MARKO4:14 MPANZI HUYO HULIPABDA NENO
@DatusKaminyoge-h9n
@DatusKaminyoge-h9n 2 күн бұрын
Hakika!
@EdwinMbwilo-fj6bf
@EdwinMbwilo-fj6bf 13 сағат бұрын
Kusanyiko hili lipo wapi nahitaji kufika hapo
@valelianonyato-gx5bq
@valelianonyato-gx5bq Күн бұрын
Hii injili haina ugumu wowote ila tu kwa mjinga ataiyona ngumu kwasababu kinacho hubiliwa ni uhalisia wa biblia na Mungu mwenyewe alivyo na anavyotakuwa mtu awe mbele za Mungu
@Baraka-b7u
@Baraka-b7u 2 күн бұрын
Chrissmas ni mpango wa shetani kuwapeleka watu kuzimu..unayesoma ujumbe huu tafadhali ikimbie kuzimu kwa kukataa sherehe hii ya kipagani
@ShaloMasofa
@ShaloMasofa 2 күн бұрын
Nikweli mpango wa babeli
@FrancesMapunda
@FrancesMapunda 2 күн бұрын
Duuuh
@FrancesMapunda
@FrancesMapunda 2 күн бұрын
Kivip tena
@mesamale
@mesamale 2 күн бұрын
Kweli kabisa na Kuna ule ushuhuda wa Aston mbaya aliyeonesha mambo ya kuzimu na mbinguni umeleza kabisa , Anayehitaji hicho kitabu nimtumie
@MulewaKenga
@MulewaKenga 2 күн бұрын
Maoni yko
@angelibrahim5539
@angelibrahim5539 Күн бұрын
Sorry naomba kuuriza baba sikukuya kirisimasi haijaandikwa kwa bibiria kwanini watu wanaisherekea ni kwanini kwanini wasifate neno ra Mungu
@StevenMwinamijr
@StevenMwinamijr 4 сағат бұрын
Kama unataka kila kitu kiwe kimeandikwa basi leo tungevaa kanzu kama Yesu na mitume acha hoja dhaifu.
Mch Moses Magembe - UJUMBE WA MAMAJUSI KWA MASIHI | IBADA YA KRISMASI
2:40:17
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 30 М.
Mch Moses Magembe - MAKUSUDI YA UAMSHO | KONGAMANO LA KRISMASI 2024 SIKU YA 5
1:52:41
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Msaidizi wa Lissu afunguka mazito dhidi ya Wenje
39:01
Land Dwellers
Рет қаралды 22 М.
JINSI YA KUJUA MAKANISA YENYE IMANI POTOVU NA MCH. ABIUD MISHOL
1:42:52
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 9 М.
Mch Moses Magembe - MTETEZI WANGU YU HAI | IBADA YA JUMAPILI MCHANA
2:43:24
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 10 М.
Mch Moses Magembe - KULIJENGA UPYA HEKALU LA BWANA | IBADA YA JUMAPILI
1:24:54
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 11 М.
Mch Moses Magembe - AINA ZA MAOMBI YA YESU | IBADA YA JUMAPILI MCHANA
2:00:37
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 4,5 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН