Huyu mtumishi wa Mungu anamjua Mungu wa kweli. Mungu azidi kukubariki
@davidjoshua963418 күн бұрын
Tunaomfuatilia Mzee magembe Mpka Sasa na tunamkubari tuje hapa
@MakifuLydia17 күн бұрын
Amina Mungu ambariki ampe maisha marefu azidi kufanya kazi yake
@MakifuLydia17 күн бұрын
Kweli baba yangu Mungu akutumie sana watu wamjue Mungu wa kweli na yesu alive tumwa hubiri kweli baba
@MakifuLydia17 күн бұрын
Mungu azidi kukulinda
@SABRINAJAPANESE-fn8un17 күн бұрын
Amina
@rafikiwayesu781416 күн бұрын
@@davidjoshua9634 tupo pamoja na Baba yetu
@FarijiEdson18 күн бұрын
UAMSHO NI LAZIMA HAPA TZ UTOKEE ANAYE AMINI HILI. TYPE AMEN
@gertrudejohn903918 күн бұрын
Amen Amen
@StellaStanley-gz6fz18 күн бұрын
Ameeeeeeen
@JosephChilemile18 күн бұрын
Amen
@theresialubida16118 күн бұрын
Aminaaaa
@anthonybenedict544418 күн бұрын
Amen
@ChristinaKembe18 күн бұрын
Nilifika majumba sita miaka miwili iliyopita nikiwa mgonjwa wa miaka 7 na niliacha kazi, nikitibiwa kila mahali ikashindikana, nikahangaika kwa MAkabila mengine pia ikashindikana MCHUNGAJI MAGHEMBE akaniombea sasa nimepona na nimepata kazi nzuri, sio mimi tu ni wengi kupitia Mch Maghembe wameponywa na kifunguliwa na zaidi tunapata Malezi ya kutupeleka mbinguni… ALIPO MCH MAGHEMBE SISI TUPO.
@GodfreyKimaro-h2c18 күн бұрын
Mungu amekuweka kwa kusudi lake kwa "WAKATI" huu!
@IvanKambindu18 күн бұрын
Mimi pia ni mtoto wa magembe aiseee , I see a new church with new power in Tanzania
@MoïseCizungu18 күн бұрын
Kote duniani tunamuunga mkono Mchungaji Moses Magembe. Tunaamini sana Mungu anayemuhubiri kuwa ni Mungu mzima
@zakariaelisante112517 күн бұрын
Tena aliye Hai milele
@JastFinancial0218 күн бұрын
iende mbeleeeeee injili iyo iende mbeleee Wote tuseme iende mbele
@devidmnyema569417 күн бұрын
Ubarikiwe sana MAGEMBE MUNGU U PAMOJA NAWE NIPO MKOA WA SONGWE
@Yusuphrevocatus-g3v18 күн бұрын
Mashallah kanisani kwa mchungaji magembe wana wake wana vaa kwa staha
@annkim269018 күн бұрын
Kondoo wanajua sauti ya mchungaji wao wow l wish ningekua hapo nimefurahi Sana hope mumefanyia sherehe huu ni ushindi mkubwa Sana Kwa Moses Magembe
@amanmalima94018 күн бұрын
Barikiwa SANA MTUMISHI WA MUNGU Pastor Magembe Kwa KAZI NJEMA ya MUNGU!
@evaristomkwele175618 күн бұрын
Namba yako hakuna wakuivaa Mzee wetu tunakupenda na kukulilia Mungu aendelee kukuinua zaidi
@FortunataAkaro15 күн бұрын
Mungu akuongeze mika baba Mzigo ulio nao kuhusu vijana uweze kutimia
@yukoisakwisa496418 күн бұрын
Unaangalia ibada unasikia uwepo wa Mungu, na Mungu atimize makusudi yake kwako
@IVONEMARTINE15 күн бұрын
Amina mchungaji .....injili lazima isonge mbele
@ChristinaKembe18 күн бұрын
MIMI NI MTOTO wa MCHUNGAJI MAGEMBE watoto wake wote gonga lile hapa
@frankmtemele968418 күн бұрын
Dada me mwenyewe najikuta nampenda sana mchungaji magembe viela vyangu nanunua sana mb kumfutilia mahubili ya mchunguji
@mablemadahana475818 күн бұрын
Mimi Huyu ni Baba wangu wa kiroho mafindisho yake yamenitengeneza sana .Vita vya dunia tunashinda
@Amosbenard632118 күн бұрын
Hata mimi ni mtoto wake wa Kiroho nimeokoka kwenye Injili yake 2003/ 10. Trh 14. Niliokoka moja kwa moja mpaka leo.
@DenisMbongo-o9c18 күн бұрын
Ata Mimi nampenda sana pastor Moses magembe
@ChristinaKembe18 күн бұрын
Hongeren sana sana sana katibuni Dar kinyerezi mwembeni mkabala na sheli ya ATN
@lilyabel232018 күн бұрын
Injili isiyo ghoshiwa, sema amen
@SABRINAJAPANESE-fn8un17 күн бұрын
Ameen
@FelisterPeter-g5b13 күн бұрын
Nabarikiwa sana! Asante Yesu azidi kukuinua
@AuguuBoniface15 күн бұрын
Mchungaji Moses Mungu azidi kukukuza katika kicho cha Bwana hadi ufikie utimilifu wa Kristo. Wapendeni adui zenu waombee wanao waudhi. Methew 5:44
@boswelmuruka870618 күн бұрын
Nafuatulia kutoka kakamega Kenya🎉
@ANDREWZACHARIA-t9x18 күн бұрын
Very powerful services. Mungu akubariki sana Baba, tukopamoja na wewe.
@AuguuBoniface15 күн бұрын
Waumini wote naomba muelewe fundisho la mzee anavyopewa kwa neema kuhubiri, adui yetu ni shetani,,usibebe mtu moyoni mwako. Ombea huduma ya mchungaji Magembe izidi kufikia maeneo yasiyo fikika. Naona Uamsho mkubwa na matengezo kwa kanisa ulimwenguni kote. NON STOP
@HongeraCharles16 күн бұрын
jeshi la washami lazima lipigwe ktk jina la yesu ameeeen
@gracemachongwe43118 күн бұрын
Lililo shauri la BWANA litasimama. BWANA akulinde, akutunze na kukubariki. HESABU 6:24-26
@JosephJasson-fx6rq18 күн бұрын
Matilio yamekaa..barikiwa baba nipo na wewe nakufatilia
@Light.For.all.Nations15 күн бұрын
Nikiwa nasoma huku nikiishi na babu yangu ambae alikuwa ananiandaa kuwa mganga wa kienyeji lakini Mungu akafunua neema yake nikaokoka. Mbali na hilo ilikuwa bado sijapata kina cha kumjua Mungu kiasi cha nikiwa chuo kipindi hicho nikiwa naabudu kanisa A moyoni mwangu nilikuwa natamani nipate mentor ambaye atanisaidia kuelewa biblia kwa usahihi na kwa ufafanisi( najua kila mwanafunzi mwenye akili huwa na hii shauku) taarifa mbaya ni kwamba sikufanikiwa mpaka nilipokutana na Mch. Moses Magembe mengine sijui ila ninachojua kwa muda niliokutana nao haya ndio nilijifunza kuhusu mzee Magembe 1. Imani isiyo teteleka, kama unavyomsikia ndivyo nilivyoona anachozungumza ndio anachoishi bila kujihurumia nyuma ya imani yake ambayo nimejifunza niliona inaambatana na ishara na miujiza mingi ambayo sehemu zingine sijawahi kuona. 2. Moyo wa maombi, siku moja aliwahi kuniuliza swali ambalo lilibadilisha maisha yangu ya maombi " ulipoomba Mungu alikuambia nini?" Hii kwangu iliondoa uvivu na hali ya kukata tamaa na kuwa na moyo wa kuomba mpaka mambo yatokee ( kwa sasa naomba mpaka mbingu iseme) 3. Shauku na utayari wa injiri , kwa upole na kwa ukali niliona anajali watu kuzaa na kila siku ya jumapili nilishuhudia watu wasiopunguwa 5 wanaokoka kanisani hii ina maana kama watu 5 wakiokoka kwenye ibada kwa mwezi ni watu 20 na ndivyo ilivyo mbali na mikutano ambayo alikuwa anaifanya nje ya ibada za jumapili. 4. Uongozi bora na smartness, ni mara chache huwa wainjirist wanajawaida ya kufuatilia watu waliokoka hupeleka watu kufuatilia kuona wale walio okoka wanaendeleaje? nimeona kwa Paulo na mzee magembe sijui wengine ambao labda sina taarifa naooo NB; kwangu nikizungumza ukuaji wa imani yangu siwezi kuacha kumtaja mzee magembe niliheshimu neema ya Mungu iliyochini yake, na nitazidi kuheshimu neema kubwa na halisi ambayo Mungu amempa madhaifu ni sehemu ya kila mwanadamu Mungu akubariki mzee wangu Pst Moses Magembe natambua na ninaheshimu kazi kubwa unayoifanya Tanzania, msumbiju, kanada na maeneo mengine dumiani nakuombea na bakupenda kama vile unavyo mpenda kristo
Baba nakupenda sana hakika wewe ni mtumishi sahihi nakupenda sana
@jitabojilala616218 күн бұрын
Nakufuatilia sana pastor ,Wewe ni mpenda haki yule mchungaji aliyevaa ka suti ka blue anayekuponda ,Mungu amsaidie
@JastFinancial0218 күн бұрын
Ili ni kusudi la Mungu ili injili izidi kusambaa kama kipindi Cha Askofu Emmanuel Lazaro na Askofu Moses Kulola aitupasi kuanagalia mwenyew makosa ayo tumwachie Mungu pekee
@chrisdeoglatias866517 күн бұрын
Ha ha haaa et kasut kabluu!!!!
@sttevemwangi16 күн бұрын
I'm blessed. Merry Christmas @majumbasita GCC from Kenya.
@rafikiwayesu781417 күн бұрын
Mimi ni mtoto wa Mzee wangu Magembe i love you so much Rev Magembe Kutoka TAG katoka na wengi
@krispinmalekela784818 күн бұрын
Tutashiriki kuijenga nyumba ya Bwana. Tupo pamoja katika roho
@MulewaKenga17 күн бұрын
Naomba mungu Roho ya mtumishi wako, REV . MAGEMBE iwekwangu nampenda sn.
@pstpetermusyoka153116 күн бұрын
This is wrong, please read and understand the word of God! You don't need the spirit of the pastor....you need the Holy Spirit of God
@fadhilimwasyeba854818 күн бұрын
Wote tunaunga mkono Injili tumchangia Maghembe
@DicksonLimwata15 күн бұрын
Amina mchungaji Magembe
@Stephano-g3g17 күн бұрын
Amen injili isiyo na matakataka, piga inji mtumwa wa Bwana.
@esther989218 күн бұрын
Injili ya moto, asante Bwana Yesu Kristo, umubariki mutumishi wako Magembe
@SaraelAramu15 күн бұрын
Baba upo wapi nije🔥🔥🔥 can't wait to see this revival
@josephdeus999518 күн бұрын
Na kufuatilia sana baba piga injili na Mungu atusaidie kutimiza kusudi lake usipambane na watu pambania naneno baba
@nathanpallangyo524418 күн бұрын
MUNGU AKUBARIKI MCH MAGEMBE AKUINUE ZAIDI
@yesesalambwe942013 күн бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji! Watching from Scotland!
@pascalselemani813218 күн бұрын
MUNGU akutiye nguvu baba mchungaji na toka congo drc kinshasa
@ELIYAJohn-s8q18 күн бұрын
Mchungaji Mungu akitie nguvu
@paulyaledy611018 күн бұрын
Very Powerful message hakika Mungu awe pamoja nawe daima
@RobertSilington18 күн бұрын
Nabalikiwa sana na injili hii haleluyaaaaaaa✊✊✊✊
@stephenhosea111317 күн бұрын
Piga kazi Mzee wangu Magembe tupo nyuma yako 💪😂 na hufi leo wala kesho tunakuombea
@fadhilimwasyeba854818 күн бұрын
Baba Mungu akupe Neema andaa watendaji 30 kwa ajili ya kuwepo na kanisa angalau 1 kabla ya February 2025 kila Mkoa halafu mikutano ya Injili kila mkoa
@SABRINAJAPANESE-fn8un17 күн бұрын
Kwakweli umenena nataman hata Songwe kwetu huku mkutano. Ninahasira ya UAMSHO jaman dah
@pastormichaelkayombopendec249718 күн бұрын
Tuko pamoja baba Mungu akukumbke sna
@AnaniasBenedict18 күн бұрын
We love you pastor iende mbele injili
@fadhilimwasyeba854818 күн бұрын
Magembe anahubiri u Pentecost halisi hana mzaha katika hili
@MashughuliKaguo-p7x18 күн бұрын
Asante ,mungu kwa mtumishi wako magembe
@MATHAYOIBRAHIMjichaJicha17 күн бұрын
MUNGU akutie nguvu kazi iendelee
@LameckClemence18 күн бұрын
mungu akutunze baba magembe........anga limefunguka
@davidmembedalamethepsalmis288518 күн бұрын
Waoooooo waooooo ushindi ushindi, ushindi
@paulyaledy611018 күн бұрын
Mungu akutunze na akutie nguvu Tuko pamoja nawe Na tunakuombea Mtumishi Wa Mungu
@CharlesMbunda-og5tn18 күн бұрын
Songa mbele Baba, Tunakuunga mkono. wenye dini waachie dini zao!!!
@C7Simulizi18 күн бұрын
Mb zangu haziendi bure utukufu ni kwa mfalme Yesu.
@Amosbenard632118 күн бұрын
Amina baba Ubarikiwe sanaa nitaungana nanyi Kwenye Changizo la Jumapili.
@Shalom80318 күн бұрын
Wekeni lipa namba tuliombali tuchangie injili ❤❤❤
@magrethmkemwa928718 күн бұрын
Mungu akutunze,kanisa likae ktk Utakatifu,Yesu Arudi
@MeshakiIsaya-g5x18 күн бұрын
Baba piga kazi, uanyo taji yako mbinguni
@annkim269018 күн бұрын
Wow wow wow kumbe kondoo zilienda pamoja na mchungaji wao ooh ooh ❤❤❤😭😭😭😭😭😭😭
@Stay_with_God_tv17 күн бұрын
Mzee bado ana nguvu za mwili pia,Kristo hajagawanyika tusione Magembe ni mwasi Kama mitazamo ya wengine waliofilusika kiroho.
@jaynemaseno369718 күн бұрын
Jina la Bwana Yesu limeshinda majina yote duniani
@DaudiSamsoni-l5e18 күн бұрын
Baba Mungu akubarik sana.nakereketwa sana moyoni
@godfreymwenesho177018 күн бұрын
Tuko wengi tunaokeleketwa moyoni ❤
@pastoremmanuelmwabulambo826018 күн бұрын
Ubarikiwe mnoo Baba yangu tuko pamojaaaa
@DianaKahyoza18 күн бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri yako songa mbele baba
@jacksonjohn856217 күн бұрын
Amen baba lazima shetani atoke kwenye kanisa la Bwana tuko pamoja barikiwa sana
@JosephinaMtungwa18 күн бұрын
Nakupenda sana mchungaji magembe mungu akupe maisha malefu
@danielkasagara899018 күн бұрын
Magembe ni mtumishi wa kweli ya yesu....shetani hatoweza hili pambano
@AshaJuma-s7l18 күн бұрын
Mungu akutangulie mtumishi wa Mungu 🙏
@FaithMwango-k9g18 күн бұрын
Praise God 🙏 natamani niwe hapo ktka Kenya
@obedmlanga322718 күн бұрын
Ni Tanzania dar es salaam - kinyerezi , your most welcome
@petermusau834218 күн бұрын
Mambo yote hutendeka kwa wema kwa waminio na walio itwa kusudi la Mungu. Kumekucha sasa, barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
@ahaziobedi989018 күн бұрын
Sifa na UTUKUFU ni za MUNGU atupae Kushindaaaa💪💪💪💪💪💪
@danielkanso17 күн бұрын
Moto ndiyo umewaka mzee ndiyo amekuwa kijana Amen
@Jeremiatitomawala17 күн бұрын
Amen mtumishi ❤❤❤❤
@marymgonzo789118 күн бұрын
Mungu aendelee kukutetea Babaangu!
@gasparlubaga586618 күн бұрын
Hata mimi ni mtoto wake kwa kweli,anatupatia injili ya kwa kweli
@YohanaRichard-e6p18 күн бұрын
Mchungaji magembe ni msafiri wa kwenda mbinguni Wala wewe hakika sio mpiga debe Wala mtetea brand za dini.
@JacobMsambus-zh5zl18 күн бұрын
Tukuza MUNGU Wetu wa Mbinguni.Barikiwa Baba mpakwa mafuta
@AlexHalinga-m9e18 күн бұрын
Huyu mchungaji magembe tumepewa na Mungu
@FOIBEPETER16 күн бұрын
Ubarikiwe Sanaa Baba yetu ,nipo songwe mkwajun
@valelianonyato-gx5bq18 күн бұрын
Mungu akutunze nakukulinda nibola uendelee kumpendeza Mungu ila siyo wanadamu wasiyo na mbingu
@valelianonyato-gx5bq17 күн бұрын
Bwana akutumie baba kumueleza mtu ukweli nakujiponya roho yake mambo yakudanganyana kwamba Mungu ana angalia Moyo kwasababu Moyo ukiwa safi hadi mwonekano wa nje hadi mavazi yanakuwa safi mbele za Mungu Moyo ukiwa mchafu namavazi yanakuwa machafu yasiyo ya heshima
@MarthaSulle-tt8ew18 күн бұрын
Mungu akutunze Sana Baba
@luciamajula471916 күн бұрын
Amen Amen naumaliza kwa baraka na kuanza kwa nguvu
@ThomasMsigala-r1i18 күн бұрын
Tangazo tangazo tangazo maalumu Majiraniiiiiiii moto Umewakaaaa huku kwa mchungaji magembe tolokeni huko mliko kimbilieni huku halaka sana
@Kanyawela18 күн бұрын
Ushawishi uo mhhhhh
@elizabethkikoti726518 күн бұрын
Ni wap kanisa lake lipo nije nisali JAMANI
@B.Stephen9218 күн бұрын
Mimi ni mtoto mpendwa WA Mchungaji Moses Magembe, nimempokea Roho Mtakatifu mwezi wa 6/ 2023. Kupitia mafundisho na maombi ya Baba. Baba ushindi ni lazima. SHETANI hana nafasi yoyote. Yesu lazima atukuke pote duniani.Tuko pamoja huku Afrika kusini.
@GuwayaPaul17 күн бұрын
Baba asantee san kwa maamuzi mazuri acha mungu ajitukunzee
@OmbeniAkyoo18 күн бұрын
Merry Christmas, rev Moses Magembe move on.
@MethodMethod-g2w18 күн бұрын
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🤲🤲💐💐💐💐💐 mungu akubaliki sana baba kazi mbere 💪💪💪💪💪💪💪💪 yesu mbere
@selelilumambo215717 күн бұрын
ameeeen📌📌📌📌nabarikiwa sana
@OmbeniLuka18 күн бұрын
Dunia ina mengi Yesu tusaidie Bwana
@EvelinePaulo17 күн бұрын
Namkubali sana mchungaji namungu amtie nguvu
@MusaMwinyi-b9f17 күн бұрын
Mimi mchungaji nipo hapa mbezi nampenda sana namani nimuone mzee
@NahishakiyeProsper-jz3ux17 күн бұрын
😂😂😂😂Sasa Hii yakukaa juu ya miti ili ukimbie dhambi ni Kali,Mungu atusaidie tuamke❤❤❤❤
@magrethmkemwa928718 күн бұрын
Kikosi kazi Kiaze kila Mkoa,Mashuleni na Vyuoni,NaMikutano kila mkoa,Hakika Haya ndiyo aliyotuagiza Mungu
@SABRINAJAPANESE-fn8un17 күн бұрын
Hakika Yani mikoani huku natamani wafike wanena kweli
@moreenjackson187918 күн бұрын
Ameni baba Mungu awe nawe siku zote
@staphordsanga243618 күн бұрын
Ameni Amen, nakufuatilia niko Iringa, songa mbele baba kazi njema
@AmenMushi-j2j18 күн бұрын
Mungo akubariki baba Mungu yupo nawe hatakuainisha